Mkuu wa Kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya, Salim Kabaleke Allah atakulipa kwa kazi yako njema unayoifanya. Ni aibu kubwa kubwa sana kwa Muislamu yoyote kujihusisha na madawa ya kulevya, ikiwa pombe tu ambayo ni halali nchini lakini kidini yetu tukufu tumekatazwa na hatujihusishi kabisa itakuwaje hawa ndugu zetu waislamu ndio weko mbele mbele kuhusika na madawa haya haramu ??? Mzee Salim Allah akupe ujasiri na ulinzi mkubwa uweze kupambana nao vilivyo InshaAllah serikali nayo izidi kukuwezesha kufanya kazi hii muhimu sana kwa jamii nzima, HII NI KAZI YA MUNGU MUNAFANYA NA YEYE NDIE ATAKAE WALIP INSHAALLAH
HAO NI CHAMBO TU, WAKUBWA WENYEWE BADO. INASIKITISHA SANA HAO WANOONESHWA HAPA WAMECHOKA NA HAWANA HATA SURA ZA PESA.. ETI NDIO WANAITWA WAUZA MADAWA YA KULEVYA.. WAPI NA WAPI NYIEE.. TUONESHENI HAO WAKUBWA WAO AMBAO WANAWATUMIKISHA HAWA VIJANA..🔫🔪💣💉💊🚬
Ellysomeboy PLatnumz hadi umfikie muuza madawa THE DON SIO KAZI RAHISI ILA HAWA HAWA CHAMBO WATASAIDIA KUWATIKISA MADON NA WENGI WAKIONA HIVYO MADON HUKIMBIA NCHI
Harafu ni vijana wadogo sana wauza unga mabosi wapo serikalini hawa ni wafanyakazi wao ni vibaruwa tu. Na hawa wakubwa wao wakiwataja family zao zitatekwa na watu wasiojulikana
Hivi yule bosi wa biashara ya madawa ya kulevya aliekakamatwa magomeni lesi yake inaendeleaje? Na hao sio mabosi ni vibaruwa tu. Mabosi wapo serikalini na hao wakiwataja family zao zitatekwa na watu wasiojulikana Haahaaaahaaaaa hatari tupu ❌
KAZI NZURI MUENDELEE NA WENGINE WASIOGUSWA LAKINI MUELEZAJI UMEKOSEA ILIKUWA HAINA HAJA YA KUSEMA NI MUISLAMU WAKATI MAJINA YANAJIELEZA NA POLISI HAIANGALII DINI YA MTU NA HAKUNA SAA NANE ALFAJIRI
Duuuuh nihatar madawa hapa Tanzania hatuyahitaji na hayana nafasi kamata hao na wakubwa wao wasakwe jinga sn sisi tunapambana na corona na madawa tena watusumbue.
Rama weweeeee!!!! Baba alikusomesha kwa shida umekuja kumlipa kwa kuuza madawa jmn,so sad yani nimeumia sana kukuona apa, daaahh!!! Inauma sn kweli TAMAA MBAYA
Robert Daud Kuna binadamu wameumbwa wabishi , hawaamini jambo mpaka liwakute , Awamu hii unga hauuziki , wangeuacha tu juu ya dali wakashika majembe wakalime uziguani huko Ha ha ha .
Maskini mtu namuhurumia huyo mlinzi manake ye kazi yake ni kulinda jengo usiku kucha akiwa ame acha familia yake bila mlinzi. Kwa,mrazamo wangu wasinge muonyesha huyo mlinzi hadharani
Hii biashara imepitwa na wakati vijana wenzengu tafuteni kazi nyingine lakini hamtaki kusikia kabisa sasa mumeona faida ya kutaka hela kirahisi bila hata kutoa jasho hii awamu ya tano ni nyingine huyu ni magu na cyo kikwete
Serikali inafanya vyema saana katika kupambana na vita hii' ni wakati sasa serikali kupanga kanuni na sheria maalum ili wapate wanacho stahili kisheria kulingana na uhalifu walio tenda. Ila utowaji wa maelezo juu ya kadhia hii na kutoa nukta ya upelelezi,. Ulivyo kuwa ukifanyoka hii ni hatari kwa usalama wa hao walio kamatwa kwanza. Busara itumike
Bado kazi hujafanya apo umeshika vichuzi . Tafuta maboss wenyewe hao ndio tunatapa kuwaona kwa sura zao. Hii mambo ya madawa Kuna watu wako kwa serikali wanajua hii biashara hata hao ndio wausika wakubwa .
