Daaaaaa pole ssna mwanaume mwezangu hao wanawake mungu ndy anajuwa tu wanatufanyia vtu vibaya sana ukisngalia na kazi zetu ngumu hizi daaaa imeniuma sna
Utamaduni wa wenzetu wenye ngozi kama ya Nguruwe walisha vuka hayo maisha ya kumuamini mtu katika mahusiano walicho amua ni kufunga ndoa za Mkataba na masharti magumu ili waheshimiane na maisha yanakwenda poa kabisa nidhamu full.
We mzee😂😂 unaharibu ndoa
Maigizo haya, hakuna mwanamke anayeweza kutoa siri zake kwa mtu ambaye hamjui !!!....
😂😂😂😂 Hapo kwenye crown hapo nimepapenda 😂😂
Huyo Dem kweli kamata chinja duh
Akienda kumchoma visu ujue wewe unahusika 😅😅😅
In ilalah wainailah rajighuni ... Wadada tuogopeni mungu tunajizalilisha mnoooo😢😢
Hawa wanawake ni kunguru Sana 😂
Aish aish aisha umetuaibisha khaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Daaaaaa pole ssna mwanaume mwezangu hao wanawake mungu ndy anajuwa tu wanatufanyia vtu vibaya sana ukisngalia na kazi zetu ngumu hizi daaaa imeniuma sna
Kakayangu pole sana.wanawake wasikuhizi wabaya sana
Sio waote lakin
Pole Sana ndugu ila usirudie tena chaleng tuish naotu kibishi
Swadakta
Kaka pole sana wanawake sio wakuamini md wowote anabadilika
Mmh maigizo sio kweli hapa
Du! S wanawake mungu anatuona
Jaman eeeeeeeh huku 😢😢😢😢mbon huzuni tu
Dar unaweza kuzimia
Hii naona kama imepangwa..Mwanamke namba ngeni alopoke siri zake kweli..
Hv unawajua wtt wa 2000 akili zao wwe hawashindwi kufanya hvyo
😂😂😂@@HawaNangasu
inatokeaga
Unajua nikama kitumbua kipo nusu
Pacha yake kaweza😂😂😂😂😂
Semaa jamaa mvumilivuu kapoaa tofautt nawenginee semaa ndoo uwanaume
Huyo dada mchafu sana 😢😢😢😢
Ni mlinzi lkn mpole kweli jamn aishaaaaa....uwiiii hahahahahaaa pole sequrit
Yeah mpole na handsome pia maskini.
Mwendelez jmn
😂😂😂😂Aisha
Duuuuh pole Sana kaka ang
Ila wanawake SISI tutafia magest sana
Kama Ni kwel huyo dada Hana hakir timamu
Jaman masikini jeuri 😅😅😅😅😅😅😅😅
Wanao penda saiv Ni wanaume tu
Pole Sana kaka
Eti namba ngeni simu moja inaokotwa
Huyo mdadaaa mbn kajidhalilishaa ten zaid
Majina ya AISHA 😂😂😂😂😂😂
Mtihani sanaaa
Sana
😂😂😂😂😂😂 kk kumbe unasitiliwa,,,mh Hadi pacha jmn pole kk
😂😂😂mungu Wang wanawake sis
kaisha kweli
Kimekuramba brother 😂😂😂😂😂
Lakini afadhali alivyo gundua kuliko kuishi nae baadae angemletea maradhi huyo Aisha na Pacha wake wote Malaya na hawana akili
Kumaninaaaaaa
❤❤mtihani ni mzuri na siku moja inabidi 😂😂😂😂
Uyu Aisha ni chiz ata Malaya awaongeagi ivyo
Jaman pole Sanaa mwamba hayo ndo mahusiano Sasa na changamoto pasua kichwa hiyo challenge ni Kali inahitaji mtu asiye na pressure 😢😂
Mbona kama maagizo
Asilimia Yasisi Binaadamu Tuliyo wengi tunatamaa sana, Hakika Tamaa Mbaya sana...
oya nakuja kwanza sikoment kitu chochot nafata pat 2 nisubirini nakuja
Haya mambo sio fresh kaka achaa utaachanisha wengi
😢😢😢😢eeeeee mungu tulinde
😂😂😂😂😂😂 mapenz shikamoo et nimemsitilii😅😅
Wanaume waaminifu wanapata wanawake wa hovyo
Daaaah.....pole kaka
Maskini pole sana kakaangu. Mungu atakupa alie mzuri zaidi na mwema kwako.
