PALESTINA msimamo wake ISRAEL imevamia eneo lao - YERICKO NYERERE, DJ SMA wajadili KIINI cha MGOGORO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 503

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 ปีที่แล้ว +3

    aya madini yaliyoshushwa apa ata c elew niyaweke wap ii combination ni 433 🔥 dj sma proud of you broo 🙌💯

  • @Jmedia_Tv
    @Jmedia_Tv ปีที่แล้ว +30

    Kwa mtazamo wangu Dj Sma upo smart sana huo utambulisho uliotanguliza kwamba ni mwanafunzi umeenda kujifunza binafsi nimekuelewa tena nimekuelewa kweli na napenda hiyo mentality.nice,nice,nice,kweli mwanafunzi lakini kila master wa kweli yupo hivyo,big up sana.

    • @EliaMwaijumba
      @EliaMwaijumba ปีที่แล้ว +1

      Wana vitu vizuri

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 ปีที่แล้ว


      Zaid ya saaan

    • @charlesfrancisthomas4898
      @charlesfrancisthomas4898 ปีที่แล้ว

      Jamaa alikua mwanafunzi wa dj tasi Savanah lounge, Sema huyo yericko mashauzi sana mbutu kwetu tumezLiwa leo pamekua uswahilini

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      ​@@charlesfrancisthomas4898sasa kama ni ni uswaihilini asiseme 😂😂😂 we vipi 😂

  • @maulidomar9578
    @maulidomar9578 ปีที่แล้ว +36

    This is the best discussion I ever had in my life.... From Zanzibar

    • @kevinmary7129
      @kevinmary7129 ปีที่แล้ว

      Upuuzi na ujinga wa kidini/ religious foolishness

    • @kevinmary7129
      @kevinmary7129 ปีที่แล้ว +1

      waaarabu wanaujinga sanaaanaaa wahame warud makwao kwenye nchi za mababu zao wahame tu waislamu DJ ni mjinga sanaaa religious foolishness

    • @stellalwesya8790
      @stellalwesya8790 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +1

      @@kevinmary7129 NA PALE PALESTAIN NI KWA BABU YAKO??? KONDOO MWEUSI WEWE

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +1

      @@kevinmary7129 MJINGA WEWE UNAEITWA KONDOO NA UNAKUBALI NA WAKATI WEWE NI BINADAMU SASA VP USHAOLEWA?? AU UNANGOJEA NINI WAJANJA WANATAKA UWOLEWE RASMI NA NDEVU ZAKO KONDOO MWEUSI WEWE.

  • @alexmsigara4329
    @alexmsigara4329 ปีที่แล้ว +6

    Great interview ever.! Thanks guys for opening up our minds.! Kaka Sky you are the best, thank you for bringing these guys together.!

  • @richardomondi3107
    @richardomondi3107 ปีที่แล้ว +12

    Dj sma u really made me proud..u are indeed makes u point in a decent manner

  • @jamesnkumbila5937
    @jamesnkumbila5937 ปีที่แล้ว +8

    Asante sana sky ,tunakupenda sana vipindi vyenu sns...I started following this Chanel since 2019.i love it 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 ปีที่แล้ว +16

    Dj sma shukran. Mungu azidi kukupa elimu yenye kher na manufaa. Unamadini yakutosha

  • @beatricefrankngalubutu1448
    @beatricefrankngalubutu1448 ปีที่แล้ว +8

    Jamn hawa jamaa ni nomaah nmesubir tangu jana❤❤❤❤dj smaa ni noma pia

  • @ernestfelixigonga9726
    @ernestfelixigonga9726 ปีที่แล้ว +1

    Very nice discussion , Heko nyingi sana Kaka Bundala huyu Dj yupo vizuri saana

  • @DonaldManyamaICTOfficerAmani
    @DonaldManyamaICTOfficerAmani ปีที่แล้ว +8

    Best conversation I never see 🙏 Asante mr nyerere,sky,and DJ Sma.

