Mch: Daniel Mgogo -Waliokwenda shule wakaiacha shule shuleni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 341

  • @nicksonanyika1562
    @nicksonanyika1562 3 ปีที่แล้ว +1

    Wape vitu baba baraka za Mungu tu

  • @eustahtola4530
    @eustahtola4530 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Kwa mafunzo mazuri mchungaji, nmebarikiwa sana.

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว

    Mpaka kingereza kinalewa waliokwenda shule shule wameiacha shuleni wanakunywa viroba Chang’aa dah mimi nakupendaga unavyotupa dozi

  • @wycliffendege7785
    @wycliffendege7785 4 ปีที่แล้ว +1

    Daniel Mgogo shukrani sana umenisaidia kwa hayo maneno Mungu akubariki na uendele hivo hivo kuubiri injili ningekuwa na uwezo ningekuja mahali ulipo au ningekuita uje kwangu , napenda sana advice wako ammmmmin

  • @farajajuddy3871
    @farajajuddy3871 4 ปีที่แล้ว

    Mbalikiwe mlio mtia shime mtumishi wa Mungu.

  • @hephzibahchurchkenya4454
    @hephzibahchurchkenya4454 4 ปีที่แล้ว +6

    Mchungaji Mgogo anahubiri Injili sawasawa kabisa bila kuongeza viungovutia. thanks

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kama hauja olewa achana na waume ja watu gojea wakwako,hapo umeongea mtumishi wa mungu kupokonywa mume yauma sana aisee.

  • @bahatlugwisha7299
    @bahatlugwisha7299 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtumish endelea kutukumbusha yaipasayo injili ktk krsto

  • @johnmaxwell6902
    @johnmaxwell6902 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji,kongole sana,mungu akunariki sana na jumbe zako

  • @lugayilajohn6269
    @lugayilajohn6269 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndio mchungaji Tanzania 1 hakuna mwenye mahubili ya kujenga kama huyu barikiwa sana baba

  • @JeremieTheo
    @JeremieTheo 4 หลายเดือนก่อน

    Pasta mungu akubariki tena zaidi

  • @mercimerci7334
    @mercimerci7334 4 ปีที่แล้ว +2

    Umbo wangu ukutukuze Mungu amen 🙏🙏

  • @slaviussalvatory1494
    @slaviussalvatory1494 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali San mchungaji twambie tipone😆😆

  • @gracenazareti7604
    @gracenazareti7604 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli Mtumishi Mungu azidi kukutumia kama chombo

  • @yusuphwella9651
    @yusuphwella9651 5 ปีที่แล้ว +17

    Mim Muslim napenda sana mahubiri yako DM, you speak about life with God

    • @eventelias3566
      @eventelias3566 5 ปีที่แล้ว +2

      Mimi ni mkristo lkn huwa nasikiliza mawaidha yenye mafunzo ya kweli huwa siangalii dini pia.

    • @mfokachema
      @mfokachema 4 ปีที่แล้ว

      Yesu ndiye njia na kweli na uzima. Karibu umpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako

  • @rosiealf5280
    @rosiealf5280 5 ปีที่แล้ว +29

    Daaah Yaani nimecheka ety wasichana walionyang'anya nguo za wadogo zao, afu mtu kaenda shule akaacha shule shuleni!

  • @emmanuelyenderew7684
    @emmanuelyenderew7684 3 ปีที่แล้ว

    😜😜😜😜😜😜😜😜Wamenyang'anya nguo za wadogo zaoooo haaaaa haaaaaa haaaaaa aya bhana pasta mgogo dah nimecheka .Mpaka machozii

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mimi nakupenda sana unaongeaga ukweli yaani

  • @danielmali1568
    @danielmali1568 4 ปีที่แล้ว

    Pastor Yani unastahili Sana hakuna kuficha mungu akubariki

  • @fadhilibaruani2050
    @fadhilibaruani2050 4 ปีที่แล้ว

    Mahubiri yko yanagusa jamii husika hayo yte yanatendeka endelea mungu atakucmamia

  • @kakajemmy2772
    @kakajemmy2772 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi.

