GEORGE STINNEY: MTOTO ALIYEPEWA KESI YA MAUAJI, AKANYONGWA hadi KUFA PASIPOKUWA NA KOSA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 910

  • @jackierama1817
    @jackierama1817 3 ปีที่แล้ว +175

    😭😭 huwa nikiitazama natokwa na machozi mengi sana inaumiza na hasa ukizingatia ni mtt mdogo kunyongwa bila hatia yeyote pumzika kwa aman George wote njia moja na waliofanya hivi tayar wap huko maana ni miaka mingi toka hilo tukio litokee naiman wanatumikia adhabu yao 😭😭

    • @mausubrah6153
      @mausubrah6153 3 ปีที่แล้ว +3

      Una uliza ndomana ake amna mbili dah ila uta skia et nataka kuzaliw ulaya ili ata niwe mbwatu ila awa watu awa dah

    • @anethnelson9307
      @anethnelson9307 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaaan bora hata wangemfunga Juvenile jail

    • @yusrashabani2983
      @yusrashabani2983 3 ปีที่แล้ว +11

      @@mausubrah6153 we acha mimi ninamyaka 5 Marekani lakini huwezi amini natamani kurudi hata leo ila naomba Mungu uzima nijenge nyumbani Africa kisha nitimuwe mmbwa hawa wanakuchekea usoni na lilioko moyoni mwao alijuwae ni Mungu tu ninawengi ya kuongea ila siwezi kuyaandika yote , ila tumuombee mtoto George alale pema peponi amiin awasubirie waliomuuwa kinyama watasimama siku ya kiama mbaele ya Mungu

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 3 ปีที่แล้ว +4

      @@yusrashabani2983 Kama unaishi kwa shida kwanini usirudi nyumbani Tz kuliko kuishi kwa mashaka mashaka

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 3 ปีที่แล้ว

      Nashindwa Cha kusema mwenyez mungu ndio muamuz😭🙏

  • @truezjr.3410
    @truezjr.3410 3 ปีที่แล้ว +52

    Me Nahisi kuwa Shetani kwanza ni Mzungu na Ndo maana wana roho mbayaaaa. Mbavu zaooo.
    Like na ww kama umeumia Roho.

    • @hasanijuma7744
      @hasanijuma7744 3 ปีที่แล้ว

      Pumzika pema ndugu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wazunguu ninguruwe na ni makafiri wakubwaaa

    • @YehudabanYerushailēm
      @YehudabanYerushailēm 7 หลายเดือนก่อน +2

      Watu wenye rangi tu tofauti na waafrika si rafiki kwa waafrika chunguza vizuri mzungu, mchina, muhindi mwarabu wote washenzi tu

  • @hehegirl116
    @hehegirl116 3 ปีที่แล้ว +31

    Mungu Fanya kitu Kwa kila mtu anae mfanyia ubaya mtu asokua na hatia 💔💔 nimeumia Sana dah😭😭

  • @mosesnarold6860
    @mosesnarold6860 3 ปีที่แล้ว +13

    My tears can't stop falling when I watch this video.Oooh God the creator of this world save the soul of this young black man,

  • @Zainabkahonzi
    @Zainabkahonzi 7 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢n ngumu kumeza inauma sana ata sura inaonyesha ako innocent aky awa watu weupe sijui kwann walipewa roho nyeusi hawana tofauti na hìi mijiarabu uku 😢😢😢😢Mungu wangu tupe mwisho mwema na vizazi vyetu, afu anaesoma hii taarifa aekewe Ulinzi mana iyo sauti sio kwa kujiamini uko Kakangu Mungu akupe nguvu pia kwa kazi ako❤❤❤❤❤

  • @fleythevoiceofficall5314
    @fleythevoiceofficall5314 3 ปีที่แล้ว +41

    Ewe mungu baba tusaidie sisi watu weusi😭😭😭

  • @khadijaallyfikirin358
    @khadijaallyfikirin358 3 ปีที่แล้ว +23

    Dah inaumiza sanaa 😭😭😭😭mpk tumbo limekata jmn m/mungu akupe pumziko la milele

  • @salhaabdullah6971
    @salhaabdullah6971 3 ปีที่แล้ว +44

    😭Allah ndio hakim wame muua na wao wamekwenda hakuna atakae baki 😭atujalie mwisho mwema Ameen 🤲

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +6

    Hakimu wa Mahakimu halali wala hasinzii na hafi. Anawasubiri Mahakimu wote wasihukumu kwa haki.
    Siku ya hukumu/siku ya kiama kesi zote zinazohukumiwa duniani zilarejewa kuhukumiwa upya na haki itatendeka.
    Allah ametahadhalisha Mahakimu wawe waadilufu, wahukumu kesi kwa haki na uadilifu.