Prince Shaks La kushangaza wanauza madawa yote hayo alafu wanaishi kwa Mama ILALA BUNGONI . Mama kasema ndio wamo ndani , kawaamsha , wametiwa mikononi .
Hv hii vita dhidi ya madawa ya kulevya itaisha kweli hapa bongo? Maana kila siku wanaokamatwa ni vibaraka na sio wakubwa wenyewe ambao laiti wangepatikana ingekuwa Bonge moja la breaking news hapa nchini! Mtandao wa ki intelijensia hapa kwetu bado sana, wacha tuemdelee kupiga picha tu hizo nyumba zao
@@shaabanhaji2014 kwasababu mtu akifanya mabaya hayahusiani na dini yeyote.Dini zote zinakataza mabaya kuitwa ally au john ni majina tu na mtu anakuwa muumini kwa vitendo vyake vizuri na si kwa jina lake zuri.
Kabisa coz ndo kasaidia upelelez afu tayar kawa mtuhumiwa na alkua ajui kinachofnyika .. ila kama alikua ni mtu binafs ata angaika sana ila kama ni kampuni ya ulinzi kidgo atakua na ka unafuu
@@lubatikoseme1446 wewe unajua taratibu za utoaji taarifa zaidi ya polisi? Unapoenda polisi kuandikisha maelezo , ni lazima useme kabila, na dini yako pia! Ni katika kuitambua mtu na kusaidia upelelezi! Waswahili ujuaji ni mwingi , watu wamesomea hiyo kazi , wewe usiyeenda hata depo, hujakaa darasani CCP Moshi unajifanya unazijua taratibu kuzidi polisi! Bongo ujuaji mwingi Kila kitu tunajua , Mambo mengine tuwaachie waliosomea !
Hongera mweshimiwa ww muislam kweli malipo yako kwa Allah
Safi sana kazi nzuri
KAZI NZURI MKUU SAFI SANA,KEEP IT UP JESHI LETEU LA POLISI.
Kama umesiki Toyota Act gonga like 😂
Ila mm Napenda hii kazi sijui kwann jaman🙌🙌
Kazi gani hiyo fafanua
Yaani hapo ishu ni kwamba kuna mwenzao ndo katoboa siri tuu. Na hii kitu haitakiwi muwe wengi kwenye mchongo.
Jaman
Mkuu wa Kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya, Salim Kabaleke Allah atakulipa kwa kazi yako njema unayoifanya. Ni aibu kubwa kubwa sana kwa Muislamu yoyote kujihusisha na madawa ya kulevya, ikiwa pombe tu ambayo ni halali nchini lakini kidini yetu tukufu tumekatazwa na hatujihusishi kabisa itakuwaje hawa ndugu zetu waislamu ndio weko mbele mbele kuhusika na madawa haya haramu ??? Mzee Salim Allah akupe ujasiri na ulinzi mkubwa uweze kupambana nao vilivyo InshaAllah serikali nayo izidi kukuwezesha kufanya kazi hii muhimu sana kwa jamii nzima, HII NI KAZI YA MUNGU MUNAFANYA NA YEYE NDIE ATAKAE WALIP INSHAALLAH
Miaka 24 anamiiki mjengo
hahaha aliesikia ACT badala ya IST like apa
Mwacha kamanda wangu jamani menoyake yana matatizo😁😁😁😁😁💃🏼
Mmh mzee umrii Wa kustaafuu bado kweliii huyuuu!!! Mtuachie sitiii wazee
Kama umesikia saa nane alfajir 😂😂😂tujuane
Dr One Minguel nadhani amewaiga waingereza na wamarekani ndo lugha yao, saa tisa usiku wanasema 3 in the morning
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mambo ya kiintelijinsia, ya kiume hyo!
