Congratulations charming baby gal...Mommy loves you no matter what😊...Don mind about idiots that do not know the difference between acting and reality. ...Mshidwe sana fools
The worst things people in relationships can do to each other ni kukubali kudishiana huko nje and then to make the matters even worser unapatikana. Why are we wasting each other's time? Mbona tubebane ufala? Manze don't take a partner who is struggling to bring something on the table for granted. People out here want loyal partners but they can't get. Am sorry boychild, cool down na usiharakishe tena kwa relationship, utapata mwingine.
I like the way Pluto promotes someone when it comes to talent and work
No nini cjakupea this line never get old 😂😂😂😂
Jamani mnipe zakwangu leo
Mim ndo nimewai😂😂😂
I love the way the guy ana ji compose he is so calm, he is not quick to react
Walaii wengine hukuwa tu ma drama queen
Me listening to the advise of the lady vs what is found the phone😅😅😅😅 ogopaaa😂😂😜
:Why between my comment yuh a passin'. without a like😥🤦😒
#rejectfinancebill
Npitie pia please 😅😅
Why! Why between my interview you’re passing around! I hate you!!!😂😂😂❤
😂😂Wakuu since nianze kuwatch video za thee pluto hamjawahi kulike my comments why 😢😢gongeni likes tukisonga team strong
Hey😊
@@NevinBett Hey to
Hello
@@CateMunee hello to
😂😂aah babygirl umeomba likes sana acha tukupe
Nipewe uyo ama alisha move on 😢😢😅😅😅😅😅 he's my type 😹😹😹😹😹😹😹😹
Huyu dem si red flag aki ni red curtain😂😂😭yohh #RUTOMUSTGO 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haka nikavillage mate,her mama told her not walk with me asizae😂😂😂
This shits happen unapata wenye wanaambia ni wabad ndo hsuceed pia was there na wenye waliambiwa waniavoid ndo walizaa
@@Susan-gx7dt it's not a joke gal
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 libe ati kawhat?🙌
My dear tuma. Vunja mamake shingo😂😂 pandisha yeye presha😂😂😂
Kama hujaenda ground ask butita, 🤝🔥, twende nalo
#rejectfinancebill2024
whenever you fell wasted jua kuna pluto aliekea huyo dem microphone akipeana advice na anacheat😂😂
One thing I love when the cheeter give best advice and then shit goes down on 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Congratulations charming baby gal...Mommy loves you no matter what😊...Don mind about idiots that do not know the difference between acting and reality. ...Mshidwe sana fools
Acha kupatia malaya advice. Unampea confidence aendelee kudinywa ovyo ovyo
We want loyal couples uwe unawapa zawadi na unawambia watupe advice coz we want to knw how the win this love temptation pls
Mimi nkisikia adi halafu ya Pluto na potea 😅😅
Napenda vile huyo morioo anafuatilia kwa makini 😂
the guy is so silent
stand firm na usikue kiruka nkia, na ujue unataka nini kwa maisha, amepatikana akikula proffesor ole zeeka ndo apite
😂😂😂 ghaaaaaiiiii pluto moo kwa church compound 😅😅
Wadau..ndio kuingia huku Leo....mnipee likes 😊😊😊alafu iyo title eeei 😂😂😂supp ni ya wanyonge
Alishamove on ama?😂 He's my type yoooh😂😩
Wenye tunasoma commet alfu tunacheka tupatane hapa kwa tent ya pink🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaa😅😅😅
😅😅😅
😂😂😂koma
Cheaters got the best advise I swear😂😂
Uyo boy si ni mcalm and cute khai 😍 😊
Thee Pluto plz nakuomba si one day camera man atugotee atleast tumuone juu anafanya kazi mzuri of zooming in🙏🙏🙏🙏
Haiombwi hivo😂😂
@@klauskipz 🤣🤣🤣
😂😂😂😂ashasalimiana ulikuwa wapi😂😂😂
Eish the couple is coupling......good looking
The guy was dating himself 😮 He should be happy he is now off the malaya, angemletea ugonjwa hiyo poko haijui kufunga miguu
Kenya kila mtu ana talent🔥
And the way she adviced us to be firm 😂😂😂
Nimetoka kukua firm 😂😂
Usikuwe kiruka njia😅got me on the floor
Niko minute tunapewa advice 😂😂 but nimeona heads up
TH-cam should give us a break with their too many ads 😡😠
Huyo dame anamoan vizuri Akilia❤😂😂
😂😂😂😂😂
Ati ana moan akilia??? 😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
Gen Z iko hapa😂😂. Na utasikia wakiblame Ruto for their shenanigans. Ni kubaad! Uzembe tu. Kujifanyia kazi aah
Mbona macho yangu iko kwenye migu za demu 😂😂
When someone is lying i can tell this lady eeee ..... 😂😊
😂😂😂😂huu ni umalaya wa hali ya juu 🤣😂 kwani sue hujaacha tabia ya kucheat
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwni nyinyi mnajua uyu dem😂😂
@@sanchostylist...9719 kaa hapo wewe🤣🤣
Watu wanacheat wasitupee advice tena yoo😂😂😂
U mean this cute guy is loyal 😅😅
Kwni hatukuagi loyal😂😂
Yes....tuko loyal...
