Dizasta Vina - Nobody is safe 4 (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2021
- Music Video of Dizasta Vina performing NIS4
Category: Music
Song title : NIS 4
Artist: Dizasta Vina
Music: Ringle Beatz
Audiomack - audiomack.com/dizastavina/son...
Soundcloud - / nobody-is-safe-4
Nobody is safe 4 - myurls.co/dizastavina
Other Musical contents
Audiomack - audiomack.com/dizastavina
TH-cam - / dizastavina
Deezer - www.deezer.com/artist/67967532
Apple music - artists.apple.com/a/profile
Mdundo - mdundo.com/a/2263
Genius - genius.com/DizastaVina
Boom play - www.boomplay.com/artists/3288... - artists.spotify.com/c/artist/...
Connect with Dizasta Vina on social medias
Instagram - / dizastavina
Twitter - / dizastavina
Facebook - / dizastavina07
sw.wikipedia.org/wiki/Dizasta...
Business: Pan.authentik@yahoo.com
Website - bio.link/dizastavina - เพลง
Mwamba hatari nimejikuta Spotify nikadownload kila kitu chake acha speaker ipasuke. Love from🇰🇪
Naamini wenye akili ndio wanaelewa hip-hop ya dizasta usiwaze kuona wengi hawaelewi maana wapumbavu huwa hawaelewi vitu vya maana.
Ukiacha lyrics kali ambazo zitapingwa na mfinyu wa akili pekee, kuna hii IDEA ya kudrive GARI BOVU na kulitengeneza... Kuna ujumbe mzito kwenye idea ya video kisha compare na idea ya ngoma🔥🔥🔥
Kaka genius @davista vina pekee ndo anaweza kufanya alicho fanya inaimba hip hop iliyoalibiwa na kua mbovu lakini ameamua kuitengeneza iwe imara hakika huyu katoka nje ya hii galaxy
🤦♂️ Wachache tunao elewa ulicho kiongealea. Appreciate 🥂
Kama umeelewa maana ya hiyo gari... Kuja posta tujadili 😅😅😅 huyu ni mtu ni master🎉🎉🎉
style yako ime inspire the culture(tamaduni),ime inspire Manengo,Shoulin, Nacha, Boshoo, young killer, maarifa uyu big thinker na rapcha..this is good art😀😀😂
Sanaaaa nmemuelewa hapoo sanaaa na ni kweli
Shida wenye Wana kata awaja be inspired
Nitaendelea kusema kwamba dizasta ananifanya niishi kwenye future alf niishi kwenye past at the same time wakati huo nipo present... This nigga is too far
Ww jamaaa unajuwa xan
Mi ni toleo la mwisho la viumbe vya aina yangu 🔥
Hii si ya kupigwa disco😄😄😄😄
Proffessor wa vina🙌🏾....nainjoy kumskliza huyu braza knoma✊🏼 HIPHOP 4Life
Nakubali sana ❤❤❤❤ mkombozi wa imani yngu faraja yngu big time bro
Unstoppable vina, I wish Nikutane na huyu jamaa ntatimiza ndoto oneday 🙏🏿👊🏿 salute homeboy D
Jamaa unazidi kuandika sana, Dizasta unaandika sanaaa. Hii ngoma umeandika sanaaaaa ase dah🙌🙌
Power respect 🔥🙌 Hili ni jiwe
We mnyama kumamake
Ngoma kaali
💥💥💥
The best rapper all time for me braza dizasta wewe nikama nabii wakizazi cha rap TANZANIA kwangu sijaona kwa kizazi hiki
Simba wa Teranga af nna nGuvu zaidi Ya DROGBA
Professor TUNGO 👐🔥
Motooo sana zaidi ya moto wenyewe
Mimi ni zigi nae ficha stimu mtaan......
Panorama Country.......💥💥💥💥
Hii sio ya Kuitwa nyimbo hii, hii sio ya kupigwa Disco hii 🔥 🔥 🔥
My favorite rapper of all time, I wonder why watu hawamzingatii kakaangu...... But unajua sana bro🔥🔥🔥🔥🔥maujuzi mengi ila yamezibwa..
