ACHANA NA MWANAUME WANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Criss ame wachanganya wa dada wa wili

ความคิดเห็น • 505

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 3 หลายเดือนก่อน +19

    Mmmh ety achana na mwanaume wangu wewe upo kwa kuudumia mke mwenzio na uyo bwana ila dada wa wanaume 6😂😂😂😂😂 noma sana

  • @saay4273
    @saay4273 3 หลายเดือนก่อน +21

    Kugombania wanaume tu kupunguza vitambi Aaaaaaaaaaaaaaaah😂😂

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wanaumwe wanaongwa mara nyingi wanakuwa na wanawake wanawaonga. Wanaume hawapendi kushushwa/ kushindwa. Ndio maana wanapenda kuhonga wanapoongwa. Yaani wanawake wengine huwa hawajielewi, hawajijui mwanaume sio mwaminifu mnamgombania huo ni msiba wa wanawake na msiba wa taifa. Hizo ni dalili za ujinga wa akili na dalili za umaskini na uchawi/ kuanza kuroga.
    Keep on moving ladies, acheni huo ujinga.

  • @gladynessjerome4464
    @gladynessjerome4464 3 หลายเดือนก่อน +20

    Kazi kugombea wanaume tyu kuoga aaah😂😂

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @KuluthumMungi
      @KuluthumMungi 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @AlindaSyphael
      @AlindaSyphael 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @Thumaommy
      @Thumaommy 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @geofreyirro4127
      @geofreyirro4127 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @ceciliapaul4161
    @ceciliapaul4161 3 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu treasure hajielewi, hivi anawazazi kweliii😢

    • @youdya
      @youdya 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @abubakaliyahaya2968
    @abubakaliyahaya2968 3 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂 hii kali aise kuna wanaume hatujui nn tunataka

  • @glorymushi6158
    @glorymushi6158 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi ya nini kazi haimhusu mtu kinachotakiwa atoe hela ya kodi basi

  • @BurterDreezy
    @BurterDreezy 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman Mr uky unatuangisha na kiingereza chako,,,,,eti how long umefound 😂😂😂😂😂 au nimesikia vibaya jaman,,,,😂😂😂😂 grammar jaman grammar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 heee anyway ndio media zetu tenah

  • @PendoMoris-zo4nl
    @PendoMoris-zo4nl หลายเดือนก่อน

    Kwann aumalizi video mpaka mwisho tuelewe......?

  • @HalimaHusseni-h1p
    @HalimaHusseni-h1p 3 หลายเดือนก่อน +5

    Na nyie wanawake muda mwengine acheni ujinga mwanaume Hana kazi hakupi chochote wann

    • @Tanzaniayangu1
      @Tanzaniayangu1 2 หลายเดือนก่อน

      Ndo ushangae😂😂

    • @HalimaHusseni-h1p
      @HalimaHusseni-h1p 2 หลายเดือนก่อน

      @@Tanzaniayangu1 ndio hapo wanajifanya wanapenda kumbe wanatapeliwa tu

    • @Munayya-g2p
      @Munayya-g2p หลายเดือนก่อน

      Nashangaa kapenda mkia🙌😂😂

  • @PaulinaMassay-u4w
    @PaulinaMassay-u4w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanaume wako we kma anakupenda kweli asingeweza kufanya UJINGA HUO unagombana na mwanamke mwenzio kisa mwanaume. Kwani huyo mwanamke yeye ndo kamtongoza au katongozwa Sasa Hilo swala yeye anakazi au Hana inamuhusu nini Sasa yeye kama kamwambia Yuko single hamn mke huyo mdada afenyeje. Na lazima amhudumie atajua yeye Hela katoa wapi. My dear sister we deal na Mume wako huyo utashinda lasivyo unahangaika bure
    Sema na mchumba wako. Achanana mwanamke mwenzio. Huko ni kujidalilisha jmn.

