MTANZANIA ALIYE FUNGWA MIAKA 10 NCHINI IRAN ASIMULIA MAZITO / VIFO SINDANO YA SUMU /PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 248

  • @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
    @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE  9 หลายเดือนก่อน +3

    th-cam.com/video/eLlfp_mgRik/w-d-xo.html
    👆👆👆👆
    SEHEMU YA 2

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 9 หลายเดือนก่อน +8

    Hii story mzuri Rakini Unababaika kuelezea vizuri mimi nimekamatwa tafutani border iran na Turk shukulu kutoka wairani sio watu wazuri 🙏👍✊🇹🇿🇬🇷

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ana babaika coz aliye takiwa kumuongoza vzr ni mtangazaji lakini mtangazaji anamuacha asimulie yey kma yey ni vigumu kwa sabb hana uzoefu. Ila mtangazaji ukiwa unamuhoji hatua kwa hatua kuna wakati stori hta kma ilikua fupi lakini unajikuta inapatikana stori nyingine ya kuvutia bila kutegemea. Anaye kwambia ukweli ndo rafiki ili urekebishe anaye kusifia wakt unakosea huyo ni adui

    • @typhonesapali9054
      @typhonesapali9054 9 หลายเดือนก่อน +2

      Nakubaliana na wewe huyu mtangazaji hana uzoefu wa kumhoji mtu

    • @Inukanaalmasipodcast
      @Inukanaalmasipodcast 9 หลายเดือนก่อน

      Sio Mtangazaji tu ukweli mwingi unafichwa au anaona jau kuzungumza biashara alioendea,dhahaabu haitoki Iran kuja bongo hahhahaha

    • @Inukanaalmasipodcast
      @Inukanaalmasipodcast 9 หลายเดือนก่อน

      Ila namkubali sana mwamba mpambanaji

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 9 หลายเดือนก่อน

      Mambo ya ngada😂anashindwa kunyoosha maelezo​@@Inukanaalmasipodcast

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 9 หลายเดือนก่อน +8

    Pole Sana Kaka Yangu Na Mungu Akubariki.

  • @umfarooqjumbe1702
    @umfarooqjumbe1702 9 หลายเดือนก่อน +6

    Duh jaman pole kaka' ingekua tz angetoka kesha zeeka

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka yangu kweli dhahabu uifate inani siokwel8 ungesema kongo hapo sawa irani jamani irani inajulikana afughani stan pakistan meksico nchihizi zinajulikana bro sema kweli tu

  • @augustinomasigo268
    @augustinomasigo268 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hujui kuhoji kwa mpangilio mzee

  • @shegiahuseinshegia9008
    @shegiahuseinshegia9008 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole ndugu,,waase vijana wasithubutu kupeleka mihafarati kwenye nchi ya kiislam.

    • @revocatuspaulo6716
      @revocatuspaulo6716 9 หลายเดือนก่อน

      Ndo wanaongoja kulamadwa makuma tyu hao lifia dini ww

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ashukuru Mungu katoka mzima, huko iran watu wanahukumiwa kifo kwa makosa madogo hiyo nchi hata kwenda kutembea tu siwezi

    • @hamynas
      @hamynas 9 หลายเดือนก่อน +1

      si kweli...kama umeenda kwa shughuli za kihalali hawana tatizo lolote na wewe ,,,ukileta mibangi yako na ukora wako kuua au kubaka watu na kubeba miunga yako kifo kitakuhusu na ni fair punishment

    • @MonicaAgapitiBruno
      @MonicaAgapitiBruno 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂Kweli ndiyo kama una vielelezo yako yako maharuhu visa yako Aina Shida wala Akuna tatizo Sema ndo ivyo izi nchi maneno mengi lkn mbona tupo tunaishi tu kiroho Safi ✅🙏🙏​@@hamynas

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 9 หลายเดือนก่อน

      @@hamynas kuna watu wamenyongwa huko iran kisa kuandamana pia hiyo nchi haina haki za wanawake sababu wanawake wakitetea haki zao wanafungwa wanawake wengi wamefungwa jela kisa kutetea haki zao

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 9 หลายเดือนก่อน

      @@hamynas iran na uturuki inaongoza mauaji ya wanawake mahusuano na ndoa zikiisha wanaume wanaua wenza wao wa zamani