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 ปีที่แล้ว +5

    JAMANI COMBINATION YENU ❤ YA WATU WATATU, SKY, NYERERE NA DJ SMA DUH MTAFUNGUA WATU WENGI KIUFAHAMU MKIWA HIVYO HIVYO NDUGU 👍👍🇹🇿❤️

  • @beatricemachota8017
    @beatricemachota8017 ปีที่แล้ว +22

    Wow! Marvellous 🙌 Sky, keep this guy, Y Nyerere, Madini yake ni muhimu sana kwenye jamii. Bravo 👍

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว +3

    Hapo amekoseka moja prof jamar April(wasafi tv) ❤ djsma yerico nyerere ingekuwa utatu mtakatifu hongereni kwa kazi nzuri

  • @DeusiKasusu-yj9eg
    @DeusiKasusu-yj9eg ปีที่แล้ว +5

    Wht a beatful discussion....I love this. Keep it up sky

  • @parma786
    @parma786 ปีที่แล้ว +1

    DJ smaa and mr Nyerere well done thanks very much all the gays around the great story

  • @michaeljeremiah5364
    @michaeljeremiah5364 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana aisee..kuna watu wanaijua hii Dunia salute kwenu sns mko levels ya juu sana..

  • @gabrielmachotta5193
    @gabrielmachotta5193 8 หลายเดือนก่อน

    Nimenufaika sana na maongezi ya Ndugu Yericko Nyerere. Kitabu cha Ujasusi nakihitaji saaana ❤❤

  • @KuwakuMalumba6895
    @KuwakuMalumba6895 ปีที่แล้ว +9

    I like everything guys u say. This is very good show my people's. Dio vipindi tuna taka ivi. Tuna juwa ukweli wa dunia. Sio kila siku mambo ya umbeya atu saidiye kitu shoshote. Mambo niaya sasa. Ukweli kuhusu dini, mambo kuhusu siasa. Very nice🇧🇮🇨🇩🇷🇼🇳🇬🇸🇴🇿🇦🇹🇿🇿🇼🫵🏿👊🏿 let pray for Africa peace and love ❤️

  • @ziongate5464
    @ziongate5464 ปีที่แล้ว +26

    Dj sma unaongea kwa fakti, ukweli na haki. Mungu akuzidishie hekma na busara. Halafu napenda uvyojishusha yaani sio mjuaji. Allah akuzidishie elimu yenye manufaa

    • @saidsfaudh4336
      @saidsfaudh4336 ปีที่แล้ว

      yani ndugu umeniongerea mawazo yangu .nkweli huyu jamaa anajua sana ila apendi kujikweza

    • @peterdeus6093
      @peterdeus6093 ปีที่แล้ว

      Yeah, kwel hata namna anavyo approach hoja yuko smart kama jina lake

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 ปีที่แล้ว +9

    🤣🤣Yeriko angekuwa Muhaya, hakika tungepata taabu sana! Vinginevyo, 🙏👍👏!!!

    • @mlelwatv5831
      @mlelwatv5831 ปีที่แล้ว

      😂😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @Shabani-xr2ec
    @Shabani-xr2ec 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepata habari vizuri

  • @jumamboga9652
    @jumamboga9652 ปีที่แล้ว +22

    Like 10k kwenye comment hii kwa ajili mwana wa SNS❤❤❤

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu ปีที่แล้ว

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      content aweke mwingine like upewe wewe ?
      acha ushamba 😏

    • @sifatiiman
      @sifatiiman ปีที่แล้ว

      ​@@officialkamdudumbona povu sasa kwan lazima kama huwezi kausha

    • @shenamtukufu1224
      @shenamtukufu1224 ปีที่แล้ว +1

      Mpe tu anachotaka huyo si ni Juma Mboga.

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu ปีที่แล้ว

      @@shenamtukufu1224 😁😁😁 kwa kweli ni juma mboga kenge huyo

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว +1

    interview imenoga balaa...very proffesional

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +1

    Wayahudi ni Wayahudi, na wakristo ni wakristo

  • @kleofacejerome
    @kleofacejerome ปีที่แล้ว +2

    Alfu Redio fuln za jion zinawachambuzi Kama kina fuln Mungu wangu ona vichwa hv vinavyochambua vzuri hii kitu

  • @erickericsson3584
    @erickericsson3584 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana sky Dj sma

  • @nassoroshakiru7094
    @nassoroshakiru7094 ปีที่แล้ว +12

    Dj smaa unanifurahisha sana hasa hapo ulivokutana na huyo jamaa Yericho Nyererw wallah ananikosha mie hasa kwa maandishi yake

