Mazungumzo ya wimbo wa #achiajala ni ya kubuni na yamelenga kuchochea majadiliano kuhusu maudhui tofauti ya kijamii kama kanuni za ubaya na wema (moral values), athari za ukosefu wa malezi bora, msongo wa mawazo, ukosefu wa ajira na mahusiano kati ya ongezeko la uhalifu na umasikini. Wasanii wa hii kazi hatukulenga kuchochea maamuzi mabaya kwa namna yeyote. Tunaamini kuwa sanaa hii ni sehemu ndogo tu ya uhalisia na wasanii tunajaribu kucheza nafasi yetu tu kupeleka ujumbe kwa jamii Shoutout to incredible performance by @incredible_nory kuwakilisha antagonistic role kwenye wimbo. Character aliyechezwa na @incredible_nory amekuwa inspired na a legendary character Robin Hood from 1370’s ballads and tales anayesemekana alihisi kudhurumiwa umiliki wa rasilimali na akachukua maamuzi ya kulipa kisasi kwa kuchukua miliki ya walio daraja la juu la maisha na kuwapa masikini #DZSTVN
imeenda broo hujawahi kutungusha kwenye kuandika stroy wewe n ibora zaidi ya hta waandika stry za movie bongo hpa take a time weka stry njoo na movie brooo your master mind on this all in all bonge moja la ndoma bonge moja la idea...... @dizastaVINA
kwa yeyote anae ona hii 2050 achia jala na muscular feminist ni ngoma zilizoleta ukombozi wa fikra kwa vijana wa tanzania natumaini inafanya ivo kwenu pia
Nilikua kijiweni nimepaki bodaboda yangu Ila hii nyimbo imenirudisha ghetto nisikilize vizuri, sikuhitaji makelele ya pale kijiweni. Apa ndo narudi kijiweni baada ya kusikiliza...🙌🙌🔥
nimerudi sababu hawa jamaa nilitamani kitambo sana walink up... kama mtu huna skio la ndani huwezi ona hii combination.... kwa haraka natamani kuona more collab btn them than hii moja... sAFI SANA @KAALAMOTO NA @DIZASTAVINA sana brothers.. sio lazima watu waonekane uchi au ziimbwe content za matusi ndio tutrend noooo..... keep on going vina.. time will tell mzee.. i believe this gonna make them notice kwamba HIP HOP is still alive n nobody can against this sababu hata trending imezama bila kick na snare... HIP HOP IS GREAT LIFE AISEEE
Hauwezi kuwa mtoto ukisha ZAA. Na mtoto hawez kula NDOTO ikija njaa ,pia kuna mstari wa nyimbo Yako X unasema " MAISHA YA NDOTO YATAISHA UTAIRUDIA KAWAIDA NA UTAGUNDUA Kuwa HAUKUWA MALAIKA" DIZASTAR VINA bro kila nikiingia online nataman kujua kuna nn kuhusu wewe.....ni noma appreciate💯
Kitu moja kali zaidi na ngoma za Dizasta, ukianza kuiskiliza ata kama wewe ni mtu wa mbwembwe unatulia kwanza na unaanza kuwa conscious🙌🙌 RESPECT genius 👏👏👏👏 Meru Kenya we salute 💯
Sina kazi nimedandia ndala Alafu unanikazia fala Bro achia Jala Hauna shida ndo' maana unapendeza Alafu unaniambia hauna fedha. Punch line moja ya nguvu imenigusa sana!!
1day na viewers ni 24k yasipoe haya machakula ya ubongo inatia moyo sanaa ❤ wana hip hop wote tukaze tufike 1M subscribers tumsapoti dizasta azidi kutupa madude ya ubongo
EA anthem “lakin bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa”🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪black you don’t have to bend knee ile ki uncle tom ,,, kipaji + maarifa+juhudi+ubunifuu= DIZASTA
Mazungumzo ya wimbo wa #achiajala ni ya kubuni na yamelenga kuchochea majadiliano kuhusu maudhui tofauti ya kijamii kama kanuni za ubaya na wema (moral values), athari za ukosefu wa malezi bora, msongo wa mawazo, ukosefu wa ajira na mahusiano kati ya ongezeko la uhalifu na umasikini. Wasanii wa hii kazi hatukulenga kuchochea maamuzi mabaya kwa namna yeyote. Tunaamini kuwa sanaa hii ni sehemu ndogo tu ya uhalisia na wasanii tunajaribu kucheza nafasi yetu tu kupeleka ujumbe kwa jamii
Shoutout to incredible performance by @incredible_nory kuwakilisha antagonistic role kwenye wimbo. Character aliyechezwa na @incredible_nory amekuwa inspired na a legendary character Robin Hood from 1370’s ballads and tales anayesemekana alihisi kudhurumiwa umiliki wa rasilimali na akachukua maamuzi ya kulipa kisasi kwa kuchukua miliki ya walio daraja la juu la maisha na kuwapa masikini
#DZSTVN
Kaka me ni mwandishi wa vitabu naomba uniruhusu niandike kitabu kwa kutumia wimbo wako wa shahidi & mlemavu
Mhuu Kal sana mtalamu
u know what u do and u r pfct boy❤❤❤🎉🎉
Daaah imekaa poa sana hii track brothers nitaifanya tena kwaajili yenu TAFADHARI
imeenda broo hujawahi kutungusha kwenye kuandika stroy wewe n ibora zaidi ya hta waandika stry za movie bongo hpa take a time weka stry njoo na movie brooo your master mind on this all in all bonge moja la ndoma bonge moja la idea...... @dizastaVINA
Ila kaa la moto ni mbad uyu jamaa all in all dizasta tujengewe Sanamu lako mamayeeee
Huyu jamaa wa vers ya pili ya yeye kauwa kinyama Daaah!
