America anajitoa tu asionekane na Dunia kumsaidia Netanyahu kufanya mashambulio RAFAH lakini wao ndio Waliompa nguvu kubwa yote hayo Netanyahu kumaliza Wapalestine 🥹but Allah atawalipia inn sha Allah 🤲🏼😫😫💔
Israel hawawezi kuwaachia magaidi wapumue bila kumaliza kiporo cha hapo Rafa. Wakifanya makosa tu wajue kwamba magaidi yatakuja kivingine na kufanya shambulizi la nguvu zaidi kuliko Oct 7 2023
Kwanin mataifa wasishaur Hamas waachie mateka wa Israel? Kwa sababu Israel anachotaka ni watu wao waliotekwa. Yamkin Kama Hamas wangekabidh mateka Vita ingeisha
Israeli hataki mateka ndugu ana malengo yake mengine. Kwasababu km angekuwa anataka mateka aliambiwa toka mwanzo kabla vita havijaanza kwamba aachie mateka wa kipalestina ktk jela za Israel Hamas nae ataachia mateka wa Israel basi kazi imeisha
We mzee kigogo usiwaite hamasi gaidi wao wanaoigania nchi yao bora wewe wakaribishe hao mazuyuni kwenu uwajue uzuri wao usitetee ukweli ndio maana mpaka sasa dunia inatambua ukweli waneuwa wapalastine miaka mingi mbona mnafunga midomo yenu hao sio mungu wa kuabudiwa
Watu mnachuki za kijinga sana Yaan hiv mtu aseme kitu gan asionekan na kasoro ww ukishajua na anakasoro achan na post zake bas ila ya kutukana inaonekan baadh ya din za watu zinawafundisha matus aise
@@mwanahussein5935 ICC arrest warrant itaharibu tu taswira yake unless otherwise Haina impacts kwa viongozi wa mataifa makubwa au yaliyoendelea.Putin mwenyewe ana arrest warrant ya ICC ,Haya nani wakumkamata ?! Ni kelele tu.
@@frankjoshua1152 ni Sawa na vp kuhusu ndani ya Israeli coz Kila mtu anasema kitendo cha kusimamisha vita tuu kutapelekea hukumu ya netanyahu dhidi ya ufisadi, kushindwa kuzuia tukio la October 7, na pia kushindwa kufikia malengoo ya vita aliyowaahidi wananchi wake hiyo ni ndani ya Israeli
@@mwanahussein5935 yes akisimamisha vita kabla ya kuyafikia malengo Yao ambayo yanapendwa na wanasiasa wenye msimamo mkali analiwa kichwa !! Kuishinda hii Vita ndio turufu tosha kwake
@@frankjoshua1152 na ukweli ni kwamba vita keshapoteza hajawamaliza hamass, mateka hajawarejesha na hayo ndio malengoo makuu ya vita hii yaliyofanya kuungwa mkono na nchi nyingi za magharib lkn kwa Sasa anachofanya ni mauaji ya kimbari na ukaona magharib kwa asilimia kubwa wamebadili msimo juu ya Israeli alafu yeye anakimbilia kusema Dunia yote inawachukia wayahudi na hicho kitu sio kweli haoni kbs anachokifanya apo gaza
@@raymrash Jamaa unachuki na waisilama mpka unataka kufa kwa chuki sasa nikwmbie hakuna hata moja litafanikiwa dhid ya watu hao unaowachukia mtafanya yote ila hamtofanikiwa nimefuatilia comments zako zote ni zachuki yaan hata kama unafamilia duh sijui kwa akili uliyonayo hata yakuona uhalisi unaingozaje!
@@natual7572 Sina chuki na hiyo dini ulioitaja ...angalia vizuri comments zangu sijataja dini ya mtu chonde chonde acha kunichonganisha na dini za watu
Akil za darasa la tatu hizo zinasumbua,tatizo waafrika hatutakag kujifunza maarufa Kwa kusoma ndo madhara yake haya....watu wanapigana vita ya kiuchumi ww umeng'ang'ania udin choko ww
SKY you guys are making our life easier tunashukuru saaana kwakutupa habari muurwa kila siku kwayale yanayoendelea duniani
Marekani ndumikuwili sie wakuaminika sana nyuma ya pazia anapeleka silaha kimya kimya silaha kwake ni biashara
Good boys two sns very ❤❤ mnafanya vizuri smart sana nakubari
Wataingia Rafah maana mayahudi wanaenda tofauti na mungu ije kuwa binadamu....mayahudi sio binadamu hao ni evil
Uyonyau na washilika wake mungu atawapa wanacho sitahili wanaua roho zawatu basi sawa pumbavu zao
Ya ishe sasa eh Baba Mungu wa mbinguni 🙏🏾
dj sma hanaa fact kabisaa video zake zote anaongea kiushabiki hamn kituu kabisaa. hufai kuw mchambuzi
Marekani hana huruma iyo shehe silaha zitapelekwa tu waongo hawa jamaaa hasa kwa maadui zao waislamu.