  • @isakalumumba5817
    @isakalumumba5817 5 ปีที่แล้ว +15

    Kwa kweli kumtumikia Bwana kunalipa NA chenji inabaki nakupenda BABA ubarikiwe

    • @gabrielntengo5092
      @gabrielntengo5092 5 ปีที่แล้ว

      Dadailu
      🥰😀😁🤣😃😄😘😅😆😀😎🐃🐔

  • @jaclineezekiel1937
    @jaclineezekiel1937 3 ปีที่แล้ว

    Ubarkiwe pasta mgogo

  • @freddymukindiwa7870
    @freddymukindiwa7870 4 ปีที่แล้ว

    kwenda shule na kuhihacha shule shuleni yani muchungaji ni bala ubarikiwe kwa ufunuho kila mala unakuwa ukinibaliki sana

  • @babuallyabdallah2964
    @babuallyabdallah2964 4 ปีที่แล้ว +32

    Mimi ni muislamu..
    Lakini nafuatilia sana mahubiri..
    Kwa kweli upo vizur sana na mahubiri yako ni mazuri sana mchungaji..

    • @nyambatikwamboka7065
      @nyambatikwamboka7065 4 ปีที่แล้ว +2

      Barikiwa ndugu!

    • @babuallyabdallah2964
      @babuallyabdallah2964 4 ปีที่แล้ว +1

      @@nyambatikwamboka7065
      Nawe pia

    • @chachamaheri7785
      @chachamaheri7785 4 ปีที่แล้ว +1

      Brazee ngoja tushare Maarifa Mungu ni Mmoja lkn mtu mbaya ni mzungu kazigawa dini tusijue ukwel yaani Maarifa

    • @angeljasson4376
      @angeljasson4376 4 ปีที่แล้ว +1

      Tupo wengi

    • @Mike-yg7pb
      @Mike-yg7pb 4 ปีที่แล้ว

      Naamini kuna siku utakuwa muhubiri mkubwa sana ukitangaza jina la Yesu kuwa ni mwokozi, maana sisi wote tunamtafuta Mungu,

  • @AIPusle
    @AIPusle 5 ปีที่แล้ว +7

    Mtumishi wanachuna sana watoto wa mjini yani daaaaah hawafai kabisa Uzinzi mbaya

  • @danfordmartin1817
    @danfordmartin1817 3 ปีที่แล้ว

    Hakika talanta yako unaitumia vizuri

  • @suzan_macharia190
    @suzan_macharia190 4 ปีที่แล้ว +4

    I love your transparency in preaching.. God bless you.. Watching from Bahrain... 6.11am...

  • @gracesiima1565
    @gracesiima1565 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mchunga

  • @paulondiek1345
    @paulondiek1345 4 ปีที่แล้ว +1

    Yafaa saa nyingine mkabadilishane na pastor Paul kuria wa kenya mkazambashe injili,am glad to watch you from USA.

    • @eustahtola4530
      @eustahtola4530 2 ปีที่แล้ว

      Ukweli kabisaa bro,c nmecheka yangu yote nko Saudi Arabia

  • @uswegemwakajinga4218
    @uswegemwakajinga4218 5 ปีที่แล้ว +57

    Dozi yako ni chungu sana lkn inaponya barikiwa sana baba

  • @joshuaorinda4165
    @joshuaorinda4165 5 ปีที่แล้ว

    kweli Mungu ni Mungu,ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @calebeslusheh9409
    @calebeslusheh9409 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Mchungaji amenibadilisha sana.Dunia mzima inafaa kumskiza.

  • @denismunene1079
    @denismunene1079 4 ปีที่แล้ว

    Daaah kweli dozi kweli mutumishi barikiwa

  • @travisg.online3818
    @travisg.online3818 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwee Mtumishii wa Mungu..

  • @rebeccajohns5171
    @rebeccajohns5171 5 ปีที่แล้ว +5

    Ilove u pastor u bless us..unagonga chuma kikiwa moto..barikiwa sana.na karibu Kenya

  • @ezakiyosia7265
    @ezakiyosia7265 4 ปีที่แล้ว

    Sawa pastor asante kwa mafundisho hayooo mazuri

  • @lucaslaurent2920
    @lucaslaurent2920 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli Mchungaj. Kila dhambi zina viwango mbalimbali bora zaidi kuokoka

  • @leahnaliaka5538
    @leahnaliaka5538 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣sahau Kama si forget 🙆🙆🙆 waaah

  • @mashazawadi739
    @mashazawadi739 5 ปีที่แล้ว

    Una kipawa mchungaji unanguza mioyo za watu na unabadilisha. Ubarikiwe.

  • @jumabunzari8378
    @jumabunzari8378 5 ปีที่แล้ว +24

    haaahahaaaaaa we mchungaji nomaa sana,,dar!!! 😂 mungu akubariki sana,,,

  • @dtech_cmputertraining5514
    @dtech_cmputertraining5514 5 ปีที่แล้ว +16

    Barikiwa Sana pastor , hili neno halijapita bure kwangu

  • @silasalumela6016
    @silasalumela6016 3 ปีที่แล้ว

    Kenyans love you. Your message is wonderful and has transformed many here in Kenya

    • @pabloalfred6617
      @pabloalfred6617 3 ปีที่แล้ว

      i guess im randomly asking but does someone know of a tool to log back into an Instagram account??
      I stupidly lost the password. I appreciate any tips you can give me.

