Shalom karibu kusikiliza ujumbe wa nyakati za mwisho tulizo nazo pia Nina kuombeni Sana kusambaza link hii pia napenda kupitia coment zenu nakuzifayia kazi panapo bidi sambaza ijiliri hii IWAFIKIE wengi
Maana nabarikiwa nikiwa Oman ,mko wapi wahubiri wetu muda umekwisha tuhubirieni wapendwa wetu kuna siku zinakuja hatutawaona wahubiri Wala mikutano ilihubiliwa injili ya yesu, Mwenyezi MUNGU Atutie nguvu
Kweli hizi ni nyakati za mwisho. Ni wahubiri wachache sana wahubiri hii injili. Siku hizi tunahubiriwa sana mafanikio sio Yesu anakaribia kurudi. Mungu akubariki we ni muimbaji wa kipekee unahubiri na kuimba kweli. Mungu azidi kukuinua, kukubariki na kukulinda mtumishi. Kazi nzuri sana nimebarikiwa.... Glory to God
Saf sana nimesikia rahaa sana, Nina uhakika nitakuona Mbinguni tukinyakuliwa pamoja, Tuko pamoja sana katika kuliandaa kanisa kwaajili ya unyakuo, Naomba Mungu atupe mwisho mzuri 💪💪
hakika inapaswa tujifuze kupitia ujumbe uliopo ndani ya huu wimbo mungu azidi kukubariki mtumishi uzidi kufanya kazi ya mungu na sisi tunazidi kujifuza kupitia ww mungu akubariki sana
Amen mtumishi wa Mungu!! Hakika tupo siku za mwisho ni muda w kukaa kujtakasa Yesu yu karibu kuja aliyoayatabiri yote yametukia , be blessed mtumwa wa Bwana kwa wimbo weny ujumbe mzito,
Djambo una karama nzuri,ngisi bwana yesu christo ali sema hata tuacha kama yatima ata tuma roho mutakatifu,iyi roho ifanya kazi popote uko nyimbo zako ni mafundichion tocha,mungu
Hallelujah mungu akuongoze ktk njia zako na kukupa maisha mrefu. Nakupenda Sana muimbaji watu kwa sababu nilijifunza mengi kupitia kwako mbalikiwe milele🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wewe tu ndo umebaki umesimama katika njia uliyonyoka waimbaji wengine wanajiita waimbaji wa nyimbo za kisasa wala hakuna wanacho kiimba! Barikiwa sana kaka
Nabarikiwa na kazi yako mtumishi, huwa unaimba ukweli katika nyimbo zako. Hakika zinatufanya Tutafakari njia zetu. Be blessed Mungu azidishe alichoweka ndani yako
Cassian hii vita yako na hawa watumishi wa uongo ni vita kubwa sana, mpaka sasa unalindwa na MUNGU, bila ulinzi wa Mungu ungekuwa umeshatupiwa mapepo ya kukua siku nyingi sana, hao mashetani wana mapepo mengi yakurushia watu
HALELUYA HALELUYA HALELUYA.Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe MZULI.Hakika watumishi wa Mungu wanahitaji kufanya TOBA ya kweli maana WAMEACHA NJIA.Agizo kuu la Yesu Ni INJILI IHUBIRIWE DUNIANI KOTE ILI WATU WATUBU na WAOKOKE.(Mathayo28:19, Marko16:16-20).Kuuza mafuta SABUNI UDONGO NK.Ni LAANA mbele za MUNGU?
Glory to God. Be blessed kwa kutii wito wa MUNGU na kusimama kusema kweli, MUNGU akupe neema zaid ya uwezesho uzidi kusema kweli in Jesus name amen. Yaaaan barikiwa sana sanaaaaaaa. BWANA Yesu ni nguvu zako daima yoshua1:5-8
Wewe ni zaidi sana ya muimbaji...Mungu anakutumia kwa kiwango cha hali ya juu sana.......Mungu akubariki sana....wewe ni zaidi sana MUNGU HAKIKA ASIKUACHE NATAMANI KUTOA SADAKA YANGU KWAKO NAFANYAJE?