Ushamba mtangazaj kwamba mwanamke utamtek ukimtajia hvyo vi2
Acheni challenge hizo mtavuruga sana watu😂😂😂Dunia sio hii
C aliimba mwenyewe 😅😅😅😅
Ujue haya mambo hayaaa 😅😅😅
aisha shkamooooo😮😮😮
Huyu kaka nshampenda siwezi ishi bila yeye 😢😢😢😢😅
Sumu ipo hapa
Irene c wale wale
Jaman mkaka wawatu 😢 njoo nikupende mimi daaah
Mwendelezo je
Msema kweli pesa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Waongo wametengeneza
Pole kaka ndodunia ilivyo mwamin mungu tu
Mkaka mrefu,mweupe mwenye muonekano wa six packs ila Bado 😂😂 hao ndo WAnawake
Jamani adi nimemuonea huruma huyu kaka 😢😢😢pole sana
uyu jamaa anajuta 🤣 nacheka kama mazuri.
Utamaduni wa wenzetu wenye ngozi kama ya Nguruwe walisha vuka hayo maisha ya kumuamini mtu katika mahusiano walicho amua ni kufunga ndoa za Mkataba na masharti magumu ili waheshimiane na maisha yanakwenda poa kabisa nidhamu full.
Mambo gani hayo Nyinyi
Duh 😂😂😂😂 nacheka kama mazuri 😢😢
Mchongo sio kweli bhana haiwez mtu apigiwe cm ni mtu hamuelewi halaf atoboe mpaka yaliyopita kizmbe.
Mimi ni mwanamke lakini machozi yamenitoka
Wasema una reje mmmhhh wee hii kali😂😂😂😂
Niunganishe nae uyo mlinzi nampenda
Wanawake mtihani kweli aise 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Range siondoki nayo leo😂😂
Taften pesa wapeni wazazi Hawa si watu mmmmmh
Umitisha kaka
Msipende kuwachunguza wapenz wenu subirin wakati wa mungu Ndio sahihi.
Subuhanullah wanawake sis jmn tumuogopeni na Allah bc ten Aisha kbc dah
@@WardaSuleimn jina tukufuu
Lakin mwenye jina hatariii 😁😁😁😁😁
Mbona wanaume wao hawamwogopi MUNGU 😢😢
😂😂😂😂eti usijali kabisa,,,nenda kwny point.
Ulitak awe nani😂😂😂
@@JanetkalamaJanetkalama hata angejiita mtangaji tu lakini sio aishaa 😢
Duh mdada hatari sana aisee😂😂
We Fala tafuta hela Acha usenge kaka hao viumbe hawajui wanataka nini
Hii SI kwel ni move
😂😂😂😂👍Tuma ef kumi
Jaman pole kakangu
Daaah! aice 😢
Kawa mdoogo inauma atali
Da njoo kwangu kakangu
Allah Akbar Wana wake sisi jaman mwenyew zimungu a2sitir ety Allah pole San kaka yang
Yani huyu dada sio challenge huyu ni Malaya pro max 😂😂😂
Asili y aisha ni mwaminifuuuuuuu.hajawahi kuharibu.
Mwanakulitafuta mwana kulipata 😮
Heee wanawake ss duuuu jmn kaka mungu hatakupa wako inshallah 😮
Hayo majina ni wazinzi kishenziii😅😅😅
wewe hilo jina lako lenyewe tu eti love ness sindo unagawa hadi nyuma wewe mshenzi mkubwa
@@SwabihaAhmed c unaona mna Afya ya akili nyie wakina aisha 😄🤣😂😆pyeeeee unachat hpa umekula kwnz au ndo uko kujizalilisha mjini
@@lovenessitiku6293 uulizwe wewe maana wahukumia jina lamtu kua ni tabia kama sinjaa ni nini
@@SwabihaAhmed una Afya ya akili ww ushatoka kujidhalilisha saa hz umekula lakn dyadyaa
Aisha Kajimaliza😂😂😂
Pole kaka angu ndodunia
Duuuh… huyu mwanamke hafai kabisa. Mwanaume ht hamjui anamkubali kiulaini kabisa.💔💔
Duuuu😮
Duuuu!!! Wanawake hatarii
Duuuhh pole sana kaka yangu 😢😢😢😢
Jamani jamani 😂
Enyi nyinyi wanaume ishinini na wake zunu kiakil
Duuuuuuh inaumaaaa😢😢😢
Aishaaaa😂😂😂
Aisha heshima yako
😢😢