IPM ATOA SIRI KWENYE BIBRIA DINI NI HII !

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • DINI ILIYOSAFI NI HII

ความคิดเห็น • 44

  • @RachelSolomon-bq9hc
    @RachelSolomon-bq9hc 7 วันที่ผ่านมา

    Dah kweli mtumishi wa Mungu🙏🙏🙏

  • @AntonyBitakaraa
    @AntonyBitakaraa 13 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤napenda sana mafundisho yako pastor.
    Nikweli dini ni upendo nasio kubaguana

  • @PremiceKasondwa
    @PremiceKasondwa 10 วันที่ผ่านมา

    Mimi nakukubali sana 🎉❤

  • @huthhuthlih5858
    @huthhuthlih5858 3 วันที่ผ่านมา

    Dini ni uwongo mkubwa binadam amewai kudanganywa , na hamna hata dini moja inayosema ukweli zote ni uwongo they’re jst after money sadaka

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 13 วันที่ผ่านมา +3

    Inna dina indallahi Islam

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 13 วันที่ผ่านมา

      Ndo Nini????

    • @AliMohamed-w3b
      @AliMohamed-w3b 13 วันที่ผ่านมา +1

      @@yakobomkristo872 ina maanisha kwamba mungu hatambui dini nyingine isipokua uislamu

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 13 วันที่ผ่านมา

      @@AliMohamed-w3b Naomba Nikuulize Swali, Hivi Wazazi Wa Mtume Wenu Muhammad Walikuwa Waislamu Au Makafiri Wa Kikureshi?

    • @AliMohamed-w3b
      @AliMohamed-w3b 13 วันที่ผ่านมา

      @@yakobomkristo872 yes walikuwa makafiri, lakini baada ya kuja mtume akauangamiza ukafiri kwenye eneo hilo

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 13 วันที่ผ่านมา

      @@AliMohamed-w3b Very nice, Sasa Ngoja Nikutobolee Siri, Baba Mzazi Wa Mtume Wenu Muhammad Alikuwa Anaitwa Abdullah Na Alikuwa Ni Kafiri Wa Kikureshi. Jina Hilo Abdullah Maana Yake Ni Mja Wa Allah, Kwahiyo Ni Wazi Kwamba Huyo Allah Alikuwa Ni mungu Aliyeabudiwa Na Kafiri Abdullah, Kwahiyo Tumejua Wazi Kuwa Kumbe Allah Wenu Ni mungu Wa Makafiri Wa Kikureshi Tangu Zamani. Kimbilia Kwa Yesu Uwe Mkristo Ndugu Yangu Ili Upate Salama.

  • @Kevomadvd
    @Kevomadvd 12 วันที่ผ่านมา

    Ila IPM Sasa Sisi marasta Na Makambako yetu Tumefikaje Apo 😅😅😅

  • @JustinChacha-z3e
    @JustinChacha-z3e 7 วันที่ผ่านมา

    mazabh yakuabudu Iko wapi

  • @ONFIRETV-cf4kg
    @ONFIRETV-cf4kg 13 วันที่ผ่านมา

    Uyu pasta anapenda kupigana para magoro yote hayo

  • @Kevomadvd
    @Kevomadvd 12 วันที่ผ่านมา

    UPENDO

  • @h.t.ecompany3884
    @h.t.ecompany3884 13 วันที่ผ่านมา

    lazima nije kupata mafunzo

  • @chrisantalyimo2577
    @chrisantalyimo2577 13 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni zaidi ya PROPHET❤❤❤❤

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo ya Yesu niyakupachikiwa tu, wamefanya kutunga yasiyokuwepo wakaandika, kama vile wewe ulivyotunga kujiwa na Yesu Msikitini

    • @GeofreyMtensa
      @GeofreyMtensa 6 วันที่ผ่านมา +1

      Huo msaafu nao pia ni maneno ya kutungwa na watu 200% ..hakuna kitu Mungu katia pale, ile ni modifier kutoka lwa BIBLIA..shtuka babu....

