Wakati wimbo unaanza sikuuelewa ila kadri nilivyo endelea nikagundua sio tu walio tajwa kwenye huu wimbo ndio wenye ujumbe huu, bali ni mimi nawewe tumgeukie MUNGU tuachane na njia zetu zilizo tupotosha
Uzri wako ugopi chochote wewe ni shuja mungu akuzidishie Ujasiri mungu akutumie jeshi la binguni akutumia mukuu wa malayika wa ulizi tuwe mashuja tusiogopee uovu
shetani alidhani kakupata bongo star sarch kumbe BABA wa mbinguni alikuwa anamwambia shetani uliye tu! Hilo ni JASUSI LA MBINGUNI! Hongera sana Mtumishi Cassian ! MUNGU Azidi kukuinua kwenye huduma ya kumtumikia bila woga.
Nakama vile watu walivyowekewa kufa mara moja na baada ya kufa hukumu.waebrania 9-27 ndugu zangu sikieni ujumbe huu baada ya kufa hakuna kutubu muda ndio huu
th-cam.com/video/ngP0wbEmsKw/w-d-xo.html AFICHUA SIRI NZITO JINSI MADHABAHU NYINGI ZA MANABII NA MITUME ZILIVYO NA UHUSIANO NA USHIRIKINA. SASA ROHO YAKE INAWINDWA KWA KUTOA SIRI HII, AUGUA MAGONJWA YA AJABU MWILI MZIMA. ASEMA VIDEO HII ITAKUWA UKUMBUSHO HATA MUNGU AKIRUHUSU AFE MUDA HUU MAANA HALI YAKE KIAFYA NI MBAYA KWANI MARA VIPIMO VINAONESHA MOYO WAKE UNA HAMA TOKA KUSHOTO KWENDA KULIA. MAAJABU MENGINE AMEGUNDULIKA HANA FIGO KABISA HALI INAYOMFANYA SUMU KUSAMBAA MWILI MZIMA KILA WIKi ANATAKIWA 300,000/: YA KUTOaa SUMU. ALIKUWA NA MAGARI, NYUMBA ZOTE AMEUZA KUJIUGUZA LAKINI WAPI SASA AWAOMBA MSAADA WATANZANIA DUNIANI WALIPO KUMSAIDIA. ONYO: AWAOMBA WATU WASIRUHUSU KILA MTU KUWASHIKA MIKONO KICHWANI WAKATI WA KUWAOMBEA KWA KAWAIDA TATIZO HUANZIA HAPO. PIGA SIMU HII KWA MSAADA ZAIDI, 0713575718, MUNGU YUPO KAZINI SHETANI PIA YUPO KAZINI APATE WA KUWAPELEKA JEHANAM UWE MAKINI BADALA YA WEWE KUCHUKIA YANAYOSEMWA JUU YA NABII WAKO.

Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana toka nimekufahamu kwa kufuatilia nyimbo zako na mahubiri yako sijabaki kama awali Mungu amenitoa hatua moja kwenda nyingine kiroho na kimwili
BWANA YESU 😭😭Atusamehe na kutusaidia kiukweli nyimbo hizi zimekua sehemu ya shetani kupitisha uharibifu lakini Ashukuriwe Bwana Yesu mwingi wa huruma kutusaidia hata sisi tusiokua waimbaji lakini tuna sehemu katika huu ujumbe kua twapaswa kumuishi MUNGU haswa katika matendo yetu ya kila siku
huwa cpendi kuona watu wa jinsia moja wakiwa katika hali hiyo..ctak macho yang yawatazame hata kidogo..na nmeangalia huu wimbo cjajua kuna watu waaina hiyo😢😢😢😢
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Be blessed alot servant of Almighty Jesus Christ waambie ukweli ......Imani yako ni ya Ukweli haitigizi ni imara
Roho ananena hapa Walio na masikio wasikio Wenye macho ya kiroho wayaone yaliyo duniani Mungu ameghadhabika na matendo ya binadamu badala Watumie vipaji kumtumikia wanatumikia dunia 😢😢😢😢 Mtumishi Mungu akubariki sana
Mtumishi Cassian endelea kutumika kwa uaminifu na Mungu wa mbiguni atakushindia, wimbo umebeba ujumbe mzito siyo kwa wale waliotajwa kwenye wimbo na wengine pia tubadilike tuache uovu tusimamie maagizo ya Mungu.
