NB: Hii Ni Simulizi ya kutungwa tu Haina uhalisia wowote... Tumepokea Simu zaidi ya 1000 wakitaka kuunganishwa na chama hiki... Hatuhusiki na chochote katika yote yaliyosimuliwa humu zaidi watu wanasikilize na wajifunze yaliyomkuta Daniel ktk Simulizi hii... Sikiliza mpaka mwisho na sio kuchukua namba yetu na kutupigia...
Daima n vizur kumtangulza Mungu mbele kabla ya chochote coz katka maisha hakuna hali ya kudumu tunayopitia na magumu yote n njia ya kutukamilisha. Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏🙏
Dungu yangu mwabudu mungu na mushukuru mungu sana mungu dio mambo yote kwaakika amekutoa bali sana kwaakika hii simulizi imeniumiza sana ila pole sana??
Diamond 2 pamoja na umaarufu Wake,pesa kisha nae alisema hakuna cha kurokota we pole tu kwa sasa na mungu hajakuacha, maana hata shetani anapumua na kuvuta pumzi kwa nguvu za mungu.
Jamani tumuheshimu mungu, coz haya maisha siyo. Unaweza kufikiri una shida maisha magumu, kumbe unayataka magumu kuliko. Tumpe heshima mungu jamani hahaha mashriti na ana same Asante kwa story nzuri yenye mafunzo.Amen
napenda kuwa shukuru wa sikiliza wote na sema Asante Sana🙏🙏🏻 lakini tuwekane sawa hapa mm sihusiki na chochote nimeandika tuu 🤔🤔kwa ambao wananifuata inbox kuniuliza kuhusu namba sijui za Freemason Mimi nimeandika simulizi na Wala hata watu hao siwajui. Jamani lizikeni na maisha yenu msipende vya bure ndugu zangu ndio maana nikaandika mbadilike binadamu. 🙏🏻🙏🏻mungu awatie nguvu ndugu zangu.
Daaah vijana,nduguuu,jamaaa tusipendee Sanaa short cut Kama hizi Ni matatizoo makubwa Sanaa tunashkuru Sana aldoph kwa hii simulizi nzuri na yenye ukwerii ndani yake
MUNGU tutetee na tamAa za kibinadam sisi atujakamilika Kwako Tunaomba msaad wak na uwepo wako kukutongoz katika njia sahihi mola wangu nilinde na ushetan 😭😭😭😣
NB: Hii Ni Simulizi ya kutungwa tu Haina uhalisia wowote... Tumepokea Simu zaidi ya 1000 wakitaka kuunganishwa na chama hiki... Hatuhusiki na chochote katika yote yaliyosimuliwa humu zaidi watu wanasikilize na wajifunze yaliyomkuta Daniel ktk Simulizi hii... Sikiliza mpaka mwisho na sio kuchukua namba yetu na kutupigia...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nzuli nimeipenda
Interested
@@kalssambaboo9932 bjr
Noma kwel th-cam.com/video/U-DadqSN_XU/w-d-xo.html
Mungu ni mungu tuu pole Sana Daniel as mini mungu amini mungu atatenda
Daaaah asante studio
Pole xan: amini mungu mazee ata io nguvu wanayo walitoa kwa mungu:- so mungu anawesa kukupa nguvu na utajiri mwema ? in the name of Jesus. ( AMEN)
Daniel wewe mupumbuvu sana mungu iko na mungu wetu anapana utajiri omba mungu utapata mungu akusamee
Pole saana Ndugu Daniel na tamaa ya ulafi. Umeponea chupuchupu kabisa
Duniani hapa!!
Mh!!
Tufanye kazi tu. Huku tukimuishia Bwana Yesu Kristo, sivyo tutajikuta pabaya
Daima n vizur kumtangulza Mungu mbele kabla ya chochote coz katka maisha hakuna hali ya kudumu tunayopitia na magumu yote n njia ya kutukamilisha. Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏🙏
Mafunxo mazibuti Bora ufanye kazi halali kuliko hiyo yaharaka yakugarimu kutoa uhai wawatu ambao hawana hatia
Aliepata funzo kama mimi anipe like hapo chin
Mungu ni mwema akupiganie kakangu na uzidi kudumu ndani ya mungu🙏🏽🙏🏽🙏🏽God is great and able forever more amen
Mungu na akulinde wewe unayesoma na kusikiza hii story.God favour be upon you..