  • @pongezimwakyoma5505
    @pongezimwakyoma5505 ปีที่แล้ว +1

    imekuwa poa sana kuwakutanisha hao miamba wawili pamoja, it was very smarsh

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td ปีที่แล้ว +1

    Good wanafyuzi wakweli nimependa san iloveyou❤ from 🇧🇮👊❤️

  • @conradbubex
    @conradbubex ปีที่แล้ว +3

    Asee.. You guyz are great💪 Thanks much for yo time, you've really opened our thoughts 💯

  • @NduwimanaJeanNduwiJean
    @NduwimanaJeanNduwiJean ปีที่แล้ว +1

    waooooh,VIZURI SAAANA?HESHIMA YENU.FRUITFUL INTERVIEW

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 ปีที่แล้ว +2

    Hakika, huu makao umenishibisha! Ninatamani kuendelea kupata chakula kilichoandaliwa na wajumbe wa mkao huu. Hongera sana Sky!

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 ปีที่แล้ว +1

    Nice dj smaaa

  • @africancurrenciesrevolutio2462
    @africancurrenciesrevolutio2462 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwenye kuabudu mizimu itakuponza. Mtafute MUNGU wa kweli kwa njia ya YESU

    • @hassannjiku
      @hassannjiku 13 วันที่ผ่านมา

      Yesu mwenyewe wayahudi hawamuelewi😂😂

  • @maulidrehani
    @maulidrehani ปีที่แล้ว +1

    Dj sma im your number one fun

  • @danielkanso
    @danielkanso ปีที่แล้ว +1

    Naam Huyu mr Yeriko yuko vizuri na wengine pia Mungu akubariki

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 ปีที่แล้ว +5

    Kama boss kubwa wetu kashasema kaja kujifunza, miee naaani hata nikose kuuelimisha ujinga, #wanafuse1 tupooo bro!.

  • @emmanueljustine6754
    @emmanueljustine6754 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sn nimejiufunza mengi na fikiri kwenye ubongo wangu nimeingiza kitu kipya ilikua natamani kujua mambo hayo natamani kujua Dunia na nimpenzi wa history " leo nimefurahi mno kujua hivi vitu " nitanunua kitabu na Flash kama mnayo " Tanzania inajivunia nyie " naomba serikali iwatumie hasa kwenye masuala ya kidiplomasia na mikataba " mtasadia sn

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 ปีที่แล้ว +2

    Nyie vichwa ni noma kinoma Mungu awape maisha marefu,dhahabu sio dhahabu tu,kuna vitu au watu ni zaidi ya dhahabu

  • @lucasalbertomseti1578
    @lucasalbertomseti1578 ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru sana Sky pamoja na Dj Smaa hakika nimeenjoy sana kuwasikiliza kutoboa masaa mawili sio kazi rahisi, pia operesheni Ukraine inabidi mrudi mezani bado hatujashiba nayo kabisa hongereni sana

  • @RACHELJACOB-ym3uh
    @RACHELJACOB-ym3uh ปีที่แล้ว +6

    Kudos SnS
    It was worth listening
    Cant wait for next interview

  • @EliyaUhaula-ck3pu
    @EliyaUhaula-ck3pu ปีที่แล้ว +2

    Hengereni Sana sky Nyerere DJ Sma ila neno langu siku nyingine video kama hii muweke part 1 na 2 na 3 hata 5.itakuwa poa sana mkipost kama hivi watu wengi wana kimbia kusikiliza sababu ni ndefu Sana.

  • @iddimsanifu7672
    @iddimsanifu7672 ปีที่แล้ว +1

    💯💯💯

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 9 หลายเดือนก่อน

    Eriko big up brothers 💪

  • @comics3437
    @comics3437 ปีที่แล้ว +14

    The Most Awaited Interview

  • @farahanimninga
    @farahanimninga ปีที่แล้ว

    One of the best best interview since mwaka umeanza.. Big up Sana SNS..