  • @paulwanyaisaka4712
    @paulwanyaisaka4712 3 ปีที่แล้ว +59

    Mungu wangu roho yangu huwa inaumia sana kila nikisikiliza 😭😭

  • @glorykarim1570
    @glorykarim1570 3 ปีที่แล้ว +91

    Uyu mtu Yuko peponi siku nyingi sanaa ameketi katika kiti cha enzi amevikwa mwili mpya na hao wamarekani wataona hukumu ya mungu 😭😭😭 siwapendi wazungu mimi nawachukia Sana naumia Sanaaa nikisikia ivi

    • @mohamedkondo6392
      @mohamedkondo6392 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa, wale ni wazuri kwa uso, lakini ni wanyama wa roho.

    • @annamwaipopo9485
      @annamwaipopo9485 3 ปีที่แล้ว +2

      Mpende adui yako bible inasema

    • @glorykarim1570
      @glorykarim1570 3 ปีที่แล้ว +2

      @@annamwaipopo9485 unalazimisha niwapende wazungu ukiwapenda ww inatosha sanaaa we vip umetumwa au umeagizwa

    • @hidayarajabmmaka5716
      @hidayarajabmmaka5716 3 ปีที่แล้ว +4

      Na ndio maana wanakufa kwa koronaaa

    • @divinamary6343
      @divinamary6343 3 ปีที่แล้ว

      Me too

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 ปีที่แล้ว +38

    Kuna Watu wana Zabi sijuwi itakuwaje Siku mungu akiukumu tumeisha mungu nipe Muisho mwmaaaaaa

  • @ashoramwanja3131
    @ashoramwanja3131 3 ปีที่แล้ว +24

    Hata waliomhukumu washakufa pia ee mungu mweke pema mtoto wawatu😭🙏

  • @envinm9649
    @envinm9649 3 ปีที่แล้ว +6

    Duu..! Inauma sana pale unapojulikana ukweli wakati hukumu imeshatolewa muda mrefu. Mungu atabaki kuwa mwamuzi wa haki.

  • @nleedon2047
    @nleedon2047 3 ปีที่แล้ว +16

    Daaah jasiri ameumaliza mwendo R. I. P stinny😢😢😢😢

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anawaona iposiku watakutana mbele yahaki omwenye zimungu murehem uyumutoto ya Allah utupe mwisho mwema

  • @maryammohmmed6526
    @maryammohmmed6526 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu awatie kwenye moto wa Jahanam milele

  • @swesschao3095
    @swesschao3095 3 ปีที่แล้ว +9

    Oooh dear GOD!!!! May his soul continue resting with our LORD GOD!!!!!

  • @afanamb4504
    @afanamb4504 3 ปีที่แล้ว +26

    mungu wangu,mungu wangu,nakulilia,hadi lini mtu mweusi ataendelea kuteseka?mungu tunaumia,siwezi stahimili kuona hii video,tulikosea wapi duniani😩😫😫😫

    • @zacqtv9855
      @zacqtv9855 3 ปีที่แล้ว +2

      We acha tuu inauma sana

    • @m-blnlabenie3138
      @m-blnlabenie3138 3 ปีที่แล้ว +5

      Kwanza hatupendani sisi kwa sisi , tuna uwana, tuna ibiyana etc...Asa sisi wa Africains tuna roho mbaya sana.