Noma sana ..
Dizasta unajua tz huna mpizani anae mkubali dizasta like hapa %
Nilipenda kuwa ruban ila mambo nimakubwa ukubwani..... Dah kweli Hip Hop shule
(punguza maninja ndo uweze kumkumbatia mkeo) mstari wa maana sana maana ndoa nyingi huvunjika kwa watu wanaoendekeza masela na kusahau familia
kwa yeyote anae ona hii 2050 achia jala na muscular feminist ni ngoma zilizoleta ukombozi wa fikra kwa vijana wa tanzania natumaini inafanya ivo kwenu pia
Ila aisee bro una content Kali sana Yan nataman Dunia ielew Aya madini adim
Ee bhana brother kamaliza poa sana achia jala
255 na 254 on top nakubali kaa la moto kiumbe
Nilikua kijiweni nimepaki bodaboda yangu Ila hii nyimbo imenirudisha ghetto nisikilize vizuri, sikuhitaji makelele ya pale kijiweni. Apa ndo narudi kijiweni baada ya kusikiliza...🙌🙌🔥
Nilipenda kuwa rubani.. ila mambo ni makubwa ukubwani🙌
Real mcs wamekutana wamefanya real HIP HOP real fans mko wapi? One love from Zanzibar leo kaa limewaka mpaka Zanzibar na Tribulation ipo forodhani
kufeli ni kushindwa kujaribu...
Haya maisha yangu ni kitabu,na hii ni page Chafu, So achia JALA😂
Dizasta noma sana kabla ya kusikiliza ngoma yake nieacha like kwanz sababu najua hukosei
Naacha Comment leo, nitarudi 2050 nikiwa mzee kuaambia wajukuu wangu kwamba ngoma za Dizasta zimenikuza📌🔥
na reply kwako😎
Niko pamoja na ww mzee hichi kichwa never seen before
Uwezo wa dizasta unajulikana kuwa ni next level,, ila leo nimejua kuwa kuna KAA LA MOTO nae ana verse moto balaa
Hata mm pia❤
Dude tamu sana lazma vijana tujifunze kujitegemea sio wote walionavyo wamerithi wengi wao wamehustle congratulations to both of you Disasta n Kaa
Duuh! Huyu Kaa La Moto! ASEE! Mmekutana Wote Magenius Wa Uandish! 👏👏👏
Vina mzee ni 100%
Mwalimu wangu 🗽
akili nyingi sanaaaa
Noma mzee 🔥🔥🔥🔥
nimerudi sababu hawa jamaa nilitamani kitambo sana walink up... kama mtu huna skio la ndani huwezi ona hii combination.... kwa haraka natamani kuona more collab btn them than hii moja... sAFI SANA @KAALAMOTO NA @DIZASTAVINA sana brothers.. sio lazima watu waonekane uchi au ziimbwe content za matusi ndio tutrend noooo..... keep on going vina.. time will tell mzee.. i believe this gonna make them notice kwamba HIP HOP is still alive n nobody can against this sababu hata trending imezama bila kick na snare... HIP HOP IS GREAT LIFE AISEEE
Haipingwi mwamba wa Kali🙏🎵
Hip~Hop ipo mabegan mwako bRoo🙌🙌
Haya madusko,hatuwez kugawana NUSU.🎙️🎤🎤
Daah noma sana
Konkiii... Black Maradona ft kaa LA moto... Oya weeeeee toa jala
Hauwezi kuwa mtoto ukisha ZAA. Na mtoto hawez kula NDOTO ikija njaa ,pia kuna mstari wa nyimbo Yako X unasema " MAISHA YA NDOTO YATAISHA UTAIRUDIA KAWAIDA NA UTAGUNDUA Kuwa HAUKUWA MALAIKA" DIZASTAR VINA bro kila nikiingia online nataman kujua kuna nn kuhusu wewe.....ni noma appreciate💯
Kitu moja kali zaidi na ngoma za Dizasta, ukianza kuiskiliza ata kama wewe ni mtu wa mbwembwe unatulia kwanza na unaanza kuwa conscious🙌🙌
RESPECT genius 👏👏👏👏
Meru Kenya we salute 💯
ONE minutes remainiiiii wananguiuuu tufurahie kitu roho inaaminiaaaaaaaaaaaaaaaa
Haujawah kufeli💪
We msengeeee unatishaaaaaaaaaaaa
We jamaa,ni nomaaaaa,ukitaka kujua hii ngoma,ni kali isikilize mida flan ivi ukiwa umejichokea na msongo wa mawazoo😩😩
Story Taylor kama story Taylor TANZANIA NA WORLD WIDE naamini sana katika kazi zako
Unaweza
Iko imara sana🔥🔥
Ujawai kuniangusha kaka. Wao wanakuita vina ila kwang ww n darasa la maisha afya ya ubongo
Mpaka wasemee kaka ww niwamoto ❤
Nomaaa sana
Hayo yote chini ya mbuyu! Tafakari hayo!