Shujaa wa imani, sauti ya mtu aliaye nyikani hakika wewe ni shujaa. Mathayo7:13-14 inajieleza wazi . Kuna njia mbili tu moja iendayo uzimani nao wachache waingiao, ipo pana nayo iendayo upotevuni nao wengi waingiao . Mungu atusaidie tuiendee njia ya haki iliyobeba uzima wa milele.
Narudia kila mara kuusikiliza huu wimbo sichoki. Ujumbe huu ni mzito sana kwa wahusika waliotajwa na kwa sisi wengine wote. Hongera sana mtumishi wa Mungu
Ikumbukwe hata sisi amabao hatujatajwa tunahusika MUNGU ATUSAIDIE NA ATUREHEMU SANA 🙏🙏🙏
❤
Amina
Absolutely Yes
Waliobarikiwa na huu wimbo kama Mimi nione likes zao hapa❤❤❤
th-cam.com/video/b2LOUi_cw4k/w-d-xo.htmlsi=EjcmcAtu40Tfj1wN
Woora
Yeah barikiwa mpendwa tuko pamoja❤
@@hermanfrank6727 Amen 🙏🙏
@@gka9147 Amen 🙏🙏
WANAWEZA KUDHARAU HUU UJUMBE ILA HAKUNA SEHEM WATAPATA TENA
th-cam.com/video/b2LOUi_cw4k/w-d-xo.htmlsi=EjcmcAtu40Tfj1wN
Kweli haitajirudia tena
Kabisaa
Kabisa huyu MTU ametumwa na Mungu
Amina
Huuu ujumbe bila loho mtakatifu hauezi toboa ubalikiwe sanaa mtumishi 🙏🙏🙏
Sauti ya mtu aliyae nyikani mwenye hekima na akili ndiye atafahamu maneno ambayo roho wa Mungu ayaambia makanisa.🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kama unapenda nyimbo zake )paschal cassian) weka like hapa
Wapende wasipende Injili wataisikia tu👏😁👏👏🙏
🙏🙏
Wakati wimbo unaanza sikuuelewa ila kadri nilivyo endelea nikagundua sio tu walio tajwa kwenye huu wimbo ndio wenye ujumbe huu, bali ni mimi nawewe tumgeukie MUNGU tuachane na njia zetu zilizo tupotosha
Kabisa mtu wa Mungu.
amina ubarikiwe
Ni kweli hao ni kama mfano tu ila wote tunahusika
Shetani amewafumba wengi mtu wa Mungu
Uzri wako ugopi chochote wewe ni shuja mungu akuzidishie Ujasiri mungu akutumie jeshi la binguni akutumia mukuu wa malayika wa ulizi tuwe mashuja tusiogopee uovu
Kama unaamini huu wimbo unaujumbe kamili kutoka kwa mungu kuwaonya wasanii please usipite bila kunipa 👍 like 🙏
❤❤❤❤❤❤❤
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@@josephkaveya4284h
shetani alidhani kakupata bongo star sarch kumbe BABA wa mbinguni alikuwa anamwambia shetani uliye tu! Hilo ni JASUSI LA MBINGUNI! Hongera sana Mtumishi Cassian ! MUNGU Azidi kukuinua kwenye huduma ya kumtumikia bila woga.
🎉🎉🎉nime ipenda sana hii nyimbo
Wa Kwanzaa kuiona nyimbo hii ebu mpatien maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉@@DaudiHalula
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sio tu hao waliotajwa, pia na waislam wote ambao awataki kumuamini Yesu Kristo mwana wa Mungu wote watachomwa, ubarikiwe sana.
Hakika hasa uisilam
Kabisa mtumishi
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Hahahaha waambie kaka, yani tu sema hatujuani
@@BrianChanachayobarikiwa pia mtumishi wa Mungu.
Ukweli ni Ukweliii tupu. Waache uchafuu.
Mimi naomba nikuulize umejipangaje ndugu yangu, ushauri wangu kwako, Sali saana Mungu akusimamie maana umegusa panapo uma
Holy spirit is speaking 😢 tusaidie Mungu 🙏
Hallelujah mtumishi wa Mungu barikiwa sana🎉🎉🎉🎉
Mpaka nimeogopa nahisi huu mungu atautumia kama fimbo kwetu wote tuliousikia maana unaujumbe mkubwa
❤
Mungu atusaidiye nasi congo,tunaitaji nasi tukuye na pascal cassian 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Dunia itachomwa tena
Nimependa hapo ubarikiwe mtumishi wa
MUNGU
Umemaliza hudaiwi, sauti ya Injili imeshawafikia. Kwa hiyo siku ya mwisho ukisema sikujua jibu wanalo.