Hahahaa
unadha AM inaanza saa ngap?!!!
Duuu! Muheshimiwa tarehe hiyo,
Ukiwa unatafuta maisha huwez kuogopA jela!!! Ni sehem ya kujifunza
Pwenty
Ni waanze kuwanyonga hawa mashetani !
So, mnaingiza pesa. Mnatajirika kutokana na kuharibu nguvu za mwili na akili za binaadamu wenzenu!? Poleni sana!
Wamezulumiana ndo wametajana lkn b4 awajazulumiana walikuwa wanakula nakusaza
HAO NI CHAMBO TU,
WAKUBWA WENYEWE BADO.
INASIKITISHA SANA HAO WANOONESHWA HAPA WAMECHOKA NA HAWANA HATA SURA ZA PESA..
ETI NDIO WANAITWA WAUZA MADAWA YA KULEVYA..
WAPI NA WAPI NYIEE..
TUONESHENI HAO WAKUBWA WAO AMBAO WANAWATUMIKISHA HAWA VIJANA..🔫🔪💣💉💊🚬
Ellysomeboy PLatnumz hadi umfikie muuza madawa THE DON SIO KAZI RAHISI ILA HAWA HAWA CHAMBO WATASAIDIA KUWATIKISA MADON NA WENGI WAKIONA HIVYO MADON HUKIMBIA NCHI
Ellysomeboy PLatnumz hahaha
Safi kabisa.kamata kambare sio dagaaa.
Harafu ni vijana wadogo sana wauza unga mabosi wapo serikalini hawa ni wafanyakazi wao ni vibaruwa tu. Na hawa wakubwa wao wakiwataja family zao zitatekwa na watu wasiojulikana
Kweli kabisa hao watawaonea tu
mie mwenyewe MTU akitaka tufanye nae kazi mie nipo tayari kwa haya maisha bora tu lawama na jela ila ule good time kidogo nimevurugwa
Khadija ww
hata mm niko tayar kufanya kaz ya madawa ya kuevya kwa mwenye dili hizo anichek
Ebana si uwe Malaya tu
Umeeleweka na litafanyiwa kazi.
Etiii walio kamatwa majina mmetaja tena kwa msisitizo kbs lkn anaetuma mmetajiwa lkn jina linahifadhiwa mhhhj
Kama shule ngumu tukalime tuu!!😄😄
Wenzio maboss we baki kucoment ushuwaini tu
Mungu awafanyieni wepec maboc wangu
Jamani eeh Mungu tuhurumie
Muachieni mlinzi ana atia akatafute kazi nyingine
Bongo hamna kumyongwa ingekuwa njee aiseee
Hivi yule bosi wa biashara ya madawa ya kulevya aliekakamatwa magomeni lesi yake inaendeleaje? Na hao sio mabosi ni vibaruwa tu. Mabosi wapo serikalini na hao wakiwataja family zao zitatekwa na watu wasiojulikana Haahaaaahaaaaa hatari tupu ❌
KAZI NZURI MUENDELEE NA WENGINE WASIOGUSWA LAKINI MUELEZAJI UMEKOSEA ILIKUWA HAINA HAJA YA KUSEMA NI MUISLAMU WAKATI MAJINA YANAJIELEZA NA POLISI HAIANGALII DINI YA MTU NA HAKUNA SAA NANE ALFAJIRI
hongeren sana police na polen sana
💥💥 NJOO UONE JINSI MTU ANAVYOVULIWA NGUO NA KUVALISHWA NYINGINE BONYEZA PROFILE PICHA YANGU HAPO KUSHOTO 👈
Wakati huu was mjomba mnauza madawa kweli mnajipenda nyieee...doooh🙄🙄🙄🙄Bora mnge eenda mkalime
Bongo kesi za madawa----poa malizia
Mmefanya makosa huyo mlinzi hana maisha maletu hiyo mijitu ni mikatili sana c inajivunia mipesa yao msingemuonyosha mlinzi
Hapana c hao kwa biashara hiyo ya mapesa wawe kama hao waliochoka hao afande waseme vzr hao wapuzi
Washatambulika tia jela au ikiwezekana nyonga nyumba wapo wazee au watto mayatima waishi
Wewe mkuu na sapoti yako Mtalipa hii Asala Au Utapata kwako na family yako tutaona 😭💰💵
Mh!watoto wadogoooo
Mbona wote waislam sasa
Huyu mlinzi hana hatia lakini maisha yake mmeyaweka hatarini kwa kuwasaidia upelelezi je?? Mnamhakikishiaje usalama wake???