Huyu kk ni mpole sana wee 😂😂
The moaning cry after cheating 😂😂
Hypocrisy
Watu huwa hawaelewi sanitization ama nn huwa inahappen huyu Dem si ndo ametuambia tuwe firm ama😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
😂😂😂ametwambia tusiwe viruka njia😅sa izo yeye ni mkimbizi njia😅
Great job.. continue helping couples to know the truth
Nilikuja kujua wanawake ndio uwa wanasambaza ukimwi .ebu imagine hapate ukimwi na apelekee uyo jamaa . lakini wanawake nowadays uongopa mimba sio ungojwa
Hadi nkahurumia huyu Chali akh😢😢😢😢😢
Walai si mnipee uyu jamaa kweli🙆😲😳
Kwani hujasikia namba akisema😂
@SAMUELMWANDIKWA-k9j 😂😂😂
@SAMUELMWANDIKWA-k9j 😂😂😂
Tap tap the skin guys tuko livuuu😂😂😂(stivu simple boy)
Skin?
Tuko Mia sita
Ushafika hku tena 😅😅😅😅😅na skin wako 😅😅😅😅
😂😂😂😂 follow the top gifter
😂😂😂😂 Aki wewe
waaah adi Sancho anaona dust😂😂
Enyewe tunaona dust😂😂
😂😂😂😂bro ni Mali na ha cheat 😅😅
Weeeh sistake alicia kanini 🤣😂😂🤣🤣😂😂
Be nice 😂😂😂
Mbona watu hawaongelei venye hii couple imeiva
Ama kuiva inamean? 😅
walae wanaendeana
the dude'd cute and loyal.....daaamnn😅
Boys wanafaa kuwa hivii😂😂ako relaxed.. madem hukuwa tu ma mbafaku😂
@thee pluto, video quality is dropping, even in HD the picture is grainy. Leta camera poa man. Great content lakini
Mungu boy kama huyu ndiye nataka😅
Khaaaiii anapigwa mtungo na malectures 😂😂😂😂😂😂😂😂
Na kameisha niaje😂😂
Nani amecheki io miguu wakuu?😅 Iko firm sana😂
Ni marks huezimpea, the guy is so calm and mature.
the way she gives advice is her own goal you can't believe she is cheating 😂😂😂
My Guy is very keen kuskiza manze 😂😂..
Serikali inafaa kuanzisha ministry of kuchachisha Thee Pluto akuwe CS😂😂
Thee Pluto zingatieni mwanga tafadhali hii video haiko clear kabisa hatuoni watu vizuri😂😂😂❤️🇹🇿# Reject Finance Bill 2024📌
The worst things people in relationships can do to each other ni kukubali kudishiana huko nje and then to make the matters even worser unapatikana. Why are we wasting each other's time? Mbona tubebane ufala? Manze don't take a partner who is struggling to bring something on the table for granted. People out here want loyal partners but they can't get. Am sorry boychild, cool down na usiharakishe tena kwa relationship, utapata mwingine.
Bro, squad mzima imejisafisha na manzi yako.... 🤣🤣🤣
Wanawake ni crocodiles 😂😂😂
Mambok kwa kikaleee😂😂😂
Uyu kaka katuliza kichwa naskiliza kwanza
The audacity to advice cheaters yet you’re cheating is on another level of cringe!😂😂😂
Na mnakuwanga na ufala ajh how do you cheat with your friends partner na bado unaendelea kuweka hzo chats😂😂ati a month ago anyway ebu mnipee likes
Enyewe huyu ni malaya pro max .
Jamo ulitendwa😂🎉
Na nikikueka hiyo tat venye mlikuwa mapenzi tu😂😂
"Ni nini sijakupea"😂😂this line should stop😢
Pluto sep comrades wakitoka ushagu fika mayakos😂😂😂😂😂utupangeeee
Dem anamoan ama analia 😢😢😂😂😂😂😂😂
Loyal guys wakuwe wanazawadiwa bana
Nimekuwa wa kwanza ku comment
Davie aligonga, na akaondokea.
"as a lady usikue kiruka njia"
Waschana sku izi wameharibika wah! 😢
Sexually Transmitted Degrees (STD) are common in Universities.
First to comment hizo likes zikam through
😂😂😂😂Leo nmefika mapema
😂😂😂
This is guy is so cool😢
Nmejua wale madame wanagraduate haraka hivo malecture wanawakula
Na huku inje kuna faithful men,naona naeza risk 😂😂😂,ama nikae single tu
@@InshaarSiyat Tu nn🤔
@@FridahNash-zw6tktu😘
😂😂utarisk kumbe umeanguka kwa vitunguu
@@MaurineMaruti eeeh sometimes life ni kurisk 😂😂
@@FridahNash-zw6tk 🤣🤣🤣🤣
@Thee pluto hujai fika KIST
Kutoka 2020 niko na 53 subscribers😢si mnifikishe hata soo moja wasee
Done npitie pia please ❤❤
@@miriamkuselenipitie pia nakupitia
@@miriamkusele nimekupitia
@@misstosh6 numekupitia
@@misstosh6Nipitie nikupitie pia
Huyu boy ni mpolee
Ila pluto nimmbeawewe ukikuta chit unapiga na mruzi
Mm mnipee number ya huyo boys nikama hajawahi date mjaka 😅😅🤚
Analia ama anamourn😂😂
😂😂😂
Nipewe huyo boy ❤
Nitumie number yako 😅
@@pabloshaban id number ama 😅😅
aki huyo boy n mcool sana nipewe yeye aki 😢
Pia dame very beautiful
For once nimeona mtu najua kwa sanitisation 😂
😂😂😂😂 really
na pia pluto p2 inaitwa femiplann
Bro hiyo video kuna vle aiko clear ama n jua❤️👊
Enda kwa settings yako ya u,tube u tap option ya high quality video
Kazi ni kusanitize watu na tuko maandamano
Ebu mnisubscribe pia🥺
The fact that she had the audacity to approach the man shows she's something else 😢😂
Leo nimefika much early ama😢😢😢😢
Huyu dem tu aende tu vct aki😅
Acha kusimama apo enda kwa lect si ukona paka yake