PUTIN aapishwa kama RAIS wa URUSI kwa muhula wa tano, sherehe zafana, US, mataifa ya EU wamsusia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 382

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h 4 หลายเดือนก่อน +34

    Tunaoangalia jengo badala ya kusikiliza wachambuzi tujuane kidogo😂😂

    • @GerardLaizzer
      @GerardLaizzer 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂mm simuangalii Putin naangalia huo mjengo inaukubwa kama kutoka mikochen mbaka kariakoo duu jaman huyo Putin wangemtafutia tu usafir

  • @khamisomar889
    @khamisomar889 4 หลายเดือนก่อน +55

    Sky hapa unawakimbiza bbc na dw kimya kimya ❤

    • @denismwambilinge
      @denismwambilinge 4 หลายเดือนก่อน +3

      Sure jamaa yupo smart

    • @midundotechtz6843
      @midundotechtz6843 4 หลายเดือนก่อน +1

      Bro kipaji sana

    • @MarikoWangwadadiya
      @MarikoWangwadadiya 4 หลายเดือนก่อน

      Op​@@midundotechtz6843

    • @cyliruta5021
      @cyliruta5021 4 หลายเดือนก่อน

      Sahihi kabisa ​@@midundotechtz6843

    • @cyliruta5021
      @cyliruta5021 4 หลายเดือนก่อน

      ​@denismwambilsahihi kabisa inge

  • @twalibmavumba
    @twalibmavumba 4 หลายเดือนก่อน +39

    Mungu amlinde mr putin

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 4 หลายเดือนก่อน +1

      Putin ni kafiri ujue😅

    • @chikusangalala7759
      @chikusangalala7759 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu amrinde aje watesa vizazi vyetu,

    • @mussammsaji1110
      @mussammsaji1110 4 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@zuricakes6817embu tuambie ukafiri wake up I?!!!!!!!?

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 4 หลายเดือนก่อน

      @@mussammsaji1110 wewe ndio Muislam, tuambie maana ya kafiri. 😁

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 4 หลายเดือนก่อน


      KAFIR
      NI MAKOSA
      KUOMBEWA DUAA?

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 4 หลายเดือนก่อน +9

    SnS family Alhamdulillah we're growing day by day..... pongezi kwa timu SnS

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 4 หลายเดือนก่อน +22

    Sns tunawambiza bbc mdogo mdogo watashtukia tunawapumulia kisogon let's go wana fuse 🔥🔥🔥

  • @HansChuma
    @HansChuma 4 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu jamaa mm hua namfanana nisha kama raisi wetu Rip JEMBE LETU MZEE WETU BABA ETU mzee MAGUFULI jembe Allah akuounguzie na adhabu ya Qabri uko uliko❤❤❤❤

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 4 หลายเดือนก่อน

      Magufuli alikua na hofu ya Mungu asingevamia nchi yeyote na kuua watoto na kubaka wanawake, hayakukuta tulia,,,,, Magufuli muache mtu wa Mungu alale salama

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@atutweve4160 Ww nyamaza tuliza uko nje ya mfumo wa Dunia ya sasa vilaza kama ww hatuwataki huku

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 4 หลายเดือนก่อน

      MB ni za kwako, unao uhuru wa ku comment​@@atutweve4160

    • @jut1161
      @jut1161 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@atutweve4160acha kuongea usichokijua.
      Uliishi nae, sema muda wake umekwisha alale salama

    • @elicktilia4430
      @elicktilia4430 4 หลายเดือนก่อน

      Meaningful that not all ideas can be same

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 4 หลายเดือนก่อน +7

    Walking majestically.. like a MAN from Dar Es Sallaam Tanzania

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 4 หลายเดือนก่อน +16

    Dj smaaa is a master of sns channel and analyst of military affair

    • @kelvinsakey2540
      @kelvinsakey2540 4 หลายเดือนก่อน

      Dj smaa ni mbuzi tuu ameweka kuegemea upande mmoja

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 4 หลายเดือนก่อน

      Mbuzi wewe na utaumia xana tuu nyamwez uxiejielewa ndio maana hujielew unaleta ubaguzi na chuki zako apa ​@@kelvinsakey2540

