Acheni tamaa ndugu zangu.. pigeni kazi mtafanikiwa.. nendeni nje kutafuta masoko ya bidhaa mnazoweza zisafirisha kutoka Tanzania.. Mtatoka achaneni na madawa..!
Jamani ni huruma utajiri mwengine heri ulimie limie mashamba ukule ya shamba! Lakini wachina akuna huruma yeyote je?hao wanzao wanyongwa na sisi wafrika?😑😑😑
Yani awakomi kwann yani kila siku wanasikia au wanaona kwann wanakubali kufanya kazi iyo mbona ss wenzao tunafanya kazi zandani uku Dubai na wengine wapo Oman na wengine tayali tushajenga na tumenunua vigari maisha yanaendelea
Hataa hao wanao uzza dawa zakulevya pia nao miwauaji kwani watoto walo kufa niwengi saana kwa kuuziwa madawa ya kulevya nakuua watoto wa watu kwa kutafuta utajiri wa nguvu. Magufuli kasema kwa kutoa sheria sawasawa . Kwa wahalifu hao. Nikosa kubwa kuuza madawa ya kulevya kwani wameisha potea watoto wangapi.
Inauma Sana kijana kakua vizuri unampa maziwa keki chakula ugali namboga za majani anakuwa vzr lkn wajinga flani wanatafuta pesa kwa tamaa wanauwa vjn kwa kokeni funga nyonga yote sawa
Ooohoo sasa kuzini kwako kunawez kuathiri vijana kumi owa wakat mmoja??ila msafirisha madawa anawez kiathri wat weng sana kwa wakat mmoj...Ss kwel umeshindw kureason kwa nn wazinifu hawanyongw
Rosemary Benjamin sure, wanafanya makosa mungu kwenye amr zake kasema kabisa "USIUE... kwel tunakosea lakin MUNGU kamwe hajaruhusu kuua , Ndo mana viongoz wanaoielewa din na wanaomwogopa MUNGU wanakuaga wazito kutiaga saini kwenye io sheria ya kunyonga,, dah inatisha 😳
Mashishanga umezidi porojo, kwa nini huweki videos zinazoendana na simulizi zako ili simulizi iwe na mshiko? Vinginevyo una sauti nzuri lakini haitusaidii sana
Sheria nzuri sana waturuhusu pia ss wafrika wanyongwe
Hatar kwa kweli
Safi sana
Subhannallah, mtihani sana, mshaambiwa ni haramu biashara hii bado mmekua ndeme.
pole kwake.....mkiambiwa mrudi vijijini kulima hamtaki.sasa upunda wa kubebeshwa madawa mnaona faida yake.
Mm nachukia madawa mm inaskitsha Sana Ila jaman achen
Jamani pole yao adi bindi kiziw
Sheria zuri sana hiyo
Inatisha nini sasa iyo safisana
Inasikitisha nn
Mbona wao awahurumii jamii
Ndio mana m mungu akawanzia Corona hiyo ni roho mbaya wapi m mungu amesema MTU anyongwe
Acha uchoko wazungu ndo wameadhirika zaid na hiyo corona
My God bless mangufuli coz ur not there to support sin and this is the kind of a man we should have in kenta
Sawaa yeye pia waua wato
pollen sana
Mimi naona bora waendelee kunyongwa tu huko huko maana wanatuharibia vijana wetu kwani vijana wa Leo ni taifa LA kesho
Acheni tamaa ndugu zangu.. pigeni kazi mtafanikiwa.. nendeni nje kutafuta masoko ya bidhaa mnazoweza zisafirisha kutoka Tanzania.. Mtatoka achaneni na madawa..!
Daaah bora nifanye hata kazi za ndani kuliko kujiusisha na majanga haya mwenyezi Mungu nisaidie.
Tausi Tausi jiepushe yasikufike dad
Shema Jabiri asante dad
Tausi Tausi kabisa
P👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Jack cliff si angeshatoka tangu zamani au ametoka kimya kimya
Subuhanallah
haitishi that's good hujawaona watoto wetu wakihadhiriwa heri hii sheria ipitishwe huku kwetu.
Wanyongeni tu
Tanzania prezo ur the best
Ajari kazini kama dereva tu anavyopata ajari barabarani
Mtangazaji unajichanganya!