Duuuuh nihatar madawa hapa Tanzania hatuyahitaji na hayana nafasi kamata hao na wakubwa wao wasakwe jinga sn sisi tunapambana na corona na madawa tena watusumbue.
Rama weweeeee!!!! Baba alikusomesha kwa shida umekuja kumlipa kwa kuuza madawa jmn,so sad yani nimeumia sana kukuona apa, daaahh!!! Inauma sn kweli TAMAA MBAYA
Kwenye kutafuta dada
Bongo kweli ngumu vijana wadogo ndo jera inamuusu kiulaini pole sana dada
Ni harakati za kutafuta
Na huyo mbwa shetani ni wa kunyonga tu Tanzania ianze kuwanyonga hawa mashetani kama Singapore wanaharibu sana ndugu zetu
Huyo mlinzi hana hatia yoyote
Kijana anatoa tumbo kumbe madawa
Hongera sana
Na uyo abaye una sema ushuguz una enderea ujue ni mkubw wa serkar uyo Ndio mahn amja mtaja tuna jua san
Tatu Albadri hebu mtaje wewe basi
Janana
Hii biashara ilimshinda ad godfather wa madawa Escobar njoon tulime tutachelewa lakn tutatoka tu
Yap!
Robert Daud Kuna binadamu wameumbwa wabishi , hawaamini jambo mpaka liwakute , Awamu hii unga hauuziki , wangeuacha tu juu ya dali wakashika majembe wakalime uziguani huko
Ha ha ha .
Escobar haikumshinda ila alijiharibia alivyojiingiza kwenye siasa kwasababu alivyokataliwa kugombania akaanza vita na serikali hilo ndo tatizo.
Hapo ndege wooote pwaaaaaa ni mbio tu
Maskini mtu namuhurumia huyo mlinzi manake ye kazi yake ni kulinda jengo usiku kucha akiwa ame acha familia yake bila mlinzi. Kwa,mrazamo wangu wasinge muonyesha huyo mlinzi hadharani
Kabisaaa maana hapo hausiki na chochote kile InshaAllah M.Mungu atamsimamia
Kweli kabisa mlinzi hausiki kbs
Hata Machawa Machawa Wachunguzwe Ivi Mtu Kuwa Mmbea Ndio Apate Hela Nyingi Uchunguzi Muhimu
Tanzania mngekuwa mnanyonga wauza madawa ya kulevya hawa ni mashetani hawastahili kuishi!
Big fish hawapo hapo ongeza bidii mkubwa!!!
