MAJIMBO 35 YA UBUNGE YANAYOWINDWA NA CHADEMA UCHAGUZI MKUU 2025; MIKAKATI YA KUYATWAA YAWEKWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @JumaKimanga-p2j
    @JumaKimanga-p2j 2 วันที่ผ่านมา

    Nakupata zungu all the way from Boston MA

  • @illomowerner7690
    @illomowerner7690 3 วันที่ผ่านมา +1

    hongera kwa uchambuzi wako D2N japo niwape changamoto ya kuifanyia kazi, mnapwaya kwenye utafiti makini wa habari zenu, mnakosa kufanya critical researches au kufanya researches kwa kuwa-involve wenye taarifa za utafiti mnaoufanya.
    Mkiifanyia kazi hii changamoto kwa umakini, naamini mtakuwa bora zaidi.
    Kila la kheri

  • @frankmsisi149
    @frankmsisi149 วันที่ผ่านมา

    Dr ney seatcover🔥🔥🔥

  • @RaphaelamourMrimi
    @RaphaelamourMrimi 2 วันที่ผ่านมา +1

    Zungu tupe story ya mwalimu Nyerere na Kambona

  • @Mrsalt-z9m
    @Mrsalt-z9m 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atatenda haki kabisa

  • @clevalupakisyo7460
    @clevalupakisyo7460 2 วันที่ผ่านมา

    Interesting 🧐

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kushinda ni mungu akiwabana qezi wanaotumia mapolic ndo mambo yanahalibika kqa roho yao

  • @SalimLikindy
    @SalimLikindy 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa namna chaguzi zinavyoendeshwa sasa, wapinzani kutangazwa washindi ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. CCM ya sasa hata serikali ya mtaa hawapo tayari kuiachia sembuse kata na jimbo.

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wanataka majimbo kwa sera zipi! Hizi za kuisema ccm au zipi! Hakuna hoja wana vioja tu!😅😅

  • @MathewThobias-g6d
    @MathewThobias-g6d 2 วันที่ผ่านมา

    Shida yenu mnafanya majimbo kama mna hati nayo mnataka kuwarudisha wale wale

  • @edsonmrope2780
    @edsonmrope2780 3 วันที่ผ่านมา +1

    Zungu na william hakika nyinyi ni magenius

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 3 วันที่ผ่านมา +1

    Zungu Mgalilaya usichukulie poa u najuwa saan. Mola akupe afya boora saana na utambuzi utuunge mkono

  • @ephrahimkivuyo4275
    @ephrahimkivuyo4275 3 วันที่ผ่านมา

    Arusha lema na Gibson olemeiseyeki wapo sana

  • @edrickniwamanya5665
    @edrickniwamanya5665 3 วันที่ผ่านมา +2

    Byabyato au Byabato?😅😅😅😅😅😅

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 วันที่ผ่านมา +1

    Lema hupati kitu Arusha wewe uliye tu

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo wa bukoba hatakiw hata na wanachama😅😅😅

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 วันที่ผ่านมา +5

    Chadema wana jina kubwa ila inawabidi kutumia mbinu na mfumo mpya japo hata fix
    1. Mwenye kiti kubaki Mbowe hii inaweka ukakasi kidogo kwenye demokrasia ndani ya chama.
    2. Wagombea kuwa na sera zenye kueleweka sio kila wakati Magufuli Magufuli Magufuli
    Makonda Makonda Makonda
    Waje na sera nzuri zitazo mgusa moja kwa moja kwa raia wa chini
    - maji
    - umeme
    - mfumuko wa bei
    - kodi, tozo
    -Mikopo kwa wanafunzi
    -kiinua mgongo wa wastafu
    -dawa hospital
    -kukata michango kero mashuleni
    Na kadhalika ila sio kila wakati Magufuli Makonda, Magufuli Makonda
    -

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hapo kwa Magufuli na makonda nakuunga mkono waachane nao waweke mikakati Yao ktk sera zinazomgusa mwananchi wa kawaida wakifanya hivo watawini geme.

    • @issataslima9846
      @issataslima9846 3 วันที่ผ่านมา

      utukome tafadhali haikuusu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 3 วันที่ผ่านมา

      @@issataslima9846
      Baki na ujinga wako mie naongea na Wanachadema wenye maono ya maendeleo sio kila siku kampen unapambana na mtu ambae hayupo tena duniani

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 7 นาทีที่ผ่านมา

      Kwani Samia aligombea uenyekiti na nani ?

  • @HajjiMohammed-t4s
    @HajjiMohammed-t4s 3 วันที่ผ่านมา

    Chama cha mboe

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 วันที่ผ่านมา +1

    Chadema hampati kitu

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 6 นาทีที่ผ่านมา

      Kwa utaratibu uliopo ni kweli.

  • @AkwilineKawishe-t3d
    @AkwilineKawishe-t3d 3 วันที่ผ่านมา

    Haki tu itendeka mambo yatakuwa matamu kinoma

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 3 วันที่ผ่านมา

      Haki bila sera atawachagua nani! Na mkichaguliwa mnalewa mnalala hamfanyi kazi zikaonekana! Sera tutawaelewa!