Acheni Roho Mbaya za Kumponda huyo Dada. Mnona yuko vizuri tu, apewe tu darasa dogo la technic za hayo Mambo. All in all kipaji anacho alafu ni Mrembo.
Yaaan mm ndo maaana Sina best friend yeyote awe wakiume au wakike naishi kivyangu2,,, ninawatu ninaofahamiana nao yaaan salamu salamu au kama tukiwa na maswala ya shule basi mambo mengine kujaza nzi2 some time wananiambia ninakisilani Lakini nilishaumizwa na best friend wangu nikakomaaa kabisa siwezi abadanii
hii nzur kuliko ile ya kuharibu mahusiano ya watu ila nimejifunza sana hakuna rafiki yaan rafiki yake ana rafiki yake na rafiki yake ana rafiki yake pia duuuh
Ushauri wa bure kwako Mr uk mtangazaji jitahidi au kasomee kuongea kiswahili fasaha na kuandika maandishi fasaha kiswahili chako km mtangazaji ni very broken jitahidi sn kwenye R na L ni ushauri tu samahani
Mr UKy usimtoe huyo Dada wengine hatuoni kama anshida yoyote yuko vizuri tu.❤
🤡
Acheni Roho Mbaya za Kumponda huyo Dada. Mnona yuko vizuri tu, apewe tu darasa dogo la technic za hayo Mambo. All in all kipaji anacho alafu ni Mrembo.
Roho za kwann zinawasumbua tu
Unaempenda kampenda mwingne huyo mwingne nae anamwingine nae kapendwa nae mwingne ndo maan halisi ya huu u best 😂😂😂😂😂...
Kbs
Hahaha hahaha hahaha hahaha marafiki mupo hapo😂😂😂😂😂 kwonesha dudu
Mshukuruni sana Martha mngeenda mpaka mkoani nyie 😂😂
Mabest wa mchongo wanakaa mbli mbali hvyo mfyuuuuu😂😂😂😂
Huyu dada yuko poa hana shida ❤❤❤❤
Upo sawa ❤
Watu mna roho mbaya kwa hiyo mdada wawatu aache kazi yake alafu watu humu wanafata mkumbo tuh....mdada wawatu anafanya vizuri sana
Chuo hamnaga rafiki wa kwel ni marafiki wa kucheka nao tu 🤣
Matha hadi aibu ooh siamini kwa waschana ila hapo aibu za nn🤷♀️😂😂
Mr Uky...naomba hii ije Mipango Dodoma campus🙏🙏🙏 na mnichek jaman
Yaaan mm ndo maaana Sina best friend yeyote awe wakiume au wakike naishi kivyangu2,,, ninawatu ninaofahamiana nao yaaan salamu salamu au kama tukiwa na maswala ya shule basi mambo mengine kujaza nzi2 some time wananiambia ninakisilani Lakini nilishaumizwa na best friend wangu nikakomaaa kabisa siwezi abadanii
Dada piga kazi mi nakupenda❤
Hakuna rafiki wa kweli tupo wanafiki tu nimeipenda hii
We Mr UK Utajiharibia kazi ukifanya kaz na uyo dada anakiherehere sana
Kila best ana best ake😂
Matha ukiona hii Comment sema jambo aisee...Beautiful
Mimi siez kumtaja mtu kwakweli rafkii angu n mm mwenywe ty❤❤❤❤❤
Nakupend dd ww unanogesh mpk rah❤🎉
😂😂😂
😂😂 imeenda iyo😅
Ila huyo kaka kachangamka ety barida😂😂zawadi zenu ondoka nazo fresh😂😂
Uyo dada jmn spunguze speed
Mr uky baki mwenyewe ds anamambo mengi mno😢
Dada wa watu yupo vzr❤
Hii inaitwa lafiki yako ana lafiki yake😂😂😂😂 nimejifunza kitu kikubwa sana
Hchi ni kipndi Cha umbea so hyo dada anvo ongea na ni haki so , msapotini asiombe maji jmn , alfu wanatka asionekne ni wadada , jiulize we ni mkimya 😂
Cicy yoo great 👍❤❤❤
NGOZI NYEUSI ROHO MBAYAA KA WACHAWI HUYU DADA ANAKITU NDOMANA MNAMUANDAMA YUKOVISURI ACHEN KUMKATISHA TAMAA WACHAWI NYINYI
Hii nimeipenda Mr UK😅
Dah noma sana kweli Dunia inamambo
I like it.