Huu wimbo mzur sana una nguvu ya MUNGU ukiwa unausikiliza unamfanya mtu ayatafakali maisha yake hata kama YESU anarudi leo ikiwa ni watu mia waliokuwa wanausikiliza basi wakati huo wote wanaweza kwenda na YESU
Mara nikisikiya nyimbo zako nasikiya mwili kuvinyika.... Barikiwa sana. Mara nyingi nasikiya izi nyimbo kwenye misiba... Hey Mungu tuhurumie tupe neema yaku kukubali Bado hai
Will someone translate the entire song please. I believe that Pascal is talking about the end of time according to the pictures. Many thanks May THE ALMIGHTY GOD preserve his people from the disaster que esta muy pero muy acerca. Amen
Paschal is pleading to the apostles, pastors and evangelists to tell people that Jesus is coming soon to take his church and not just selling anointing oil.,, to tell the church and the world that soon the earth is going to go through the most horrific time ever, people should see the signs war is brewing , corona virus , same sex marriages are some of the signs of the end times... he is pleading people to repent and
Kazi nzuri 🙏 Mimi pia naimba nyimbo za injili naitwa PASCAL ERNEST nimetoa nyimbo yangu ya kwanza inayopatikana You tube kama Pascal ERNEST-Neema Yake naombeni sana support yenu 🙏 na mungu atawabariki nyote 🙏🇹🇿
Hongera mtumish, nondo ya kiroho Dunia ilipo nikatika shida, vinafanyika vitu vyaajabuajabu,wamesahau kua yesu yupo karibu, wanaposha njili. ila Yakobo amesema wako walioandikiwa hukum tangu zaman, nao wameingia humo kwasili, sasa anasema itetee Imani yako ambayo imetolewa Mala moja tu!!, ubarikiwe kaka kwa kazi ya MUNGU na akutie Nguvu, tuifanye kazi
Wimbo mzuri sana Ubarikiwe mtu wa Mungu,watumishi hawataki kuwahubiria injili ya utakatifu kabisa na ya kurudi kwa Yesu,Yesu anarudi kazi kumlipa kila mtu ujira wake
😭😭😭😭😭 YESU KRISTO UMKUMBUKE MTUMISHI WAKO HUYU NA WENGINE WOTE WANAOKUTEGEMEA NAMI PIA NA FAMILIA YANGU .
NAKUOMBA EE MWENYEZI MUNGU WANGU.
Mcha mungu kwa kweli kuwa Yesu kristo ndio mkomboziwako
Nyimbo imegusa Sana Mungu akubaliki sn
Amen.hakika.amkumbuke.bwana
AMEN🙌🙌🙌🙏🙏
Siwezi maliza siku bila kuskiliza huu wimbo maana una ujumbe wa ukweli. Mungu a zidi kukbariki na kukupa nguvu. Together with you here in Uganda 🇺🇬🇺🇬
Shalom karibu kusikiliza ujumbe wa nyakati za mwisho tulizo nazo pia Nina kuombeni Sana kusambaza link hii pia napenda kupitia coment zenu nakuzifayia kazi panapo bidi sambaza ijiliri hii IWAFIKIE wengi
Amen
Nimempokea kristo katika maisha yangu na kaulimbiu yangu fainali paradiso si mkamilifu lakin namhitaji Mungu anisaidie niyashinde ya Dunia
Mtumishi haina group la Whatsapp tukawa tunapata mahubiri haya ?
Maana nabarikiwa nikiwa Oman ,mko wapi wahubiri wetu muda umekwisha tuhubirieni wapendwa wetu kuna siku zinakuja hatutawaona wahubiri Wala mikutano ilihubiliwa injili ya yesu, Mwenyezi MUNGU Atutie nguvu
Wimbo uko vizuri hivi ibada za mafuta kwani nidalili za siku za mwisho?
Mungu akubariki mtumishi Kwa ujumbe huu mkubwa...Mungu akutunze katika jina la Yesu uzidi kuihubiri kweli ya Kristo Yesu.