    • @claudiangowi9585
      @claudiangowi9585 3 ปีที่แล้ว +2

      @@m-blnlabenie3138 tuna roho mbaya mnooooo bora hao wazungu

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 3 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭

    • @parkjinungwa4465
      @parkjinungwa4465 3 ปีที่แล้ว +2

      I'm so said to see black people died for no reason😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @biasnamchagi1005
    @biasnamchagi1005 3 ปีที่แล้ว +4

    Duh mungu ailaze roho yake mahali pema peponi inauma sana

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 ปีที่แล้ว +12

    Daah maskin inauma sana innalillah wainna ilayhi rajioun 😭😭😭😭😭😭

  • @samwelmerikiolmpila2330
    @samwelmerikiolmpila2330 3 ปีที่แล้ว +14

    Pumzika kwa amani George Stinney, Mungu ni mwema naimani uko sehemu salama na sahihi, inauma sana ni miaka mingi sana.

    • @phoibeyusuph2833
      @phoibeyusuph2833 3 ปีที่แล้ว +2

      Yani hiiiii story Inaumiza sanaaa jamaniiiiiii uwiiiiiiii Malia ovyooooo duhhhhhhhhhh🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️

    • @AJABULUCASSAMSONSuperfantastic
      @AJABULUCASSAMSONSuperfantastic 7 หลายเดือนก่อน

      Sleep well and R I P HIM

  • @CeciliaBarton-q2t
    @CeciliaBarton-q2t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Inasilitisha sana mungu atusamehe sana

  • @halimabakari1085
    @halimabakari1085 3 ปีที่แล้ว +21

    Mungu hamrehemu

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 3 ปีที่แล้ว +27

    Inaumiza sana Mungu amueke pema kwenye wema yy Na wengne waliotangulia 😭🙏

    • @sein.208
      @sein.208 3 ปีที่แล้ว

      Amiin amiin

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 3 ปีที่แล้ว +6

    George naumia Sana pumzka kwa amani bwana yesu awe nawe milele haki utaipata mbinguni

  • @badrumohamed254
    @badrumohamed254 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii story imefanya nichukie wazungu kabisa 😢😢😢RIP George Stinney Jr

  • @berthajacob5810
    @berthajacob5810 3 ปีที่แล้ว +3

    Hufanya njia pasipo na njia mungu hamtupi mjaa wake pumzika kwa amaniii 😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏.inauma Sana

  • @masokafrancoise6038
    @masokafrancoise6038 3 ปีที่แล้ว +1

    Niatari sana kbs mtt mdogo kuhukumiwa vibaya ivo

  • @elizabethmajimbo6671
    @elizabethmajimbo6671 3 ปีที่แล้ว +3

    God is the creator of all and the final judge as humans will pay for everything we do in this life .....

  • @aminaomaryaliy3226
    @aminaomaryaliy3226 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaman roho inaniuma roho inachoma mungu nisaidie

  • @mohamedkondo6392
    @mohamedkondo6392 3 ปีที่แล้ว +8

    This is so hurting, and justice shall be prevail. Black lives matter, rangi nyeusi ni watu wenye kuumizwa Sana kwenye dunia hii, lakini kiukweli inatosha, justice is needed😭😭😭😭

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wanakatisha maisha ya mtt mzuri hivi afu mdg Allah anawaona bila huruma unamuuwa mtt anakuangalia😢😢nilifkiri warabu ndo wanaongoza kwa roho mbaya

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +49

    Hao wote waliofanya mambo HAYO MUNGU aja lala, MUNGU anawaona , RIP

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 3 ปีที่แล้ว +3

      Nasidhani kama bado wapo

    • @ditrickmtega2802
      @ditrickmtega2802 3 ปีที่แล้ว

      Walisha enda jehanamu mda, na huyu dogo yupo mbinguni mda

  • @kalebumbwambo9675
    @kalebumbwambo9675 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ailaze roho yake Pema peponi

  • @isakacypriano4949
    @isakacypriano4949 3 ปีที่แล้ว +9

    Basi msimuliaji inatosha maana masikio yameshindwa kuvumilia kusikiliza hii hadithi.