  • @lucianoluciano6795
    @lucianoluciano6795 ปีที่แล้ว +12

    ...sisi wanafuse tunaenjoy sana...hicho kitabu ninacho tangu 2021

    • @solomonnkiggi5019
      @solomonnkiggi5019 ปีที่แล้ว

      Kweli kitabu cha Yeriko ntanunua..huyu jamaa ni smart

  • @azizichigaga1862
    @azizichigaga1862 ปีที่แล้ว

    Sky $ Djsmaa na Nyerere safi sana tume enjoy xana mnatuludisha tarasani wazee kweli dunia pana xana DJ smaa 👍🏾

  • @solomonkingu3837
    @solomonkingu3837 ปีที่แล้ว +2

    Asanten Sana Kwa Mafundisho haya mazur

  • @othumanahmad
    @othumanahmad ปีที่แล้ว +1

    Dj Sma anasema Leo nimekuja kujifunza uyu jamaa ni mtu smart sana

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 ปีที่แล้ว +2

    Eliko na dj mnatupa raha sana asanteni sana kwakuweka vitu wazi sana

  • @batuliidrisa2775
    @batuliidrisa2775 ปีที่แล้ว +1

    Tupeni part 2 tafadhali......one of the best interview

  • @jawadimwalim3634
    @jawadimwalim3634 ปีที่แล้ว

    Duuuh Hawa Jama nawakubali wanajuwa Historia, SALUT kwao

  • @jamesmbanga1831
    @jamesmbanga1831 ปีที่แล้ว +1

    Nyie watu ni wakubwa sana MUNGU Awabariki sana.

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu ปีที่แล้ว

    Asante sana nimejifunza mengi na yenye faida kubwa sana

  • @jackiemsupa2740
    @jackiemsupa2740 ปีที่แล้ว +8

    Wakwanza ku watch I love your content broh much love from Germany 🇩🇪 kenya girl loves your channel

  • @AnnaMwailenge-hy3xg
    @AnnaMwailenge-hy3xg ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki nimewaelewa Sana

  • @margaretnduta4495
    @margaretnduta4495 ปีที่แล้ว +2

    Listening to this people I need to go for my memory check up. Memory yao iko juu xnaaaa.

  • @lucianoluciano6795
    @lucianoluciano6795 ปีที่แล้ว +6

    ...Big up sana Sky unajua kutafuta content..

  • @ErnestNkomola
    @ErnestNkomola ปีที่แล้ว

    Safi sana ...

  • @wistonlee2750
    @wistonlee2750 ปีที่แล้ว +1

    Vipindi poa sana

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni combination kali sana ya vichwa vitatu hivi irudiwe✊ila msimsahau mwnangu #jimmy_chansa

  • @LatifahHassan-n9b
    @LatifahHassan-n9b ปีที่แล้ว

    Dj sma upo vizuri, Shukran sana.

  • @hashimrashid6380
    @hashimrashid6380 ปีที่แล้ว

    Big conversation Zaid y BBC

  • @jameschitumbi5852
    @jameschitumbi5852 ปีที่แล้ว +1

  • @jumamboga9652
    @jumamboga9652 ปีที่แล้ว +5

    Hakika yericko uko vizuri sana natamani kuwa kama ww elimu uliyo kua nayo@ Dj sma huyu msomi kwa nini asifungue chuo

  • @duniekere7612
    @duniekere7612 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Kaka zangu kwanielewacha 💯👌👌🇨🇩🇿🇦

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 11 หลายเดือนก่อน

    Kama unamkubali uyu dj sma gonga like hapa,,
    Maana kichwa chako ni kimejaa mavi

  • @jacktonmakau3397
    @jacktonmakau3397 ปีที่แล้ว +1

    Sns Leo mnatisha sana.

  • @sadikiswidik
    @sadikiswidik ปีที่แล้ว +3

    Big up sana sky nipo pamoja na wewe

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 ปีที่แล้ว +2

    Nilichogundua Nyerere ni mzuri kiuandishi lakini kuelezea hapana....Huyo jamaa mweupe huyo mzuri kuelezea apewe sikio ana vitu....... Nyerere aendelee kutuandikia Fr Bundala aendelee kutusomea sie tuendelee kusikiliza SNS

  • @OmaryLiku
    @OmaryLiku ปีที่แล้ว +2

    DJ smaa mashaALLAH

  • @AbrahamuKimlungu
    @AbrahamuKimlungu ปีที่แล้ว +1

    Mcheni Mungu na kumtukuza kwa maana saa ya hukumu yake imekuja msujudieni Yeye Aliye zifanya Mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji👉 Ufunuo 14:7 yote hayo nidalili zakuja kwa Yesu mara ya pili hivyo niwakati Wa kumwelewa Mungu katika alama yake ya Uumbaji nakujianda kumpokea Kristo Yesu ajapo mara ya pili Hebu tusikubali kubaki bila kuchukulia hatuwa kama maandiko yasemavyo Mungu anatutaka wote tuokolewe Hebu tumwendee🙏

  • @onenonetv5469
    @onenonetv5469 ปีที่แล้ว +1

    the best ever,based onTRUE STORY!!