Kaka mgogo tunakuombea pia jaribu kubadili mtindo wakucheza katika video zako kaka Ubarikiwe na Bwana kristi
Amen
Kwa Sasa yuko vizuri@@usatoenglandvegas4046
Amen mtumishi wa MUNGU hallelujah 🙌🙌🙏
Kweli hizi ni nyakati za mwisho. Ni wahubiri wachache sana wahubiri hii injili. Siku hizi tunahubiriwa sana mafanikio sio Yesu anakaribia kurudi. Mungu akubariki we ni muimbaji wa kipekee unahubiri na kuimba kweli. Mungu azidi kukuinua, kukubariki na kukulinda mtumishi. Kazi nzuri sana nimebarikiwa.... Glory to God
Nakupenda save God without a limit proud of you 💯💯💯
Huyu muimbaji yuko vizuri tunampenda wengi MUNGU azidi kumlinda na maaduwi wabaya amina🙏
Saf sana nimesikia rahaa sana,
Nina uhakika nitakuona Mbinguni tukinyakuliwa pamoja,
Tuko pamoja sana katika kuliandaa kanisa kwaajili ya unyakuo,
Naomba Mungu atupe mwisho mzuri 💪💪
Woooo! Barikiwa Sana kamanda wa yesu ubarikiwe mno
@@paschalcassianoriginal9411 Tuko pamoja Jitu la Mbinguni Nakupenda saana,
piga kaz Tulio upande wako tuko wengi saana🙏
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu atusaidie tuyaelewe haya majira tusipumbazwe na chochote humu duniani
Hata Mimi nimekuwa nikibarikiwa na nyimbo zako Hakika Mungu asiwaache
Nakupenda bureeee, huogopi kusema ukweli, ni maombi yangu Mungu akuinue & akulinde 😫😫
😥😥😥😥😥
Kuna taji lako mbinguni...mungu akulinde.
Aminaa Mwenyenzi Mungu amtunzeee
hakika inapaswa tujifuze kupitia ujumbe uliopo ndani ya huu wimbo mungu azidi kukubariki mtumishi uzidi kufanya kazi ya mungu na sisi tunazidi kujifuza kupitia ww mungu akubariki sana
Amen mm nasikia kubarikiwa ninapo. Fatilia mahubiri yako y nyakati za mwisho yote yalionena n yohana yanajidhirihisha ..Kwa kweli shetani yuko mbioni
Hizi ndio nyimbo tunafaa kusikia,nimebarikuwa na kuguzwa sana Shalom
Iyo kweli nyimbo za kutuubiri nakutukumbuka kama tuko mwisho wa dunia
Wimbo wenye manufaa kwetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ watching from South c Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Blessed
Alléluia mungu a zidi kuwabaririki tuna mi fata toka Congo 🇨🇩❤️
Naupenda wimbo huu, umesema kweli kabisa mtumishi, Mungu azidi kukupa nguvu
Hallelujah Mungu aendelee kukuinua zaidi kwa Huduma njema
Amina mtumishi
Ubalikiwe 🙏🙏🙏
Mungu akupiganie mtumish nimebarikiwa sana na hu wimboo
Amina
Barikiwa sana mtumishi
Ni kweli hizi ni siku za mwisho wote tunaomucha mungu tumuombe mwisho wetu uwe mwema ameeeeen
Mungu utuhurumie utusamehe dhambi zetu na za nchi zetu ehh Mungu tunafika ukingoni.
Huu ndio uimbaji unafaa kuongoza kizazi hichi chetu! UBARIKIWE SANA
Hallelujah, Mwenyezi MUNGU akutumie zaidi na zaidi,uendelee kutuhubilia wengine wapo,
Amen mtumishi wa Mungu!! Hakika tupo siku za mwisho ni muda w kukaa kujtakasa Yesu yu karibu kuja aliyoayatabiri yote yametukia , be blessed mtumwa wa Bwana kwa wimbo weny ujumbe mzito,
Haleluya ...hizi ndo ngimbo zako Mt. Nakuombea
Usiame kabisa hapo....ndo Bwana Yesu amekutuma hivyo wala usiogope yeye Bwana atakuokoa na hao wote wanaokutisha
Mungu akutunze kwaajili yetu uiseme kweli mtumishi wamungu ♥️♥️ 🙏🙏
Djambo una karama nzuri,ngisi bwana yesu christo ali sema hata tuacha kama yatima ata tuma roho mutakatifu,iyi roho ifanya kazi popote uko nyimbo zako ni mafundichion tocha,mungu
Hallelujah mungu akuongoze ktk njia zako na kukupa maisha mrefu.