  • @latifaamy7673
    @latifaamy7673 8 หลายเดือนก่อน +1

    O my....they made a legend instead of a victim. instead of the blames they instigated the victory is all its seen here. What a big footprint he left behind. Being innocent soul. ALWAYS THE THE TRUTH PREVAILS NO MATTER THE TIME TAKEN. 🙏🏾. RIP STINNEY

    • @kambalesenzo5290
      @kambalesenzo5290 7 หลายเดือนก่อน

      wazungu ni mashetani tuu naumia rohoni pole kwa familia ya George

    • @kambalesenzo5290
      @kambalesenzo5290 7 หลายเดือนก่อน

      jambo ambalo lina ni kera moyo

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 3 ปีที่แล้ว +5

    Wazungu wakija kwetu tunawaabudu badala kuabundu mungu wetu aliyembinguni

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi,amina.

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 ปีที่แล้ว +3

    Iki kifo chauyu mtoto chasikitisha sana mungu amreemu

  • @ElizaGalus
    @ElizaGalus 7 หลายเดือนก่อน

    Janani mania Sanaa mungu ampe l'aga ya Milele amina

  • @leilaley3407
    @leilaley3407 3 ปีที่แล้ว +11

    He was soo innocent.. the worst story that always breaks my heart..

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 ปีที่แล้ว +1

    Siwezi kusikiliza mpk mwisho inaniuma sana

  • @taturajabu5977
    @taturajabu5977 3 ปีที่แล้ว +5

    Inauma sana

  • @salhaayub1338
    @salhaayub1338 6 หลายเดือนก่อน +1

    😢 Dah ni Maumivu kias gan amepitia Mtoto huyu Subuhanaallah yarrab tupe mioyo ya ubinadam sisi ni wanadam lakin roho ni zaidi ya shetan 😢😢😢😢😢😢

  • @franshyera8970
    @franshyera8970 3 ปีที่แล้ว +23

    Aise uyu dogo alionewa sanaaa. Aliteswa kwa adhabu kali sanaaaa. Mungu turehem watu wako

    • @mwitamarwa9803
      @mwitamarwa9803 3 ปีที่แล้ว

      Alaf bado wazungu hao wanajileta afrika iseeee mung wasamehe na utujalie upendo ameini

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 ปีที่แล้ว

    Subhanna Allah, kila mmoja ataonja umauti kumuhukumu mtoto bila ushadi wa kutosha inshaallah

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว +15

    Kazi ya polisi mpaka Leo hii haibadiliki

  • @salimomari150
    @salimomari150 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazulumiwa,,,ila malipo hapa hapa,,

  • @salhaissa2619
    @salhaissa2619 3 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭dah mtihan uo jaman inshaallh malipo yko yapo kwa mungu!!

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 8 หลายเดือนก่อน +1

    bila shaka yupo zake mbinguni akiketi pembeni mwa bwana wetu YESU KRISTO

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhanallah...

  • @PeninaAnthony
    @PeninaAnthony 5 หลายเดือนก่อน

    Daah mungu umpumzishe kwa amani

  • @loveariyana1292
    @loveariyana1292 3 ปีที่แล้ว +13

    My God moyo wangu una uma sana 😭😭😭😭😭

  • @JosphatNgome
    @JosphatNgome 8 หลายเดือนก่อน +1

    May God rest her soul in peace,,,😢😢😢ni uchungu sana

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 3 ปีที่แล้ว +7

    Allah akuifandi in sha Allah

  • @filbertcarlos2946
    @filbertcarlos2946 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Amina

  • @beesmarttv3792
    @beesmarttv3792 3 ปีที่แล้ว +6

    Dah!!😭😭 maisha hayaa.

  • @shabanimpina3206
    @shabanimpina3206 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Amlaze Mahari pema pepon amen 😭😭😭😭

  • @hadijaseef8777
    @hadijaseef8777 3 ปีที่แล้ว +11

    Eeee Mungu mtakatifu tusaidie sisi weusi

    • @neemamwasubila8083
      @neemamwasubila8083 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭 mpaka sasa watu weus tunaonewa mungu azid kutulinda

  • @beatrice1mosha603
    @beatrice1mosha603 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa Amani George mungu ni hakimu wa wote atawahukumu inauma hata nashindwa machozi yamenijaa na moyo unauma

  • @agripinaligelele9367
    @agripinaligelele9367 3 ปีที่แล้ว +5

    Daa Mungu awape adhabu ya milele

  • @shijalameckmpemba4529
    @shijalameckmpemba4529 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana mwandishi umenikubusha mbali kuhusu kesi hii