Mwenye vina viake 🕊️
Unajua mpaka unajua Tena anyway achia jala
siachii jala broo
Daaaah. Kaka kwa hiki chuma aseeeh!! Ni atr sana. Yan ni zaidi ya darasa. Mungu akujalie zaidi kaka
angekata tamaa nyerere,,,,, oyaah vinaaa
Mmekutana leo collabo safi sana
Oyaa wee hili jinii
Nilikua nimemiss sana aise haya madini
Noma sana❤
Kakae kule kwa akina whozu na kina bonge la nyau.. siachii jala bro
Masters nimekubal
Kubwa ✊🏿✊🏿✊🏿
Kuna tofauti kubwa kati ya fid q, geez mabovu , gwair pamoja na wewe. But iyo tofauti ndio wewe halisi .
Pamoja sana, kitabu🙏
Dah kweli kusingelikuwepo Taifa angelikata Tamaa Nyerere
🤙
Daah wewe ni noumaaaaaa
Maadili 💯💯💯 Wakiongea tunasikiliza
uu muziki ni shule level za juu sana
Sina kazi nimedandia ndala
Alafu unanikazia fala
Bro achia Jala
Hauna shida ndo' maana unapendeza
Alafu unaniambia hauna fedha.
Punch line moja ya nguvu imenigusa sana!!
Nakukubari bro miaka mia nipo nyuma yako razima aachie jala
THE GREATEST OF ALL TIME..HUTAKI PITA HIVI
Madini mengi sana humuu
▶ noma sana ACHIA JALA✍️ndio ushaamua sasa tutafanyeje🙌
Ata sikupingi vina❤❤❤
bonge la ngoma kaka ujawah feli
Hatari sana wazeee
Kaka vina we mchfu bro Yan ipingwi oioi kala Kama kala ngose msafiri nakubali 👊
Nasubiri Kwa hamu kubwaaaaa mnooooo kama mda haisogei vileee!!!!
Kali sana hii
Vina kwenye vina vyake✌🏼
Moto wa gesi
1day na viewers ni 24k yasipoe haya machakula ya ubongo inatia moyo sanaa ❤ wana hip hop wote tukaze tufike 1M subscribers tumsapoti dizasta azidi kutupa madude ya ubongo
Ya leo kali
Kaa lam moto kauaaaa
👊❤️cku nzima Ngoma inaliaa Kama IPO nyimbo moja kweny cm🙌🙌✌️
"..Upo kwa Era wanaomPenda ndio haJui kuPerform.."
Nishakuzwa na majizi yaliokuzwa na machizii duuh Noma Sana mzee
NAAAMH HONGERA SANA KWA KAZI YENYE UJUMBE
Unajua Kwa marapa hatar huyu mwamba aseh anajua ngoma zake zin jumbe sana aseh
Wapo walio zaliwa wakiwa na cheo mfano mtoto wa queen au king wa UK alipozaliwa tu tayari anakuwa na cheo
Hii ni bonge la ngoma good vibe
EA anthem “lakin bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa”🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪black you don’t have to bend knee ile ki uncle tom ,,, kipaji + maarifa+juhudi+ubunifuu= DIZASTA
Kila nkiikutana namtu uwa namcklzsha ngoma za vina na naacha heshimaaa
Sema blood ulinifanya niipende hip hop,, nakukubali kinoma tu
king of new school dizasta vina nikimaliza hii naenda ku stram tena tribulation🔥🔥🔥🔥🔥
Mwalimu💪
GENIUS NI MMOJA TUUUU NI DIZASTA HAO WENGINE NI WAPIGA KELEL NIAMINI MIMIIIIII🙌🙌🙌🙌🙌
Kaka meshabiki yako sana
Illest kabisa kaka upo kwenye sayari yako.
Combination ya akili kubwa kwenye ukubwa wa maudhui real recognize real the big chemistry of hiphop 🙌✊✊✊
Na wait fundi
Kaa limewaka izo angaa big up bro
Bonge moja la N.G.O.M.A....mafundy kazni
Daaa uyu jmaaa🙌🙌🙌noma sana
Namiliki jina la ukoo na sio sheri
Kabla hujaskiza hii,akikisha umekoga janaba..masterpiece..