Hii biashara imepitwa na wakati vijana wenzengu tafuteni kazi nyingine lakini hamtaki kusikia kabisa sasa mumeona faida ya kutaka hela kirahisi bila hata kutoa jasho hii awamu ya tano ni nyingine huyu ni magu na cyo kikwete
Sure
Mnachozingua Mbakamata Watu msiotaka wafanye lakini Manguli Wakuuza Izo Dawa Mnawaacha, Still Bd N Bullshit tu
Da polen sana vijana
Watatuka tu jmn fahadi jmn mbona bado kijana mdg sn Fanya kz broo acha tamaa jmn😭mlinzi utapotea BABA
Hata hiyo pia kaz si wanapata hela
Unajuaje wamesha ingiza kiasi gani hao
Jamani kaka zangu mbona hiyvo jamani kz ziginee jamani achenii 😭🤔🤔
Toyota a si ti duu tumesoma wapi,
Safi sana
Kazi nzuri kitengo mmefanya
Na wauwaji kwakua wqnatoka majumbani kwenu nado hawajulikani wasenge nyie
Huyo ambaye hujamtaja ni mkristo ndio maaana umemuhifadhi
shamim mwasha na mmeo mmewapeleka jela na hao wapeleken jela
Huyo mtanzania uliyemfich jina ndo umtaje, hao unawadharirisha cz hawana hela, au mnasubir ten percent
Serikali inafanya vyema saana katika kupambana na vita hii' ni wakati sasa serikali kupanga kanuni na sheria maalum ili wapate wanacho stahili kisheria kulingana na uhalifu walio tenda. Ila utowaji wa maelezo juu ya kadhia hii na kutoa nukta ya upelelezi,. Ulivyo kuwa ukifanyoka hii ni hatari kwa usalama wa hao walio kamatwa kwanza. Busara itumike
Sio Kesi hyo WANATOKA HAO UMEENDA KUWAKAMATIA KWAO WAMELALA
Mheshimiwa una maana gani kusema alfajiri saa nane ungesema saa nane usiku sio saa nane alfajiri tufafanulie
Maskini makonda unajipalia kuni
Ingekua irani hao kwaheri laki hao hapa kwetu kesho wapo mtaani hao waumize watanzania
Kabla ya kutenda jiulize kitachotokea ukikamatwa.
Mnafanya kazi nzuri ila bangi mnaichoma tunaona mbona madawa ya kulevya hamfanyi hivyo
Huyo Fad kafanana sana na msanii SWEBE jamani
Bado kazi hujafanya apo umeshika vichuzi . Tafuta maboss wenyewe hao ndio tunatapa kuwaona kwa sura zao. Hii mambo ya madawa Kuna watu wako kwa serikali wanajua hii biashara hata hao ndio wausika wakubwa .
Ndio
Hio pendera ya marekani hapo imekuaje?
Nauliza tu.
Mapoyoyo tu haya
Kabisaa najiuliza na Mimi hapa Dubai UAE
Ukoloni mamboleo
Kg 21 kitu gani kuzidi ile ton moja ya kilwa? Msiishie kutangaza tu hatua stahiki ziichukuliwe! Sio kesho tunawaona mtaani! 😉😉
Unamuonyeshaje mlinzi mahali unapokaa? Hawa madogo walikuwa wazembe sana.
Prince Shaks
La kushangaza wanauza madawa yote hayo alafu wanaishi kwa Mama ILALA BUNGONI .
Mama kasema ndio wamo ndani , kawaamsha , wametiwa mikononi .
Inthenameoflove Ecoy, platoon 3 section 1. Op Magufuli! Ukiwa mjanja utaelewa. Ila bado nasema hawa madogo walikuwa wazembe
Chayo Gasperi naona bado wadogo wa akili na umri ndo mana wazembe. Tena unaishije kwa mama! Dah
Prince Shaks mama nae kiazi kwe
Mama nae kiazi kwelkwel
Hv hii vita dhidi ya madawa ya kulevya itaisha kweli hapa bongo? Maana kila siku wanaokamatwa ni vibaraka na sio wakubwa wenyewe ambao laiti wangepatikana ingekuwa Bonge moja la breaking news hapa nchini! Mtandao wa ki intelijensia hapa kwetu bado sana, wacha tuemdelee kupiga picha tu hizo nyumba zao
True
Jamani Selekari haitaki Mbona hamuelewi
intelligence imeendaje kuhusu hii
Wanajiamini Sana aisee hawana hata was was
mheshimiwa tunakupongezeni kwa juhudi zenu ila haina haja ya kusema mtu dini yake ni mwislam au mkristo.
