Uradi Wa Nabii Yunusi Ni Kiboko Ya Matatizo/Kisa Cha Nabii Kumezwa Na Samak/Sheikh Hashimu Rusaganya
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024
- Uradi Wa Nabii Yunusi (A.S) Ni Kiboko Ya Matatizo / Kisa Cha Nabii Kumezwa Na Samaki/Sheikh Hashimu Rusaganya
Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Uradi Wa Nabii Yunusi (A.S) Ni Kiboko Ya Matatizo / Kisa Cha Nabii Kumezwa Na Samaki/Sheikh Hashimu Rusaganya
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
TH-cam @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Mungu akupe heri shekhe wetu kwakutufunza wema ❤
MashaAllah ❤, this is amazing ❤
jazzaka alahu kheri
Alhamdulillah.
Shekh mwenyezi akujaze kheri na umri mrefu uzidi kutuelimìsha Ameen.
Kuna maisha baada ya kifo. Tubadilikeni tujenge Akhera duniani tunapita.
Alhamdullah wa kwanz leo
Allhadulilah Allihadulilah Allihamdulilah
Tunakupenda shehe sana kwa ajili unatwambia ukweli
ALIHMDULILAH barakah LLAH fiiqum Ameen
Kuhihifadhi ni Jambo la Kheri sana.Shukrani Kwa kuhimisa Hali ya Usafi Basi Waumini tuzingatie Mawaidha Muafaka.Amiina
Kujihifadhi Mavazi ya Kheshima tuzingatie. Amiina.
Waambie kweli vijana wamezidi sana
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH 3
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH
Be blessed Ameen
Ameena tunakushukuru kutuelekeza
Mashaallah Allah akuzidishie kheri
Allahumma ameen ya Rabby 🤲🤲🤲
Alihamdulilah wa pili leo
Alhamdulillah
Sema sheghe na usiogope mwisho watajuwa hao
Jazakallah amiiin
Nikweli maalimu mm pia ulinisaidia hii dua baada ya kuvamiwa na wahuni
Uliitumia vipi ndugu yangu,msaada
Amiin
Nikiboko kwel subhannallah usome kwa iman kabisa kwel kwel
Sheykh wangu naomba namba yako
Nimtunda gani? Alyakteen. Ni M’boga au mtango?
Joto ni joto tuu la Arabuni au la Africa majasho utatoka tuu hapo.
hivi omeongea nn hapo au ww ni wahabi?
Safari ujionee usiongee usiyajua
Nitofauti sana ndugu joto la africa Lina unyevu nyevu wa maji huko arabuni juwa nikali kiasi kwamba maji yanakauka na milima inafyonza nguvu ya jua inakua hata upepo unakua na moto mfano wake nikama tanuri la kucomea mikate kisha huwezi kulinganisha na jikoni sababu jikoni kunapikwa cakula kilico nmaji yatoayo mfuke.
Huenda hajawahi fika uarabuni akajua joto la huko tusimlaumu,
@@ShaniaKing-o5d Mimi ndio niko huko kwenye joto kama tanuri 🙉ndio liko njiani Lina kuja tunajitayarisha ….