Hakuna kifo cha maisha, kuna kifungo cha maisha.
Asante kwa kunithimuria hila hiyo vidio hip wapi tuwione
Yani inauma
Inasikitisha lakini nao watumalizia ndugu zetu.wacheni tamaa mbaya
Je ni vizuri na kiharibu maisha ya familya za watu hata wao wanao uza pia ni wauaji mwenye kuua au wawe...
Du!
bora afwe mmoja kuliko kutuulia famlia nzime kwa madawa
Nyie waongo mbona Mimi nimefata madawa hong'kong Beijing lakini hawakunikamata
Jamani ni huruma utajiri mwengine heri ulimie limie mashamba ukule ya shamba! Lakini wachina akuna huruma yeyote je?hao wanzao wanyongwa na sisi wafrika?😑😑😑
Nashauri waongezewe kunyongwa
Ugaibuni wanakamatwa na madawa ni wapakistani sio wa Tz
Nae Matonya yuko wapi?
kwann msiache
Yani awakomi kwann yani kila siku wanasikia au wanaona kwann wanakubali kufanya kazi iyo mbona ss wenzao tunafanya kazi zandani uku Dubai na wengine wapo Oman na wengine tayali tushajenga na tumenunua vigari maisha yanaendelea
jomon...jomon...uyo handsome wangu nae mmenyonga duh
Forrow eeh
Hee bint kiziwi
Wasingekuwa wanawanyonga wangekuwa wanawatafuta wario watuma ndio wanastairi kunyongwa
Haisikitishi inasikitisha ndugu zetu wanavyozidi kuathirika na unga
Vipi kuhusu Canal Top wa Akudo alishanyongwa?
Mashishanga ni jina la mwanaada au mdudu?
kama ipo ipo tu mambo ambayo hayampendez hata mwenyezi mungu tuachane nayo turidhike na vipato vyetu
Ili wapate fundisho
Nyonga mmezidi
Kwa nn au mchuzii mwekunduuu
Hataa hao wanao uzza dawa zakulevya pia nao miwauaji kwani watoto walo kufa niwengi saana kwa kuuziwa madawa ya kulevya nakuua watoto wa watu kwa kutafuta utajiri wa nguvu. Magufuli kasema kwa kutoa sheria sawasawa . Kwa wahalifu hao. Nikosa kubwa kuuza madawa ya kulevya kwani wameisha potea watoto wangapi.
Vijana acheni kutafuta utajiri wa haraka kufanya matumbo yenu kuwa makontena ya kubebea madawa ya kulevya mtanyongwa sana China, wachina hawana mchezo
wanyonheni wasije hiku tz
Uwiiiiii naomba atoke Jack cliff😭😭😭😭😭😭
china acheni
Onyesha video huu ni uzushi tu
Gay!!!!!!Oohhh!!! KumbeRais amefurahia watuwakeKunyongwa,, Mh!!!hivihapakwe2 kunasheriayakunyonga,, hukoChina kuna Office ZaKiTz Mbona wasiwape Adhabukulingana naSheria ZanchiZao Nooooo!!! Rais tuletee NduguZetu,,,,
Hey guys
Wanyongw tu maan Hain maan kumlea mhalfu
acha wafe tu poa. mm sina imani nao
kwanini nasisi tusi wafukuze watu weupe
Dah inauma sana ila ndo imeshapangwa Allah nijalie nisiwe na taama hiyo ngoja tu nisugue vyoo kwa waarabu
Haitishi wala haisikitishi, ukizingatia uharibifu unaosababishwa na madawa ya kulevya. China keep it up.
Single Mom a cha.wayogwe
Inauma Sana kijana kakua vizuri unampa maziwa keki chakula ugali namboga za majani anakuwa vzr lkn wajinga flani wanatafuta pesa kwa tamaa wanauwa vjn kwa kokeni funga nyonga yote sawa
kama ni video iwe video kama ni simulizi iwe simulizi
Simulizi ndugu hiyo ni kweli china awana uruma sio tanzania hiyo na kma uwamini testi ndugu ndio utaamini ukweli au ungo
kama ni history za kutunga nenda ww na unga huko china kisha uone kama ni try ok mchezo kamilii.