  • @robinhomesuza8906
    @robinhomesuza8906 ปีที่แล้ว

    Aki. Ya kweli ipo Kwa mungu hapa Duniani ni miyeyusho mitupu

  • @dieumercibahati7046
    @dieumercibahati7046 3 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana

  • @sitellamatni6878
    @sitellamatni6878 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nimwema kila wakati hivo hatunabudi kumshukulu mungu lakini kipimo unacho mpimia mwenzako hichohicho mungu wambinguni atakupimia pia🙏🙏🙏

  • @hashiyatmohammedy156
    @hashiyatmohammedy156 3 ปีที่แล้ว +12

    😭😭😭😭😭😭Inaliza Sana wazungu munguanawaona

    • @fridajosephyusif4364
      @fridajosephyusif4364 3 ปีที่แล้ว +2

      Na waarabu

    • @zeanamuhsin9005
      @zeanamuhsin9005 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fridajosephyusif4364 Sio wote tafadhali

    • @hajrahaji9109
      @hajrahaji9109 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fridajosephyusif4364 Kwan waarabu wamehusikaje kwenye hiyo story?

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 3 ปีที่แล้ว

      @@fridajosephyusif4364 waarab wamekufanya nn wacheni chuki izo awo wazungu siku zote mnawaita mabeberu ss waarab wanahusika nn apo.

    • @sabinamungumkalijmnfaro6190
      @sabinamungumkalijmnfaro6190 3 ปีที่แล้ว

      Mungu atutee kwa hizo roho

  • @heriyasin0
    @heriyasin0 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani baba yangu mungu atakulipia walio kikatili

  • @mariamahmad1716
    @mariamahmad1716 3 ปีที่แล้ว +9

    Innallah waina ilah rajuun 😭😭😭

  • @vumiliahamisi7046
    @vumiliahamisi7046 3 ปีที่แล้ว +4

    mungu amrahamu,watu weupe awa sio wabaguzi mpaka leo

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 2 ปีที่แล้ว

    Inauma Sana Aisee

  • @mercywambui3033
    @mercywambui3033 3 ปีที่แล้ว +4

    Its so hurting😭

  • @mcblife24
    @mcblife24 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awarehemu tu hao wote walohuska kutoa uhai wa mtoto huyu,, Mungu anawaona

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 3 ปีที่แล้ว +8

    Jamaniii 😭😭😭

  • @komboali8203
    @komboali8203 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee hii inaumiza Sana dah yaani ctoisahau hii story,

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atalipa tu maana yeye ndiye hulipa kisasi,Pumzika kwa amani Stanley Junior

  • @mwajumaramadhan6223
    @mwajumaramadhan6223 3 ปีที่แล้ว +2

    Masini jamani mungu akueke mahara pema in shaallah

  • @jazilakaura7474
    @jazilakaura7474 3 ปีที่แล้ว +6

    Maskiiiin jmn dunia hiii mmmh Mungu wewe ndie wajua

  • @luluwhite3818
    @luluwhite3818 3 ปีที่แล้ว +1

    Mie siangaliagi hii na play halafu nastop kisha nasoma coment tu siwezi angalia wallah

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ndo hakimu 😭😭

  • @annannko1659
    @annannko1659 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni hakimu was kweli,,

  • @hasanimikeyo8893
    @hasanimikeyo8893 3 ปีที่แล้ว +19

    Akuna siku mimi nitakuja kupenda mzungu yaani siwataki hata kidogo japo naishi kwenye nchi zao nipo huku kwa ajili ya njaa tu.

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭

    • @esperancakombat7797
      @esperancakombat7797 3 ปีที่แล้ว

      Tuko pamoja siwapendi wazungu

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว +2

      Ndiyo dhambi itakayokufungia mlango... Imeandikwa "wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, barikini wala msilaani"

    • @hasanimikeyo8893
      @hasanimikeyo8893 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mohamedathuman2950 saana kama huku marekani wanatubagua sana

    • @hasanimikeyo8893
      @hasanimikeyo8893 3 ปีที่แล้ว +1

      @@frankmtei3017 kwanini nawaho wasitupende imeandikwa sisi tu ndo tuwapende?

