mungu awasalim salama wasinyongwe ,,nnahakika washajifunza,,angalau walee mtoto wao,,,,,hkn ambae angependa yamfike km yalowafika wenzetu nitamaa tu zakidunia zilowapelea kufikia waloyafanya
Huko nje hamnaga maswala ya hukumu kutofautiana unapokutwa na madawa ya kulevya ni kitanzi tuu, hamnaga kuangalia sijui nini wala nini hili na lile huko bhana maswala ya madawa ukikutwa nayo ni kunyongwa tuu. Watanzania bado tunapenda kupaka paka mafuta mambo kuwa mwazi bhana. Hukobso Africa bhana ! !
Khaaaa 😂😂😂😂mtu na mkewe 😂😂😂😂
mungu awasalim salama wasinyongwe ,,nnahakika washajifunza,,angalau walee mtoto wao,,,,,hkn ambae angependa yamfike km yalowafika wenzetu nitamaa tu zakidunia zilowapelea kufikia waloyafanya
KWA Nini HAMUWEZI KUWAOMBA SERKAL YA CHINA WATANZANIA WARUDISHWE KUTUMIKIA ADHABU TANZANIA?
Huko nje hamnaga maswala ya hukumu kutofautiana unapokutwa na madawa ya kulevya ni kitanzi tuu, hamnaga kuangalia sijui nini wala nini hili na lile huko bhana maswala ya madawa ukikutwa nayo ni kunyongwa tuu. Watanzania bado tunapenda kupaka paka mafuta mambo kuwa mwazi bhana. Hukobso Africa bhana ! !
Huyuuu mtu anaonekana hata kufatilia hafatiliii
Jmn
Jaman huyo mume nirafiki ake sana wa mdogo angu kwakwel sio ambayo amesikia kuwa umehukumiwa kunyongwa mdogo angu alilia sana
Ongeleeni na waliokamatwa nchi zingine kama India n.k
Hii hukumu wamepata wapi? Ya madawa ya kulevya kunyongwa hasa kwenye vitabu vya dini wapi?
Salama salimini maana yake nini
Kwaiyo hawanyongi? Sawa tume kuelewa mana huku tunatishana!
Sasa unaficha nini