  • @patricialuande9540
    @patricialuande9540 ปีที่แล้ว

    Was worth listerning...really educating.will search from amazon...

  • @salimmadafa4840
    @salimmadafa4840 ปีที่แล้ว +2

    Haya mambo ya ndoto ni uongo
    Mungu gani anakuahidi kukupa sehem ambayo tayari ina watu wengine.inamaana mungu hakuwapenda hao waliokuwepo akaigawa ardhi kwa watu wengine kwa njia ya ndoto??
    Both parestina na islael wakae chini wakubaliane,watu wanapoteza maisha.

  • @vincent9132
    @vincent9132 ปีที่แล้ว +3

    I love this story god bless you all

  • @salumadam2862
    @salumadam2862 ปีที่แล้ว +1

    Dj smaa👍👍👍

  • @fanuelkasunzu5582
    @fanuelkasunzu5582 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu awabariki

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 4 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu na wapenda wote nyie muko vizuri sana

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +4

    Mtafute na jamaa anaitwa Fredy Nyaluchi na yeye anajua sana haya mambo

  • @Sweatsculptorr
    @Sweatsculptorr ปีที่แล้ว +2

    Mbutu block E,kwa mchawi yericko ,Fredrick bundala,na master djsma

  • @BereKimas
    @BereKimas ปีที่แล้ว +5

    Aslam alaykum ww dj sma unani furahisha sana tena sana nipo kigal

  • @inogelapixels
    @inogelapixels ปีที่แล้ว +6

    Sns mmetutendea haki sana sisi tunaopenda kufatilia mambo haya,Tutaendelea kukusupport

  • @khamisyaa6927
    @khamisyaa6927 ปีที่แล้ว +1

    Salute sky

  • @johnshija
    @johnshija ปีที่แล้ว +2

    Madini yameshushwa sio mchezo. Bravo bro Sky👏🏽👏🏽👏🏽

  • @mucyombonyijeandedieu2578
    @mucyombonyijeandedieu2578 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa marlezo mulio itoa kuhuthu mgo golo wavita

  • @abuubuza6866
    @abuubuza6866 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว

    Wow one of the best interviews. Kwakweli nimetoa matongotongo😢. Watching from America 🇺🇸

  • @ezekielwilson8441
    @ezekielwilson8441 ปีที่แล้ว

    Daah dj sma na yericko nyerere ni watu na nusu mnajua Sana ninyi watu pongezi nyingi pia kwa sky

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 9 หลายเดือนก่อน

    Big up brother

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 ปีที่แล้ว

    Ii channel ni number 1 tz inawatamaji smart sana sio umbea ujinga.

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana wana Fuse na Sns

  • @Georgekatisho
    @Georgekatisho ปีที่แล้ว

    One of the Bigest Conversations I never heard b4. Hii Ni balaaaaa aiseeeww

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 ปีที่แล้ว

    Hatariiiiiiiiii sanaaaaaa n nomaaaa

  • @animationkings3839
    @animationkings3839 ปีที่แล้ว +1

    DJ SMA Umesema Palestina wanaonewa unaweza kutuambia alieanzisha uchokozi ni nani?, au ulitaka Israel wapigwe mabomu 2000 halafu wakae chini wacheke ili wasionekane wakatili?

  • @olenendayishimiye7946
    @olenendayishimiye7946 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa mulichokiongerea❤

  • @maalimzakariyya5770
    @maalimzakariyya5770 ปีที่แล้ว +1

    DJ sma hatare Saana

  • @youngleader8656
    @youngleader8656 ปีที่แล้ว

    Hongereni tunasubiri muko vizuri

  • @kamole3
    @kamole3 ปีที่แล้ว

    @Sky, keep these guys closer, wana madini adimu