    • @AliMohamed-w3b
      @AliMohamed-w3b 6 วันที่ผ่านมา

      @@GeofreyMtensa sawa, kwa hivyo dini zote mbili zinafuata vilivyotungwa, lakini uzuri wa Qur'an haijabadilishwa tena baada ya hapo imebaki the same kwa makarne, kinyume cha Bibilia yenu imebadilishwa badililishwa mara nyingi na itaendelea kubadilishwa badilishwa

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 13 วันที่ผ่านมา +1

    Astaghfirullah, Nabii Isa hakukaribia pombe wala malaya

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 13 วันที่ผ่านมา

      Hujamwelewa

    • @JohnKaliadi
      @JohnKaliadi 12 วันที่ผ่านมา

      Wewe yesu sio nabii isa alah anakudanganya ,alah ni mungu mgeni,hana mtoto,ila 😮adonai adonai mungu wa wakristo yeye mungu wa kweli, yeye katuambia huyu mwanangu mpendwa nimependezwa nae msikilizeni yeye yesu mwana wa mungu

    • @AliMohamed-w3b
      @AliMohamed-w3b 12 วันที่ผ่านมา

      @@JohnKaliadi mungu hajatombana na hana mwana

  • @BakariKassim-s7l
    @BakariKassim-s7l 13 วันที่ผ่านมา

    Kuma kafiri ww

    • @kelvinfasili44
      @kelvinfasili44 11 วันที่ผ่านมา

      Dini Yako ndo inakufubdisha matusi

    • @juliuslubanzibwa9883
      @juliuslubanzibwa9883 8 วันที่ผ่านมา

      Unafaidika nini ukitukana, zaidi ya kujiongezea dhambi tu,

  • @costantinekikinda7574
    @costantinekikinda7574 11 วันที่ผ่านมา

    Jinga wewe

  • @abuually-ol2xc
    @abuually-ol2xc 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂. Huyuu pasta wenu hata hajielewii maskini Wala hata hajui anachokiongeaa ni nni ? Sasa tokea lini mungu ale na anywee na wanaadamu kama yeye ni munguu 😂😂 kazi kutungaa tu hadithi za uwongo kumzulia mwenyezimungu mambo ya uwongo ,na Kwa hayoo munayoyazusha mutaenda kuyatolea ushahidi mbele ya mwenyezimungu 😢 kazii uwongoo tuuu 😢njooni kwenye dini ya haki acheni kuzidanganya nafsi zenuu 😢

    • @VivecCarol
      @VivecCarol 13 วันที่ผ่านมา

      KWANZA UKAE UKIIJUA HII ''HAKUNA DINI YA HAKI WALA YA UHURU DINI ZOTE ZIMEJAA SHERIA KALI NA MAFUMBO. DINI YA KWELI NI MATENDO YAMPENDEZAYO ALLAH/MUNGU BASI ''

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc 13 วันที่ผ่านมา

      @@VivecCarol hayoo ni maneno yako wewe ila uislamu ndio dini ya haki na ndio dini ya mwenyezimungu Sasa kama unashaka na dini ya kiislamu basi Lete ushahidi kwenye hiyoo bibilia yako inayoonyesha kwamba ukristo ndio dini ya mwenyezimungu ! Na kama utaletaa basi nitakubali kubatizwaa 🤣🤣 najua huwezi kuleta Wala hakuna andiko kwenye biblia linalosema hakika dini mbele ya mwenyezimungu ni ukristo ! Coz ukristo ni dini iliotengenezwa na wazunguu ikishaa wakakuleteeni waafricaa .ila uzunguni huyoo ukristo hata haufatwii kabisaa 🤣🤣 ,ndio maana nikasema njooni katika dini ya haki ambayo ni dini ya kiislamu na ndio dini ya manabii wote .hakuna nabii aliekuwa mkiristo kama yupoo Lete dalili kwenye bibiliaa 🤣

    • @EnuelAbunimkali-rl1jj
      @EnuelAbunimkali-rl1jj 12 วันที่ผ่านมา

      Wacha wivu weye !!!!

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc 12 วันที่ผ่านมา

      @@VivecCarol ety hakuna dini ya haki 🤣🤣 ndio munavyo danganywa kwenye makanisa yenu ? Hakika dini ya haki mbele ya mwenyezimungu ni uislamu. Hata yesu mwenyewe alikuwa ni muislamu yeye na mama yake,sasa nyinyi Endeleeni kudanganywa kwenye makanisa na nyinyi munakubali kudnganywa,ukristo sio dini ya haki ya mwenyezimungu ndio maana mukawa munlazimishwa kuamini tuu bila ya maandiko .kutokana hiyoo dini imetengenezwa na wazunguu ikisha wakakuleteeni waafricaa

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc 12 วันที่ผ่านมา

      @@EnuelAbunimkali-rl1jj ety wivuu Kwa kuwa munanini ata niwaonee wivuu me najua kabisa ukristo sio dini ya haki kama kweli ni dini ya mwenyezimungu mbona mpka Leo hamutaki kutoa andiko lenye kuonesha ukristo ni dini ya mwenyezimungu 😂 njooni kwenye dini ya mwenyezimungu kabla hijakufikieni dhabu Kali ya mwenyezimungu .maana mwenyezimungu ameahidi atakae mshirikisha makaazi yake ni motoni milele .