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@kelvinsakey2540Wacha kutumia majina mabaya kwa watu, km humkubali potezea tu

    • @djsma255
      @djsma255 4 หลายเดือนก่อน

      🙏

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 4 หลายเดือนก่อน

      Ttaizo yuko na Bias ,naukishakua na Bias basi unakua haufai

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 4 หลายเดือนก่อน +27

    Hongera hongera hongera🥰 mr putin

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 4 หลายเดือนก่อน +26

    Miaka 71 anatembea vizuri afya iko vizuri

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 4 หลายเดือนก่อน

      Putin ni kafir au sio kafir? Quran inasemaje😷

    • @nouraynaasheikhunkabir3749
      @nouraynaasheikhunkabir3749 4 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@zuricakes6817 wewe itakusaidia Nini ?? Tafuta pesa wewe acha habar za kafiri au sikafiri

    • @carmp3
      @carmp3 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yani kweli pesa sabuni ya roho,, mama yangu ana miaka 63 ila anaonekana ni mzee zaid ya putini hekaheka ya maradhi imemdhoofisha sana ukijumlisha na ugum wa maisha basi tafrani

    • @Siasia209
      @Siasia209 4 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@carmp3 pesa sabuni ya roho na mwili lkn tunatikwa pia kuchagua mwenendo wa maisha yetu uyo baba apo ni mtu wamazoez pia

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 4 หลายเดือนก่อน

      @@nouraynaasheikhunkabir3749 Uislam umekushinda ndio maana unaongea hivyo. Quran inasema Putin kafir, sasa wewe muislam gani unaipinga Quran?

  • @JacksonMkunja
    @JacksonMkunja 4 หลายเดือนก่อน +6

    Conglaturation mr.genius leader of the world of the this century

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekukubali kinoma ulipo mkubali Dj Sma 🎉🎉

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน +36

    hili jengo la kuapishiwa sio la kitoto

    • @J_Pabloescobar0806
      @J_Pabloescobar0806 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hicho chumba alichotoka putin ni mbali kinoma nomaa kumfikia utafanya kazi sana

    • @richardsanane4208
      @richardsanane4208 4 หลายเดือนก่อน +5

      Pote dhahabu tupu

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 4 หลายเดือนก่อน +3

      Ebwana jengo ni hatari kabisaaaa

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 4 หลายเดือนก่อน

      Yn htr sn😂😂

    • @jumaseif7514
      @jumaseif7514 4 หลายเดือนก่อน

      Halafu yupo peace sana

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน +15

    Kaka mtanisamehe kwa leo naangalia picha zaidi kuliko kuwaskiliza wachambuzi

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 4 หลายเดือนก่อน +4

      Tupo pamoja na wewe😂😂😂

    • @mlelwatv5831
      @mlelwatv5831 4 หลายเดือนก่อน +2

      Qmmke daa pamoja mkuu 😂😂

    • @mohdomar1948
      @mohdomar1948 4 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂 kabisa

    • @StephanoMoses
      @StephanoMoses 4 หลายเดือนก่อน +4

      Jumba la dhahabu . Ulaya c wanaitaman sana

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 4 หลายเดือนก่อน +6

    Dahhh jmn hili jengo ni nzuri jmn. Nzuri kwelikweli sijawahi kuona. Dahhhh ni kuzuri yaani hadi raha zaidi. Love you Russia.

