ZRB YAWASHTUA WANANCHI WA PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 ปีที่แล้ว

    tembeeni kwa miguu ndo maisha jamani

  • @suleimanalisaid2029
    @suleimanalisaid2029 5 ปีที่แล้ว

    Huo ni usalama kwetu ila kodi tupuguzuwen KWA Pemba tuba uhaba wa watu tuko kidogo Sana

  • @hudhud2022
    @hudhud2022 6 ปีที่แล้ว

    Sawa lakini kodi iendane na income yake mtu anaefanya biashara na kodi ziko juu za kukomoana wekeni kodi zenye unafuu Zanzibar ni yetu sote na kweli kodi zina umuhimu wake na kazi zake na kazi au matunda yake yakionekana na upangaji mzuri wake ukionekana watu hawatokuwa wagumu km wenzetu wa serikali za nje kila quater unaketewa hesabu yako ya kodi zote ikiwamo ya Council Tax na kodi zote unaziona miji inasafishwa majumba unasafishiwa hebu tuigene kila zuri sio kukusanywa tuu

  • @saadsalum3253
    @saadsalum3253 6 ปีที่แล้ว

    njaa tu zinawasubua hamna lolote

  • @salehkhamis9978
    @salehkhamis9978 6 ปีที่แล้ว

    huku Zanzibar's ulipie ZRB ekesha ulipie TRA mbona wabara hawalipii ZRB hem fanyeni haki sawa kwa sawa musituumize visiwani2

  • @MasoudKhamisAlBimani
    @MasoudKhamisAlBimani 6 ปีที่แล้ว +1

    Steven Walima si mzanzibari

  • @khadijahamed7616
    @khadijahamed7616 6 ปีที่แล้ว

    Shukran Zanzibar nawapenda kwa ajili ya Allah....

  • @clovetv_pba
    @clovetv_pba 6 ปีที่แล้ว +1

    Sawa tulipeni kodi, lkn kinachoumiza zaidi kodi zinazotolewa zinaenda TRA ukilipa kodi ZRB ni sawa na ulielipa TRA. ZRB ni sehem ndogo sana ya TRA. Kodi za ZRB ni lazima zipitie TRA. Et ulipe kodi kwa maendeleo ya Zanzibar uongo mtupu. Ukisoma level za juu ndio utajua kuwa ZRB haina lake jambo.

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 ปีที่แล้ว

    I miss My home pemba❤😚😍😙😘And I love pemba ,pemba is my lovely home

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sana ZRB kodi muhimu sana ili serekali ipate mapato

  • @salehalisaleh7685
    @salehalisaleh7685 6 ปีที่แล้ว +1

    Bado kuna elimu ndogo juu ya suala la ulipaji kodi kwa wananchi wengi tanzania,ya nn msukumane kwa wajibu wako mwenyewe?kila mmoja kwa nafasi yake atimize wajibu wake ila hio kodi iendane na kipato wanachokipata hao walipaji kodi wenyewe

  • @highburywapemba5165
    @highburywapemba5165 6 ปีที่แล้ว +1

    Nivizur ila kod zipo juu xn abiria hamna pemba

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 ปีที่แล้ว

    nimesoma baadhi ya koment inaonekana kuna ubinapsi sana.. na watu kuto jua wajibu wao