Ile video ya fumanizi alizinguwa ila hii Yuko vizur2 Mr Uky usimtoe🎉❤❤
Dada omba sana umekosa kibali jamani. Hana kiherehere kikali jamani mwacheni tu
Mm sinaga Rafiki kabisa yani zaidi ya mama angu na mpenz wangu
Hawa ni wajinga xan me nikimtaja huyo rafiki wao wakitoka kumfuata me nampigh xim na kumpanga ili anitaje inakuwa imeisha hv❤❤❤❤❤
Urafiki siutaki rafiki yangu ni YESU tu ndiyo rafiki wa kweli
Daaaaaaaaaa!!! Iyo ni mbaya sanaaa kitaalam
Sio Jiii Mr Uky ni G😂😂😂😂😂😂
Dada uko vizuri ila punguza ujuwaji
Nimejifuza kitu apa
Mi mbona sioni kama anaharibu,
Hamjamzoea, yupo vzr sana
Punguzeni wivu, na negativity,
Pengine ndo riziki yake jaman😢
Duuh noma mamae yani stokaa niamini marafiki tena mpaka nakufa 😂😂😂😂
Hongera dada umefanyia kazi maoni yetu ila bado kidogo
Mr Uky huyo dada hatumuelew bwana yani anabowa kazd mashauz ☹️☹️☹️☹️ halafu ana kelele sana
Jinsia Hii hua haipendani kabisa 🤣🤣🤣
Ambao hawampend wanaroh mbaya ndio maan alf wanaomchukia ni wanawake wazenzio achen roho mbaya huy dada yupo vizur
Kweli hiii rafiki yangu anarafiki yake na rafiki yake na yy ana wake duuuui rafiki bff wangu mama yangu forever ❤❤❤❤
Unakuta mamaako akiulizwa bff wako nani hakutaji sababu anakuterm wewe km mtoto Kwa watu
😂😂😂😂😂@@UpendoMoris-w8f
Bff wa mam yak mmewe
Wakwanza jmn🎤🎤🎤🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ndio mana sitaki haya mambo ya best friend asee cirle ni kubwa mno 😂😂
hii nzur kuliko ile ya kuharibu mahusiano ya watu ila nimejifunza sana hakuna rafiki yaan rafiki yake ana rafiki yake na rafiki yake ana rafiki yake pia duuuh
Ila binadam bna sasa huy dada anashida gni apo acheni ubinafsi muungen mkono mschna mwenzenu😢😢
Mr Uky hikii kipindii ni kizuriii snaaa njoo huku SAUT MWANZA
Heee 😂
Nimecheka😂😂😂😂😂😂
Sisi ndio wale wanawake mlioambiwa mwishi na sisi kwa AKILI😂😂🙌
Kummmke😂😂😂😂 eehhh duniani hapana kwa kweli
Uyu mdada anachangamsha❤❤
Uky huyo demu anaharibu Sana ana kiherehere sana ongea ongea nyingi sana
Kiherehere kimemzidii
Ach wivu
Sasa mwanafasihi unakuaje mnyonge lazm uchangamke ndo kpnd kiendelee achen vtu kama vlvyo kama hamjui
Acha uchawi
Daaah noma sana 😅😅😅😅
Kwaio kila mtu kaja chuo leo😂😂😂
moyo sukum dam si vingine
In short watoto wakike hawana u best 😁
Code 255
Hiyo chain nimeipenda😂
Ebu achen roho mbay dada wawat anafany vizur2 au mnatak akajiuz ili mumsem maray muachen afany kaz saiz yake
Dada asitolewe kama wanachuki zao n zao dada hana shida
Mr UK mwmabie huyo ndigu yako afanye kazi zingine au mmpige msasa,kiherehere nikokubwa sana kimepotiliza
Rafiki wa kweli ni YESU KRISTO.
Awezi kukuacha na anatuwazia mema kila leo
Hata mzazi anaweza kukukataaaa .
Daaah ni hatari kwa afya Ogopa sana BFF😂😂
😊😊😊😊
Kiswahili hamkitendei haki, lafiki😢
Mbona dada yuko vzr acheni roho mbaya
Kam urafk ndio ivyo mapenz vp
Kama urafiki tu ndo ivi je mapenzi 😂😂😂😂
Ushauri wa bure kwako Mr uk mtangazaji jitahidi au kasomee kuongea kiswahili fasaha na kuandika maandishi fasaha kiswahili chako km mtangazaji ni very broken jitahidi sn kwenye R na L ni ushauri tu samahani
Ni kweli kabisa inakera
Hatumtakiiiii huyoooo mdada jmn Mr uk
wanawake tupendane
😂yan hapo unajiona unabest mnatunziana siri kumbe wewe sio bff
Yaaan humu chuon ni unafiki mtupuu hakuna chochote
Yaani dada wa Mr UK uyo dada ni zaid yakiherehereee
😂😂aky ww
Mbona mm sijaona shida yoyote kwa huyo dada acheni hizo jamn mbona yuko vizuri tuu..
Mambo dada
WA kumi na moja 🔥🔥🔥
Sema leo kidogo kabadilika
rafiki wa kweli ni moyo wako
N lafiki au Rafiki jamani 😂😂😂
Ivi awa siwaanaumwa mikono mbona wako sawa😂😂😂😂😂 ila mk uky uongo
Waongo ata ayo maigizo
Dada yuko sawa jmn
Cameraman
Wanawake hatupendani jman
Wala ujakosea
Yani Unafki Hadi kwenye urafiki😂😂😂duuh hatal
😂😂hii kali mzunguko
Afu ni rafik
😂😂😂😂😂 mbwai mbwai tu
Ila mngetakiwa mfanye hv mkishawapigia sm ataje kwenye sm then mnaachana na ambaye hajatajwa hvyo mnavyofanya naona proses ni ndefu sana
Hujaielewa content ndomaana😂😂😂
Ungeangalia mpk mwisho😅😅😅😅😅
Uyo Dada bado unaendanae sisi hatumtaki Bana anaboa
Me nakupenda we dada❤
Ako ka demu cha uky kana mdomo
Bora mie cna rafiki😢😢😢
Mr Uky tunaomb ututolee uyo dada Yani unaharibu afu unatukosea hatumtaki hajui anaboa
Mnakosaga rizik kisa unafki
Coupon imetembea jamany🤣🤣🤣
Gee hauna best we😂😂
😂😂😂 daaah sio poa
Rafiki wa kweli ni YESU KRISTO.
Awezi kukuacha na anatuwazia mema kila leo
Hata mzazi anaweza kukukataaaa .
Martha mnafiki Sana nyoko wewe