RINGLE NA DIZASTA= MAJANGA PLUS 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Ww mwenyewe noma sana broo
@@officallymbonde9257 Sio kama hawa majambazi bro! Asante
Dizasta toleo la mwisho
Ati mlisema kuna watu wanaimba ngumu???? huyu jamaa ni concious sanaa ni suala la muda tu
Last time kupenda hiphop ilikua ni nyimbo ya Hisia na hapo verse ya One the Incredible ndiyo iliyonishawishi. But this dude ni next in level.
Msanii wangu bora Tz kwa Wakati wote jamaa anaandika sana mpama sio poa na arudii mistar ni 💥💥 PRIDE OF TZ🇹🇿
Dah.. wew jamaa huwa sichoki kuskiliza ngoma zako Coz zna package hatar
Leo ndio nimeambiwa nimskize huyu mtu,na kweli nimeamini huyu ni shida asee....rap tam mpaka mamadam wanaapriciate
Nadani tumeshakubaliana kuwa Dizasta ndo Emcee mkali aliyebaki bongo
tisha sana mkuu nakubali jangili aliye kabiziwa beto
2090 “this guy was ahead of his time”
This coment is genius 😆 😆
@@dizastavina soo genius i had to check your reply and it's "at the pick of mount kilimanjaro" as per one of your songs"
Ahsante saaana
Toleo la mwisho laviumbe waaina yangu 😂🙌✊🔥
*Hip Hip IPO kwenye mikono salama kupitia huyu MTU VINA DIZASTA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥*
Mimi ni toleo LA mwisho LA viumbe aina yangu 😂😂👏👏👏
Outstanding magnificent 🔥🔥🔥🔥 Ya moto mpka inamwagikia💪 out of this world 🌎
Ime shine medulla vingi navijua na siringi jamaa aah 😷😷😷💪💪💪💪
Mi Ni toleo la mwisho kwenye taifa la Aina yangu 💪💪💪💪
Sio Montra Tu
Wengi hatujaelewa Daaah hawa jamaa kama umetega shule huwezi kuambulia chochote
KWENYE HII DISS INAYOENDELEA MJINI UKIINGILIA UNAIWEZA ,,,,,, 🔥🔥🔥🔥
Dizasta mungu wake mungu wa rap unaandika bro king of underground mitutu inakofichwa bro tuzo mbona awakupi mziki wabongo SEMA ucwaze gheto unatuzo zakutosha uku mbeya cku unakuja kuchukua njoo na titaniki
Huyu mwamba anajua sana
Unyama mwingi vina
Nobody is safe kwa kweli.
Duuh dizasta umetisha ngoma kali kinoma
Eagerly waiting for this
Tupo trending mungu ni mwema Dizasta Vina #1
Kichwa chenye madini ya kuikomboa dunia na sio Africa pekee... Nachojiuliza na hayo madini bado upo underground music ✊👊🔥 DIZASTA VINA ✊✊
Dizasta ni Kisanga kijacho ☠☠☠
Tunaburudika na mziki wetu msioelewa mtuache ,big up Dizasta
imefanyika kazi sana kuleta tiba sahihi kwa ubongo ,tiba ya kufungia mwaka hii
Mpaka tugonge namba 1
Thank you Vina🙏🙏akili imeshibaa👊👊
asee d n noma asee si utan atatukisema fid q aenge ves amna kitu anaweza fanya apa ila izi media ban mamae
Naishi kwenye dimension ambayo n miungu tu ina settle
hahhahaha, oya hii mbona imekuja ghafla. we ndio mwalimu wao!!!!!!umeuaa mmadogolasi woteee
Always,, it's WW3 when Dizasta meet with ringle beatz
KALI SANAA HESHIMA TELE MKUU ✊
Ni noma👍👍👍
Final ......
