Vitu vya AJABU vilivyokutwa NYUMA YA NYUMBA za WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +22

    Napenda sana mambo ya ajabuajabu,na mambo ya zamani yaliokwisha kutokea,asante sana nimefurahi kupata story hii.

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 ปีที่แล้ว

    Sasa twende kazi by Justin shed

  • @judithnyaitondi4592
    @judithnyaitondi4592 4 ปีที่แล้ว +40

    Tunaopenda kusoma comment huku tunasikia habar tujuane

  • @brackstz9235
    @brackstz9235 4 ปีที่แล้ว +4

    Thanks buddy for your time to introducing us the awesome story. Allah bless u. Keep up.

  • @ridhwansule8875
    @ridhwansule8875 4 ปีที่แล้ว +1

    Good job kaka napenda story za zaman zaid na za kutisha pia

  • @HalimaHuseni
    @HalimaHuseni 11 หลายเดือนก่อน

    Nice story ❤❤❤

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 4 ปีที่แล้ว +3

    Bongofasta mmetishaaa sana

  • @marcowawaghufa8197
    @marcowawaghufa8197 4 ปีที่แล้ว +4

    Hasa maajabu gani haya mbona vitu vya kawaida sanaaa
    Hasa hilo la Chui,mifupa,mamba,bunduki,,mabomu,,suala la kuzkwa kwa gari ni kawaida pia
    Alfu kwann yote ni ya wazungu ebu jarbu kutafuta maajabu ya Africa

  • @hapi6113
    @hapi6113 4 ปีที่แล้ว +10

    Bongo mtu aokote hela apige simu polisi 😂😂😂😂😂

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว +1

      Weeee sema ilishwahitokea enzi za uhujumu uchumi azimio lá arusha watu walitupa saana pesa uliza utaambiwa

    • @ramaccr7525
      @ramaccr7525 4 ปีที่แล้ว

      Happy Nehemiah 😂😂 akuna

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +4

    This is what I want❤.

  • @vagashappnecy4850
    @vagashappnecy4850 4 ปีที่แล้ว +5

    Sawaaa

  • @amanikante189
    @amanikante189 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @T19-m6w
    @T19-m6w 4 ปีที่แล้ว +9

    Duh, namshukuru Mungu kuwa miongoni mwa wakwanza kukoment

  • @danieljuma9777
    @danieljuma9777 4 ปีที่แล้ว

    OK

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @moseskaranja2111
    @moseskaranja2111 4 ปีที่แล้ว

    Wow nice

  • @johnbernard6294
    @johnbernard6294 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo sio Chui uongo

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali 🍷🙌

  • @SalhiyaBakar-fy2cn
    @SalhiyaBakar-fy2cn ปีที่แล้ว

    Hizo pesa zenye laana mi nazitaka sana, siziachi ngoo,tutajuana mbele

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 ปีที่แล้ว

    i like this history

  • @peacebuda2497
    @peacebuda2497 4 ปีที่แล้ว +8

    Mzikwe na magali bongo tutafukua siku iyo iyo

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +2

    Safiiiiiii Sana

    • @hadhyaabdull2298
      @hadhyaabdull2298 4 ปีที่แล้ว

      Nataka story ya firauni tokea uhai wake hadi anakufa

  • @beatsbywesternshaa1023
    @beatsbywesternshaa1023 4 ปีที่แล้ว +3

    BONGO FASTA izi ndio habari ulikua unafaa kutuletea

  • @premierjoseph9871
    @premierjoseph9871 4 ปีที่แล้ว +4

    Tuletee story ya watu wenye Akili Na Ubunifu mkubwa Duniani Kama Einstein na Wengine...Jaribu kuona ubunifu wa Alux You tube channel ....Lakini Mnajitahidi sana ..Muongeze ubunifubzaidi ongeza hata...BONUS baada ya simulizi .

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +3

      Asante kwa mchango wako,nitafanyia kazi kila ulichonishauri.asante sana.

  • @fundimudy6325
    @fundimudy6325 4 ปีที่แล้ว +2

    Iko vizuli sana hii stoli

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 3 ปีที่แล้ว

    Kelele za ndg....

  • @mahmoudomar7711
    @mahmoudomar7711 4 ปีที่แล้ว +1

    eti mmhh....😄😚😚😄😄

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 4 ปีที่แล้ว +3

    Ingekuwa kwetu hizo pesa angepigwa na Polisi bila kisubilishwa

  • @barakamsyaliha1909
    @barakamsyaliha1909 4 ปีที่แล้ว +1

    Ohoooo

  • @kinyippalta9598
    @kinyippalta9598 4 ปีที่แล้ว +3

    Dingiii nakuelewa Sana

  • @Craytos_Baraka
    @Craytos_Baraka 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah kwelly yote ni maajabu 2

  • @seifahmed1580
    @seifahmed1580 4 ปีที่แล้ว +2

    🙏💯

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 ปีที่แล้ว

    Unajua kuadisia history na kuongea kwa rafudhi nzuli Kaka, enderea kupambana

  • @josephlotto996
    @josephlotto996 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyo wa hela ni balaaa

  • @jacobndamayape9462
    @jacobndamayape9462 4 ปีที่แล้ว +4

    Mmmu kweli ni maajabu,Lakin pia Marekan kuiomba China msaada nayo ni maajabu.

  • @calvintheone299
    @calvintheone299 4 ปีที่แล้ว +1

    Tupo pamoja

  • @davidindimu1745
    @davidindimu1745 4 ปีที่แล้ว +3

    Siri ya corona

  • @ZantosTvTanzania
    @ZantosTvTanzania 4 ปีที่แล้ว +1

    Dooooo

  • @tanzaniawildlifeprideoftan5070
    @tanzaniawildlifeprideoftan5070 4 ปีที่แล้ว

    tuleteee stor ya genaral ididi

  • @bonifacelukavilo6430
    @bonifacelukavilo6430 4 ปีที่แล้ว

    Wizi wa kura inchini kenya

  • @idrisaiddy
    @idrisaiddy 4 ปีที่แล้ว +1

    Vya kawaida tu

  • @mwanaafrika_tz
    @mwanaafrika_tz 4 ปีที่แล้ว

    Twambiye habari za mauzedon wa China

  • @hussyussful
    @hussyussful 4 ปีที่แล้ว

    Picha ya kwanza duniani video ys kwanza duniani binadamu aliyevaa nguo wa kwanza duniani nchi gani ya mwanza iliyojengeka duniani kabla ya nchi zote

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 4 ปีที่แล้ว

    Fala sana kupeleka pesa polisi

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Hahaha aliogopa zisije kuwa zimeibiwa bank au tukio la mauwaji akaunganishwa.

  • @benedictlisakafu332
    @benedictlisakafu332 4 ปีที่แล้ว

    poaa

  • @emmantv9544
    @emmantv9544 4 ปีที่แล้ว

    Mambo kuhusu youtube

  • @feysalramadhan8541
    @feysalramadhan8541 4 ปีที่แล้ว

    Huna jipya

  • @danieljuma9777
    @danieljuma9777 4 ปีที่แล้ว

    OK

  • @hapi6113
    @hapi6113 4 ปีที่แล้ว +5

    Bongo mtu aokote hela apige simu polisi 😂😂😂😂😂