  • @kaswahilienock7165
    @kaswahilienock7165 3 ปีที่แล้ว

    Hongera mch Daniel

  • @mwasjohn58
    @mwasjohn58 5 ปีที่แล้ว +9

    Kutoka Kenya.Sijawai muona mhuburi ambaye anasema ukweli wa mambo ulivyo kama huyu.Mwenyezi Mungu na akupe zaidi.Ningetamani sana uje nchini kenya kuhubiri.

    • @abouilysar5416
      @abouilysar5416 5 ปีที่แล้ว

      Sio imani yangu Ila napata nafasi ya kumsikiliza na namuelewa na napata kujifunza kitu simsikii akiubili miujiza tu

    • @alexanderbalars
      @alexanderbalars 4 ปีที่แล้ว

      Tunaye Kenya pua anaitwa Mr Tee

    • @alexanderbalars
      @alexanderbalars 4 ปีที่แล้ว

      Tunaye Kenya pua anaitwa Mr Tee

    • @alexanderbalars
      @alexanderbalars 4 ปีที่แล้ว

      Tunaye Kenya pia anaitwa Mr Tee

    • @alexanderbalars
      @alexanderbalars 4 ปีที่แล้ว

      Tunaye Kenya pia anaitwa Mr Tee

  • @ednajared8385
    @ednajared8385 5 ปีที่แล้ว +14

    Eeeh waaah mchungaji una kibali kweli. Be blessed

    • @hidayanebati8645
      @hidayanebati8645 5 ปีที่แล้ว +1

      Jamani kanigusa unaamini maji anaekupa anakesha kuomba

  • @bokongemedia4920
    @bokongemedia4920 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @rachelmghamba5487
    @rachelmghamba5487 5 ปีที่แล้ว +14

    Dah !!!! pastor Mgogo MUNGU na akuinue zaidiiii kwa viwango vya tofauti

  • @janekuloba2506
    @janekuloba2506 5 ปีที่แล้ว +6

    oooh mungu nisaidie ni siue mtu mungu nipe typ yangu asante kwa dosi

  • @wycliffjustus4018
    @wycliffjustus4018 5 ปีที่แล้ว +1

    True haijalishi unatumia pombe aina gani ulevi wakutojua neno la Mungu ni ulevi

  • @bensonotieno7901
    @bensonotieno7901 4 ปีที่แล้ว +1

    injili iliyokamili...AMEEN

  • @mckingmojojo363
    @mckingmojojo363 5 ปีที่แล้ว +5

    Dozi imeingia hiyo Mchungaji huyu nampenda sana.

  • @alexmwankosole8196
    @alexmwankosole8196 4 ปีที่แล้ว

    Tunashkuru Sana kwa mahubiri yako

  • @tulimalingumu4425
    @tulimalingumu4425 2 ปีที่แล้ว

    Kongole mwana wa mungu

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa....sana

  • @marymungai4429
    @marymungai4429 4 ปีที่แล้ว

    Kenyans love you Pastor. you are real

  • @kihiyoedith4674
    @kihiyoedith4674 5 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa japo ukweli mchungu Mchungaji

  • @majaliwabisama9360
    @majaliwabisama9360 5 ปีที่แล้ว +6

    kweli itatuweka huru endelea hivo hivyo usilegeze kamba, be blessed

  • @amedeusshio7836
    @amedeusshio7836 4 ปีที่แล้ว

    mch daniel mungu akubariki upo vinzur

  • @naillanalphanairakoze3880
    @naillanalphanairakoze3880 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mm mtumishi wa Mungu nampenda mpaka sielewi😂😂

  • @mariasanga4857
    @mariasanga4857 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubaliki mtumishi

  • @elikamsovela9089
    @elikamsovela9089 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji barikiwa sana. Yaan napenda sana mahubiri yako kwani unasema ukweli mtupu. Mungu akupe umri mrefu ili uzidi kutupa dozi ya mahubiri.