Ime toka 📌
Bado hatia 5
💣 💣......Mfano wa mundu au beto/...MC mtundu kwenye mental/...facts zina-shout beyond yur reasnable doubt, naish kwenye dimension ambayo miungu tu ina-settle/......🎤🎤
Kuna mudah unajiuliza hio HIP HOP wanayo i promote wao ni ipi kwa sababu Hip hop tunayo ijua na kuilewa sisi ndio hii hapa ✊🏿
Dizasta niwamoto kuliko jua ✍️👊
Jamii imeshiba ujinga ndo maana hawaelewi kweli yako nakukubali vina toleo la mwisho
The best MC kina kirefuuu panoramaa
Toleo la mwisho la viumbe 🙌🙌🙌🙌
Kaka unaweza sn
😂😂😂😂wazee nimerudi tena baada ya kusikiliza kwa makini sana hi ngoma nimekubali ni hatari sana🔥🔥🔥 mwanzo niliona kama safe 2 ndo kali zaid, 🤔🤔huyu mwamba anaandika asee inabidi utulize boga lako kumuelewa
🔥Bro wee ni Genius hii ngoma ilipaswa itoke 2060 uko mbele Muda bro.... Long live The real MC that we have🔥
Aiii.Dizasta vina tisha sana.
Sijui kwann hupeleki mziki wako media bro believe unafans wengi sana wanao kujua na wasio kuja wakisikia mziki wako wataamini
Duuh...uyu jamaa anajua mpka anaboa🔥
Noma bro
My beste rapa ever..... ni zaid ya raba ni mwana philosopher
Mimi ndo toleo la mwisho wa hiki kizazi
Mheshimiwa Dizasta Vina.. Rap Masiah...
MARAPPER wengi siwaoni wakipata chakuandika kwenye ngoma zako BRO watabaki TU wakiulizana MAANA wewe Ni 🔥🔥🔥🔥🔥
We ndo Toleo la mwisho la viumbe wa aina yako 🙌🙌🙌🙌🙌
Ninalea wanafunz na madaftar Yao Aseee nakubar sana
utasem mkonO wa mungu umeNdika hii...sio malaik ni mungu w rap@Dizasta
Sijui mwisho ila najua niende wapi☆
Huyu mtu ni nusu mtu nusu jini....nusu big nusu pac
The goat 🐐🔥🔥🔥
Umekuja kuwapa msongo wa mawazo kweli! %usiache KUTABASAMU%
Duh!! Oh man, this is crazy!!!
Ni nomaa
Wanasema nmeenda shule af na Rap kichizi//
Nina star look, Nice af bado silingi// 🙌🙌🙌
Brother ngoma ya moto sana 💪
Bro yaan ngoma yako hainikifuu we nomaaa sanaaa
Gari mbovu huezi lisukuma kwa kukaa ndani yake.... kwa wale wajanja pekee wanaona hiyo salute these homie one of my best artist
Hahahaa!! Nlichokuwa nakisema All Day kipo hapa👉 2:53
Jipgie makofi kama Umeelewa😃😀
dizasta vina pamoja sanaaaaaaaaa
Verse no 3. Haha haha haha mbombo ngafuu.
Kuna maajabu 8 ila la 9 ni Dizasta Vina God bless mtalaam
Utaishia kuomba msaada kwa mungu baba bless, hahahahaaaa brother shikamoh
Nimeona kweli hapa hakuna mtyuu aliyebaki salama
Broh unachna kizungu zaidi sawa kma nas
Ningekuwa na pesa nymbo zako zote ningefanya video ur so cool budy
Marapa wote bongo dizasta ni namba moja
Am king Paul from norway 🌏 lakin amini usiamin huyu jamaa ni balaaa sizan kama hao wapiga kelele wanafika levo hizi, keep up good work mwamba wa kusini 🤏
Aiseee... Giiia ni noma na nusu
Hivii naweza kusema hii ni masterpiece authentic!!!
Proffesor Tungo unaupigwa mwingi Sana bro🔥🔥🔥🔥
Yuzzo mwamba nilikuwa hapa for no body is safe four ......🙌
Master of this game you are too deep man much respect to u kaka
Oooooyoooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