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 9 หลายเดือนก่อน

      @@hamynas huko waandishi wanauliwa sana na waandishi sio waarifu, kuna mswid mmoja alienda kutembea iran walimkamata sasa hivi yuko gerezani eti walifikiri katumwa kuchunguza nchi yao na amehukumiwa kifungo cha kifo sasa hivi huko iran kuna waswid wawili wamehukumiwa kifungo cha kifo iran na Sweden haina ushirikiano ndiyo maana waswid huko iran wanakamatwa makusudi na kubambikiziwa kesi, mimi nikiwa naishi Sweden na ni raia wa Sweden siwezi kutembelea inchi ya iran

  • @venancebanda291
    @venancebanda291 9 หลายเดือนก่อน +12

    Interview haijitoshelezi tunapoteza muda na mb kuisikiliza ovyo

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sanaa mwenyezi mungu awafanyie wepesi kule anakufa wewe ulikuwa na mungu kunyongwa kawaida sanaa

  • @africalumpu1166
    @africalumpu1166 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ngada walikuletea sio unajua ukitaka kutoa stori yako kuwa muwazi ili watu wakuelewe sio unaajing'atang'ata haueleweki unachokiongelea.

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 9 หลายเดือนก่อน +3

    Dhahabu au madawa si aseme tu

  • @FarajaZambiawaka
    @FarajaZambiawaka 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna ukweli hapo kwenye kosa nahis ni madawa ya kulevya hapo

  • @myself4128
    @myself4128 9 หลายเดือนก่อน +6

    Serikali zetu za Africa Hazijali watu wao,ukishikwa Nje ubalozi wako unatakiwa ufahamu na wanatakiww wafuatilie kuhakikisha wanaitaarifu familia yako na pia Mfungwa ana haki zake,kuchomwa Sindano Ya Sumu sio Hukumu halali bali Unyama tu na wanatudharau sana washenzi hao

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe uliyeenda nchi hiyo ndiyo unatakiwa uutafute Ubalozi ili wajue uko pale na Una-sign,ukienda kimipango huwa unajificha maana twajuana.
      Huyu jamaa kaongea mengi ila kaficha mengi..kipindi hicho kaenda kuna mfereji wa madawa ya heroin yanatoka Pakistan na Afghanistan,wanakaa nayo pale na kuangalia jinsi ya kuvusha,Iran ukitoka nayo na ukafika nchi uendayo hudhaniwi vibaya kwa sababu hayazalishwi Iran na sheria zao kali.Mchizi alienda kubeba pecking(kufungasha) na siyo kumeza(tank).Pia alikuwa na uelewa mdogo wa mambo kiasi hata hapo anashindwa kuelezea kuwa Iran wanafuata madhehebu ya Shia Ithnaasheri tofauti ya wao wanatoka kwenye Sunni ambayo hawapatani na Wanamfuata Hussein(mjukuu wa Muhamad kwa mdogo wake Seyyidna Ali aliyemuoa Mwanaye Fatma bint Muhamad na kuwazaa Hussein na Hassan..sasa Hussein alikufa kifo cha kuteswa na wapinzani (Sunn)i ndiyo sababu hiyo sehemu ya hijja yao huuita Mash-had(mashahidi) hivyo huenda pale huku wakijijeruhi ili watoke damu nyingi na ikitokea wanakufa basi peponi(jennah) ni mali yao...Na mshikaji huyu mpk anaondoka .ni wazi alishakuwa anatumia hizo dawa nina uhakika kabisa.Angeongea ukweli angesaidia watu juu ya adha aliyoipitia mfano kwenda kupandia ndege Kenya ni sababu tyr walijua Airport zetu wangewabana maswali lukuki na kuwabama wasingesafiri.Wale Airport ya kule mpk wanashituka kuona passport ya Tz ni kwamba walishawakamata kabla yao na Tz wanafuata U-Sunni...Mimi ni Mkristo ninapekea Dini mbalimbali na mitazamo yao kwetu.