  • @AnjelikaNgimbudzi-yc8pu
    @AnjelikaNgimbudzi-yc8pu 3 หลายเดือนก่อน

    Moneyless halafu uchaguliwe dada mweusi hujitambui wewe

  • @jennet6484
    @jennet6484 3 หลายเดือนก่อน

    Mr.uk unapenda kujua english..hata hvyo unavyo kwama kwama kila siku naamini sio kupenda kwako..jifunze utajua😊

  • @moureenensungi5924
    @moureenensungi5924 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mr uky uyo dada mweusi anavyoonekana anaenda kumsimulia chris yote kbla kbl ata hujamtafuta 😂

  • @AbdulMagembe
    @AbdulMagembe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo akili ni ndogo tu, huyo dada anae muhudumia mwanaume abane tu hizo pesa asimpe, alaf aone huyo dada anayehudumiwa kama ataendelea kuishi najamaa Otherwise, jamaa atafte kazi ili aendeleze huduma. Na swala la kazi sio la siku moja.mpaka aje apate, ameshaachwa.

  • @hamzamajanga
    @hamzamajanga 2 หลายเดือนก่อน

    Unapata wapi ujasiri wa kuongea hivyo jamn ety namhudumia.. nampa hela 😮😮

  • @dogsandpetseducation6221
    @dogsandpetseducation6221 หลายเดือนก่อน

    Kwa majibu haya,wakitendwa wanaomba serikali iwasaidie na mtu kamwita kumweleza vizuri halafu anajibu utumbo,

  • @KhadijaSempeho
    @KhadijaSempeho หลายเดือนก่อน

    Yanihuyu dada aloiba bwana wamtuh ingetakiwa kumtupia jini lauchizi avue nguo atembee uchi ili akitembeze vizurii

  • @MwanangeniAyubu
    @MwanangeniAyubu 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kumpa Hela huyo mwanaume Kwa muda alafu tuone huyu anaejifanya kuhudumiwa Kwa wakat asipopata hizo Hela km atampenda huyo anae muita boya gar bovu

  • @SyliviaMbuya
    @SyliviaMbuya 3 หลายเดือนก่อน +12

    Wanaume siku hizi wamekuja juu sana, Sasa Kuna watu wapo single halafu dada anamiliki wanaume kama usafiri wa bajaji😅😅😅😅

    • @SantaJumaa
      @SantaJumaa 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 eti usafir wa bajaji

    • @EdwardDismass
      @EdwardDismass 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😂

    • @martinetimotheoofficial3304
      @martinetimotheoofficial3304 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 umetishaaa mtoni wanaume inatuhusu

    • @angolina1768
      @angolina1768 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @jairatu688
      @jairatu688 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 2 หลายเดือนก่อน

    Wanawake mnaowapa pesa wanaume inakuaje?, mbona mimi siwezi?, utaambulia boxer za buku5 tu, na inategemea.

  • @faridakidoti6734
    @faridakidoti6734 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa mipango mnapangaje na hela unatafuta ww mk""":nd hujielewi basi kwenu kuna njaa kazi kuhudumia mtoto wa mtu nyoko

  • @MwanangeniAyubu
    @MwanangeniAyubu 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kumpa Hela huyo mwanaume Kwa muda alafu tuone huyu anaejifanya kuhudumiwa Kwa wakat asipo pewa Kwa wakat I'm atamtaka huyo anae muita boya gar bovu

  • @IreneJoseph-x8k
    @IreneJoseph-x8k 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmh!! Kilicho baki tusome biblia na Quran tu.

  • @Atb300
    @Atb300 10 วันที่ผ่านมา

    That means akupendi 😂anachukua pesa kwako anampa mwenzako😂😂😂

  • @glorymushi6158
    @glorymushi6158 3 หลายเดือนก่อน

    Utamfanya nini wewe ungekuwa na chakumfanya ungemfanya usingehitaji msada

  • @IreneMacha-d5q
    @IreneMacha-d5q 3 หลายเดือนก่อน

    Kwako.studi.mm nipo na side chick mpka kieleweke😅😅😅😅😅😅

  • @marryeliasmarryelias9289
    @marryeliasmarryelias9289 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe dada si ni mpumbavu unamgombaniaje mwanaume ambae Hana hata kazi 😂😂😂 unamhudumia na bado hakuheshimi😂😂

  • @SuzanaMpesha-b3n
    @SuzanaMpesha-b3n 20 วันที่ผ่านมา

    Mm binafs siwez kuw na mmoja ni mwendo wa kucht ana tuuu😅😅😅😅

  • @dorcusnakkie1726
    @dorcusnakkie1726 2 หลายเดือนก่อน

    Eh bipolar is real😂😂😂 ety achana na mwanaume wangu yan nakuhudumia alafu uwe na mwanamke mwingine nimfate uyo mwanamke nimwambie aachane na mwanaume wangu is it coming jamn😂😂

