WALIOKAMATWA CHINA! Hukumu ya 'Kunyongwa' Yawaliza Wengi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 270

  • @nsaovicentmkumbo2173
    @nsaovicentmkumbo2173 7 ปีที่แล้ว +2

    Bibi, babu, na ndg wote. Mleeni mtoto katika maadili ya kumpenda Mungu. Afanye kazi kwa nguvu zake, asitamani vya mkato. Yasije yakamkuta yaliyowapata wazazi wake. Na Mungu naye hutoa mafunzo kwa namna nyingi. Hivyo ni sisi kulichukua hilo na kumshukuru yeye.

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 11 หลายเดือนก่อน +2

    😢

  • @ambroceharouna1612
    @ambroceharouna1612 ปีที่แล้ว

    Tamaa mbayaaa

  • @karembojoan9732
    @karembojoan9732 7 ปีที่แล้ว +7

    Shukuru kwa kidogo ambacho Mungu amekupa cha halali, unapo mshukuru ana kuzidizia

    • @Vivi-dx2xv
      @Vivi-dx2xv 5 ปีที่แล้ว

      Raisi magufuri kawachukuwe watuwako uwaukumu mwenyewe

    • @lisajackson5867
      @lisajackson5867 4 ปีที่แล้ว

      kabs my

  • @subiramohd885
    @subiramohd885 7 ปีที่แล้ว +3

    khery Nife masikini kulikon Balaa Hilo.Mh Mungu Awasimamie Wasinyongwe

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 ปีที่แล้ว +3

    Nchi iwarudishe wahukumiwe huku km inawezekana jmn

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 5 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaa polen sana

  • @hadiaabdallah6916
    @hadiaabdallah6916 7 ปีที่แล้ว

    Tamaa mbaya

  • @frankphilibet3127
    @frankphilibet3127 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sanaa

  • @basilisamsaka1221
    @basilisamsaka1221 6 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana!inauma sana!

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 6 ปีที่แล้ว

    poleni

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu

  • @mejumaabaraza8020
    @mejumaabaraza8020 7 ปีที่แล้ว

    Tamaa mbaya mungu awalaze pema peponi ishaallah

  • @sharifachacha978
    @sharifachacha978 5 ปีที่แล้ว

    polen

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 4 ปีที่แล้ว

    Jamani

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 4 ปีที่แล้ว +1

    Waliyataka Wanatumika Kusafirisha madawa ya Watu na Ndicho kilimpata Masogange!

  • @NelsonMwaipaja
    @NelsonMwaipaja 10 วันที่ผ่านมา

    Usiombe likukute tuwaombee tu maana mtoto wa mwenzio ni rahisi kumwita kichaaa ila mwanao huwezi kumwita hivyo,😭😭😭😭😭

  • @zainabvancampszainabvancam3275
    @zainabvancampszainabvancam3275 7 ปีที่แล้ว +3

    iyo inaitwa ajari kazini mungu amkuze mtoto wa taifa vyema

  • @janekimaro7952
    @janekimaro7952 7 ปีที่แล้ว +7

    Jamani, Eeh Mungu uliumba dunia na vyote vikaavyo ila ona sasa maamuzi mabovu yanasababisha mtoto kubaki Yatima.

  • @flownluvanda5263
    @flownluvanda5263 6 ปีที่แล้ว +1

    Jaman

  • @saidajuma8584
    @saidajuma8584 7 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭inauma jmn kunyongwa daaa kikubwa watubu2 kabla ya azabu hiyo Mungu ni mwingi wa rehema atawasamehe daaa Mungu takasa vizazi vyetu cjui mimi ntakuja kuzaa watoto wa aina gani kwahy cwez kusema wakome ila2 Mungu atoe hukumu yake mwenyewe😭😭🙏🙏

    • @jahmjah9306
      @jahmjah9306 7 ปีที่แล้ว

      kwa iyo ww unaona sawa walicho kifanya awoo watanzania wenzako kubeba madawa kuingia ktk nchi ya watu wahache wanyongwe