  • @jackoginga7735
    @jackoginga7735 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh God 😭😭😭😭 continue resting in peace GEORGE

  • @honorinaabwe9745
    @honorinaabwe9745 3 ปีที่แล้ว +3

    Inauma sana tena sana
    Mungu tetea rangi nyeusi
    Oooh Black Lives Matter ✊🏿
    Wazungu wote walahaniwe 😭😭😭😭😭

  • @floridahbaltazary3062
    @floridahbaltazary3062 3 ปีที่แล้ว

    Dah nimelia usiku huu mungu wangu

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 3 ปีที่แล้ว +13

    Subahnallahx3

  • @zabronmakoye8812
    @zabronmakoye8812 3 ปีที่แล้ว +1

    Wafrka tunavit mvetu mbingun amin

  • @maureenoboda9176
    @maureenoboda9176 3 ปีที่แล้ว +5

    So sad, may God give him peace at his place of rest 😭😭😭

  • @chausikuzahoro3483
    @chausikuzahoro3483 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah😭😭😭😭najuta kuangalia

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 3 ปีที่แล้ว +14

    Hii habari ilishanitoa machozi sana tu sitaki hata kuirudia kuisikiliza tena!

    • @rosekimario8712
      @rosekimario8712 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha tu my daah aisee roho inaumaa😥😥😥😭

    • @hadijaseef8777
      @hadijaseef8777 3 ปีที่แล้ว

      @@rosekimario8712 yaaan achu nahisi tumbo LA uchungu linanikatakata jamani dunia hii

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 3 ปีที่แล้ว

      @@rosekimario8712 fikiria wazazi waliumiaje aisee dunia hii ina maumivu jamanii!

  • @nyanjechengo2315
    @nyanjechengo2315 3 ปีที่แล้ว +2

    In kenya we have same goverment justice problems this heat all kenyans people jugdes they have left the laws behind the tables

  • @saidkibaya8594
    @saidkibaya8594 3 ปีที่แล้ว +43

    WAAFRIKA tuna shobo na wazungu ikiwa sisi hawatupendi

    • @harunayussuf6866
      @harunayussuf6866 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa ukweli ndio huo.

    • @nasrabakari7280
      @nasrabakari7280 3 ปีที่แล้ว

      Tena sana ila sijui kwanini tunawashobokea

    • @idrisababu6124
      @idrisababu6124 3 ปีที่แล้ว +1

      Mm siwapendi wazungu maisha yangu yote paka tu

    • @jacksonamos2008
      @jacksonamos2008 3 ปีที่แล้ว

      Sijui Kwa nini yaan

    • @jacksonamos2008
      @jacksonamos2008 3 ปีที่แล้ว

      Utakuta MTu Yuko tayari kutembea na vizee vya kizungu 😂😂😂😭

  • @bushsutimeline766
    @bushsutimeline766 3 ปีที่แล้ว +1

    Very painful

  • @khadijaallyfikirin358
    @khadijaallyfikirin358 3 ปีที่แล้ว +8

    Alaf wakatumia kitab Cha mungu kwel huna hatia mtoto pumzika kwa aman

  • @HappyEmmanuel-w2c
    @HappyEmmanuel-w2c 8 หลายเดือนก่อน +1

    Watu weusi tunanyanyasika sana jmn😢🥺😭

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 ปีที่แล้ว +3

    Wengi wameuliwa bila makosa wengi wamefungwa bila makosa Yaan katika hii dunia hakuna haki kbs

  • @sarahluhanga5945
    @sarahluhanga5945 8 หลายเดือนก่อน

    Pole.san

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว +9

    Ndo dunia iyi😭😭😭😭😭mlaniwe mbwanyie wazungu mmxiu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 8 หลายเดือนก่อน

      Allah awalaani wazungu ni makafir wakubwa kwenye hii duniaa

  • @issamohd5188
    @issamohd5188 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani kwakweli

  • @sylviah9666
    @sylviah9666 3 ปีที่แล้ว +12

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Oh! Continue resting in peace Stinney! God will revenge for u😭😭😭😭😭😭😭