Nakama vile watu walivyowekewa kufa mara moja na baada ya kufa hukumu.waebrania 9-27 ndugu zangu sikieni ujumbe huu baada ya kufa hakuna kutubu muda ndio huu
Hakika
Amina
th-cam.com/video/ngP0wbEmsKw/w-d-xo.html
AFICHUA SIRI NZITO JINSI MADHABAHU NYINGI ZA MANABII NA MITUME ZILIVYO NA UHUSIANO NA USHIRIKINA.
SASA ROHO YAKE INAWINDWA KWA KUTOA SIRI HII, AUGUA MAGONJWA YA AJABU MWILI MZIMA.
ASEMA VIDEO HII ITAKUWA UKUMBUSHO HATA MUNGU AKIRUHUSU AFE MUDA HUU MAANA HALI YAKE KIAFYA NI MBAYA KWANI MARA VIPIMO VINAONESHA MOYO WAKE UNA HAMA TOKA KUSHOTO KWENDA KULIA.
MAAJABU MENGINE AMEGUNDULIKA HANA FIGO KABISA HALI INAYOMFANYA SUMU KUSAMBAA MWILI MZIMA KILA WIKi ANATAKIWA 300,000/: YA KUTOaa SUMU.
ALIKUWA NA MAGARI, NYUMBA ZOTE AMEUZA KUJIUGUZA LAKINI WAPI SASA AWAOMBA MSAADA WATANZANIA DUNIANI WALIPO KUMSAIDIA.
ONYO: AWAOMBA WATU WASIRUHUSU KILA MTU KUWASHIKA MIKONO KICHWANI WAKATI WA KUWAOMBEA KWA KAWAIDA TATIZO HUANZIA HAPO.
PIGA SIMU HII KWA MSAADA ZAIDI, 0713575718, MUNGU YUPO KAZINI SHETANI PIA YUPO KAZINI APATE WA KUWAPELEKA JEHANAM UWE MAKINI BADALA YA WEWE KUCHUKIA YANAYOSEMWA JUU YA NABII WAKO.
th-cam.com/video/ngP0wbEmsKw/w-d-xo.html
AFICHUA SIRI NZITO JINSI MADHABAHU NYINGI ZA MANABII NA MITUME ZILIVYO NA UHUSIANO NA USHIRIKINA.
SASA ROHO YAKE INAWINDWA KWA KUTOA SIRI HII, AUGUA MAGONJWA YA AJABU MWILI MZIMA.
ASEMA VIDEO HII ITAKUWA UKUMBUSHO HATA MUNGU AKIRUHUSU AFE MUDA HUU MAANA HALI YAKE KIAFYA NI MBAYA KWANI MARA VIPIMO VINAONESHA MOYO WAKE UNA HAMA TOKA KUSHOTO KWENDA KULIA.
MAAJABU MENGINE AMEGUNDULIKA HANA FIGO KABISA HALI INAYOMFANYA SUMU KUSAMBAA MWILI MZIMA KILA WIKi ANATAKIWA 300,000/: YA KUTOaa SUMU.
ALIKUWA NA MAGARI, NYUMBA ZOTE AMEUZA KUJIUGUZA LAKINI WAPI SASA AWAOMBA MSAADA WATANZANIA DUNIANI WALIPO KUMSAIDIA.
ONYO: AWAOMBA WATU WASIRUHUSU KILA MTU KUWASHIKA MIKONO KICHWANI WAKATI WA KUWAOMBEA KWA KAWAIDA TATIZO HUANZIA HAPO.
PIGA SIMU HII KWA MSAADA ZAIDI, 0713575718, MUNGU YUPO KAZINI SHETANI PIA YUPO KAZINI APATE WA KUWAPELEKA JEHANAM UWE MAKINI BADALA YA WEWE KUCHUKIA YANAYOSEMWA JUU YA NABII WAKO.