  • @suroman5840
    @suroman5840 7 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah jmani tuache tamaa

  • @aishanjama8557
    @aishanjama8557 7 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watu wako ktk wakati mgumu kwao wamlilie mungu watubu wache mungu ni wa rehema nyingi sana yote yana wezekana kwa mungu

  • @saidibakari3440
    @saidibakari3440 7 ปีที่แล้ว

    Powa sana

  • @meksonyjoseph8909
    @meksonyjoseph8909 7 ปีที่แล้ว

    ajali kazini

  • @gracestanford9642
    @gracestanford9642 7 ปีที่แล้ว +2

    Daaa inasikitisha sana

  • @angelntandu4648
    @angelntandu4648 5 ปีที่แล้ว

    Inaumiza sana

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 5 ปีที่แล้ว

    Tamaa Mbele.......Mauti nyuma.
    Tumkumbuke Mwenyezi Mungu na kufuata maelekezo yake na amri zake katika maisha yetu ili kujiepusha na mambo kama haya.

  • @michaelmchodo6892
    @michaelmchodo6892 7 ปีที่แล้ว +1

    tamaa mbaya

  • @emmanuelrichahd4236
    @emmanuelrichahd4236 7 ปีที่แล้ว

    wanapendana sana wanakufa pamoja wanaenda moton pamoja hongeren

    • @jamillahmansoory3652
      @jamillahmansoory3652 7 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Richahd mapenzi ya kijinga hakuna hata mwenye akili yakumwambia mwenzake usifanye hivo c vizuri sssa wanajutia tamaa zao

    • @emmanuelrichahd4236
      @emmanuelrichahd4236 7 ปีที่แล้ว

      wajinga wanatuona cc wajinga tukipata buku sawa tukikosa sawa

    • @mamysaadkhamees4713
      @mamysaadkhamees4713 7 ปีที่แล้ว +1

      Emmanuel Richahd adhabu ya moto ni mungu ndie ajuae ww huwezi kuhukumu wakwenda motoni au peponi..pengine dakika yao ya mwisho walitubia dhambi zao na mungu akawasamehe kwani ni mwingi wa huruma kwa binadamu wake ikawa ndio sababu ya wao kuingia peponi.

  • @mohammedmhina3973
    @mohammedmhina3973 4 ปีที่แล้ว

    Hv bado wapo hai au washanyongwa?

  • @joshuansemwa5562
    @joshuansemwa5562 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah inaonekana wengefanikiwa wengekuwa madon 129Hatar yote Tamaatu alafu mwanamke ndy kameza nyingi duh

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 ปีที่แล้ว

    nyonga wao

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 7 ปีที่แล้ว

    Duuu. .poleni

  • @mammyyassie7322
    @mammyyassie7322 6 ปีที่แล้ว +8

    WALISHA NYONGWA HAWA ZAMANI. SO SAD

  • @ambroceharouna1612
    @ambroceharouna1612 ปีที่แล้ว

    Dah Pesa hizi

  • @hussensalumu5495
    @hussensalumu5495 7 ปีที่แล้ว

    Duh tumuombe mungu tu

  • @latifaayoub5750
    @latifaayoub5750 7 ปีที่แล้ว +20

    TUFANYE KAZI TUACHE TAMAA YAKUTAKA UTAJIRI WAHARAKA JAMANI ONA SASA MTOTO AMEBAKI MKIWA JAMANI😢😢😢

    • @zainabvancampszainabvancam3275
      @zainabvancampszainabvancam3275 7 ปีที่แล้ว

      Latifa Ayoub inauma sana

    • @siwemachilongola9379
      @siwemachilongola9379 7 ปีที่แล้ว

      hivi kutangazwa kote huku bado watu wanaendelea na haya mambo? jamani tusifanye mambo kwa kujaribu

