Kiukweli wote wanaomtweza tundu antipas lissu hao ni wapuuzi,wasaliti,na hawatufai,hawa ni sawa na machawa ambao wanaliweka taifa lao pembeni ili tu wamsifie yule anayewapa hela au vyeo"ni upuuzi mno kumtusi lissu!hivi tanzania hii endapo ukweli ukisemwa wazi bila kificho,ni mwanasiasa gani aliyekamilika kama lissu,?????yupi???
Hivi chadema tunaogopa democrasia? Kwa nini wasigombee wote? Kuna hofu ya nini? Tuelewesheni kuna shida gani wakiwa wote? Hata kama ni zama mpya, kura ziamue na hiyo ndiyo democrasia.
Mbowe amefanikiwa sana kutengeneza viongozi wazuri, jamaa ni best mentor.
Ushauri mzuri wanachadema!, awe mshauri mkuu wa Chama.
Asante sana kwa kustaafu kwa heshima
Kwa hayo, Chadema mnaelekea kushinda fitina.
Kiukweli wote wanaomtweza tundu antipas lissu hao ni wapuuzi,wasaliti,na hawatufai,hawa ni sawa na machawa ambao wanaliweka taifa lao pembeni ili tu wamsifie yule anayewapa hela au vyeo"ni upuuzi mno kumtusi lissu!hivi tanzania hii endapo ukweli ukisemwa wazi bila kificho,ni mwanasiasa gani aliyekamilika kama lissu,?????yupi???
Sawa CHADEMA Mnayo akili mpeni LISSU Uwenyekiti..acha mboye akapumzike awe MTUNZI NA MUANGALIZI WA CHAMA
Acheni kuiga mifumo ya CCM
Hao waliamua wenyewe kuacha nyie mbona mnamshinikiza mbowe kuacha?