KMKM PEMBA WASHINDWA KUTOA MASHIRIKIANO DC MGENI ALIINGILIA KATI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #HabariZaUhakika #Zinjibartv
    Follow Zinjibartv
    Facebook | Zinjibartv
    INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 773 878 523
    +255 773 071 409
    Zinjibartv Journalists
    cc: Safia Hussein
    cc: Swaleh Watamaama
    Camera Department"
    Muarabu Mmadi
    Editors:
    Ali Hassira
    Ramla Haji
    Abdillahi Said
    Dereva
    Ali Mohammed
    Video Zingine:
    Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
    HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
    • MTOTO WA TURKY AJITOSA...
    • HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

ความคิดเห็น • 47

  • @zuuomar4657
    @zuuomar4657 2 ปีที่แล้ว +5

    Mtauza mpaka hio bahari, KMKM wanajua km wao ndio wanaoufisidi huo msitu, njaa inawasumbua wanachojua kupiga wanyonge tuu Km Km genge la wezi

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni mjinga sana hajielewi wala hajui anafanya nn

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 21 วันที่ผ่านมา

    Kmkm na misitu wana husika jozani na ngezi
    Wakuu wa wilaya mnafanya kazi nzuri lakini maofisa tawala wanazorotesha utendaji .
    KILA RAIYA NI ASKARI WA MWENZAKE.

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kmkmk wezi Asikali wezi wa misitu

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf ปีที่แล้ว +2

    Hao ndio wenye kupeleka karafuu za magendo Kenya na hao ndio wenye kuingiza mirungi na bangi Pemba kutokea mombasa.

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 2 ปีที่แล้ว +2

    Kmkm kila hatua wachuma dhambi tuuu mnalaana nyie wamelaaniwa KMKM Hadi Allah akawapiga njaa kwa laana zao

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim 4 หลายเดือนก่อน

    Mama uongozi mgum ila Allah akusaidie tu

  • @bablaman123
    @bablaman123 7 วันที่ผ่านมา

    Kazana nalo hilo baadhi ya watendaji wanatia aibu na kuleta fitna kwa wananchi na serekali yao

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi niliwahi kuona hatari kubwa ya umeme sehemu inayotumiwa na watu 200 kwa wakati mmoja. Niliiandikia taasisi husika ichukuwe hatua haraka sana kuzuia umeme mkubwa usilete majanga matokeo nilikatazwa na nilishikishwa adabu nikome siku ya pili nisiingilie mambo ya watu

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu Askari wa KMKM Hana hata nidhamu na kutokana na maelezo take Tu halitaki ushahidi wa ziada kama na yeye hahusiki na suala hili,na huyu ni Kwa sababu ni mtu kutoka Unguja ndio maana akawa na jeuri hata Kwa Mkuu wa Wilaya!Serikali ya CCM jamanii ni shida kweli kweli

    • @AzizaOmar-wj3my
      @AzizaOmar-wj3my 3 หลายเดือนก่อน

      Nimesikitishwa sana na huyu kmkm hata heshima ya mkuu wa wilaya hana.

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani wanaiba wenyewe and then wanajitekenya wenyewe

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 3 หลายเดือนก่อน

    Duh jamaa anapingana na mkuu wa wilaya, lkn hizo dalili kuwa rushwa inafanya kazi, na hilo lipo wazi kmkm wapo wanapokea rushwa

  • @mahmoudsuleimanmohamed4969
    @mahmoudsuleimanmohamed4969 2 ปีที่แล้ว

    mimi naona wote wanahusika

  • @zahormohammed4476
    @zahormohammed4476 2 ปีที่แล้ว

    Hawa KMKM ndio zao hizo hapo wameona hamna faida kwao, Kuna kipindi yanatokea majanga vyombo vimazama wakiitwa kuokoa hudai boti haina mafuta, ila siku nyengine boti hiyo hiyo huwashwa mpaka mkokotoni unguja kuja kuangalia mpira uwanja wa amani

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 10 หลายเดือนก่อน

    Kama hao wote peleka ndani

  • @MalkiaMassoud
    @MalkiaMassoud 3 หลายเดือนก่อน

    Hao kmkm ndio waharibifu wakubwa

  • @husseinhamisimwindadi2211
    @husseinhamisimwindadi2211 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa utendajikazi wa staili hii tutaendelea kuchelewa,huyu kmkm hata kwa amri ya mkuu wilaya hawezi kutimiza jukumu lakulinda rasilimali ya Taifa!