  • @KulwaJakutai
    @KulwaJakutai 4 หลายเดือนก่อน +14

    Uraaa namkubal sana huyu mwamba allah akulinde jembe letu🙏

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 4 หลายเดือนก่อน

      Allah tena? amlinde kafir?😅

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ni MUNGU TU mwenyewe ndo yupo ndani yake. Sasa wengine wanataka tuwe mashoga wapi na wapi . Bola huyu ashikilie Dunia ili iwe salama

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 4 หลายเดือนก่อน +2

    Duh! DJ SMAA kama ni kweli kwamba Israel alirusha ndege F-35 ikiwa na bomu la nuclear kwenda kuipiga Iran na kwamba kabla haijatekeleza shambulio hilo ikatunguliwa na Warusi, basi Warusi wapi sayari nyingine kabisa

  • @hamzahuseni2555
    @hamzahuseni2555 4 หลายเดือนก่อน +10

    Namkubar Dj smaa

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 4 หลายเดือนก่อน +5

    Genious of the world
    We ❤❤❤❤
    #VLADMIRPUTIN

  • @CrissManda
    @CrissManda 4 หลายเดือนก่อน +19

    WATAKE WASITAKE HUYO NDIO MWAMBA MPYA WA ULIMWENGU,
    GOOD NEWS GUY'S

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 4 หลายเดือนก่อน

      Haipingingi kabisa Kaka.
      Uchumi umepanda katika vikwazo sio kazi rahisi.

    • @clementsabuni75
      @clementsabuni75 4 หลายเดือนก่อน

      Yaan vita vya ulimwengu vinanukia yaani haviepukiki hawa mashoga hawakubali kushindwa kabisa kwahiyo mapambano yataendelea yaani watu ni kujiandaa tuu maana ww 3 haiepukiki.

  • @nadhifamustapha7557
    @nadhifamustapha7557 4 หลายเดือนก่อน +10

    Amaizing CONGRATS COMRADE acha wasuse 😂😂

  • @ThomasKeya-z1p
    @ThomasKeya-z1p 4 หลายเดือนก่อน +17

    Hongera sana putini piga mshoga mkp wasema imetosha

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน +6

    Inshallaah siku nikipata nafasi ya kipesa na muda ntafika urusi nikamuone huyu mwamba hata kama atakua kashastaafu

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 4 หลายเดือนก่อน +12

    Uchaguzi sio haukuwa huru bali ulikuwa huru sana zingatia huru sana ila wao magharibi walitaka Putin ashindwe na angeshindwa hata uchaguzi usingekuwa huru wangesema ulikuwa huru madam Putin kashindwa. Sasa wamechelewa sana kususa kwao hakutupunguzii chochote kwanza hatuhitaji seaport yao

    • @kakawamashariki8978
      @kakawamashariki8978 4 หลายเดือนก่อน +3

      Naam,ndivyo ilivyo. Kinacho nifurahisha zaidi.. Marekani atajuta kwanini alianzisha hii vita ya Ukraine maana pande zote za dunia hata sisi aliotuaminisha kwa miongo kuwa yeye ndiyo kinara wa dunia, kumbe wapo vinara wametulia.

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaa

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 4 หลายเดือนก่อน +9

    Hongea sana putin

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 4 หลายเดือนก่อน +7

    Hii Combination ya Fuse Box ni Hatari, Box limejaa mazagazaga... Ally na Sma wanaua Sanaa, Sky Mzee wa Chombeza😂😂😂

  • @rahmahassan7510
    @rahmahassan7510 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwamba huyu apa inaitwa usio mpenda kaja viva putin

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 4 หลายเดือนก่อน +7

    watajua wenyewe watuachie Putin wetu tuko nae mpaka watu wamagharibi wote wafe

  • @fikirininasoro5272
    @fikirininasoro5272 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee hii chanel iko poa sana 🔥🔥🔥

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mmm hayo majumba hata marekan hawan

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wazungu ndio hawana akili wanaweza kumuua hata muuza vitumbua wakiona t ana apenda siasa za kijamaa

