THE CLASSIC SISTER P : BEEF NA ZAY B /MIKWALA MINGI YA DJ/BEEF NA MWANAFA/ NINAUMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Hii ni sehemu ya The Classicefm ambayo tulifanya na moja ya rappers wa kike waliofanya vizuri sana miaka ya nyuma Sister P
    Enjoy na usisahau ku subscribe

ความคิดเห็น • 39

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sister P... She's the Real Mc...✍️🎧🎤🎵💥💥💥💥💥 Big Up to Her ✊✊✊

  • @munira-og
    @munira-og 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bonge la interview 😍😍 we miss you sister P

  • @sidiqmhina7823
    @sidiqmhina7823 8 หลายเดือนก่อน +2

    One of my best Hey Hey DJ fanya mavitu watu wawe Crazy...........

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kk Saleh Jabir achia hiyo ngoma ya Tupac-Ambition Az A Ridah

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 5 วันที่ผ่านมา

    Namkubali sana uyu sister p.mpaka leo

  • @rahimchardluck
    @rahimchardluck 8 หลายเดือนก่อน +2

    nampenda sana sister P.Kwa sisiw akongwe tumefurahi sana kumuona sister P

  • @EventElias
    @EventElias 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sister P inafaa awe mtangazaji ana vibe sana

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 8 หลายเดือนก่อน +2

    One of the best rapper kwa mademu wabongo

  • @godsson5954
    @godsson5954 8 หลายเดือนก่อน +3

    mbna interview fupi hii ni bonge la interview

  • @edwardfaraji1133
    @edwardfaraji1133 8 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mama nlikuwa team yake aisee

  • @richardmaxwell3991
    @richardmaxwell3991 8 หลายเดือนก่อน +6

    KUVI... NA enjoy sana, sister P ni vibe sana🤣🤣

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  8 หลายเดือนก่อน +2

      pamoja sana kaka

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 8 หลายเดือนก่อน +5

    Sister P ana vibe sana...hii interview fupi 😂😂

    • @nyotamy3678
      @nyotamy3678 7 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @oscarmatapila6937
    @oscarmatapila6937 8 หลายเดือนก่อน +1

    daaaaaah way back

  • @6ix7ven
    @6ix7ven 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daah hiyo djays hatari sana big up sister P

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dada yeti CHEMICAL

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sister P, liamshe ndugu yangu, bado game linakahitaji

  • @asl6295
    @asl6295 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah yupo huyu Sister P

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sister P😊uko vizuri

  • @user-zv4no5bw2e
    @user-zv4no5bw2e 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtafuteni zey b bas

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 8 หลายเดือนก่อน +4

    WASANII WA MNAOSEMA NI WAZAMANI MPAKA LEO TUNGEKUWA NAO,,SEMA WALIUPUUZA MZIKI,,,,DAI AKAUZINGATIA....NDOMANA MPAKA LEO ANAUFANYA MZIKI KWA NAMNA ANAYOHITAJI..NA MASHABIKI NAO UPEPO KUVUMA

    • @mkamajames2786
      @mkamajames2786 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ila kumbuka Ata badae nae atakua waxamani ni wakati wa muda

    • @marafikistation
      @marafikistation 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani dai kafanya miaka mingapi wewe sema ulikua hujazaliwa utasema vp kuhusu pr jay . Hadi baba ako ameruka ngoma zake nahadi wewe umemwona na akawa mbunge

    • @MichaelMagazi
      @MichaelMagazi 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka tuwekee ndefu

  • @westcijosh
    @westcijosh 2 หลายเดือนก่อน

    Hahaha ntakufungulia mbwa 😂😂 aah majani alikua mtata kummke

  • @Yegon254
    @Yegon254 8 หลายเดือนก่อน +2

    Leteni interview yote bana Nimemind sna sister P ako na vibe

  • @whitestarstudiotz
    @whitestarstudiotz 8 หลายเดือนก่อน +2

    mbona ya leo fupi sana kaka KUV

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  8 หลายเดือนก่อน +2

      hiyo ni ya mda kidogo haya ndo matereila yaliobakia maktaba kaka

    • @barakaekuro
      @barakaekuro 8 หลายเดือนก่อน +1

      Daa noma sana,,, hii ilitakiwa kuendelea aisee

  • @reymekay1
    @reymekay1 8 หลายเดือนก่อน

    Katika wasanii wanajua kutupa details kama zilivyo hyu amefnika, hii interview fupi sanaaaaa

  • @djumadjumbe6907
    @djumadjumbe6907 7 หลายเดือนก่อน

    Sista P mbona kama iyo beef kama bado unayo "kama una shobo"

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n 2 หลายเดือนก่อน

    SASA HUYU JAMAA AMEVAA NINI UKO STUDIO NA UNAVAA MI MASK REDIO NI KITU CHA HESHIMA

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  2 หลายเดือนก่อน

      Hayo mahojiano yalikua wakati wa covid na ndio nlikua nimetoka kupona uliza kwanza ndugu

    • @user-ui1qs9yl1n
      @user-ui1qs9yl1n 2 หลายเดือนก่อน

      @@KuviFacts OK MY I M SO SORRY POLE SANA NAFIKILI UMENISAMEHE BRO

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 8 หลายเดือนก่อน +1

    mbona interview ni dakika chache

    • @stevewanga957
      @stevewanga957 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kaka ..fupi sana😂