    • @latifaayoub5750
      @latifaayoub5750 7 ปีที่แล้ว

      Zainab Van Camps Zainab Van Campes inauma kwakweli yani

    • @latifaayoub5750
      @latifaayoub5750 7 ปีที่แล้ว

      Siwema Chilongola Tatizo tamaa zakutaka kuishi maisha mazuri

    • @latifaayoub5750
      @latifaayoub5750 6 ปีที่แล้ว

      Zainab Van Camps Zainab Van Campes kwakweli jamani kah😢

  • @rajabjumanne6642
    @rajabjumanne6642 7 ปีที่แล้ว

    polen jaman

  • @rahimarajab4306
    @rahimarajab4306 7 ปีที่แล้ว

    Taamaa sio mzuri

  • @chuokigumu2242
    @chuokigumu2242 7 ปีที่แล้ว +1

    Am speechless 😭😭😭😭

  • @mirriam.mwangangi4614
    @mirriam.mwangangi4614 7 ปีที่แล้ว

    N baya ii jaman.bt nfuzo kwa wegn mtakula jasho yenu vzr sasa.tamaa c zur.walijuwa wakiabiana wakitoboa kuuza n mamilionea kube do mwisho wao.

  • @theresialfredybugalama5850
    @theresialfredybugalama5850 6 ปีที่แล้ว +1

    inauma jamani binadamu kunyongwa duh

  • @sharifachacha978
    @sharifachacha978 5 ปีที่แล้ว +1

    daaar!!

  • @marymarwa8428
    @marymarwa8428 7 ปีที่แล้ว

    Mmmmh! Ni balaaa sana hili

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว

    Sukuma ndani hao walizoea mteremko na huenda siyo mara ya kwanza wana uzoefu hata kwa mtazamo wao mtoto atalelewa na serekali

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 4 ปีที่แล้ว

    Daaah subuhana

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 4 ปีที่แล้ว

    Jamaniiii mbon shid jamani

  • @severinmalisa200
    @severinmalisa200 7 ปีที่แล้ว +1

    Dah kwa hapa tz hawajulikani
    😁😁😁

  • @abuuyusra3920
    @abuuyusra3920 7 ปีที่แล้ว +2

    Duh noumaaaaaaa

  • @emmanueledward3790
    @emmanueledward3790 7 ปีที่แล้ว

    Wamnyonge mmoja na mmoja wamrudishe kwaajili ya mtoto, ni mbaya sana mtotonkuwa yatima jaman.

  • @sweetyfaridahsweety8700
    @sweetyfaridahsweety8700 7 ปีที่แล้ว +1

    SubhanAllah

  • @ednajeremiah8671
    @ednajeremiah8671 4 ปีที่แล้ว

    Acha nife masikini

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 4 ปีที่แล้ว

    Nikatika harakat za utaftaji Mungu awalaze mahala pema peponi

  • @MdArif-or9um
    @MdArif-or9um 7 ปีที่แล้ว

    Dah....tupambane nahali zetu...jmn tusifanye mchezo na nchi zawatu dah..

  • @siznic2156
    @siznic2156 7 ปีที่แล้ว +1

    huzuni kwa mtoto jamani😭😭😭

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 7 ปีที่แล้ว +1

    maskn mtoto jamani namwonea huruma mimi😭😭😭

  • @allymohamedmkiwa284
    @allymohamedmkiwa284 7 ปีที่แล้ว +3

    Masikitiko yangu ni huyu mtoto.

  • @halimakuju6076
    @halimakuju6076 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtt kamwe hatasahau kuondokana mawazazi harafu kurudi nyumbani nawatu back

  • @hadijashabani2686
    @hadijashabani2686 7 ปีที่แล้ว +1

    SubuhanAllah😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Bola kipato cha halari ni her maskin aliye hai kurko tajir aliyekufa😥😥

  • @khadijaarkam5701
    @khadijaarkam5701 7 ปีที่แล้ว

    Duuuuh mtihani kweli

  • @JesusChristSaves4ever
    @JesusChristSaves4ever 7 ปีที่แล้ว

    Tamaa ya pesa za haraka......Tena madawa ya kulevia yadhuru maisha ya viijana wetu....IWE NI FUNZO KWA WENGINE WENYE WAKO NA PLAN YA KUTAFUTA PESA ZA HARAKA,,,,pole kwa familia.