Nakupenda Sana muimbaji watu kwa sababu nilijifunza mengi kupitia kwako mbalikiwe milele🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Paschal cassian
Pascal.may.God.raise.u.up.an.use.u.Again.as.uhave
Saved.many.souls.we.love.u.wewe.ni.msaada.kutoka
Kwa.mungu.ndio.zababu
Mungu.alikuokoa.kutoka.kwa.mikono.ya.ibilisi.God.bles.u
Haleluya bwana akufunulie zaidi kuitumikia kazi yake alokuagiza kumtumikia kwa ujumbe wa injiri
Oh God 😭😭this is true,,,nme zisikiza nyimbo zako zime ni guza sana ubarikiwe sana Mtumishi 🙌🙌🙏
Kweli kabisaa Kaka uongo kibao kwenye makanisa Mambo ya ajabu ajabu mengi. Mungu tunusuru waja wako🙏🙏
Wimbo unasisimua, ukiusikiliza hadi jasho linakutoka. Mungu tuhurumie
hakika
¹
Wewe tu ndo umebaki umesimama katika njia uliyonyoka waimbaji wengine wanajiita waimbaji wa nyimbo za kisasa wala hakuna wanacho kiimba! Barikiwa sana kaka
Uhakika 💯💯
Nabarikiwa na kazi yako mtumishi, huwa unaimba ukweli katika nyimbo zako. Hakika zinatufanya Tutafakari njia zetu. Be blessed Mungu azidishe alichoweka ndani yako
Waaaah!!! Mungu akuzidishie neema hiyo mpendwa, Mungu atutie nguvu katika nyakati za mwisho.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu Akulinde Mtumishi, kwa Neno lake ndani Yako!!🙏
Amen nabalikiwa sana
Nimebarikiwa sana kwa wimbo wako,nakuombea neema ya mwenyezi akupanue kihuduma
Mungu wangu wa Mbinguni akuzidishie Afya wewe ni tunu njema hakika hiz ni nyakati za mwisho tunatakiwa kusema kweli🙏🙏🙏🙏😭😭😭time is over
Kanisa za siku hizi biashara tupu Ole wako wewe usio na neno La mungu ndani yako utataabika sana
Bora umerudi nakupenda pascal..waimba injili ya kweli
Brother I love u nachogundua kwako unaimba kwa kufunza watu wa Mungu na sio kuangalia maslahi, , nachokupenda wewe huogopi kusema ukweli ❤️❤️
Cassian hii vita yako na hawa watumishi wa uongo ni vita kubwa sana, mpaka sasa unalindwa na MUNGU, bila ulinzi wa Mungu ungekuwa umeshatupiwa mapepo ya kukua siku nyingi sana, hao mashetani wana mapepo mengi yakurushia watu
Mungu ni mwema sana nimebarikiwa kupitia nyimbo hii inayozungumzia ukweli mtupu unaoonekana kila kona🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💚💚💚💚💚💛
Kz nzuri Mungu akubariki sana mtumishi napenda sana nyimbo zako maana zinatufikishia ujumbe sahihi
Mungu aendelee kukutuni vizri mtumishi wa mungu na kukiinua kipaji chako kila iitwapo leo wimbo umenibariki mnooooo 😭😭😭
HALELUYA HALELUYA HALELUYA.Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe MZULI.Hakika watumishi wa Mungu wanahitaji kufanya TOBA ya kweli maana WAMEACHA NJIA.Agizo kuu la Yesu Ni INJILI IHUBIRIWE DUNIANI KOTE ILI WATU WATUBU na WAOKOKE.(Mathayo28:19, Marko16:16-20).Kuuza mafuta SABUNI UDONGO NK.Ni LAANA mbele za MUNGU?
Mungu akubariki mtumishi kwa mahubiri kwa njia ya uimbaji. Such a wonderful msg song ♥️
Mungu akuinuwezaidi mutuombeye ukukwetu Drcongo watuwana uwawa kama nyama nidalilizamwisho
Yaani nikaapo nawaza hatima ya maisha yetu ila najua mwenyezi Mungu yupo nasi🥰🥰
Utukufu ni kwa BWANA YESU na umefanya kazi aliyokuagiza YESU ubarikiwe sana
I can't get enough of this song...Hakika hatuna muda,Yesu nisaidie kujitakasa Kila Wakati
Kazi nzuri mnoo kaka barikiwa sana
Glory to God. Be blessed kwa kutii wito wa MUNGU na kusimama kusema kweli, MUNGU akupe neema zaid ya uwezesho uzidi kusema kweli in Jesus name amen.
