MashaAllah seyyidna Ali alijitolea muhanga kwa kumhami Mtume saw...MashaAllah tujalie kujitoa fidia kama Seyyidna Ali (kr) amirul Muumineen..MashaAllah.
A/SSLLAMU ALEYKUMU WAISLLAMU WENZANGU NINA SHIDA KUBWA NAHITAJI MWENYE KUJUA NA YA SHEKHE ATHUMANI MAALIMU KUNA JAMBO KUBWA LINATAKA FAIH YA MTU KILIJIBU ENDANDAPO NIKIPATA NA YA UYU SHEKHE AKIKA ATATUJIBU
Asalaam aleykum shekh mashaallah nimeyapenda mawaidha yako allah akuzidishie naomba uniombee dua ili allah anijaalie watoto walio wem pamoja na wazazi wang allah awajaalie afya njema asalaam aleykum
Mashallah ma sheikh igeni huyu mwenzenu mawaidha kwa utaratibu na hekma hakuna jazba huchoki kuskiza Allahamdulilah Allah ampe afya
Ameen
MashaAllah seyyidna Ali alijitolea muhanga kwa kumhami Mtume saw...MashaAllah tujalie kujitoa fidia kama Seyyidna Ali (kr) amirul Muumineen..MashaAllah.
Mashallah yazakaallahu khayraa
Mashallah, shukran shekhe Othman Maalim, Allah akulipe kher inshallah, malipo yako yawe ni Jannah 🙏
Mashallah ❤, sheikh nataka uniombe dua mm n mugojwa
Masha Allah🤲🤲
Nakupenda Kwa idhin ake Allah tabaraka wata'ala
Maßha nllah nakupenda kwaajili ya anllah ❤
اللهم صلي وسلم وبارك على سيدنا ونبينا وحبيبنا وشفيعنا وطب قلوبنا محمد وعلى اله وصحبه اجمعين
Masha ALLAH. Shukran sheikh ALLAH akuhifadh..🤲🤲
A/SSLLAMU ALEYKUMU WAISLLAMU WENZANGU NINA SHIDA KUBWA NAHITAJI MWENYE KUJUA NA YA SHEKHE ATHUMANI MAALIMU KUNA JAMBO KUBWA LINATAKA FAIH YA MTU KILIJIBU ENDANDAPO NIKIPATA NA YA UYU SHEKHE AKIKA ATATUJIBU
Piga namba izo apo zinaonekana ukiwapigia hao arkas tv watakupa namba za uyo shekh
Masha Allah, Allah akupe umri mrefu uzidi kutupa elimu
Asalaam aleykum shekh mashaallah nimeyapenda mawaidha yako allah akuzidishie naomba uniombee dua ili allah anijaalie watoto walio wem pamoja na wazazi wang allah awajaalie afya njema asalaam aleykum
Maashaallah
jazaaka llahu khayra
Mashallah
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
Mawadha mazuri sana swali nauliza kukuagukia jiwa begani au kichwani tafadhali yake nini?
Mashallah
Mashallah