    • @TashwillKaroolse
      @TashwillKaroolse 9 หลายเดือนก่อน

      Wanawezaje kukupa ushirikiano ikiwa hawana taarifa zako?
      Ni jambo baya na ukatili ila ili upewe ushirikiano unapaswa kutoa taarifa katika Ubalozi wa nchini kwako ili ukipatwa na tatizo lolote waweze kuwa na taarifa zako

    • @nsumburoote2486
      @nsumburoote2486 หลายเดือนก่อน +1

      Iran tanzania hatuna ubalozi

  • @AshaMwidani
    @AshaMwidani 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi nimeshikwa iran nimeka miaka miwili namiezi nane naongea kibiran kama nina hakili mbaya usiombe kaka kisha nchi ya watu una baba wala mama

    • @aboually2472
      @aboually2472 9 หลายเดือนก่อน

      Aisee ulifnyaje

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hi Story Kama Ni Tepu Inayoluka Luka Mwenye Kuoji Na Muojiwa Wote Mambumbumbu Kazaliwa Moro Imekuaje Mpaka Kusafili Na Wazo Ilo Alilipata Wapi Nakama Kwenda Kufanya Biashala Inamana Alikua Na Pesa Alifanya Kazi Gani Kupata Izo Pesa Nakama Kuzamia2 Atoe Ukweli Sitory Feki Hi Aina Cha Kujifunza Chochote

  • @eliasray3212
    @eliasray3212 9 หลายเดือนก่อน +2

    What is this country.....

  • @fredricklumbala5299
    @fredricklumbala5299 9 หลายเดือนก่อน +11

    Hujui kuhoji kabisa bro, kafanye training, huyu jamaa hatujui anaitwa nani, kesi haina maelezo maziri yaani kwa kifupi story haijitoshelezi

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 หลายเดือนก่อน

      KACHUKUE KAZI HIYO KAMA UNAMUDU

  • @alextercisio
    @alextercisio 9 หลายเดือนก่อน +11

    Uliacha bibi akiwa na mimba 15yrs ago alafu ukarudi ukapata mtoi ako 8yrs ?? Wewe akili karukwa huelewi

    • @moseskinyanjui5838
      @moseskinyanjui5838 9 หลายเดือนก่อน +1

      Jela miaka 15 ni Saba na nusu ako sawa

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 9 หลายเดือนก่อน +1

    Vipi bro una oneka mic ina kuchokesha

  • @MgosoGwambasa
    @MgosoGwambasa 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona ajieleza haeleweki alifuata nini? Irani mtangazaji mnakula mb zetu

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน +1

      madawa tu hana jengine hasemi ukweli

  • @LUGOMEMTAMAYAYE
    @LUGOMEMTAMAYAYE 9 หลายเดือนก่อน +8

    Kwani kwanini usiseme ulikutwa na madawa ya kulevya? We unaacha dhahabu Tanzania ukaifate Irani?

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli voo

    • @lugwetunje3896
      @lugwetunje3896 9 หลายเดือนก่อน

      Yes this is an illiterate man who was used to traffic drugs

    • @lugwetunje3896
      @lugwetunje3896 9 หลายเดือนก่อน

      Kijana tafuta mtu wa maana wakuhoji ili upate content ya maana

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nyinyi mnao wafagilia waarabu walimchoma sindano ya sumu

    • @khamisihamadi629
      @khamisihamadi629 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana hao walifanya maovu Mimi naishihuku naijua irani sana. Nitaifa lenye nidhamu sana

    • @khamisihamadi629
      @khamisihamadi629 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ila yeye Ndio alifanyakosa kubwa ndiomaana kujieleza anashindwaa

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 9 หลายเดือนก่อน +1

      hao wote madawa tu halafu unakwenda katika nchi ambayo unajuwa sheria zake hawachukui rushwa unategemea nini

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona usemi sheria za China au Korea kaskszini ukikamatwa na makosa kama hayo

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 9 หลายเดือนก่อน +10

    Uyoo jamaa anaonesha ni muuza madawa ya kulevyaa tu hajuwi hata kujibu anachoulizwaa

    • @zuberiyahya6090
      @zuberiyahya6090 9 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu siunajua maisha ya jelatena

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @Inukanaalmasipodcast
      @Inukanaalmasipodcast 9 หลายเดือนก่อน

      Jiongeze

    • @Abdallaogutu4771
      @Abdallaogutu4771 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 9 หลายเดือนก่อน

      Kabisa sio dhahabu halafu vipi ufiche kaona aibu kusema ukweli irani ufate dhahabu huko machimbo ya madawa irani inajulikana bhana hakuna cha almasi wala dhahabu

  • @Abdallaogutu4771
    @Abdallaogutu4771 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa waliende kwa biashara za magendo maneno yake hayaeleweki 😂😂😂😂

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani Mungu atusaidie na ndg/vizazi vyetu,maelezo ya huyu kk HAYANA UKWELI KABISA na alichoendea huko Iran,unacngizia DINI,wkt c kweli,haihitaji usomi,huyo alienda na yake na akavuna alichofata.