Yaaaan barikiwa sana sanaaaaaaa. BWANA Yesu ni nguvu zako daima yoshua1:5-8
Barikiwa kwa kuongea kweli kwa mtumishi huyu mungu naye akuzidishie katika baraka nami naunganisha zangu
@@gdesiandimbo5363 ameeeeeeeen BWANA MUNGU muumba wa mbingu na nchi akupe neema ya uwezesho
Good song I like u the man of God
Wewe ni zaidi sana ya muimbaji...Mungu anakutumia kwa kiwango cha hali ya juu sana.......Mungu akubariki sana....wewe ni zaidi sana MUNGU HAKIKA ASIKUACHE NATAMANI KUTOA SADAKA YANGU KWAKO NAFANYAJE?
HALLELUJAH HALLELUJAH NIMEBARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU, GO! GO! ON🙏🙏🙏🙏🙏🙏DUNIA IMEFIKA MWISHO NI KUUTAFUTA USO WA MUNGU.
GOD BLESS YOU. Nasi tusimame kwa nafasi zetu tuwambie watu wooote habari njema ya ufalme wa MUNGU
Huu wimbo mzur sana una nguvu ya MUNGU ukiwa unausikiliza unamfanya mtu ayatafakali maisha yake hata kama YESU anarudi leo ikiwa ni watu mia waliokuwa wanausikiliza basi wakati huo wote wanaweza kwenda na YESU
🥺🥺🥺🥺 muko wapiiiiiiiii, watumishi wa ukweli😭😭
Hakika wamepotea wengi MUNGU atusimamie 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nyakati za mwisho YESU simama mwenyewe
huu wimbo iko na message 🙏🙏🙏 mungu tusaidisie katika inchi yetu ya Kenya
Barikiwaa Yesu alikuponya kwa makusudi makubwaa sanaa, asantee kutukumbushaa kwa habar ya kurudi kwa Yesu🙏🙏
Mungu ni mwema mtumishi atuepushie majaribu pia naomba umuombee mwanangu ni mgonjwa tumbo linamsumbua
Your songs always bring me to the reality of life in light and darkness..Mungu aendelee kukubariki SHALOM!
Yesu akuinue na kukutunza Mtumishi wa Mungu....laiti kama watu wangelewa ujumbe wako....hakika Yesu analudi
Shalom Aise umetisha sana wimbo mzurii sana watching from Sudan south
Mara nikisikiya nyimbo zako nasikiya mwili kuvinyika.... Barikiwa sana. Mara nyingi nasikiya izi nyimbo kwenye misiba... Hey Mungu tuhurumie tupe neema yaku kukubali Bado hai
God have mercy on us forgive us and help us to live according to your will let this holly life be my only journey be blessed man of God 🇰🇪🇸🇦
Kweli Rehema zamwenyezi mungu zitufunike ❤❤ Asante mch kwakutukubuxha jia hii
Hallelujah hallelujah, Good job my dear brother, God with you always!🇲🇿
Nakupenda Sana unanibariki kwa huduma yako Mungu azidi kukuinua.
I so happy to see you again,,,,, nashukuru Mungu Kwa kukuponya Hadi umerejea jukwaani tena
Sio Siri muimbaji uyu nyimbo zake znagusa sanaa mioyo yetu mungu azid kukulinda na kukuzidishia kipaji
Glory to God Jesus christ for this message.. Be blessed man of God 🙏 🙏 🙏
Daaah asante kunikumbusha mtumishi wa Mungu
Will someone translate the entire song please. I believe that Pascal is talking about the end of time according to the pictures. Many thanks
May THE ALMIGHTY GOD preserve his people from the disaster que esta muy pero muy acerca. Amen
Paschal is pleading to the apostles, pastors and evangelists to tell people that Jesus is coming soon to take his church and not just selling anointing oil.,, to tell the church and the world that soon the earth is going to go through the most horrific time ever, people should see the signs war is brewing , corona virus , same sex marriages are some of the signs of the end times... he is pleading people to repent and
Balikiwa sana mtumishi wamungu pasikali kasini nakupenda sanaa katika bwana mungu akutie nguvu kalibu kasulu kigoma utuletee injiliiii
I won't stop praising He's name,,God 🙏 you will always be my guidance,, Hallelujah hallelujah protect us Lord 🙏
Badilisha picha na utubu uzinzi wako wa fikra