  • @zainabyasin2023
    @zainabyasin2023 3 หลายเดือนก่อน

    Ila wanawake humu tunajizalilisha kweli, yaani it's disgusting kuona mnagombania wanaume uwiiiih eti 'unajua nmetoka nae waapi' hahahha

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 3 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂shiva lilikua linalala lala kwa kikao cha wadada na tresher aliandika ipasavyo notes sana sana rules no 5👌👌🤞shikilia apo apo tresha quuuumaammmakeeee weka weka weka 😂😂😂

  • @AzaMajid-br5jq
    @AzaMajid-br5jq 2 หลายเดือนก่อน

    Amkeni wanawake mwanaume haudumiwi Anahudumia ukijifanya unayaweza lazima yeye akatafute sehemu ahudumie hiyo ndio sifa yaoo

  • @lysterrichard8417
    @lysterrichard8417 2 หลายเดือนก่อน

    Ila dada black kasema ukweli ila wanaume 6 unatumia iphone 6 nyie kama idadi 😂😂😂😂

  • @GraceTransford
    @GraceTransford 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂bado watu wanagombania binadamu wenye mikia mbele,i wonder

  • @kelvinathuman8545
    @kelvinathuman8545 3 หลายเดือนก่อน

    Mdada malaya uyoo mamaae😅 kwahiyo apo utakachoongea anakuona mbuzi

  • @elenlazaro3192
    @elenlazaro3192 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnatoa wap pesa😅😅😅kwan mwanamke tangu lini ana pesa😂😂😂😂

  • @victoryjohn4179
    @victoryjohn4179 3 หลายเดือนก่อน

    Wengi wanalaumu huyo dada kumuhudumia mwanaume wake,,, sasa kama zamani alikuwa na kazi alafu tuko pamoja kaachishwa kazi na tunapendana je nitamwacha aende au nimfukuze,,, kumuhudumia mwanaume wako si kosa,,, kosa ni hilo anapewa nae anatoa

  • @makumikyalo2226
    @makumikyalo2226 2 หลายเดือนก่อน

    Naitaji uyo dem mwenye ahatembeya na mume watu please mwenye hanawesa kuwa na number yake hanitumie

  • @mackyladislaus7887
    @mackyladislaus7887 3 หลายเดือนก่อน

    hata me kuna mtu namhudumia iila siku nikigundua ana mtu mwengine,nanua zangu shangazi kaja la 3500 namjazia kila kitu naweka kibarazani ,nafunga mlango naenda kwetu kukaa 2 week halafu nione😂😂😂

  • @sophiemtitu9921
    @sophiemtitu9921 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi hela mnatoaga wapi za kulea watoto wa mamamkwe aiseee hio akili ni yakijinga ndo kupenda ama!

  • @zabeniramba
    @zabeniramba 3 หลายเดือนก่อน

    Wanawake tumekuwa wajing saaaaan saiv tunangombania wanaume hay ha ingekuwa mm nimetongozwa nakubal hainihus Kam ana mwanamke wak huy muhudum wakike apunguze kihereher ila wanawake sisi😅

  • @AMINAATHUMAN-nb9qn
    @AMINAATHUMAN-nb9qn 3 หลายเดือนก่อน +18

    Siwezi kumpa mwanaume helaaaa hata jeroo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @pillyramadhani3726
      @pillyramadhani3726 3 หลายเดือนก่อน

      Ushalizwa ndio maana umeshuka😂

    • @abdallahrenatus6677
      @abdallahrenatus6677 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ila unataka mwanaume akupe Sio?

    • @fatumakomba9916
      @fatumakomba9916 3 หลายเดือนก่อน +4

      Mimi kumpa mwanaume ela jamani siweziiiii jamani😂😂😂 mume wangu mwenyew akiwa nashida namkopesha naribaa juu pesa yangu aiendi bure😅😅

    • @hildamasonda6528
      @hildamasonda6528 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂nakuungaaa mkono na miguu juu

    • @hildamasonda6528
      @hildamasonda6528 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatumakomba9916kwanza wengine tunaumwa na degedegeeeee😅😅😅

  • @levinaasenga2794
    @levinaasenga2794 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ye ajui ana mwanamke wake ? Alienda kumtongoza mwenyewe mwambie asimpe pesa ndio atajua anapendwa au lah 😂

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 3 หลายเดือนก่อน

    Ss mwanaume km uyo wann naww ht akichumuliwa unapata hasara gn si ndo utapungukiwa na mzigo

  • @EsterMwakatundu-il2le
    @EsterMwakatundu-il2le 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo Tressure ni mdada wa aina gan kwenye huu ulimwengu?