  • @oyay2821
    @oyay2821 9 หลายเดือนก่อน +1

    Husseni huyu wa Zanzibar?

  • @castorymwalongo5122
    @castorymwalongo5122 9 หลายเดือนก่อน +3

    Stor ya uongo kama hii ndo malakwanza kuskilza😮😮😮

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mtanzania eti unaenda kuishi Iran wakati kila siku unasikia Nyonganyonga ya Watu hasa Vijana wasio na hatia. Kuweni vijana kuweni makini mnapoamua kwenda nje Nchi kutafuta maisha😮😮

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc 9 หลายเดือนก่อน

      Maisha mazuri yapo Tanzania.

  • @poulmbogo1770
    @poulmbogo1770 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa hajui hata kuhoji irani alifata nini na kipi kilifany mpk akashikwa kuna sehem kasem kafata mzigo wake ni upe maswal muhim hauliz ovyo

    • @dm_hulsdv86
      @dm_hulsdv86 9 หลายเดือนก่อน

      Kaka wewe hujui kusikilza jamaa si amesema amekwenda kama watu wadini

    • @dm_hulsdv86
      @dm_hulsdv86 9 หลายเดือนก่อน

      Tujifunze kuapreciate tusiwe tunakosoa tuuu

  • @nassoramour8598
    @nassoramour8598 9 หลายเดือนก่อน +2

    Dhahabu Iran? Braza, sikupingi ila Iran ni route kubwa sana ya madawa kutoka Pakistan! Wa Pakistan kila siku wanafungwa kwa kupitisha madawa border ya Iran! Naamini dhahabu unamaanisha madawa ya kulevya!

  • @JuneJune-xf4pc
    @JuneJune-xf4pc 9 หลายเดือนก่อน +4

    Madawa hayo mbona pont haipo hapo, mwandishi mwenyewe anazingua tuu😏😏😏

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน +2

      anajizima data ila tumemuelewa

    • @JuneJune-xf4pc
      @JuneJune-xf4pc 9 หลายเดือนก่อน

      @@sabihaibrahim143 interview ya mchango hiyo anashindwa kumuhoji yaani upuuzi mtupu, hawana lolote wanajuana kwa vilemba ndomana mwandishi hatoboi maneno

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@JuneJune-xf4pc hahahahaaaa naona na miye sikuona faida hapo

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona idadi ya watu gerezani alisema walikuwa 7 wakati kutaja ametaja watu 9?

  • @thesethgenerationtv5630
    @thesethgenerationtv5630 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo huu aliingia je iran huyo mwenzake akiwa muadhirika....alipata visa vipi na zile nchi kuingia lazima medical

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe sema tu ukweli kuwa ni mbeba ngada

  • @HasirIX
    @HasirIX 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hao ni Mashia bhana 😁😁

  • @funnuelmwalukasa4506
    @funnuelmwalukasa4506 9 หลายเดือนก่อน +4

    Pumbavu jamaaa lenyewe Teja ujinga mtupu hamna point hapo

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bhot achaye

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hela ulipata wapi Kwa matembezi hayo?

  • @mwambaimara1950
    @mwambaimara1950 9 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wa dini dini gani hiyo? Unafanya maombi halafu unauawa ndio iimani gani hiyo?

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน

      ee dini ya kuuza unga mungu wake shetani

  • @MarthaAlay-j9j
    @MarthaAlay-j9j 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana kaka mwombe mungu utatoka

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 9 หลายเดือนก่อน +1

    Story mbona aileweki umefungwa kisa nini?