  • @alhamdulilhanybodyhave8755
    @alhamdulilhanybodyhave8755 7 ปีที่แล้ว

    Inaum

  • @shanisaidy5033
    @shanisaidy5033 7 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 5 ปีที่แล้ว +1

    Ajali kazini hyo tamaa zautajiri zinatuponza wanawake wote Dunia😭😭

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 2 หลายเดือนก่อน

    China wapo vzr saana na hayo ndio malipo Yao make ni wauaji walitaka kutuletea hayo madawa kuwamaliza watanzania

  • @huldajoseph556
    @huldajoseph556 4 ปีที่แล้ว

    WANAVAA VZR KWAKUHARBU MAISHA YA WATU...NABADO NYONGA VZR WOTE MTAKAO WAKAMATA.

  • @michaelmathew8309
    @michaelmathew8309 6 ปีที่แล้ว

    Ata mi nashangaa kuwa kwani waliwezaje kupita katika uwanja wetu wa ndege? Yaan sisi ni wazembe sana

  • @babavivianmwamkinga1986
    @babavivianmwamkinga1986 5 ปีที่แล้ว

    Pia nifundisho kwawengine tulio kuwa tunanyemelea hii biasha

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว

    ila watz wengi munapenda utajir wa haraka haraka ndiy matokeo yake ayo japo jambo la kunyongwa sisapot ata kidogo maan Allah ajaruhusu mtu auwe mtu mwezake piya madawa siruhus maan kitu chocht chen urevi ndan yake Allah amekataza vikal san

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 9 หลายเดือนก่อน

    Italiza wengi kwa lipi kama nisheria ifatwe nimakusudi kwani ndio useme waliza wengi

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 7 ปีที่แล้ว

    Jamani bora huko kufungwa mara 10000000 ila kunyongwa yani kufa kujiona ni jambo la uchungu kwa kweli khaaaaa! Nimetosheka na maisha nlijaliwa nayo ila siezi kuingia na tamaa za kidunia nitake kushindana na waliojuu yangu kimafanikio kati hata sjui wamepitia njia gani hadi wakafaulu.

    • @ambrosonesmo9281
      @ambrosonesmo9281 7 ปีที่แล้ว

      duh!

    • @fatumachasama6284
      @fatumachasama6284 7 ปีที่แล้ว

      Unajua wao wenyewe kitendo cha kumeza hizo pic 82, na 47, tayari wamekubali kuhatarisha hata maisha yao ! Japo kifo cha kuona kinaumiza hisia sn za sisi wasikilizaji hata wao ! Na ni sheria ya hiyo nchi kunyoga basi wajikabidhi tu Mungu na tuone ni fundisho kwa vizazi.

  • @nirmaladavid8861
    @nirmaladavid8861 7 ปีที่แล้ว

    Magufuli 😂😂😂waokoe watanzania wasinyongwe afadhali wafungwe kwa inchi yako

  • @joharintandu7567
    @joharintandu7567 7 ปีที่แล้ว

    jaman c wawasamehe to wawafunge hta kifungo cha maisha jaman

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 5 ปีที่แล้ว

    Awata nyongwa mungu yupo

    • @davieed1427
      @davieed1427 5 ปีที่แล้ว

      Washakufa na wameoza

  • @africandefined
    @africandefined 4 ปีที่แล้ว

    Hawa Watu Hawakomi Kufanya Biashara Za Kipuuzi Ona Jinsi Mtoto Anavyokuwa Bila Wazazi.