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน +8

    uongozi Marekani hawana mijengo kama hii

  • @twalibmavumba
    @twalibmavumba 4 หลายเดือนก่อน +5

    Yani wao kila sehem wanataka wakae watu wao ili wanyonye.... Pumbavu sana hawa

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani sijui wapoje kama pepo hv

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 4 หลายเดือนก่อน +8

    Urusi yenye Nguvu na ya kihistoria hii chini ya mwamba putin

  • @SabraNassor-hv1xi
    @SabraNassor-hv1xi 4 หลายเดือนก่อน +13

    Putin anahofu ya Mungu

  • @senikomanya7223
    @senikomanya7223 4 หลายเดือนก่อน +4

    Cheki miaka 71 jamaa andunda lkn bongo miaka 71 kaisha jizeekea hata milo mitatu tu shida

  • @YohanaMasebo-v2c
    @YohanaMasebo-v2c 4 หลายเดือนก่อน +4

    Manyang'au wanateseka sana

  • @AbduAmza
    @AbduAmza 4 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana manyangau roho juu

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana jembe la urusi🎉🎉🎉

  • @richardburundi3090
    @richardburundi3090 4 หลายเดือนก่อน +14

    Silazim a wakubal wote

  • @AndallahHasaan
    @AndallahHasaan 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera San putn

  • @yasinsanga9062
    @yasinsanga9062 4 หลายเดือนก่อน +2

    Putin ndio kiongozi Bora dunian

  • @GatekaNene
    @GatekaNene 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nauliza sii kwa ubaya nisaidiyen hivi hilo jengo ni zahabu kweli ao ni mapambo tu YESU KRISTO 😮😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน +7

    Baidn hawezi kupandisha hizo ngaz

    • @pascalntandu1217
      @pascalntandu1217 4 หลายเดือนก่อน

      Sio ngazi tu yaani angekufa kwa kutembea kwenye hizo korido zilivyo ndefu.

    • @Soon815
      @Soon815 4 หลายเดือนก่อน

      Miaka 81 yule

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr 4 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU naomba umpe maisha marefu Mzee Putin

  • @mwantummwevy7277
    @mwantummwevy7277 4 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations Mr. PRESIDENT

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 4 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulation president Vladimir putin

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu amjalie afya njema Putin ❤❤🇷🇺🇷🇺💪

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 4 หลายเดือนก่อน +1

    Miondoko sasa 😂mselaaa labda umcokoze Mr Putin❤

  • @JonhKahindi-xe4dl
    @JonhKahindi-xe4dl 4 หลายเดือนก่อน +6

    Namkubali sana sana huyu mwana familia putn

  • @suleim505
    @suleim505 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asee miaka 71 bado akililiyake inachajibalaa na kuumiza vichwa vya wavurugamipango, bigupsana, URRAA👍

  • @fatumaninga5522
    @fatumaninga5522 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaani uchaguzi wa nchi nyingine wao waseme haukuwa huru!
    Haiwahusu kwanza wapende wasipende nchi ipo kwenye vita na imefanya uchaguzi kwa amani wao inawauma

  • @MaugadoMaugado
    @MaugadoMaugado 4 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulation puttin

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha mashoga wagome,tunajua shughuli za wanaume hawawezi kuhudhuria,mpaka zamashoga wenzao,wewe president we appreciate you!

  • @BHTV-ly4jf
    @BHTV-ly4jf 4 หลายเดือนก่อน +15

    Waamini wasiamini tayari ni raisi😂😂

    • @LaureanKajugusi
      @LaureanKajugusi 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hongera mkombozi wa dunia dhidi ya magaidi fiche wa magharibi.