Kwanini isisemwe???
Kwanini??
@@shaabanhaji2014 kwasababu mtu akifanya mabaya hayahusiani na dini yeyote.Dini zote zinakataza mabaya kuitwa ally au john ni majina tu na mtu anakuwa muumini kwa vitendo vyake vizuri na si kwa jina lake zuri.
@@abuyunusmohamed6961 Naaam
MBONA MSICHUNGUZE ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU.
Muachieni mlinzi
Mtihani wacheni mambo hayo
Kwenye pevs....vv...vpc... hahaha!
Sasa ulinzi anakosa gani au kamba inakatikia pambaya 2
Kwa nn usimtaje au we pia unausika
Waliosikie kilo 21 point sitini na saba .. hesabu bhana
Mlinzi ndio kawachoma
Yaan unakimbilia kuita media ili taarifa zisambae wakat wahusika hawajakamatwa
Fahadi Rama machizi wangu tufanye kazi wanangu acheni hizo mambo😥
umechelewa kashaingia hatiani
Yan mungu awatangulie
Fahady na Rama sina La kusema Mungu awasaidie sana
Hamna Mungu atawasaidia mashetani hao ni wa kunyonga tu
Mlinzi hana kosa
Washapoteaaa hawa
Hivi mbona hii biashara imetawaliwa na maalshabibi sana? Tokea nimeanza kufuatilia hawa wafanyabiashara wa madawa wote ni maalshabibi
Unaweza kutoa ushahidi wa hilo unalo hiandika????
navyojua hii awamu ya tano ya raisi magufuli si maisha mapya hayo gerezani. arafu wanaonekana vishada tajiri hapo ayupo
Dooh kijana mdogo unaenda jera pole sana ila ndo life
Mlinzi hana kosa 😠muachieni huru
M nawaombea mfungwe tabia mbaya mnaharibu binadamu wengine shenzi
SIJAONA HAKI KUMPIGA PICHA MLINZI MAANA AMESAIDIA UPELELEZI.
Kabisa coz ndo kasaidia upelelez afu tayar kawa mtuhumiwa na alkua ajui kinachofnyika .. ila kama alikua ni mtu binafs ata angaika sana ila kama ni kampuni ya ulinzi kidgo atakua na ka unafuu
safi sana polisi muwafunge mpaka wakome
Huseni Ally wacha sifa
Wafungwe ad ujio wa yesu
Wafungwe tu, habari ya kutuletea mateja inahusu?
Ni wa kunyongwa tu na Tanzania iko mbioni kupitisha adhabu ya kifo
Hakuna haja ta kutaja dini zao na makabila yao.. sisi wote ni watz. Ukabila na udini ndivyo inavyoanza
Hujawahi kutoa maelezo polisi sio? Ni Jambo la kawaida Hilo!
@@tonyelshabbaz ni Jambo la kawaida lakini si sahihi
@@lubatikoseme1446 wewe unajua taratibu za utoaji taarifa zaidi ya polisi? Unapoenda polisi kuandikisha maelezo , ni lazima useme kabila, na dini yako pia! Ni katika kuitambua mtu na kusaidia upelelezi! Waswahili ujuaji ni mwingi , watu wamesomea hiyo kazi , wewe usiyeenda hata depo, hujakaa darasani CCP Moshi unajifanya unazijua taratibu kuzidi polisi! Bongo ujuaji mwingi Kila kitu tunajua , Mambo mengine tuwaachie waliosomea !
Bado hamjawakamata vigogo
Vigogo hawakamatiki
Mlinzi anamakosa gan mnakosea
Kweli kbs
Mmemuone mlizi yy anuhusika nini sasa pumbavu zako