Historia/Kisa cha nabii Lut (A.S) (Sehemu ya 1) - Sheikh Othman Maalim

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @safyaaltoqi205
    @safyaaltoqi205 หลายเดือนก่อน

    Shukran mungu akuhifahi ya shekh

  • @kajoakother6041
    @kajoakother6041 2 ปีที่แล้ว +4

    mashalla mungu akupe umrimrefu shehewetu

  • @RamadhanRamadhan-c7l
    @RamadhanRamadhan-c7l 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kama sh othman maalim ktk ulimwengu. Othman ni mmoja2 ktk ulimwengu mashallah nampenda sana. Allah amuongoze ktk maisha yke. Na amjaalie pepo iwe do mahala pale inshallah amin

  • @ssenlubi1163
    @ssenlubi1163 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha aallah MUNGU awasimamie katika kufikisha ujumbe kwa darsa zenu #shekhotmanmaalim tunampenda sana

  • @KhalfanJombi
    @KhalfanJombi 2 หลายเดือนก่อน

    mungu atuwekee ma sheikh wtu

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah MashaAllah Allah akuhifadhi sheikh wg Othman Maalim nakupnda snaa kwa ajili ya Allah na muomba Allah atkutanishe ste cjawahi kkuona live ipo InshaAllah Allah aklinde na shri za Wanadamu na majini pmoja fmily yko

  • @hamisasalehe8553
    @hamisasalehe8553 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaaALLAH! Hakika dini ya kiislam ni dini ya ALLAH! ALLAH akukutanishe na Mtume ktk pepo yake! Nasi maamumma atujaalie japo kuiona sura ya nabii wetu Muhammad ktk daraja ya pepo zake. Atujaalie ummat Muhammad kufurahia maisha ya Akhera.

  • @shedafayusuf9223
    @shedafayusuf9223 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah nazidi kujifunza kwadrisa zako allah akuzidishie afya

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukranii sana jazaka allahu kherii Allah akuifadhi shekhe wetu

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulipe kheir dunian na kesho akhreaa wewe na familia yakoo..mashaa allah tabaraak rahman

  • @nasrymahad1332
    @nasrymahad1332 10 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @omarali2498
    @omarali2498 ปีที่แล้ว +1

    allah atakupa tawapu

  • @mohammedmoha2757
    @mohammedmoha2757 3 ปีที่แล้ว +2

    Mash Allah

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 3 ปีที่แล้ว +2

    MaashaAllah sheikh njan🤲🤲🤲🤲🤲🙏

  • @ramaahbClassicoficial-um3by
    @ramaahbClassicoficial-um3by ปีที่แล้ว

    Allah ampe umri mlefu

  • @mohdsalum5428
    @mohdsalum5428 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaan shekh othman maalim una kipaji utadhani hivyo visa unashushiwa

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah tabarakallah

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 28 วันที่ผ่านมา

    Hapa kwetu Zanzibar ukitaja jina la luti nikama umetaja ubarazuli kumbe ni tofauti

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว +1

    hapa hakuna vahashsawalakaratasi

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 28 วันที่ผ่านมา

    Nisinge sikiliza nisinge jifunza

  • @babumsiha1573
    @babumsiha1573 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @rizikichizi5504
    @rizikichizi5504 ปีที่แล้ว

    Mashaallah