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa kweli😂😂😂

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani marekani wenyewe wamefanya michezo michafu kumchafua tramp kisa alikuwa karibu na putin na alikuwa akisifia pia nchi za kiarabu hasa Sadia kuwa wanapesa sana, na akaweka wazi kuwa wenyewe wanamadeni mengi mno ila wanatoa pesa nyingi sana na istoshe ndio wanaotoa pesa nyingi sana kwenye mashirika ya kimataifa hasa UN wanatoa robo tatu ya pesa taofauti na mataifa mengine, so tramp ametusanua ndio maana wanafanya taasisi ya UN kama yakwao peke yao. Lile shirika linafanya biashara pia tena za kihalifu mfano lilishapata ajali gari la UN uganda na likakutwa na dhahabu za kutosha tu, imekuwaje gari la kulinda usalama likutwe na dhabu? Asimpenda kaja, wajinyonge tu.

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kabla ya yote lkn huyu jamaa bado yupo njema c kwa mwendo huo wa mguuu

  • @mussaMbwego-lz9hd
    @mussaMbwego-lz9hd 4 หลายเดือนก่อน +2

    Viva my Mr President

  • @sadayosiame8798
    @sadayosiame8798 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dar yani tamani putini angekuwa hata na umuli wa myaka 30 ivi dar maa uyu mzee

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa magharibi wamesha ishiwa na sera na hawana mvuto tena katika nchi nyingi

  • @simonjohn2784
    @simonjohn2784 4 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda mataifa yenye misimamo kama Russia

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera baba yangu kwa kua raisi tena

  • @ZahraZahra-wy6gc
    @ZahraZahra-wy6gc 4 หลายเดือนก่อน +4

    Dj smaaa ndo master kwenye uchambuzi chukua maua yako mapema nakukumbari kwenye kitengo cha kutupa habari

    • @djsma255
      @djsma255 4 หลายเดือนก่อน +1

      🙏

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 4 หลายเดือนก่อน +4

    ❤vivaaaah #PUTIN

  • @Quran-hidayat01
    @Quran-hidayat01 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hoyo ndoo rais anajiamini sana nandomana tunamkubali hata wawo wazungu wanamkubali ilahawasemi

  • @bomonda2622
    @bomonda2622 4 หลายเดือนก่อน +2

    Putin tembea yake tu confidence

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน +7

    mwamba huyu hapa

  • @JamesMtewa-ro1dh
    @JamesMtewa-ro1dh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bina damu wa pekee aliye rafiki Na Mungu Mr Putin kipenzi Cha binadamu duniani

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mze wa kazi kaingia mzigoni tena wakina Cheupe jasho lawatoka mtu 1 anawatoa kamasi

  • @JamesShadrack-g6b
    @JamesShadrack-g6b 4 หลายเดือนก่อน +1

    Russians hakikisheni mnamlinda raisi Putin kwa roho na damu zenu 🙏🙏🙏🙏 ni rafiki wa haki 👏👏👏👏 kifo kwa umoja wa ulaya👣👣

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dah putin ni noma mazee

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 4 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations 🎉🎉👏👏🇳🇱

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hovyo kabisa nchi za magharibi mungu atawalaani hao

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 4 หลายเดือนก่อน +2

    Duh! Collabo Kati ya dj na Ally iko juu sana napenda hiki kizazi kipya wanavyo chambua Geopolitics. Kitambo nilikua mbumbumbu sana niliamini sana media za nje ila toka nifunguke macho I can't buy any fake news from mainstream media hasa CNN ,Fox News DW and many more.Salute sky kwa kuwapa fursa hao madogo.

    • @mountaincoffee7
      @mountaincoffee7 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hi elimu huwezi PATA darasani. Kabisa. Asante Kwa kufungua macho ya wengi

  • @KulwaBikogoto-dw2jt
    @KulwaBikogoto-dw2jt 4 หลายเดือนก่อน +1

    That's Truth

  • @aooshosho4255
    @aooshosho4255 4 หลายเดือนก่อน +2

    Putin you have my vote even if am not a citizen of russia

  • @kassimali511
    @kassimali511 4 หลายเดือนก่อน +1

    Adi raha yaani ❤

  • @mountaincoffee7
    @mountaincoffee7 4 หลายเดือนก่อน

    Hi elimu huwezi kupata dasani 😂 Asante kwakutumia TH-cam yao vizuri kwa kufungua macho ya wengi wapi tulipo toka wapi tunaenda asanteni uongozi mzima

  • @willympayo3301
    @willympayo3301 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uchaguz ulikuwa huru.kwani marekani ndo wanasimamia uchaguz dunian.kilamtu asimamie mamboyake.mbona Putin hajawahi simamia uchaguz marekan
    .

