🔴
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2024
- 🔴#LIVE:FRESH WEEKEND MUDA HUU NDANI YA WASAFI FM - 13- 01 - 2024
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Doto , big up sana , namkubali sana huyu brother ... Mungu akulinde na azaidi kukubariki
Doto yuko serious sana jamaaa apo aigizi
Doto Namkubali sana Mapua na mwajumaku hawakuwezi
Dotto apa burundi 🇧🇮🇧🇮tunakubali sana wendo influence tunay kubali
Asubuh tareh 1 usk mwisho wa mwezi ndo maisha yetu uswailini.jama yupo real sn kbs,keep it up boss.
Uyo jamaa anajuwa sana kuongea aisee 👏👏
Nimempenda sana kaka dotto upo vizuriii
"Asubuhi tareh 1 usiku mwisho wa mwezi" hustling🙏
Doto htr cn kaka yn nakukubari cn nipekupenda bure kaka doto magari ❤❤❤❤❤❤ ME FROME OMAN 🇴🇲 PENDA CN DOTO
Huwa sichoki kufuatilia interview ya Dotto magari
Salute doto magari
Lokole omba msamaha 😅😅😅😊😂
Mfano
Dida+idris+lokole+doto ndo kipindi kinatangazwa na hio list itakuwaje🎉🎉🎉
Waasafi kazi nzuri
Tena atawafunika kabisa
Mama kizimkazi upo sawa
Unyama sana doto respect
Masha Love Maziwa" Kama kikaburii cha Mtoto😂😂😂😂😂
DOTO KASEMA NDANI YA MOUO WAKE JAMA WALIMBANIA KWELI KINA MWIJAKU NA BABA LEVO .. DOTTO UNAPENDWA BILA KU FORCE BRO KEEP IT UP 💪 NO FAKE LIFE! Na hapa ipo 😂😂😂
We ni mnafki
Upo vizuri doto unafunguka bila kujali umalufu wako hio ndio elimu
😂
Doto magari kiboko yupo WCB halafu anamponda msanii wa WCB ukimnyamazisha anakwambia anaondoka😂
Broo dotto kiukweli binafsi najifuza kupitia wew kweli binadamu sio nyau
Dotto nimependa umeongea ukweli wako BIG UP❣️🥰Mzaramo Original 😂😂😂😂🙌🏼
Love you from Mozambique 🇲🇿 I born in Tanzânia
Namukubari sana kaka doto❤🎉🎉
Dotto Aongea point" Sana'a kuhusu Madawa' huyu jamaa Genius nimemuelewa Sana'a.....😂😂😂
Dotto 🎉🙌
HUYO DOTTO HATUMSIKII MNATUNYIMA UHONDO WA INTERVIEW
respect brother doto ❤🫡
Dotto yupo juu sanaa
Naomba no ya doto magari
Asubuhi tarehe 1 😂jion mwsho wa mwezi😂😂mganga Mungu, mitishamba imani
Perfect aiseeee
Dada dijei nakukubari sana nawapata vizuli kutoka rwanda kigari
😭😭😭Mwanangu akohivo urivyosema kwahivo nisikate tama mwanangu ikosiku mwenyezi mungu atamurudisha kuwa sawa🙏🏻
Noma sana wajina. Pamoja sana mkari. Dotto
Dotto magari ni nyashinksi mtupu
Noma sana Dotto magari😂
Jamaa ninachompenda msema ukwel.
Kijana wa uswaz
#Nyashinkisi look like 🎉🎉🎉
Dotto magari noma sana
I love vile unafikiria una akali kaka jenga kwako sio nyumba expensive za kupanga
13:32
Doto magari iii iii
Best interview ever Dotto ni balaaa
Doto magari mtoto wa kizimkazi😂😂😂😂
Brother 🔥🔥🔥🔥
Upepowake unaendavzr dotoo
Namkubali Sana doto,, na hapa ipo
NIMEIPENDA IYOO FRESHHHH WEEKEND
Hii ime enda
Uyu jamaa anaojiwa sehemu hyo hyo wana msanii wao,na anamponda hapo hapo bila woga
Doto ungesoma ungefika mbali upo vzur sana
Points sana doto
Dotto angesoma uyu jamaa ni genius 😂😂😂
Shule haimfanyi mtu kuwa genious ndezi wewe
Nakubal doto
Doto magari nakukubali sana ni wachache sana wanao weza kuongea ukweli umenifunza hakuna kufeki maisha.
😂😂😂😂😅😅😅😅😅Doto mwananguu umenichekeshaaa balaaaa nimechekaaa daaaaaah
Nakubaliii😅
T shirt Kali sanaaa 🎉 doto
🎉🎉🎉🎉
Kaka umetisha sio wwe2 hata Mimi c wapendi
msameh lavalava kama kwl unamuogop Mungu
Alishamsamehe mara ya kwanza amerudia tena, msamaha uendane na maokoto
Dotto Magafari ni influensor sio Chawa
Hivi Dotto ameitwa akafanye Nini pale studio😅😅mko serious kweli nyie watangazaji
Noma sana uyu mtu
KINGEREZA CHA DOTTO KIMEKUJA NA MELI
😂😂💥
Nikuwa gikombaa Nairobi
Sana kaka
Huyo jamaa anapenda sana kushika kamshamba vile 😂😂😂😂
Doto magari ,anawabuluza machawa wa Tanzania.kiboko
Influencer✊🏿
Asubihi tarehe 1 jioni mwisho wa mwenzi
Dotto ww ni mteule
Ase mm naitaji no ya bro doto magari samahan rakin
Doto kweli street life imemfunza mengi...jamaa yupo level nyengine kabisa, na faking life , just pure genius born with it.. brother east Africa nzima tunakusikiliza sana maneno Yako.!ya busara na ya kielimu.
Wanafki waongo wadadanganye wajinga, hamna kitu kama pesaro peleka kwa madkini
Wanatumia wengi wakin lokole
Kaja tena wasafi huyu mwehu doh😂😂😂
❤❤❤❤ bro infolenca
Kizimkazi
kaka nakukubari sana doto magari
Economic sensi
safi sana kama umemalizana kigogo t i d
Brother doro kesi yko iyo ya kichoko
👏👏👏🔥🔥❤️🇰🇪🇸🇦
Arud tena huyo jamani hana baya
Adamu na hawa🙌🙌🙌🤣
Kayakanyaga lava lava
Safi
Dotto namkubl sana
😢
jamani ongelea 🎤mic😅😅😅
muhulize doto magari hayo maneno yake huwaga yanajipanga kichwani?
Kipaji 😂😂😂
maneno ya doto ipo mfuko wa mbele hakopeshi wala hait....i.ipo jumla na rejareja.inaitwa kula kwa urefu wa kamba yako.mdomo zege pambana na hali y... mm napitatu ila jamaa komesha is him working.
Og doto
yaani economy sense 😂😂😂😅
Kama Aliweza kuyabwaga madawa icho tu mempendea
Mama kizimkazi.
Utasemwa utachoka utakonda 😂
Maziwa kaburi la mtoto 😂😂😂😂
Dp or BP my homie doto mafari
😮😮😮😮😮
D
Otoo
sitokezei sitokezeiii sitakiiii😂😂😂
Dotto Naona ndani ya wasafi 😂😂😂 yaaan huyu ukiangalia video zake kama auna cheka nenda ukapimwe Akili.😂😂