  • @likinatodonojorban3807
    @likinatodonojorban3807 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante mchungaji

  • @evalinewalter5931
    @evalinewalter5931 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Sana Baba

  • @marymuthoni1551
    @marymuthoni1551 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana, Mungu ni mwema

  • @sebachanga9051
    @sebachanga9051 4 ปีที่แล้ว

    hongera ujumbe mzuri

  • @floreemichael2815
    @floreemichael2815 4 ปีที่แล้ว

    Mabinti mtulie muache waume wawezio, neno zuri barikiwa from kenya

    • @angelrimoy2365
      @angelrimoy2365 4 ปีที่แล้ว

      Floree Michael msiuee hao wanaume ndo watulie

  • @hubirikandonga3492
    @hubirikandonga3492 5 ปีที่แล้ว +6

    Balikiwa sana mtumishi wa. Mungu

  • @LisaLisa-wd8oy
    @LisaLisa-wd8oy 4 ปีที่แล้ว

    Waaaah Aki sini mecheka waa be blessed pastor mungu aendelee kukuongezea nguvu

  • @susanwakesho9133
    @susanwakesho9133 5 ปีที่แล้ว +28

    Pastor wa madoz tupe! Tupe dawa kulingana n mgonjwa yetu nabarikiwa Sana n huduma yako ya kulipua ndio tutapona baba

  • @danieljohn3836
    @danieljohn3836 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongezeee maarifa mchangaji

  • @willysmuriithi3098
    @willysmuriithi3098 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji uko mbali nami ningekupa mihela

  • @silviakihaka9795
    @silviakihaka9795 5 ปีที่แล้ว +4

    nimefunguliwa kwa somo LA leo endelea kutufundisha mtumishi wetu

  • @emmanuellekakeny3044
    @emmanuellekakeny3044 4 ปีที่แล้ว

    Amen amen poster God bless you

  • @kamutua6376
    @kamutua6376 4 ปีที่แล้ว

    wow. amina kwa neno nzuri

  • @happywilliam5086
    @happywilliam5086 5 ปีที่แล้ว +7

    Hahaha kizuri kula na wenzako ahsante mchungaji,

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 ปีที่แล้ว

    Choka mbaya kwenye mapori mbavu zangu mie tunyama twa nguruwe mjini wanahakikisha wamekukwangua

  • @irenekerubo9791
    @irenekerubo9791 4 ปีที่แล้ว

    Mahubiri yako unijenga

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 ปีที่แล้ว

    amina mchungaji sema kweli ya mungu tuione mbingu.

  • @hezronyuda2122
    @hezronyuda2122 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Mwana wa Mungu

  • @fei3668
    @fei3668 4 ปีที่แล้ว

    my best pastor

  • @collethamnyalu2468
    @collethamnyalu2468 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana

  • @wilycsterkwatera9880
    @wilycsterkwatera9880 4 ปีที่แล้ว +1

    Very powerful powerful be blessed

  • @queenmaya8022
    @queenmaya8022 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha eti wamekukwangua😄😄😄😄😄🙌 sura ya tafadhal nipigie😄😄😄😄🙌

  • @siliakilojasi7063
    @siliakilojasi7063 5 ปีที่แล้ว

    Unatisha muchungaji.ubarikiwe

  • @happydaimon2891
    @happydaimon2891 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante baba hii inaitwa ngumu kumeza

  • @gracedismas1108
    @gracedismas1108 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akujalie uzima

  • @livinusdausonilivinusdauso3124
    @livinusdausonilivinusdauso3124 5 ปีที่แล้ว +1

    mchungaji mm nafurah sana mahubili yako ni mazuri sana

  • @sophiakitomari1328
    @sophiakitomari1328 4 ปีที่แล้ว

    Umejua kunichekesha wambie baba nakupenda bure eti afazali mm ninakamoja😂😂😂😂😝😝

  • @isabellakasandi2081
    @isabellakasandi2081 4 ปีที่แล้ว +3

    So motivated mchungaji.May the almighty bless you to inspire other souls

  • @marympemba8843
    @marympemba8843 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji tunapokea dozi, inatusaidia sana

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 4 ปีที่แล้ว

    Mzee wa dozi kweli,karibu kenya mchungaji

  • @shilatuboniphace8402
    @shilatuboniphace8402 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa doz zako rev mgogo nazipenda sanaa

  • @patrickmaina5594
    @patrickmaina5594 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks alot pastor

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 4 ปีที่แล้ว

    et wanalewa hd kingereza,kinalewa khaaa mchungqji😂😂😥

  • @metrinekakati1499
    @metrinekakati1499 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana ...

  • @dexoorayz309
    @dexoorayz309 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimetosha dozi mtumishi , usiniongezee ingine

  • @vicenizeclassic475
    @vicenizeclassic475 4 ปีที่แล้ว +1

    Sema tupone mtumishi wa bwana

  • @kisimawankasabai5468
    @kisimawankasabai5468 4 ปีที่แล้ว +1

    I ko sawa

  • @alindainnocent5864
    @alindainnocent5864 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli mafundisho haya yanafungua ufahamu