Oonh my God mbk bint kiziwi🤔🤔
china awana mchezo muraa ni kamba2
Unasema ni video, halafu unaongea tu! Kama ni simulizi sema ni simulizi, na kama ni video sema ni video. Aaaaargh
Onyesha videos tuamini,mnamaliza mb za watu kwa stori za kutunga!!!
Naitwa Majid ss binaadam tunazidi taama Basi tafuta kwa njia nzuri Basi tafuta kwa njia nzuli shauli zenu roho zimatuuma lakini hakuna jinsi
Mbona hamjaonesha hizo vidio? Mnaogopa nini au hamna ushaidi na unachosema ?
Madawa ya kulevya yanatuumiza sote
Plz we need this chain people to come africa to pick them so we can have peace with our kids
Achs niwe house girl
kweli bae ni bora uwe house maid
Ungeonesh wanavyonyogwa ili watu waogope iyo biashara
Simanzi tu wange achana nahiyo biashala haifai
Vuna ulichopanda
Mbna wìzinifu hawanyongwi
Ooohoo sasa kuzini kwako kunawez kuathiri vijana kumi owa wakat mmoja??ila msafirisha madawa anawez kiathri wat weng sana kwa wakat mmoj...Ss kwel umeshindw kureason kwa nn wazinifu hawanyongw
kwani hawajui biashara hiyo ni haramu? wanyongwe kabisa
iddi hamisi mmm
Nawaunga mukono
Acheni ujinga wa kutuletea visivyoendana
Mngeweka hizo video watu waone wajifunze na waache
Ndo tuache jaman..fanya kazi upate pesa hiz shortcuts zitatupoteza
ikbs my
Siend China mm ila iyo dhambi adhab Kali saan Mungu hapend
Rosemary Benjamin sure, wanafanya makosa mungu kwenye amr zake kasema kabisa "USIUE... kwel tunakosea lakin MUNGU kamwe hajaruhusu kuua , Ndo mana viongoz wanaoielewa din na wanaomwogopa MUNGU wanakuaga wazito kutiaga saini kwenye io sheria ya kunyonga,, dah inatisha 😳
joram mwampamba so sad😓😢
wakome
Ivi Jack wa Jux kashatok jmni au
Nikweli nibora mungetuoneshaa hizo video ili nawengine wenye bishara km hizo waingiwe nawogaa nawaachee...
hiyo hedline vipi acheni janjajanja fyuuuuu
Acheni ujinga kichwa cha habari hakiendani na kinachoongelewa
Willam Romward cjapenda hata mm
Mnakera Sana kichwa Cha habar hakiendan na maelezo
Nawao wanavyo ua watoto wa watu kwa kutafuta utajiri wa nguvu
Hsafi sn rais wameyataka tamaa hizo ndio dawa yake
mfyuuu we Catherine kahabi kwanini muongoo ivo
Mashishanga umezidi porojo, kwa nini huweki videos zinazoendana na simulizi zako ili simulizi iwe na mshiko? Vinginevyo una sauti nzuri lakini haitusaidii sana
☠☠☠☠
Ukiwazia madhara ya Unga huwahurumii wakinyongwa
Sasa sijaelewa mimi hapo. Ni kipi kinachotisha? Wao kuuza madawa au kunyongwa? Kwa mimi nadhani wao kuuza madawa ndio kunatisha zaidi.
ndio iwe fundiisho kwa wajinga wengine wanao tamaaa za utajiri wa haraka safi sana na wanyongwe
Shitiiiiiiiiiiii
U can't do anything God created pple
Raisi huyu ana roho mbaya sanaa,kikwete hatuwez kumpata tena ila ni Raisi ambae alikuwa wamfano wake....
Abdul Gingo sana tu
Mshara wa zambi ni mauti
Hakuna kinachosikitisha, acheni China watekeleze sheria zao, hakuna blabla kama Tz
hicho ki the the vipp
afadhali watu wajifunze wanahalibu uma
Ni bora mngetuonesha hizo vdeo angalau iwe ni funzo kwa wengine ambao wanajiunga na hio biashara haramu wakiona hizo vdeo wanaeza kuingia na woga.
Nafisa Mohamad nitumie no yako ya whatsaap nikupe picha
tweve brown
😀😀😀 team mafisi 😀😀😀😄😄😄
heeeh
Mnzava Chris nauku upo
eeh mama.,nikuulize wfny nn uku