  • @pillyramadhani3726
    @pillyramadhani3726 3 หลายเดือนก่อน

    Dada sitisha huduma kwa kriss ndio huyo dada atamuacha mumeo kwasababu ye kafata pesa

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 3 หลายเดือนก่อน

    Wew unaishia nae sababu unampenda yeye kapenda kwingine na hela zako anakula na mwigine wew mzima dada??

  • @juddysemiti7920
    @juddysemiti7920 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchepuko kaongea point😂😂 afu mwanamke atakama unampa mwanaume wako hela hio iweke siri hujionei ata aibu

  • @JosephatMassae
    @JosephatMassae หลายเดือนก่อน

    HILA SISI WANAUME NI NUKSI KWELI UNAPATA DEMU ANAKUPENDA ANAKUWEZESHA UNASHINDWA KUTULIZA MBUPU CHINI DA

  • @euphrasiakalinga7221
    @euphrasiakalinga7221 3 หลายเดือนก่อน

    Nguvu za kuwahudumia wanaume wenzatu mnazipqta wapi

  • @MaryMacha-b1w
    @MaryMacha-b1w 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mr Uky utasababisha waganga walale njaa wallah 😂😂

  • @maryammsang202
    @maryammsang202 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila wadada tuache ujinga uko ni kujizalilisha tu

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada mwenye bwana mjinga hana akili kabisa kwanza ndo angeenda kumwambia bwana yake awache kumchiti hahaha😂 bado anamuhudumia bwana na na bado anamsaliti maana hampendi kamwee pesa anachukua anampeleka wanawake wengine

  • @joyagustino
    @joyagustino 3 หลายเดือนก่อน +2

    oyoo nmependa huyu dad mweus anavyojiamn alitakiwa ampige kofi mtu unamlishaje mwanaume mimba anabeba yeye😅😅😅

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅

  • @HattaHatta-pk7hr
    @HattaHatta-pk7hr 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan ata nikiwa nazo kwa kizazi hiki siwezj mwonga mwaume pesa yang nayye anahonga looh

  • @juliethmagembe2262
    @juliethmagembe2262 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchepuko kakasilika kwanini mwanamke anamhudumia mwanaume hapo nimemkubali😂😂

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 3 หลายเดือนก่อน

    HUYU MDADA ALIOISHI NA UYO KAKA MIAKA MITATU ANA AKILI MAANA YEYE NDO ANAMPA HUDUMA MWANAUME UYO MWANAUME HAMPENDI ANGEMPENDA ASINGE MSHITI NA KUMUDUMIA PESA ANAPELEKA KWA MWANAMKE MWINGINE YUPO SAHIHI HUYU MWENYE MIEZI 4

  • @doricakisenya4867
    @doricakisenya4867 2 หลายเดือนก่อน +2

    Zinaaaaaaaazinaaaaaaaazinaaaaaaaaaaaa kwa watoto wetu eeeeMungu wafungue macho waone

  • @Missah
    @Missah 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo dDa mweusi kama wakweny wrong hous au🙄

    • @ZalhathamohdSaid-qn4jj
      @ZalhathamohdSaid-qn4jj 3 หลายเดือนก่อน +1

      ndy yeye kweny dunia nyengine pya yupo michez ming wasanii ao😂😂

  • @NeemaIbrahimu-c2l
    @NeemaIbrahimu-c2l หลายเดือนก่อน

    Duuh wanawake wanapenda jaman unamuhudumia mwanaume aloo!🤦

  • @user-ln4he3yp5l
    @user-ln4he3yp5l 3 หลายเดือนก่อน

    Anayetafuta Hela ana kipara, anaiba amesuka nywele ya hela

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi unamuudumia na yeye anahudumia pumbavu kweli

  • @LuneLoth
    @LuneLoth 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ni drama mdada ana wanaume 6??? Mnatuigizia bhn😮😮

  • @FaridaKizenga
    @FaridaKizenga 3 หลายเดือนก่อน

    Malaya ww utakufa na ngoma, huoni aibu et nina wanaume 6 nyoko ww.