  • @shamzone388
    @shamzone388 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa iran ni nchi iliyoshika dini sana….na hakuna nchi yoyote wanaopiga sindano ya sumu………sema mengine kwa hilo hakuna

    • @NardhisMhagama-sy3eq
      @NardhisMhagama-sy3eq 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mwongo wewe makafiri hao hawana dini wale

    • @ttss7716
      @ttss7716 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ukishikwa na madawa ya julevya ndo bala wengi washia 😢

  • @HarietDana-pb4iy
    @HarietDana-pb4iy 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hata hizi picha zilizo hapa zachela siyeye MTU mwenye ametiwa Pingu uko natatuu

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hakukuwa na dhahabu ni Madawa hayo yaani uache dhahabu Tanzania ufuate Iran

    • @juliana26salvatory72
      @juliana26salvatory72 9 หลายเดือนก่อน

      Hata Kama ni madawa we Ina kuusu nn akili Kama za kuku

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mtangazaji hajui kuhoji na msimulizaji hasemi ukweli ,,, sema alishikwa na usafirishaji wa madawa ya kulevya ,,
    Media nyingine ingemfata tupate ladha ya story yenyewe

    • @juliana26salvatory72
      @juliana26salvatory72 9 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa nyie ma kuku uwongo usinge sikilizia kuku ww

    • @aisharamadhani1948
      @aisharamadhani1948 9 หลายเดือนก่อน

      @@juliana26salvatory72 Bata wahed nikalie kushoto

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashia ao..

  • @judithsimon7892
    @judithsimon7892 9 หลายเดือนก่อน +3

    Story imewekwa password kama simu ya mchepuko huyu alikua kontena akadakwa

  • @King_Of_Recaps_Tz
    @King_Of_Recaps_Tz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna nchi ukienda inabd uwe makini sana pole sana kaka

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 9 หลายเดือนก่อน

      Alibeba madawa huyo

  • @africalumpu1166
    @africalumpu1166 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaha mla ngada huyu maana maelezo yake hayaeleweki

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 หลายเดือนก่อน +1

    HAKUBAHATIKA KUENDELEA NA MASOMO BAADA YA KUHITIMU MSINGI ILA AMEFANIKIWA KUSAFIRI KWENDA IRAN! POLE KWA MASAHIBU

  • @Painterkurwa
    @Painterkurwa 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hii stori imenigusa sana pole sana kaka

    • @sistymbombo1616
      @sistymbombo1616 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hamna mwandishi hapo na huyu ni muongo kwanza hatuelezi pesa walipata wapi

    • @sistymbombo1616
      @sistymbombo1616 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wauza ngada hawa

  • @Ngufuboy
    @Ngufuboy 9 หลายเดือนก่อน +3

    Pole Sana kakaangu

  • @yohanavenance1977
    @yohanavenance1977 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu zao katika imani ila hawawatambui kabisa.

  • @JumaKilipamwambu-kw2ln
    @JumaKilipamwambu-kw2ln 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi niko Zambia ilahapajilani

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 9 หลายเดือนก่อน +3

    Waislam wanatudanganya ooo shia na sunn ni wamoja acheni uongo

  • @ImamshiraziMwidau
    @ImamshiraziMwidau 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bad bakti

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mash-had amezikwa imam wa nane Ally bin musa Redhwa as.katika mfululizo wa maimamu wa kizazi cha bwana mtume swa na waumini wa dini ya kiislamu huenda kuzuru kaburi hilo.Hapo hussein as kaingiaje!

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 9 หลายเดือนก่อน +1

    Interview haijaulizwa maswali mengi muhimu

    • @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE
      @D_CLEFF_GOLDEN_VOICE  9 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/eLlfp_mgRik/w-d-xo.html
      👆👆👆👆
      SEHEMU YA 2

  • @AminaShabani-b9e
    @AminaShabani-b9e 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kifupi nimeelewa sana musioelewa basi nchi zakiarabu zote sheria nikari sana pole kaka jela haina mumoja

    • @mwenieliasa6517
      @mwenieliasa6517 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa yaani hizi nchi za kiarabu mtihani kwa kweli tunaomba mungu tu🙏turudi makwetu salama

  • @rockysultan5874
    @rockysultan5874 9 หลายเดือนก่อน +2

    Why are you showing uk police? And European police?