Thenk you
Amen
Amen
Dungu yangu mwabudu mungu na mushukuru mungu sana mungu dio mambo yote kwaakika amekutoa bali sana kwaakika hii simulizi imeniumiza sana ila pole sana??
pole sana kakangu Daniel Mungu anakupenda nimajaribu Murudie Mumba wako
Funzo jema mtunzi hongera sana
Utajiri upo lkn unamadhara yake nibora nife maskini kwa kazi ya mikono yangu lkn sio yakishetani Allah atupe mwisho mwema
Ameen🤲
Hakika
Allaywakubal 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏simulizi nzuri Sanaa pia fundisho
God is good all the time njia ya mkato siku sote ina kalama pole sana kaka
Ta
Asante kwasomo lako zuri mwenyez mungu Akulinde daima
Thank you Jesus, may you continue believing in God, he's the only creater.
Duuuh pole Sana brother
Daaa watanzania bwana Nani kawaloga hii simlizi ni funzo kwa watu wenye tamaa Asante kaka nzur sana
That's a good story, ilike
Tumtumainie Mungu na yote tutayashida🙏za bure huisha na huzuni pole kwa yotr
Life is a lie when you do something that is not in God's love. Thank you brother for encouraging words that gives as support and trust in God
Daaah God bless you and protected you
Asanti Sana kaka simulizi nzuri Sana yenye mafunzo , hongera Sana
Mshike Sana Mungu maisha yako yote usimwache hata Mara moja.
Asant mngu kwa Baraka zako
Pole sana kaka kwayaliokukuta
pole sana daniel God is good all the time
Daniel ndugu ni saleh mh nice story👏
Kwel ee
faida ya pesa alizopata cjaona matumiz yake zaidi ya majanga
Mungu akupe maisha marefu bro
Mnaopenda vya free mshapiga cm
Pôle Sana ndungu karibu kumrudiliya Mungu
Kumcha mungu ni jambo cha hekima tuombe mungu xana atuepushe na shetani very sad story😭😭😭
Mungu ni mukubwa Sana kk yangu
Pôle sana wng Daniel aldoph
Duuuh pore sana kaka
Tamaa sio nzuri
Diamond 2 pamoja na umaarufu Wake,pesa kisha nae alisema hakuna cha kurokota we pole tu kwa sasa na mungu hajakuacha, maana hata shetani anapumua na kuvuta pumzi kwa nguvu za mungu.
Xxx
Mungu wangu pole sana
Heli kuwa masikini na Yesu kristo unae kuliko kuwa Tajiri huna Yesu
Asante kwa fundishoyako anaesikio asikie tamanimbaya mautinyuma
Blessed
Be
To
You
Jamani tumuheshimu mungu, coz haya maisha siyo. Unaweza kufikiri una shida maisha magumu, kumbe unayataka magumu kuliko. Tumpe heshima mungu jamani hahaha mashriti na ana same
Asante kwa story nzuri yenye mafunzo.Amen
Duuuuh pole sana kaka Daniel
Pole sana bro kwa yalio kukuta naamini mungu yupo na wewe daima ameen
Usijal n maisha 2 ila kwakua umetubu kosa lako mungu akulinde
nataka kijiuga na nyinyo
akh plz do everything to me nkona shida sana
Pole Sana ndugu, omba mungu msamaha na umrudie.
anko jay nakubar sana😂😂
napenda kuwa shukuru wa sikiliza wote na sema Asante Sana🙏🙏🏻 lakini tuwekane sawa hapa mm sihusiki na chochote nimeandika tuu 🤔🤔kwa ambao wananifuata inbox kuniuliza kuhusu namba sijui za Freemason Mimi nimeandika simulizi na Wala hata watu hao siwajui.
Jamani lizikeni na maisha yenu msipende vya bure ndugu zangu ndio maana nikaandika mbadilike binadamu. 🙏🏻🙏🏻mungu awatie nguvu ndugu zangu.
😂😂😂😂😂wabongo bhn yan wengine wanachukia matatizo na kuna wengine ndio wanayahitaj ayo matatizo
Duh binadamu wana tabu amuogopi matatizo yote aya cz mumetajiwa pesa tamaa mbaya🤔🙄😏
Asante kaka umenionyesha mbar
hongera xna simuljzi mix kuna mavuzo mengi xna ndani ya ii simuljzi Asante xna nmesajdika xna nmesoma mengi
So nice
Dah ' nimejifunza mengi Sana kupitia hii ,kumbe hata watu wengine hawafi kwa kudra za maanani ,mungu tunusuru sisi wajawako
Simulizi hii nipasua kicwa
Thanks God for what l have, even if it's not enough, l really appreciate.