  • @husseinbongo7447
    @husseinbongo7447 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke aliyemzaa Putin alibarikiwa Sana. Jamaa ana akili nyingi Hadi namtamani

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 4 หลายเดือนก่อน

      Sio poah aisee me mwenyew nimefikiria huyu mama yake aliemzaa ni balaa

  • @Gregory-he3vi
    @Gregory-he3vi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu putin ni mwamba kwelikweli

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 4 หลายเดือนก่อน +6

    Tupo pamoja raisi wa dunia🎉🎉🎉🎉

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duh miaka 71 lakini bado anadai.Yuko na nguvu kabisa.Hongera Putin.🎉😊

  • @AbdulhalimYusuf-bc6rj
    @AbdulhalimYusuf-bc6rj 4 หลายเดือนก่อน

    Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakaatu DJ smaa na ali masud Mungu awabariki sana

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa Yuko Fit Daahh😂😂😂
    Ingekuwa ni Babu yangu ana 70 Basi ujue ni Mtihani 😂😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 4 หลายเดือนก่อน

      Ulaya kawaida watu hawazeeki kama kwetu 😩🤣

    • @StephanoMoses
      @StephanoMoses 4 หลายเดือนก่อน

      Lishe kamili ndio tiba asee sis tunakula kinachofika mezani

  • @amourabubakar474
    @amourabubakar474 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dj smaa.. Rais wa Egypt aliependuliwa madarakani na Muhammad Al sisi anaitwa Muhammad Mursy na alifia jela nadhani 2016 baada ya kukosa huduma Bora ya matibabu kwani alikua akisumbuliwa na sukari..

    • @djsma255
      @djsma255 4 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa tarifa hii

  • @DeeJuma-dj1tb
    @DeeJuma-dj1tb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Putin ni noma

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 4 หลายเดือนก่อน +5

    Acha wasuse kwani ni kwao...😂

  • @jumaseif7514
    @jumaseif7514 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie wachambuzi M/mungu awasameh madhambi yenu yasir nadhahir na mm pia anisameh pia mungu awafanyie wepesi.. Sina cha kuwalipa zaid ya dua

  • @BekaTall-tx8yb
    @BekaTall-tx8yb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Genius Mr President Putin

  • @bekamwaba3571
    @bekamwaba3571 4 หลายเดือนก่อน +1

    Walisusia kwa kuwa Putin sio kibaraka wao.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani siku 1 huyu put putin atembelee Tanzania

  • @JacksonMkunja
    @JacksonMkunja 4 หลายเดือนก่อน +1

    Conglaturation Mr. Putin.

  • @maniscamullah6282
    @maniscamullah6282 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hii Nyumba dah

    • @saidiomar6642
      @saidiomar6642 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ikulu hio baba

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jumba la dhahabu

  • @show...002
    @show...002 4 หลายเดือนก่อน +1

    hawa russia commandos ni hatari mnoo

  • @salumadam2862
    @salumadam2862 4 หลายเดือนก่อน +1

    Putini daima✌️

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa atawakisusa putin inamuhusu😂😂wajinga sana wamagharib ❤🇷🇺🇷🇺💪💪

  • @chachamtatilo423
    @chachamtatilo423 4 หลายเดือนก่อน

    Allah hamjalie maisha marefu putin

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 4 หลายเดือนก่อน

    Natamani sana kuona Malaika ya kinyonyaji yanapotea kabisa hawa wamaghatibi ni washenzisana