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana toka nimekufahamu kwa kufuatilia nyimbo zako na mahubiri yako sijabaki kama awali Mungu amenitoa hatua moja kwenda nyingine kiroho na kimwili
Kweli kabsa tumrudie mungu dada, kaka, mama, babu wote, ni enzi ya mwisho wapendwa mda n sasa
BWANA YESU 😭😭Atusamehe na kutusaidia kiukweli nyimbo hizi zimekua sehemu ya shetani kupitisha uharibifu lakini Ashukuriwe Bwana Yesu mwingi wa huruma kutusaidia hata sisi tusiokua waimbaji lakini tuna sehemu katika huu ujumbe kua twapaswa kumuishi MUNGU haswa katika matendo yetu ya kila siku
Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi wa MUNGU,nakuombea aendelee kukutumia zaidi
Mungu ainuaye watumishi wake azidi kukuinua Mwinjilisti Paschal.Asante kwa maonyo haya
Barikiwa soo much mtumishi we love you very much karibu Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God bless you abundantly
Safi sana mungu azidi kukupa ulizi wa damu ya yesu amen
Nyimbo hizi zinanitoa hatua moja kunipeleka hatua nyingine kiimani yesu akutunze mtumishi
Mtumishi wa Mungu Nabarikiwa Sana na Nyimbo Zako Mwenyezi Mungu akutie Nguvu
Nyimbo kama hizi za kugusa mtu ndo tunataka,,, wimbo mzuri sana
❤❤❤❤❤❤ I love this gospel.😂😂from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿
Hongera kwa ujasiri huo uliouchukuwa kuionya dunia kuhusu Siku za mwisho.
Kweli kabisa sio tu kina diamond wote kwa ujumla😢😢😢back to the lord
Maalumu kwa ajili yao
Congratulatio paschal cassian jumbe zimefika bila shaka🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤❤❤❤ natamani hao wahusika wasikilize hii nyimbo maana ni zaidi ya ujumbe hata kwangu umenigusa sana
mutumish wabwana Paschal cassian uzid kubakikia kw jumbe nzur kuwakumbusha watu wa Mungu abadir maisha yao amuludie Mwenyez Mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wewe nipacha wa mangufur mungu akuzindishie amina
Saut ya mungu Sasa imewafikia wale waimbiao mapenz na kusifu pombe😢
Hivi Shusho ndio awe rafiki yako kweli unategemea nini lazima uingie Chaka,. Matha funguka akili huyo Shusho ni pepo hana tofauti na Joan.
Amen barikiwa sana na Yesu kristo
Cassian mungu aendelee kukupa mafunuo mengi tunabalikiwa sana
Amen amen barikiwa!!!
Paskal mtu wa mungu endelea kupewa mafunuo
Umeshaa nawa mikono mtumishi, damu Yao na ibaki juu ya vichwa vyao na vizazi vyao,tangu sasa wewe ni safi amen. "Ezek 3:17-21"
Niembo nzuli lakini tukumbuke judgement ni ya Mungu, kwanju Ata wale wanaimba za Mungu akuna mwenye anajuwa ndani lohoni zabo
Wamejisahau kwenye hii dunia utadhani wataishi milele hapa duniani waambie pengine waeza badilika
Wow mko vizuri sana brother's
Ooh Aleluyaaaaa wimbo mzuri sana. Ubalikiwe na Bwana
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu umenawa mikono yako
Amen 🙏🏿 barikiwa kaka yangu nakupenda zidi kutupa nondo za ki Mungu ❤
Mungu akubariki na kukupa Neema zaidiiiiii
huwa cpendi kuona watu wa jinsia moja wakiwa katika hali hiyo..ctak macho yang yawatazame hata kidogo..na nmeangalia huu wimbo cjajua kuna watu waaina hiyo😢😢😢😢
Mtumishi cassian mungu akubariki sana mtumishi amen 🙏 🙌 ❤
Ubariwe kwakuwakumbusha tunamuona msanii mmoja kwenye kanisa Ra pastor ton
Huu ndo ulimwengu inaumizablakini Haina jilinde wewe kama wewe kwenye maisha ya ulimwenguu
❤ni sawa mkuu🎉
waooooh balikiwa sana mtumishi 👍
Daaah Mungu wangu Naomba utusamehe sote wakosaji🙏
Ubalikiwe mutumishi mungu akubaliki sanakwaujumbehuhu tumebalikiwa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Be blessed alot servant of Almighty Jesus Christ waambie ukweli ......Imani yako ni ya Ukweli haitigizi ni imara