    • @ngailotony
      @ngailotony 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂 even me I wanted to know about it..😮😅

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 9 หลายเดือนก่อน

      Hahaha ndo udhaifu wa waandishi wetu

    • @rockysultan5874
      @rockysultan5874 9 หลายเดือนก่อน

      @@ngailotony it's all fake brother they add spices

  • @m404msigara7
    @m404msigara7 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ss picha ya bwana jera wa prison break inafanya nn apo

  • @AbdallahSalleh-v2s
    @AbdallahSalleh-v2s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hatuaambii ukweli ila sisi tuna akili zetu huo ni unga alikamatwa nao

  • @DrjosephKingo
    @DrjosephKingo 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu mwenyewe hata kujieleza hajui mlienda kwa maswala ya dini aliyewapeleka ni nani mlifikia wapi mara unasemq ulichofuata wakakuletea ni kitu gani hicho ulifuata???

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 9 หลายเดือนก่อน +1

      A walikuwa wa mchongo u unaenda vio huko ulikosa nchi ya kwenda

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huwa wanakuja namadawa ya kilevyiya na wakishikwa imekula kwao

  • @barikimoshi4443
    @barikimoshi4443 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sio I mean Nairobi, sema you mean Nairobi ndio ulipo ondokea? Cause sio wew liliye ondoka. But ni huyo unae mhoji.

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ulifanya nini huko iran hata ukafungwa

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tunao soma dini ndio tunawajua sana nawana tuaibisha sana kwa tabia zao chafu

  • @DanielAmos-eg7bh
    @DanielAmos-eg7bh 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hyo ni ngada sem kwel ila hat huo ni utaftaj mzee siunajua so kla mtu tajr altoboa kihalal jarbu ten huend ukafankish mzee

  • @kamole3
    @kamole3 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa kuna mangi anaya ficha.

  • @hujjatulasrsocietyoftanzan8420
    @hujjatulasrsocietyoftanzan8420 9 หลายเดือนก่อน +2

    Eti huwezi chukuq dhahqbu za watu bila kibali maarum...😂😂😂😂

  • @thesethgenerationtv5630
    @thesethgenerationtv5630 9 หลายเดือนก่อน

    Waaah ati wanaamini hakuna ukimwi na tena kama wanaamini ivo walimpima je

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona huelezi ulikamatwa kwa kosa gani babu? Wairan ni watu bomba sana ,hawataki upumbavu.

  • @thomasluhumbika9606
    @thomasluhumbika9606 9 หลายเดือนก่อน

    Mlitakiwa kujipanga kwanza ndo muirushe hewani. Story ni nzuri lakini haijulikani mwanzo wala mwisho.

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be 9 หลายเดือนก่อน +1

    Directors wa Banged Up Abroad wakipata story yake tutapata documentary matata

  • @ttss7716
    @ttss7716 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli huko wakikukuta na ukimwi wanakudunga hiyo shindano ya kufa lakini saizi wanaelewa kiasi😢

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 9 หลายเดือนก่อน

      Magonjwa kama ukimwi yapo uku nch za kiafrika tu leo la wazungu kuja kuchukua mali zetu huku wakisema wanaleta misaada ila tunatakiwa tusome sana ili tujue ata vita sio makund ya kiislam ni mpango tu wa watu weupe hakuna dini inayotaka kuua bila sabab ona kwa Gaddafi walivyomuua wanateseka leo alitaka Africa tujitawale wenyew tutumie dola yetu

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mbwana hanaelimu yoyote na anaficha alienda kufanya nini huko

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 9 หลายเดือนก่อน +2

    MWEWE NDO NINI?. ACHA MANENO YA KIJINGA ONGEA KISWAHILI KAMA MTU MZIMA. MWEWE, NWEWE NDO NINI?. WATANZANIA BWANAA.

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna ukweli hapa

  • @MursalLusinde
    @MursalLusinde 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mtangazaji kwani ndo mara yako ya kwanza kufanya interview.? Story kma hizi mtu unaanzia kumuhoji kila kitu kuanzia wazo la kusafir alilitoa wap baada ya wazo aliuktana na nani na kwanin kilitokea nin mpka wakapanga safar.