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu,zidi kutuletea nyombo za kusisimua kama hizi, ni za wakati huu hasa,kila LA heri
Haleluyaaaa....ukweli ni TIBA YA MILELE
The message and the instrumentals is wow...I love the messages from your songs ....mob love from 🇰🇪 🇰🇪
Amen Amen 🙏
Nikifungua you tube kama sijsikiza huu wimbo huwa sisiki poa,asante sana kaka Paschal
Kazi nzuri 🙏 Mimi pia naimba nyimbo za injili naitwa PASCAL ERNEST nimetoa nyimbo yangu ya kwanza inayopatikana You tube kama Pascal ERNEST-Neema Yake naombeni sana support yenu 🙏 na mungu atawabariki nyote 🙏🇹🇿
🙏🙏🙏
Mungu akubariki mtumishi ni kweli tupo nyakati za mwisho mungu azidi kukufunulia maono makubwa uokoe watu
Mchungaji wetu sasa anatufundisha somo la siku za mwisho hakika tupo nyakat za mwisho kweli Barikiwe sana Mtumishi wa Bwana
This Servant of GOD was born to Sing. His voice is pure and so touching. Visit my country too( South Sudan 🇸🇸
Kaka mm nimwimbaji na nimuhubiri kweli umenibariki sana kaka 🙏
Ninakukubali sana mpeperusha injili isiyogoshiwa MUNGU aendelee kukutumia kwa viwango vya juu aAmina
Amina
Wimbo huu Ni Ujumbe Mkuu Sana,
Ukija huku, nadhani Viwanja vya mpira havitatosha kwa wingi wa Watu. Huduma yako inakibali Sana.
Hallelujah Hallelujah,, all the glory to the most high God 🙌 🙏, be blessed man of God
Nime barikiwa sana kaka yangu nakuombe Mungu akulinde.najuwa utapigwa vita kupitiya nyimbo uuu.ubarikiwe sana
I felt to cry
This is the whole truth
God have mercy on us
Mtumishi Mungu wetu akuinue kuendelea kumubiri injili umesazwa kwa kazi yake hiyo barikiwa sana
Emen Servant of God, blessed more🙏🏿🙏🏿
Hii nyimbo inanifanya nilie sana ujumbe mzur sana mungu akubariki sana azidi kukulinda
We love you brother,I'm blessed with your song God bless you every time, from Kenya
Na mudA sjakufatlia toka ulivopata ajar Mwentenyez Mungu akutunze katika haya Mimi na familia yangu Ameen🙏🏼🙏🏼
Wimbo mzur cn Mtumishi na unaujumbe mzur can barikiwa can Mungu azid kukutumia kwa viwango vingine vikubwa Amen
Awesome song🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hongera mtumish, nondo ya kiroho Dunia ilipo nikatika shida, vinafanyika vitu vyaajabuajabu,wamesahau kua yesu yupo karibu, wanaposha njili. ila Yakobo amesema wako walioandikiwa hukum tangu zaman, nao wameingia humo kwasili, sasa anasema itetee Imani yako ambayo imetolewa Mala moja tu!!, ubarikiwe kaka kwa kazi ya MUNGU na akutie Nguvu, tuifanye kazi
BE BLESSED MTUMISHI!KAZI NZURI!
Jina la Yesu Kristo litukuzwe milele. Nyakati za mwisho zimekaribia. Mungu baba tuhurumie.
Very powerful massage from this man of God ,may God increase you man of God
MUNGU anisamehe Mimi ubarikiwe mtumishi
Wimb mzuri sana huuu ubarikiwe kweli mda umeisha
May God lift you to the highest level...you bless me with your voice
Wimbo mzuri sana Ubarikiwe mtu wa Mungu,watumishi hawataki kuwahubiria injili ya utakatifu kabisa na ya kurudi kwa Yesu,Yesu anarudi kazi kumlipa kila mtu ujira wake
Much love from Kenya 🙋♀️.. May The Almighty GOD continue using you to reach out to The Nations through your ministry of Music.. Amen 🙏🇰🇪
Mtumishi barikiwa sana MUNGU awe pamoja na wewe zaidi na zaidi
Be blessed grace
@@happymgaya9672 Thank you so much 🙏🙏
🇧🇪
Kwawati huu mgumu ambao ulimwengu umekumbwa na misukosuko mikubwa,ya magonjwa, na vita kweli wimbo huu nikama faraja kwetu.Mungu akubariki kweli
Amina. Que Dieu te bénisse !!!!
Love u son...Mungu amekubakiza uwe mabaki ya injili...imba kweli ya Mungu.😭😭😭