Wasitishe vita waishi kwa amani.Hawa wote ni ndugu .
Eti ni ndugu wa myahudi😂ndugu halisi wa myahudi ni Saudi arabia
Kabisa hakuna amani na vita,waache kupigana.
Amasi inataka kusitisha vita kwa kudumu sio kwa muda.marekani inapitia muda mgumu na wanatengwa kimataifa.
Napenda sana voice yako sky
Hizo mahakama za kimataifa kama wamejengewa viongozi wa KiAfrica tu sijaona viongozi wa Europe kusimamishwa baada yule wa yogoslavia and govina
MZEE WA FACT AND LOGIC MZEE WA KIDONGE NA MAJI
Waaaa
Hawa wazee 2 wotee wa nazeekea vibaya... Biden anajua kabisa kumpa netanyahu silaha ni kama kumpa kichaa rungu.. Still bado anampa😮
Angalau kidogo ahueni
si wa kumuamini hata sekundemoja.
leo ndo nimeamini sns ni kama cnn au bbc right on time hii habari ya ceasefire kwa hamasi ni late news nimeona bbc
Wako juu nafurahia tuko nao wanatutarifu
Tunasubir na urus aweke chini silaha 🤪namchokoza DJ Sma 🫣😂😂
Wana wazuga hakuna cha kuziwia wala nini
Laanatullah Netanyahu na washirika wake wote ulimwenguni
Team Trump
Jenye kiliandikwa kwenye bibilia linatimia zitimie eloimu aje
✌️👊👍.
Marekani wanadanganya
Sio ukweri
Waongo tu hao
❤🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦❤️
Qur-an 17: 4-5 Surat Al isra soma aya hizo mbili katika sura ya kumi na saba, jua nini Allah ameeleza, na hatma ya hayo.
Ulikuwepo anavyoeleza?
@@vincentcharles4385we kwan hiyo biblia unayoamini pia ulikuwepo?😂
@@vincentcharles4385 we ni kafiri hivo ni miongoni mwa hawa mayahud, ka upande subiri siku yako.
@@subrynerysegerow1323Israel mashoga wakristo mashoga
@@vincentcharles4385wakristo mashoga makafiri nyie mashoga wakubwa
Naona vita vya tatu duniani juu icc wakijaribu tu kumkamata letanyau utakuwa vita yenye aijawai onekana
❤❤😅
Dj smaa he is
Sioni kama ni ukweli marekani kuzuia silaha hapo tunachezwa😎😎😎😎
Marekani inawachezea Hamas. Wakisha kubaliana Biden atatuma tena silaha
Yangu macho tu nasbr nione kitachoendelea
Ni wanafk tu utawala wa Biden ni Vita tu
Lakini mbona israel iliposhambuwa walifurahi na kushangiliaa
Ndo cha kushangaza
Mayaud wa shetani
Mashoga kabisa
Unacheza namwenyezimungu
Dj nkubli kaz
America anajitoa tu asionekane na Dunia kumsaidia Netanyahu kufanya mashambulio RAFAH lakini wao ndio Waliompa nguvu kubwa yote hayo Netanyahu kumaliza Wapalestine 🥹but Allah atawalipia inn sha Allah 🤲🏼😫😫💔
Islael Sasa anavyogoma je mfadhiri wake skischa kumsaooti atahimili mbona wanamwisha asubuhi TU maadui anao wengi
@Sky naomba kuuliza mbona Urusi iko kimya juu ya huu mgogoro naomba kujua mwelekeo wa Russia juu mgogoro huu wa Israel na Hamas
Urussi Ana mgogolo wake Ana dili vipi na mgogolo ya mwenzie
Havi husiani
Yani mara mzayuni kutoboa hii vita ni ngumu hata kama ni taifa teule ,
Taifa teule,, kipigo chamaana, wanaishia kubomoa majetu na kuua raia🙄
Taifa la mashoga
DJ sma mbwembwe nyingi hujui unachoongea sasa ICJ ndo nn inaitwa ICC.. aah ebu sky tuweke ally masubi apa
Akili zako chini zimedondoka. Kuna tofauti ya ICJ (International Court of Justice) na ICC (International Criminal Court)
Shoga la mashoga
Uongo huo. Hizo propaganda tu. Israel imezidiwa kwenye uwanja wa vita.