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mtu anajisifia uzinzi 😢😢 ety nina wanaume 6 Dah 🎉🎉

    • @esterstaphord5184
      @esterstaphord5184 2 หลายเดือนก่อน

      Hadi huruma nay 😢....dhamb imetawala Dunia😅

  • @GeofreyMollel-su2oq
    @GeofreyMollel-su2oq 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu mdada mweusi cku y mwisho ata chomwa n moto wa gesi dah

  • @NadyaSaid-w6e
    @NadyaSaid-w6e หลายเดือนก่อน

    Sasa huyo wanaume 6 si ukimwi njenje hapo

  • @BennyTalimo
    @BennyTalimo 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani inakueje jamani mbona hamtuoni sisi

  • @IvonaNdibalema-p8m
    @IvonaNdibalema-p8m 2 หลายเดือนก่อน

    Punguza english bn mr uky

  • @diva_20162
    @diva_20162 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi kumgombania Chris kuoga aaaaah 😂😂😂

  • @fidonsostenes
    @fidonsostenes 3 หลายเดือนก่อน +32

    solution ni ndogo aache kumpa ela huyo boy hili atulize komwe

    • @lovenessaloyce3177
      @lovenessaloyce3177 3 หลายเดือนก่อน

      Very sure kwakweli

    • @عايشهالمجنونه-و8ب
      @عايشهالمجنونه-و8ب 3 หลายเดือนก่อน

      Kweliii kabisaaaa

    • @QUEENJoseph-kh6cb
      @QUEENJoseph-kh6cb หลายเดือนก่อน

      Umeona kwa nza huyo dada hana akili anafugaje umbwa ndani halafu umbwa mwenyewe habweki😂😂😂

    • @KisangaAnniyah
      @KisangaAnniyah หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😅

    • @Na2jwaHassan
      @Na2jwaHassan 26 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅​@@KisangaAnniyah

  • @SemeniJuma-x8i
    @SemeniJuma-x8i 3 หลายเดือนก่อน

    sasa wewe wanaume sita wote hao kuna wenzio hata mwanamume mmoja hana,na ndio maana ukmwi auushi

  • @JacklineLemayan
    @JacklineLemayan 3 หลายเดือนก่อน

    Huogopi Ata kusema eti wanaume sita

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 3 หลายเดือนก่อน

    😏😏😏😏😏chapekeako kabuli acha kumlee

  • @jamesnkane3
    @jamesnkane3 3 หลายเดือนก่อน +24

    Nipo apa like apa Kwa uky

  • @Eunice254-o7x
    @Eunice254-o7x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wachen ujinga wanawake mnapatia nguvu wp ya kuudumia wanaume

  • @riosingingandmore8224
    @riosingingandmore8224 3 หลายเดือนก่อน

    Kama vip mr uky tuletee kris hapo

  • @FloraMika-n5m
    @FloraMika-n5m หลายเดือนก่อน

    Inaelekea anapenda vibonge😂😂😂

  • @MarianaJoh-nb5rn
    @MarianaJoh-nb5rn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na hao wanaume 6 wameshasikia unavo wasambazia UTi,, 😁😁😁

  • @Tamtam-wd1dy
    @Tamtam-wd1dy 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu Shiva hajielewi oooh hooo mwanaume hapewi pesa jamani hamjifunzi? Sikatai kusaidiwa akishuka kimaisha lakini si mwanamke u take responsibilities kama we ndo mwanaume YANI hatokupenda tena atakudharau utakacho mpa ataenda chkua mwanamke mwingine a sponsor kila kitu kupitia pesa yake mwanamke. Ukihudumia mwanaume na akawa comfortable ujue uko ktk wrong relationship ujue mwanaume hapewi pesa na mchumba hasomeshwi.....utakuja kulia machozi debe

    • @Tamtam-wd1dy
      @Tamtam-wd1dy 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu dada Shiva ni mwanamke mzuri tu Subira tu atapata mwanaume sahihi yani anaenda jidhalilisha bureee na mwanamke mwenye ma bwana 6...jamani gonjwa lipo kona tu. Yani tuombe stara dunia ishajiishia.
      Shiva aachane na huyo Chris ni msiba mwanaume kaa huyu pesa zake angenulia kiwanja akajenga au yangeenda hata China kufanya biashara na sio kua na kimeo ambacho haki alisha zalishi zaidi ya hasara na kupata cheap ticket ya mgonjwa yasiotibika

