Akili hii kubwa mno, kama sikosei Wasira aliwahi sema" usiache mjadala ulioelemea upinzani(chadema) ukalala, kesho yake Lisu ataupindua, na utaelemea watawala(CCM)". Nchi hii inawakosa watu wake wenye vipaji na weledi mkubwa wa kuivusha. Ukandamizaji huu umesababisha watu wetu wengi wenye weledi na vipaji vikubwa vya kuendeleza nchi, aidha kuhujumiwa na mambumbumbu na kutupwa kusikojulikana au wahusika(wenye weledi) kukimbilia nchi za kigeni. Mungu akulinde Lisu.
lisu Sina mashaka na wewe kuhusu uwezo wako wa kuongoza mashaka yangu ni kauli zako hazina tofauti na kauli za rafiki yako aliyeondoka chadema 34:00 Nadi sera tutakuchagua acha kusema mbowe vibaya kilinde chama
Inawezekana kabisa Boni Yai yuko pa1 na anamaslahi tangu wanaingia bungeni ki covid19,.na hakuna ubishi yuko nao wazi wazi na ndiomana anajikubali sana!
Jamani tuwe wakweli Tundu Lisu ni kichwa.."genius" watu wañamwita mlopokaji..lakini ukimsikiliza kwa makini unapata picha kwamba huyu ni mtu anafaa sana...nimefuatilia sana katika mahojiano mbalimbali kila swali amekuwa anapangua..hata liwe gumu kiasi gani anapangua.
@@kakuruchiganga507kabisa,jamaa nampenda bcoz kanyoka, na huyu tungepata bahati ndio awe rais ukweli angenyosha nchi Kwa kufuata Sheria, amejipambanua kupenda haki na ukweli, Hana udikiteta mbali anasimamia Sheria na haki
Mim ni ccm na nmezaliwa ndani ya ccm lkn lisu ni mwamba anaakili sana sitaacha kumfatilia namuombea kwa Mungu ashinde na amlinde thidi ya maadui lisu usiogope songa mbele
Lisu anaeleza vizuri na anaeleweka ila hawa waandishi kaingia cha kike yaani ni BONGO LALA aina ya maswali wanayomuuliza inaonesha kuwa vichwani mwao hazimo 😂😂😂
Lissu hapo unachanganya apple na orange, unasema Dar es salaam ina watu mil 6 na majimbo machache Zanzibar ina watu laki tano ina majimbo 50 kwa hiyo kwa mtazamo wa Lissu sio Sawa Hayo ni makubaliano ya muungano, Dar es salaam haikuwa nchi!
Ukitaka kumhoji Lissu , andaa maswali na usikurupuke, Uchawa na upambe, ukikuongoza,kwenye kuuliza maswali, kwa huyu mwamba,utajikuta darasani. Huyu mwamba ni mzalendo ,asiyetia shaka. Timu Mbowe na machawa wa ccm,msiyempenda kachukua Fomu, kila mkimhoji, mnamwongezea ujiko, kaeni mbali naye,kwani kwa hoja ? Hamta muweza.
Huyo anayemwuliza Lissu hana hoja zenye mantiki. Ana upeo finyu. Sasa hoja yake anataka pasiwe na uchaguzi wa uongozi wa juu ktk chama. Nalazimika hao ni wapambe wa maadui wa chadema. Wanatafuta lissu aseme kitu chenye tija kwenye mipango yao michafu.
Tatizo ameshasema kuwa jahazi analosafilia ni kama limetonoka pale alipchambua mapungufu ya chama Sasa niseme tena na hapo ameulizwa kwamba ikitokea ameshindwa uchaguzi huo ataendelea kulisafilia? Lisu ulitaka kuanza vibaya kauli ndiyo maana inaonekana ulisha ASI unatofautiana kidpgo tu na msigwa.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Christian Sambala
Ukimsikiliza lisu hachoshi Mungu ambariki sana . genius
Mi simpendi an Yan sn
@@EmmanuelMlowe-u1vkwan yeye alishakuambia anakupenda?
@@EmmanuelMlowe-u1vndio msiojulijana tu mpumbavu mkubwa
Lissu yupo Positive sana
Tundu Lissu amesema vizuri sana. Mungu ambariki kwa shule hii nzuri.
