Hongereni sana kwa kazi nzuri, Allah awalipe kheyr.. Nami nawafuatilia kutoka Korea. Cha kuongezea ni vyema kuendelea kuchunga lugha na kuchagua maneno ya kutumia. Hata Sheikh Khamis amesema hivyo kwa sababu wakati mwengine Somo Mtoto anatumia lugha za kikubwa sana. Tunaomba apunguze ukali wa maneno ili kukinogesha kipindi chetu kizuri.
Makuraish walimshangaa Mtume (S.A.W) kwa kwenda sokoni. Hii inaonesha wanaume ndio watu wa kwenda sokoni ... leo daladala ya mwanzo Alfajiri wanawake 20 wanaume 10, haoooo Kwerekwe, Pindamgongo na Jumbi. Akirudi saa 11 jioni hatamani hata kukuangalia
UISLAMU UNA HUKMU 5, NDOA NI MOJA KATI YA TENDO LINA AHKAAM ZOTE *** 1. kuna mtu ni 'haraam' kuoa 2. kuna mtu ni 'waajib' kuoa 3. kuna mtu ni 'makrooh' kuoa 4. kuna mtu ni 'mustahab' kuoa 5. kuna mtu ni 'sunnah' kuoa ***
Allah awape nguvu ya kujadili maisha ya ndoa zetu kwa undani zaidi kwa hakika Vipindi vyenu vinasaidia kwa namna moja ama nyengine
Ahsante sana Sheikh
MashaAllah TabarakAllah mawaidha mazuri Allah awalipe heri
Mashaallah tabarakallah
Mashallah mada nzr sana na mumezijadili kwa ukubwa Allah awalipe kheyr kwa kuziokoa ndoa nyingi bila ya nyinyi kujua
Ma Shaa Allah
Mashaallah leo tumefaidi sana
Hongera
Nilitamani sana kupata masomo ya somo mtoto.
Allah azidi kumpa afya njema 😊
Hongereni sana kwa kazi nzuri, Allah awalipe kheyr..
Nami nawafuatilia kutoka Korea.
Cha kuongezea ni vyema kuendelea kuchunga lugha na kuchagua maneno ya kutumia. Hata Sheikh Khamis amesema hivyo kwa sababu wakati mwengine Somo Mtoto anatumia lugha za kikubwa sana.
Tunaomba apunguze ukali wa maneno ili kukinogesha kipindi chetu kizuri.
Kipindi ni cha wakubwa 😊
Ndio maana hutubanii maneno eeh? Ni mwendo wa kutoa mzigo tu hahahaha@@AttiyaHassan_somomtoto
Somo mtoto shukurani saana Allah awazidishie kila la kheri mnatusaidia saana
Mashaalla
Ww dada hongera sana uko muwazi Kila kitu
Makuraish walimshangaa Mtume (S.A.W) kwa kwenda sokoni. Hii inaonesha wanaume ndio watu wa kwenda sokoni ... leo daladala ya mwanzo Alfajiri wanawake 20 wanaume 10, haoooo Kwerekwe, Pindamgongo na Jumbi. Akirudi saa 11 jioni hatamani hata kukuangalia
Jamn iyoo mada ni nzur maan iyoo kusifiwa hadi tunasahau asaaa maan hadi tunawambia unisifie
Kweli somo tukiwa period ndio tunajiskia hamu zaid😂😂😂😂😂😂😂
Kabisaaa
ASSALAMU ALEIKUM MA SHA ALLAH HATA MIMI NI MKENYA NALAKINI NIKO SAUDIA NA NAWAFATILIA VIZURI SANA VYENU, MUNGU AWAZIDISHIYE ILIMU
UISLAMU UNA HUKMU 5, NDOA NI MOJA KATI YA TENDO LINA AHKAAM ZOTE
***
1. kuna mtu ni 'haraam' kuoa
2. kuna mtu ni 'waajib' kuoa
3. kuna mtu ni 'makrooh' kuoa
4. kuna mtu ni 'mustahab' kuoa
5. kuna mtu ni 'sunnah' kuoa
***
Naomba namba ya somo mtoto
Lakin pia wapo wanaume wanao nyimia tendo la ndoa je, hapo inakuaje? Somo