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Siulitimuwe hilo limwanaume liende kwa huyo anaejiona anahudumiwa kwa wakati hamujielewi

  • @PetronellahKashomba
    @PetronellahKashomba 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ah nmechekaa,wanaume sita like siriaz,anaongea comfortably like..hahahaha shenzii

  • @OmanSalalah-of7uk
    @OmanSalalah-of7uk 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi kulea mwanaume kuolewa aaaah 🤣🤣🤣🤣

    • @zuhurahassan917
      @zuhurahassan917 3 หลายเดือนก่อน

      Daaaah

    • @VivianSamwel
      @VivianSamwel 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅 wambiee kazi kupigania wanaumee😅 kufanya kazi aaaaah

  • @oscarjuliusy5126
    @oscarjuliusy5126 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani criss mwenyewe anasemaje?

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona huyo mwizi anajiamini sana

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh 2 หลายเดือนก่อน

    Changudoa ww wanaume 6 ??kahaba

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 3 หลายเดือนก่อน +7

    Acheni kujizalilisha, hakuna mwanaume wa pekeyako.

    • @MarryEdward-c7x
      @MarryEdward-c7x 3 หลายเดือนก่อน

      Kbxaaaa

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Asa si atafute pesa mwanaume mzm anahongwa

  • @MagrethSamwel-s5z
    @MagrethSamwel-s5z 3 หลายเดือนก่อน

    Usikute anahonga ada ya chuo huyu😢😂

  • @JohnMtinga-ld1js
    @JohnMtinga-ld1js 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kudanga tyu kuolewa aaah😂😂😂

  • @JeremiahAgustino
    @JeremiahAgustino 3 หลายเดือนก่อน +1

    Embu tuletee patr two chap😂 et unaakili yy nd ana akil unamuhudumiaje mwanume wkt ndo kaz ake kwako ss kam yy atak kuhudumiw kun wadada atatuhudumia😂

  • @RoseZamani
    @RoseZamani 3 หลายเดือนก่อน +5

    Dada anadhalau afu anajiamini akikataliwa mwambieni asinywe sumu anywe tu chai alale😂😂😂 watano watamtosha

    • @Mery-st4nu
      @Mery-st4nu 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo anakwambia hampendi mwanaume anapenda pesa zake istoshe pesa inatoka kwa mwanamke mwenzio anajiamin utazan mkiwa kaumiliki kumbe si wake mbwa wa kijani yule

    • @RoseZamani
      @RoseZamani 3 หลายเดือนก่อน

      @@Mery-st4nu 😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @najmahhassan7853
      @najmahhassan7853 3 หลายเดือนก่อน

      Uyo Chris anaweza asiwachague wote😂😂

    • @MagrethSamwel-s5z
      @MagrethSamwel-s5z 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 3 หลายเดือนก่อน +2

    bora leo mmebadilisha waigizaji na sio kevoo kevoo kila siku..atleast leo Chriss😂😂

  • @stephenmwakasonda892
    @stephenmwakasonda892 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa wanawake ndo wakirogwa mwisho wa siku watanzania tunaanza kusumbuliwa timchangie matibabu

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @vivianchristian6315
    @vivianchristian6315 3 หลายเดือนก่อน +1

    kumbe hupendwi ela zako ndo zinapendwa we mjinga

  • @NewadyNzuyu
    @NewadyNzuyu 3 หลายเดือนก่อน

    🤔🤔 it's is over ......

  • @FloraMika-n5m
    @FloraMika-n5m หลายเดือนก่อน

    Mwaya bora uwe na hao6😂😂😂😂

  • @zwadiijaxen
    @zwadiijaxen 3 หลายเดือนก่อน

    Who is Chris?y??...😂😂😂😂funny

  • @lizzyObed
    @lizzyObed หลายเดือนก่อน

    mnapenda kugombania dudu

  • @Misssmile111
    @Misssmile111 3 หลายเดือนก่อน +4

    Unahudumiwa sawa kununua sim nzuri aaah 😂😂😂