Israel hawawezi kuwaachia magaidi wapumue bila kumaliza kiporo cha hapo Rafa. Wakifanya makosa tu wajue kwamba magaidi yatakuja kivingine na kufanya shambulizi la nguvu zaidi kuliko Oct 7 2023
Hapo uko sahihi kabisa wachapwe tu
Gaidi kwako kwa mwenzio ni mpambania uhuru so fikili kabla hujaongea cs nawe yanaweza kukuta
Kweri mwanangu wanaweza Fanya comeback wapigwe2 hakuna namna😢😢
Mashoga kama mashoga dah kweli wakristo mashoga makafiri nyie mashoga wakubwa
@@omarymwaluko9765 Ushoga unahusika vipi kwenye mapambano dhidi ya ugaidi?
Kwanin mataifa wasishaur Hamas waachie mateka wa Israel? Kwa sababu Israel anachotaka ni watu wao waliotekwa. Yamkin Kama Hamas wangekabidh mateka Vita ingeisha
Israeli hataki mateka ndugu ana malengo yake mengine. Kwasababu km angekuwa anataka mateka aliambiwa toka mwanzo kabla vita havijaanza kwamba aachie mateka wa kipalestina ktk jela za Israel Hamas nae ataachia mateka wa Israel basi kazi imeisha
Hata wakiachia mateka bado vita haitaisha maana lengo duo mateka lengo ni kichukua ardhi ya palestina yenye mafuta na ges ndo lengo haswa
je inamek sensi hii
Wewe jamaa ni muongo sana kilasiku unabadilika badilia tuache bana Leo hivi kesho hivi
Wapumbavu tu hao icj pia jitu lauwa watu lafaa linyongwe tu ilo li bibi netanyahu
Unateseka ukiwa umepakatwa maeneo yapi nikuletee mafuta 😂
@@vincentcharles4385 ndo wamaanisha nn sasa ama ww ni basha au senge
@@KassimKhalaid Nikuulize wewe kibaraka usiejua hata mizozo ya Africa lakini unashoboka na hao nguruwe ambao hata hawakujui.
Mbona hamkukamata Putin!?? 😅😅😅
@@raymrash kwani wafikiri ni rais na putun akuuwa raia vile
We love trump
Hamas rudisha mateka hutaki utachapwa tuu
Marekani ndo anae control Dunia nzima kwa xaxa
Amcontrol Putin bas
Kabisa
@@mohamedaley5632 Putin ndo marekani Mzee😂😂
Wacha unanga uwo.Ni Putin sio Biden ww.
@@zahorsuleyman7617 Yeah ni Biden nixhachangany mzee
We mzee kigogo usiwaite hamasi gaidi wao wanaoigania nchi yao bora wewe wakaribishe hao mazuyuni kwenu uwajue uzuri wao usitetee ukweli ndio maana mpaka sasa dunia inatambua ukweli waneuwa wapalastine miaka mingi mbona mnafunga midomo yenu hao sio mungu wa kuabudiwa
Yani kila siku Israel anavyodhidi kuwa kichwa kugumu ndio Hamas wanazidi kuweka masharti magumu sababu vita IPO mikononi mwao.
Unashaurije sasa
Babu leo wameshambulia rafah hamas hawakubali kuacha vita na israel imeshindwa hamas hawana ndege wala vifaru ila wamechemsha
Je ikiwa atashambulia tena Rapha mataifa mengine ya kikanda hawezi kuisaidia Hamas kuitwanga Israel?