Wacha kukuza ujinga. Asante Lisu kwa kuwafundisha hao wapambe wa kuvunja chama
Lisu mungu akulinde sana
Lissu genius na wish hata awe President .
Asante kwa elimu
Huyu ndo mwamba
Lissu for TANZANIAN POLITICS
Ulizen maswali mmoja mmoja mnaemuliza anakil nying
Jamaaa sio wa kuulizwa maswali mepesi. Level yake ya IQ iko juu mno.
Kiukweli Mungu ni mkubwa sana
Lissu is the best candidate.
Mimi nawapenda viongozi wote WA chadema ila ni timu Lisu
Lisu nae ni chadema
Lisu ongoza chama hiki
Akili kubwa sana
Kugombea sio kuongoza ni democracy ndani ya chama wala haina husiano na kubomoa chama.kama wandishi mnakosa maswali yenye uweledi bora mkaa kimya.
Ila lissu akishindwa mm naacha kufatilia siasa wala kupiga kura wengine tunasafiri toka mkoani
Lissu kiongozi
I promise you're going to win
Namlinganisha na Mwabukusi kwenye kinyang'anyiro cha TLS. Alifanyiwa figisu kibao lkn alishinda.
SIJAWAHI KUJUTIA KUKUPA KURA YANGU YA URAIS.❤❤❤❤❤❤
Na anachukiwa hata na watoto wadogo
Namuerewa lisu
Akili hii kubwa mno, kama sikosei Wasira aliwahi sema" usiache mjadala ulioelemea upinzani(chadema) ukalala, kesho yake Lisu ataupindua, na utaelemea watawala(CCM)". Nchi hii inawakosa watu wake wenye vipaji na weledi mkubwa wa kuivusha. Ukandamizaji huu umesababisha watu wetu wengi wenye weledi na vipaji vikubwa vya kuendeleza nchi, aidha kuhujumiwa na mambumbumbu na kutupwa kusikojulikana au wahusika(wenye weledi) kukimbilia nchi za kigeni. Mungu akulinde Lisu.
Excellent brother Lisu
hawa waandishi wameeuliza vizur
Kuna mtu anachungulia dirishani, walioona like hapo
Lisu gombea npo nyuma yako
My President Lissu
Ksskazini tuko na Lissu mpaka Moshi....
Kweli?? Au wewe ni mhamiaji wa huko.
Sisi kanda maalum Tupo na lisu
Ulipo lisu tupo
lisu Sina mashaka na wewe kuhusu uwezo wako wa kuongoza mashaka yangu ni kauli zako hazina tofauti na kauli za rafiki yako aliyeondoka chadema 34:00 Nadi sera tutakuchagua acha kusema mbowe vibaya kilinde chama
Kamsema vipi vibaya
Lissu hajamsema mwenyekiti wake sema machawa ndio mnashida
Inawezekana kabisa Boni Yai yuko pa1 na anamaslahi tangu wanaingia bungeni ki covid19,.na hakuna ubishi yuko nao wazi wazi na ndiomana anajikubali sana!
😁😁😁😁😁umenichekesha
Jamani tuwe wakweli Tundu Lisu ni kichwa.."genius" watu wañamwita mlopokaji..lakini ukimsikiliza kwa makini unapata picha kwamba huyu ni mtu anafaa sana...nimefuatilia sana katika mahojiano mbalimbali kila swali amekuwa anapangua..hata liwe gumu kiasi gani anapangua.
Jamaa anatisha. Utadhani huwa anajiandaa kabla. Na ccm inamwogopa sana Lissu.
Watanzania wanapenda watu wenye mizaha na ubabaishaji kwenye mambo serious. Na hao ndo hawampendi na kutokumuelewa huyu jamaa.
@@kakuruchiganga507kabisa,jamaa nampenda bcoz kanyoka, na huyu tungepata bahati ndio awe rais ukweli angenyosha nchi Kwa kufuata Sheria, amejipambanua kupenda haki na ukweli, Hana udikiteta mbali anasimamia Sheria na haki
Mbona watangazaj hamjajipanga Kwa maswali mnapiga kelele tu
😂😂😂😂
Mim ni ccm na nmezaliwa ndani ya ccm lkn lisu ni mwamba anaakili sana sitaacha kumfatilia namuombea kwa Mungu ashinde na amlinde thidi ya maadui lisu usiogope songa mbele
Nikweli kutoka moyoni
Hawa waandishi walipaswa wafike wamsikilize lisu halafu waage waondoke,wanamuingizia mbu
MnachambanaTundu Lissu na Mbowe bila kutajana majina.