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 4 หลายเดือนก่อน

    Ajira mmewapa wengi chakufanya hawana watauza mpaka watu Kwa mamlaka waliopewa

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 ปีที่แล้ว

    Kamanda yupo sahihi. Huwezi ruhusu raia akague kambi bila kibali cha komodoo

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa wilaya mpigie rais yeye ndo kamanda wa vikosi au waziri wasikushugulishe

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 2 ปีที่แล้ว

    Ao km km wote wizi

  • @mohammedomar397
    @mohammedomar397 2 ปีที่แล้ว

    Duh mpaka huo msitu wa hifadhi wanaukata

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 10 หลายเดือนก่อน

      Bila ya kuhusika hao walinzi wa msitu,hayo yasingefanyika.
      Maisha utasikia tunatoa onyo,hatua kali ya kuzuia hamna.
      Si ajabu baada ya miaka kumi Ngezi itakuwa NGOZI

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว

    Hao km. Ndio wakataji miti

  • @jumatarabeni9753
    @jumatarabeni9753 2 ปีที่แล้ว

    Mwavii unkatwaaa

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 2 ปีที่แล้ว

    Nimpango wao huo umefeli

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj9881 2 ปีที่แล้ว

    ww kama dc taratibu unazijua ongea na wakuu wake wa kazi uone kama hatokupa mashirikiano

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 3 หลายเดือนก่อน

    Mnalindana huyo sio bos wko ww

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 2 ปีที่แล้ว

    Hamko kikazi mnaleana kiami

  • @khamisame5703
    @khamisame5703 2 ปีที่แล้ว

    Iyo meshen ya km km walio panga lakini ndio imevuja

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 10 หลายเดือนก่อน

    Yakhee punguzeni uyakhee kamata hao peleka ndani

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 10 หลายเดือนก่อน

    Hawa wakuu wa wilaya na majimbo kila mara utawasikia wakisema,linapotokea jambo,tunamuangusha RAIS..Hilo la lakukata msitu wa Ngezi linawaangusha WaPemba zaidi maana wao ndio watakao athirika zaidi na majanga ya uchafuzi wa mazingira.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว

    Ndii uanze na hao mlowakuta wamebeba kwenye boti yao

  • @alfredndimbo1826
    @alfredndimbo1826 2 ปีที่แล้ว

    Tuone kama sheria zilizopo zinawabana wanyonge tu au kila ambae atazivunja

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj9881 2 ปีที่แล้ว

    MH DC mkuu hajakosea kila kazi zina utaratibu wake si mambo ya kutoa amri tu..

  • @najashrk3738
    @najashrk3738 2 ปีที่แล้ว

    Mh 🤐🤐🤐

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

    Dhulma hailetii maendeleo

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 2 ปีที่แล้ว

    ASA kama hujapewa Rusa watu wanaharibikiwa ungoje rusa ya mkuu wako yupo anastarehe kwake ache wacha ujinga hamko kwajili ya uzalendo ni maslah yenutu to a watendaji kama hao nizam hawana majibu hayana mantiki wekeni watendaji mnaweka wazee

  • @rashidshamte3083
    @rashidshamte3083 2 ปีที่แล้ว

    Huyo kiongozi hajui wajibu wake hajiamini katika kazi wawajibishwe hao maafisa wa kmkm

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 3 หลายเดือนก่อน

      Serikali hii ndugu yangu inaendeshwa kiujamaa!viongozi wametokea Kisonge na watendaji wametokea Kundemba!hapo ni pipa na mfuniko!

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 2 ปีที่แล้ว

    Fukuza hao

  • @jamalahmed7057
    @jamalahmed7057 2 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa baraza la usalama kwa hiyo akitoa umri lazima ufuate

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 2 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa karafuu wangeuwa mtu

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 2 ปีที่แล้ว

    Ao km km wote wizi