    • @vicentmapunda3146
      @vicentmapunda3146 9 หลายเดือนก่อน

      Mie ht mtqngazaj simuelew/mara tu baad ya kufk huko ilikuwqje!😅😅😅 aliendaje hatujui chochot token na interview

  • @MRIMIMAKARANGA
    @MRIMIMAKARANGA 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hlo changa

  • @mrajani786
    @mrajani786 9 หลายเดือนก่อน +1

    Cleff madia nyinyi waonga hii picha katika clip hiyosiyo ya jela ya iran hii bandera halafu mashahad hawasemi hussein hakuna mtu anakufa
    Huyu jama ametunga story

  • @fedricksanga7957
    @fedricksanga7957 9 หลายเดือนก่อน +1

    Story za kutengeneza hizoo😂😂

  • @AliAnswarabdul
    @AliAnswarabdul 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tama ilimpoza alitoka magetoni vibaya huyu

  • @ziggertv3185
    @ziggertv3185 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi mbona hujahoji mzigo ganii😮

  • @flowerqq1280
    @flowerqq1280 9 หลายเดือนก่อน +2

    Miaka iyo ndo miaka vijana wengi.walikuwa wanaingia izo nchi kubeba madawa ya kulevya anaficha ukweli

    • @tukumbwikemwakatundu2052
      @tukumbwikemwakatundu2052 9 หลายเดือนก่อน

      Angebeba madaw asingechukua hata wiki mbili angechinjwa..

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wanajua tunachofata ndio mkalelekwahoteli yambali mchelewe. Wawakamate

  • @HarietDana-pb4iy
    @HarietDana-pb4iy 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amechoma huyu eti anasema Mika 15 sasa Mika Kumi nabibi ulimuwacha namimba sasa ukimwi MTU anasifiri kweli

  • @DCLEFF_GOLDEN_VOICE2
    @DCLEFF_GOLDEN_VOICE2 9 หลายเดือนก่อน +2

    Inasikitisha sana pole kaka

  • @alextercisio
    @alextercisio 9 หลายเดือนก่อน +2

    Fungwa kabisa mlaguzi wa madawa za kulevya uza uko kwenu Tz

  • @hamadimwinyi2146
    @hamadimwinyi2146 9 หลายเดือนก่อน +2

    Story nzur lakin ana ruka rukaa

  • @siasia5469
    @siasia5469 9 หลายเดือนก่อน +2

    Gold ukaifuate Iran uilete Bongo!?
    🐠Haya endelea kutupanga

  • @irenebarakelimnene4895
    @irenebarakelimnene4895 9 หลายเดือนก่อน +2

    Umefungwa miaka 10 uliondoka ukamwacha mke ana mimba halafu ukamkuta mtoto miaka 8 mwe.kakanhiyo mwana sio wako

    • @owenog7390
      @owenog7390 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅, mi pia naskia kama story za jaba hizi..hazina hazinani...uongo

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nlichokiendea nikaletewa "

  • @NawazMohamed-n9w
    @NawazMohamed-n9w 9 หลายเดือนก่อน +19

    Ushikwe na madawa yako ya kulevya alafu useme wairani si watu wazuri, ulitakaje wakuchekee na madawa yako alafu ndiyo useme ni watu wazuri, 0%

    • @jotafungo4622
      @jotafungo4622 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kkkk😅

    • @BariisSamatar
      @BariisSamatar 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 9 หลายเดือนก่อน +4

      Wao ndio wanayalima waarabu hawana utu hawana haki za binaadam hawajali binaadam

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 9 หลายเดือนก่อน

      una ushahidi gani kama Iran wanalima madawa ya kulevya?​@@jesusislord9190

  • @WilliamJohn-c4y
    @WilliamJohn-c4y 9 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂 Sio poa

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 26 วันที่ผ่านมา

    Maelezo inaonekana ni uongo anaehojiwa hayuko muwazi, yuko kama anaficha ukweli, hataki kusema ni nyara gani alikamatwa nazo, ameshitakiwa kwanini?

  • @aliwarsame836
    @aliwarsame836 21 วันที่ผ่านมา

    Inchi ya kiarabu zote kazoro somalia na Sudan wanaua mtu kama inaukimwi

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 9 หลายเดือนก่อน +2

    Arabuni uku taxi wote ni askari kama mgeni tatizo

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 9 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa raia mwema unaogopa askar kwann wakat ni usalama kwa raia

  • @mayalakatema2576
    @mayalakatema2576 9 หลายเดือนก่อน +1

    Story Haina kitu yaani washed
    Gari ikufuatilie kwann ? Hukuwa unauza dawa za kulevya kweli ww