Wandishii wa hovyoo
Kabisa
Lisu do it ..ungekuwa Wa kaskazini ungepita
Kumbe Chadema ni cha Kaskazini?
Ni ujinga ujinga tuu acha ubaguzi
Lisu anaeleza vizuri na anaeleweka ila hawa waandishi kaingia cha kike yaani ni BONGO LALA aina ya maswali wanayomuuliza inaonesha kuwa vichwani mwao hazimo 😂😂😂
Mm akipita mbowe sitak kusikia tena chadema kwenyemaisha haya
Umelipia lini uuanachama cdm
Hata Mimi sitotaka kuwasikia
Waandishi hovyo kabisa hovo hpvyo
Huyoo njoo ukae usa bongo huwezi
Lisu wewe ndo mwamba ktk nchi hii na msema kweli! Hua natamani sn uwe kiongozi mkubwa ktk nchi hii!
Waandishi mepata nafasi na Lissu lakini maswali mnayouliza mnafeli sana muwe mnafanya homework zenu kabla ya interview..
Wote nimajembe yeyote atakaepita sawa tu
Hao watangazaji niwanafiki nawajuwa wakikutana na ccm hawaulizi maswali magumu tena haswa huyo mzee mnafiki Sana simpendi
Kenya kuliwahi kutokea FOD ASILI na FODI JENYA hivo muda wowote na hapa kutatokea CDM ASiLI NA CDM TANZANIA
Lisu amejipanga
kushinda kwa kwa sababu anajiona yeye pekee ndiyo mshindi!.
Mbowe unapambana vizuri na hao machawa. Maana wana lengo lao mgongoni.
Kwa mawazo kama haya yako ni vyema mukakitangaza Chadema kuwa ni cha Kisultani
Nyie waandishi wa habari anzeni kuelimisha Umma juu ya katiba mpya.
Waandishi naona wamemfata lissu ili KUJIFUNZA Sheria na sio kuhoji kuhusu kwanini kaamua kugombea Uenyekiti.
Mwandishi mjinga Sana. Huyu uwezo wake mdogo Sana. Yani unaingilia mazungumzo. Muachen afunguke
Dah hyu jamaa yaan hata aongee had kesho hachochi kumsikiliza,Yan kila.anachojibu ni sawia
Kweli kabisa ❤
Mm nataka lisu awe mwenyekit wa chama ,vinginevyo staki kusikia chadema
Nenda ACT au CCM
Very true
Tuko pamoja lisu
Kipekee lissu ni mwalim wa kipekee
Huyo aliyevaa sharing jeusi ni mwanahabari au mwanasiasa tena chawa wa Mbowe! Asikilize majibu
Hawa sio waandishi wa habari bali ni waandika habari!🎉
They are not professional at all
Mheshimiwa Lissu ni bora ukaachana na mambo ya siasa maana kila unalojaribu linakuwa kushoto.
Acha kumkatisha tamaa na Lisu siyo mjinga wa kusikiliza ushauri wa kijinga
WAANDISHI MBONA mnaenda kumhoji LISU na majibu?
Waandishi wanajikesha Kam mademu waliona bia😂
Acha tuu MBOWE aue tuu chama,kitapatikana chama kingine kitakachoaminika na watanzania.acha hiki kibaki kuwa chama cha familia
Huyu Mzee uliyemkatibisha kwako ni chawa katumwa.analazimisha hoja zake zikubaliwe
Nyie sio wandishi wa Habar.nikama hamkosoma.Lisu ana Akili nyingi hivyo mtamchosha
Swali gumu lakn zuri😊
Hawa waandishi Leo mmmh hawajui wanachokihoji
Sasa maswali mazuri mnauliza ongeren hayo ndo maswali
Huyu jamaa anafaaa, kukiongoza hiki CHAMA
Unajisifu mwenyewe, unawakilisha ushoga
Huo ni ujinga wako uliokujaa
Akili nyingi sana
Nyie mmesoma kweli,tokeni hapo Kwa lisu,elimu yenu ni o,Lisu never ague with a full.