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 7 ปีที่แล้ว

    hii ndo hasara ya kutaka utajiri wa haraka na kutojituma kihalali mungu awape subra wanafamilia na pili inaonesha wazi kua uangalifu haupo sawa airport alipitaje mpaka akakamatwe uko

  • @abdulazizimohd2682
    @abdulazizimohd2682 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi sina huruma nao kama wamekutwa na makosa kweli basi waache wanyongwe tu mimi Sina huruma nao kwani wao ni wauwaji tena washateketeza watu wengi sana, za mwizi arubaini arubaini yao imefika, Mungu wafedheheshe wanaotuharibia vijana wetu wote

    • @AgnesEphraim-jw6dv
      @AgnesEphraim-jw6dv หลายเดือนก่อน

      Wewe unatofauti na watekaji mbona wachina wapi Tanzania

  • @portinagodson6694
    @portinagodson6694 5 ปีที่แล้ว +2

    NATAMANI KUJUA MTOTO UNAENDELEAJE JAMANI😭

  • @sarahkarimi5390
    @sarahkarimi5390 6 ปีที่แล้ว +2

    Jamani embassy tz do something about it

  • @hajiramadhan7006
    @hajiramadhan7006 7 ปีที่แล้ว

    Wanywongwe tu ni sawa

  • @mafinamaizez2514
    @mafinamaizez2514 7 ปีที่แล้ว

    Huruma sana kwa mtoto maskini atakuwa na kuona mambo ya wazazi jinsi walivyopoteza uhai kwa ajiri ya madawa na ni bado wazazi wenyewe wadogo tu

  • @PFD123
    @PFD123 7 ปีที่แล้ว

    Wangewapa msamaha mmoja wao.. Alafu wawaulize wenyew nani anyongwe mwingine arudi akakae na mtoto ili tugundue kama kweli na wenyew walikuwa wanapendana apo kila mmoja angesema mmnyonge uyu alikuwa amlei vizuri mtoto

    • @yohanakigalu9548
      @yohanakigalu9548 6 ปีที่แล้ว

      Daa kwelimshahara Wa Zambia ni mauti eemungu wahulumiewatuhawa

  • @violetstacy308
    @violetstacy308 6 ปีที่แล้ว

    Jamani msiwanyonge mwachie mungu

  • @genevivermambo4000
    @genevivermambo4000 7 ปีที่แล้ว

    jaman bora kidogo cha halali na Mungu atakibariki

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 ปีที่แล้ว +9

    Utajiri wa kulazimisha nao unataabu yake. Sikuzote sheteni ni mwongo , ujue ikosikulazima atakuacha kwenye mataa.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 ปีที่แล้ว

    Ooh my God, Na kama asharegeshwa pana usalama hapo.Mungu saidia

  • @kake_alicios7620
    @kake_alicios7620 7 ปีที่แล้ว

    Inauma lakini

  • @momylaviel
    @momylaviel 6 หลายเดือนก่อน

    Japo mtoto ni mdogo ila akikua akajua kuhusu hiliii ataumiaaa sanaaa aseee

  • @saveragomo6896
    @saveragomo6896 7 ปีที่แล้ว

    mmmmmh mbna inatisha

  • @dullyprinc7886
    @dullyprinc7886 7 ปีที่แล้ว

    mung Wang amjifunzi tu ata kwa yule mdada mpaka Leo kweli MTT ndo huruma sana wasiwanyonge jaman bora wawafunge kidogo

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 5 ปีที่แล้ว

    Hakuna asiyejua uchina madawa yakulevya ukipatikana nayo nikifo Sasa hawa nimwiba wakujidunga wenyewe hawambiwi pole

  • @msalikemedia
    @msalikemedia 4 ปีที่แล้ว

    Daah😭😭

  • @winifridajames3387
    @winifridajames3387 6 ปีที่แล้ว

    kunyongwa duh

  • @abrahmanwajihame9694
    @abrahmanwajihame9694 7 ปีที่แล้ว

    mbona mnakurupuka kutoa taarifa hawa watu wamenyongwa au jela maisha

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 5 ปีที่แล้ว +2

    Wote walikuwa wamebeba hivyo vitu sheria ya China iko wazi usilete hiyo kitu nchi hii kuwa na imani nakidogo ulichonacho fanya kazi ya halali namwonea huruma mtoto

  • @freemasonkingdom2847
    @freemasonkingdom2847 7 ปีที่แล้ว

    Daah inauma

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 7 ปีที่แล้ว

    Mmh mtihani huu jamani