Mmmmh!!!!!! Jaman🤔🤔🤔aise 😱😱
Good story my friend
asante kaka inafundisha sana
Amen, wacha mungu aitwe mungu, , , , nimejifunza kitu
Pole Sana ndg japo mm naitaji kujiunga
Mungu nimwema
Pole sana but kwa Mungu hakuna kisicho wezekana
Kila got litapigwa na kila ulimi utakiru mungu ni mkuu sana
Simulizi nzuri sana
Pole. Kaka
Nataka piya
Hakuna kinajo shinda mungu ndugu yangu pole kwayale iliapitia jina la yesu lipewe sifa
Story nzuri sana
Heeeee mambo kweli !uruma Mungu atusaidie
DUH! AMA KWELI AISEEE 🔥🔥🔥🔥🔥
Pole sana Ila akuna chabure bst chabure nisalamtu
Haaaa eti Chabure nisalamu,
Pole sana
Waja Mungu akutangulie na kukupigania kaka, Mungu ndiye mweza yote
Amelaaniwa MTU yule amtegemeaye mwanadamu huku moyoni mwake amemwacha Mungu.....mafanikio nje ya Mungu NI ya Muda tu
Ako Jay Jay nakusikia sana Tena nakupenda sana kabisa
Asante daniel kwa mrudia mungu
Pole sana Daniel bd nasikiliza cjajua uliishia wp
Tamaa sio chema turindike na Allah alicho turuzuku Allah atupe mwisho mwema in sha Allah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amiin
Hii hadithi inasimuliwa lakini inaukweli ndani yake
Pole sana broo n Maisha🤭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kuomoka ya Shetani sitaki mimi kabisa. Somo nzuri sana simulizi mix na funzo kubwa kwa sisi wale wenye tamaa za pesa za haraka🇰🇪
😂😂😂🤣🤣👋 wabongo
Kwani kweli au maana nimebaki napagawa
Daaah vijana,nduguuu,jamaaa tusipendee Sanaa short cut Kama hizi Ni matatizoo makubwa Sanaa tunashkuru Sana aldoph kwa hii simulizi nzuri na yenye ukwerii ndani yake
kabla wewe kuhamua kitu first things is kubali if you are ready to do everything the will say does matter what
pole sana
Pole san.kaka
Nikuonba mungu bro
Mungu nimungu tuu acha Mungu aitwe mungu
Kumcha bwana ndio chanzo Cha maarifa,,, mtu una digree unawezaje kuelewa mapema Kuwa Kuna nguvu za Giza. Mwanzoni Tu,,,. Ila twajifunze vijana
Pole Sana ndg lakini umejifunza japo tamaa zimekuponza
Naomba kujiunga na Freemason
Kam nzuri!
Dawa ya utajiri ni moja tuh,,,,kumuamini mungu otherwise ni ujinga tuh
Wish Na kanumba arudi duniani,, Mungu n wajabu
Uko vzur kaka hakika story inasisimua
Hii story naitilia mashaka sana, mbona Huyu anaitwa Daniel jina la kikiristo ilhali Kaka yake anayeitwa salehe n muislam. Mh! I'm doubting
😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu hajakuhacha bado muite tu
Daaah Dunia inamambo Sanaa Asante sana
Pole sana, na mtihani uliyopitia,
Waaa kweli hakuna refu lisilo kosa mwisho
MUNGU tutetee na tamAa za kibinadam sisi atujakamilika Kwako Tunaomba msaad wak na uwepo wako kukutongoz katika njia sahihi mola wangu nilinde na ushetan 😭😭😭😣
Poa
Natamani sana kujiunga na hilo chama ndugu naomba usaidizi ya nambari
@@classictv5838 haaaaaaaaaaaapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤐🤐🤐🤐🤐🤐😬😬😬🙄🙄🙄🙄🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐
Pole pole
Tamaa nimbaya sikuzote asante kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo amakweli when the deal is too good think twice
Jamani shida hizi,,,,, MUNGU niepushe