Lissu hapo unachanganya apple na orange, unasema Dar es salaam ina watu mil 6 na majimbo machache Zanzibar ina watu laki tano ina majimbo 50 kwa hiyo kwa mtazamo wa Lissu sio Sawa
Hayo ni makubaliano ya muungano,
Dar es salaam haikuwa nchi!
Humwelewi Lisu na hujielewi mwenyewe.
Lisu msigwa nae alisema ivyo
waandishi mmepelea sana, yaani ni kama hamjajianda na mnajua mnahoni Geneus
Lisu kidume sana chama sio.cha familia kwanini mtu akiutaka uenyekiti TU inakuwa nongwa?
Hivi hawa ni waandishi kweli au wameenda kupiga soga,
Ukitaka kumhoji Lissu , andaa maswali na usikurupuke,
Uchawa na upambe, ukikuongoza,kwenye kuuliza maswali, kwa huyu mwamba,utajikuta darasani.
Huyu mwamba ni mzalendo ,asiyetia shaka.
Timu Mbowe na machawa wa ccm,msiyempenda kachukua Fomu, kila mkimhoji, mnamwongezea ujiko, kaeni mbali naye,kwani kwa hoja ? Hamta muweza.
Lisu Hatoki Inje ya Swali Anajibu Swali Kama lilivyo Ulizwa Nizaid Ya Mwalimu Anaelisha
Huyo anayemwuliza Lissu hana hoja zenye mantiki. Ana upeo finyu. Sasa hoja yake anataka pasiwe na uchaguzi wa uongozi wa juu ktk chama. Nalazimika hao ni wapambe wa maadui wa chadema. Wanatafuta lissu aseme kitu chenye tija kwenye mipango yao michafu.
Mwamba sana kasema ukweli mtupu
Mkweli hatakiwi
Lissu kama Lissu
lisu mwambie mbowe Sasa mwenyekiti inatosha upunzike umefanya makubwa kwenye chama sio kutoa maneno ya kashifa na kutugawa
Sasa mbona mnamlazimisha mnayoyataka nyie . huyu sio mjinga kama wengine anajua anafanya nini.
Huyo mzee hajui hana hekima kabisa
Haya Majitu hayana hata Nidhamu ya mazungumzo Kila mmoja anajiongelea tu
Tatizo ameshasema kuwa jahazi analosafilia ni kama limetonoka pale alipchambua mapungufu ya chama Sasa niseme tena na hapo ameulizwa kwamba ikitokea ameshindwa uchaguzi huo ataendelea kulisafilia? Lisu ulitaka kuanza vibaya kauli ndiyo maana inaonekana ulisha ASI unatofautiana kidpgo tu na msigwa.
Hakuna wandishi wa Habari hapo! Hawajajipanga ndo maana Wana ropoka bila utaratibu.
Kwa Sasa lissu ndiye anafaa kuwa mwenyekiti mbowe apumuzike.
lisu akili mingi sana wewe Nikichwa kuliko mbowe utofauti upo mkubwa misimamo mikali Na yenye maana
Huyu mzee aachane na masuala ya habari simpendi sababu anakatisha hoja za mhojiwa
Sijapata maoni ya CCM maana huwa wanampinga mbowe asiwe yeye tu je wanampinga mkono lisu?
Kwasasa maCCM wanataka Mbowe awe Kiongozi coz anawatetea sana kwenye maovu yao
tundu lisy ataharib@@deluxermahyono5290
Sasa huyu usipo mpaa uwenyekiti mnataka tubaki shimoni wana mageuzi????wa cdm ????tumpee kazi tutafika tupatakapo
Tundu lissu punguza mahjiano mb zinaisha maana mondo zako sio za kawaida
Sijui kwanini nilidhani Tundu Lisu ni muislamu 🤔
Dini ya Tundu Lissu inatuhusu nini sisi?awe muislam,pagan, mkristo au vyovyote hilo halituhusu sisi kama watanzania.
Naona lisu ataenda ACT WAZALENDO baada yakushindwa .Vyama vya upinzani ni changamoto kinakua kinashuka ,kinapanda kingine,kushika dola ni ngumu sana.
Kwahy Mbowe hastahili kupingwa sio?
Hivi aliyetoa mchango wa fedha na aliyetoa maisha yake CHADEMA; ni yupi aliyechanga zaidi?