HII NDIO SIRI KUBWA YA MAFANIKIO PROPHET IPM AMWAGA HADHARANI TAZAMA HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • HII NDIO SIRI KUBWA YA MAFANIKIO PROPHET IPM AMWAGA HADHARANI TAZAMA HAPA

ความคิดเห็น • 13

  • @timothyonderi1715
    @timothyonderi1715 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baba ipm nakupenda sana, mafunzo yako ni tumaini na mwanga mkubwa haswa kwa mtu kaa mimi niko chini kimaisha. Mungu akubariki kwa roho safi na uwazi

  • @chosenfrank4286
    @chosenfrank4286 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Baba

  • @chrisantalyimo2577
    @chrisantalyimo2577 13 วันที่ผ่านมา

    Ameenn

  • @MTUWAMUNGU3-7-15
    @MTUWAMUNGU3-7-15 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AmanziAmanzihamadi
    @AmanziAmanzihamadi 2 หลายเดือนก่อน

    Amen baba

  • @veroniquepeter643
    @veroniquepeter643 2 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa baba

  • @TafutaPesa-b9k
    @TafutaPesa-b9k 2 หลายเดือนก่อน

    Baba Mimi ninashida ushauri wako ni mnzuri sana nafanya kazi lakini sion mafanikio yote miaka saba sion mafanikio yote

  • @KashindiRubeniRuvunira-kc3et
    @KashindiRubeniRuvunira-kc3et 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu Pasteur natamani kupata namba yako ya WhatsApp ili nipate kukupasha tatizo yangu.Nakushiriki pamoja kiroho.

  • @jeremiamsuya1820
    @jeremiamsuya1820 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ipm baba ninakuku balisana baba mungu akupe umri mrefu baba ilababa nngehtani nipate nafas tuzungumze baba nitakupataj

    • @faustinefabian7318
      @faustinefabian7318 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nenda siku ya jumamos asubuh, anakuwepo mpaka saa nane mchana, panda magari ya Tegeta shuka mbuyuni wambie bodaboda wambie unakokwenda watakupeleka mpaka mlangoni, utaonana na mfalme.

  • @ndayikezaoscar3467
    @ndayikezaoscar3467 2 หลายเดือนก่อน

    UONGO: kwani wote tukitoa kafara tutafanikiwa??? Wapo watu wametoa kafara sana na bado wako vilevile.
    WAJINGA NDIO WATAFUATA

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe dada huyo unamuita mtumishi wa mungu kwasababu anakupa kazi kwenye channel yake au maana hata kukuelekeza kwa mungu kashindwa wewe hapo ulipo ni chukizo kwa mungu kwa kuvaa mavazi ya kiume badilika kesho ni mbaya yesu anaporudi kukomesha ufalme wa shetani na watumwa wake wakina IPM,mwamposa, devi na wengine