Hawawezi. Wanaogopa
Hii habar angeielezea Masubi angeeleza vzr zaid kuliko huyu smaa.mdau wa Hamas
Umeonaee
Israel mashoga
Hao siwalifanya sherehe hamasi walivo shamburia izilaer😂😂 sasa kumbe hawakujua kama zitakuja siku za hatari sj smaa ww enderea kuwafariji ndugu zako🥱
Ww unaemtete USA ni mbumbu na unaishi gizani
Simwelewagi huyu jamaa mwongo udini tu
Kumbe ushamtukia huyu mchambuzi uchwara ameelemewa kwenye mahaba ya udini zaidi. Kwa kifupi yupo upande wa magaidi Hamas
Watu mnachuki za kijinga sana
Yaan hiv mtu aseme kitu gan asionekan na kasoro ww ukishajua na anakasoro achan na post zake bas ila ya kutukana inaonekan baadh ya din za watu zinawafundisha matus aise
Mashoga lazma mumchukie makafiri nyie
Anachanganya Kuna ICC na ICJ
Hati huenda ikatokewa na ICC sio ICJ
Akiwa anachambua aweke hisia pembeni.
Netanyahu anatakiwa achague moja Kati ya mahakama ya kimataifa au afungwe nchini kwake yaani wateule wamuhukumu kiongoz wao
@@mwanahussein5935 ICC arrest warrant itaharibu tu taswira yake unless otherwise Haina impacts kwa viongozi wa mataifa makubwa au yaliyoendelea.Putin mwenyewe ana arrest warrant ya ICC ,Haya nani wakumkamata ?! Ni kelele tu.
@@frankjoshua1152 ni Sawa na vp kuhusu ndani ya Israeli coz Kila mtu anasema kitendo cha kusimamisha vita tuu kutapelekea hukumu ya netanyahu dhidi ya ufisadi, kushindwa kuzuia tukio la October 7, na pia kushindwa kufikia malengoo ya vita aliyowaahidi wananchi wake hiyo ni ndani ya Israeli
@@mwanahussein5935 yes akisimamisha vita kabla ya kuyafikia malengo Yao ambayo yanapendwa na wanasiasa wenye msimamo mkali analiwa kichwa !!
Kuishinda hii Vita ndio turufu tosha kwake
@@frankjoshua1152 na ukweli ni kwamba vita keshapoteza hajawamaliza hamass, mateka hajawarejesha na hayo ndio malengoo makuu ya vita hii yaliyofanya kuungwa mkono na nchi nyingi za magharib lkn kwa Sasa anachofanya ni mauaji ya kimbari na ukaona magharib kwa asilimia kubwa wamebadili msimo juu ya Israeli alafu yeye anakimbilia kusema Dunia yote inawachukia wayahudi na hicho kitu sio kweli haoni kbs anachokifanya apo gaza
Apa nimeamini aljazila walikua wachochea vita
Aljazira ni wachochezi kabisa
@@raymrash
Jamaa unachuki na waisilama mpka unataka kufa kwa chuki sasa nikwmbie hakuna hata moja litafanikiwa dhid ya watu hao unaowachukia mtafanya yote ila hamtofanikiwa nimefuatilia comments zako zote ni zachuki yaan hata kama unafamilia duh sijui kwa akili uliyonayo hata yakuona uhalisi unaingozaje!
@@raymrashnyiny makafiri
@@natual7572 Sina chuki na hiyo dini ulioitaja ...angalia vizuri comments zangu sijataja dini ya mtu chonde chonde acha kunichonganisha na dini za watu
@@omarymwaluko9765 swala la kuniita kafiri ni maoni yako, ila Mungu ndio ajuaeye kati yangu na Yako yupi kafiri
TRUMP ANA CHANCE YA KUWINI NINI WAKATI ANA MAKESI KIBAO YANA MKABILI ACHANENI POLITICS ZA UWONGO TRUMP HE IS GOING TO JAIL
Nyeta nyau chapa hao hakuna kukubali
Kumamalako angeanza kuivamia familia ukajua kunauchungu gani watu kufa
@@uwimana6533usipate shida hayo ni mayahud mweusi iliokuw ata elimu haina
Wakristo mashoga
Netanyahu anavamia rafa na akuna gaidi yeyote duniani ata muhamad ataefanya ujinga pumbavu muhamad
Yaani akili yako ndio imeishia hapo kufikiri😂 kweli Chuki nikitu kibaya sana, sasa Muhammad amefikaje hapo? Acha kuropoka sio mjomba wako huyo
Akil za darasa la tatu hizo zinasumbua,tatizo waafrika hatutakag kujifunza maarufa Kwa kusoma ndo madhara yake haya....watu wanapigana vita ya kiuchumi ww umeng'ang'ania udin choko ww
hakika ushalaniwa na umepigwa muhuri wa motoni kafiri ww