Mimi nimeuludisha nyuma Mara Mia bado natamani nizidi kuusikiriza mutumishi ubarikiweee sana
Kwakweli MUNGU akulinde sana kamanda maana kwakweli huu naukweli unaumaga siku zote MUNGU akubaliki sanan
🎉 Amina mtumishi kz ya bhana iende mbele juu
Nime kosa lakusema najikuta naliatu😢😢😢 MUNGU akujaze nguvu saaaana mtu wa MUNGU una kazi kubwa saaana katika Dunia
Tuko wengi Mungu amulinde alipotoka ni mbali hiyo neema niya kila mutu aitafutaye
Dunia imejisahau,itaangamizwa waliyasifu mapenzi badala ya Mungu.. what's a message is this! Keep it up best gospel music.. MUNGU akubariki
barikiwa sana kaka pascali mwanzo nilikuwa sijakuelewa lakina sasa nakuelewa sana mtumishi 🙏🙏
Nyimbo inagusa sanaaa❤❤
From Kenya I love you very much from 2019 umekua wa kunijenga Imani we hutishiki we ni strong barikiwa zaidi...... Servant of God
Roho ananena hapa Walio na masikio wasikio Wenye macho ya kiroho wayaone yaliyo duniani Mungu ameghadhabika na matendo ya binadamu badala Watumie vipaji kumtumikia wanatumikia dunia 😢😢😢😢 Mtumishi Mungu akubariki sana
Injili lazima ihubiriwe kwa njia yoyote ile wasije kusema hatukusikia ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Mtumishi Cassian endelea kutumika kwa uaminifu na Mungu wa mbiguni atakushindia, wimbo umebeba ujumbe mzito siyo kwa wale waliotajwa kwenye wimbo na wengine pia tubadilike tuache uovu tusimamie maagizo ya Mungu.
Huyo mwenzio Yuko sawa na mama ake mzazi Tena anampenda kishenzi
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwakutukumbusha Mana Wengi Wetu Tunajisahau Sana. Amen🤝🏼🤝🏼🤝🏼🤝🏼🤝🏼🤝🏼💥
Mungu pekee wa kweli asifiwe kwajina la Kristo wake
Pastor paschal cassian wimbo wako una upako wa juu sana, unanifundisha mambo mengi, Mungu akutunze kwaajiri ya utukufu ❤❤💚💚⛪️⛪️⛪️🔔🔔🧎🧎🧎🧎♀️🧎♀️🧎♂️
Mtumishi wa MUNGU sio wanamziki tu hata washabiki wa mpira Wana kera sana badara ya kushabikia injiri ya yesu wako bize na mpira
Baraka sana kaka msema kweli
Umenawa mikono yako Mungu awape kibali cha kutubu
Mtumishi uzidi kutukumbusha asante sana😢😢
Amina pascal cassian ubarikiweee sana ujumbe mkubwa unagusa na kufundisha.amina san nimejifunza kitu
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏
Haleluuuuuuuuuyaaaaqaa ooooooh Yesu nijalie mwisho mwema
Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa MUNGU. Ujumbe umefika.
Haleluuya! Inatosha baba wasiposikia basi,nawa mikono
Wouaw 🎉❤very deep the gospel preached in this song, bless you to the fullest, evangelist
Shujaa wa imani, sauti ya mtu aliaye nyikani hakika wewe ni shujaa.
Mathayo7:13-14 inajieleza wazi . Kuna njia mbili tu moja iendayo uzimani nao wachache waingiao, ipo pana nayo iendayo upotevuni nao wengi waingiao .
Mungu atusaidie tuiendee njia ya haki iliyobeba uzima wa milele.
Hili ni neno la Mungu, Asante kuwakumbusha.Nimependa sana hii song
Naomba mungu unipe mwisho mwema kupitia huu wimbo barikiwa sana mtumishi ujumbe umetufikia vema Kazi umeimaimaliza
Amen .! mtumishi wa Mungu .❤
Willy Paul, Bahati Kenya mrudieni Mungu wenu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Ni kweli mtumishi.
Amina Sana nimebarikiwa kweli Mungu tuteteee tupe mwisho mwema ❤❤❤❤🙏🥰
🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲nimekukubali sana sasaivi wakina diamond wanaolewa na pididy
Narudia kila mara kuusikiliza huu wimbo sichoki.
Ujumbe huu ni mzito sana kwa wahusika waliotajwa na kwa sisi wengine wote.
Hongera sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa saaaaana mtumishi, MUNGU akutie ngunvu .
Ubarikiwe na bwana akupandishe viwango vya juu
Waaaoh ni wakati wa kupeleka injili mbelee ooh safi❤❤❤