Numekosa Cha kukulipa mungu wangu baba yangu liinuliwe jina mtumishi wa mungu hii song inacheza moyoni mwangu hata akilini mda wote mungu akubariki zaidi nakupenda huu wimbo huko ndo ulitoka mungu akutendee makuu zaidi tuko nyuma yako baba
Baba yangu ninashukuru,umeniokoa na mengi,huwa ninaona kusudi lako la mimi kuishi,asante na Sina Cha kukulipa zaidi ya Asante,Cassian endeleza mipango ya Mungu mtumishi
Come n minister in kenya paschal The spirits of darkness wouldn't want to hear this but they must hear most especially the song "ona wanavyokuabudu" preach it man of God praying for you
Almost a year now and such a good song hasn't reached over 200k views? let me leave my comment here and am sure soon i will come back to read it when the song reaches over 5 million views. What a great praise song!
Ubarikiwe sana nabarikiwa nikiwa saudia Arabia but natoka kenya,ubarikiwe sana kuna wakati nili wacha album yako ona wanavyo mwabudu hadi machozi ikanitoka maana manabii wa uwongo ni wingi sana....
eeeeeh baaaaaaba baba yangu nakushukuru umetoka mbali mkono wa bwana mungu umekula nawe tangu mbali na ndio maana nasema ww n kazi ya mungu kazi yake unajifanya viema naomba akulinde na mahasidi waliokuzingira akupe nguvu zaidi na akupe nguvu ya ziada bado kazi yake inaendelea ww ndie aliekuchagua niliona tu ukisema kuusu ajali yako but Sasa nimeona Hadi song barikiwa
A thankful song in deed asante sana Mwinjilist Pascal kwa kweli unabariki sana na nyimbo zako zzinaangazia injili ya ukweli na jinsi dunia ilivo....ubarikiwe sana
Ukweli ni injiri ya kweli wengi watumishi meshaitupilia mbali hila nashukuru mungu maana amekupa hicho kimbali kunena ukweli wa neno la ukombozi kwa ndunia nzima.
Very powerful message , brother ,nime sikiza hi wimbo ,umenitia nguvu ya kutafuta USO WA MUNGU wangu ,,kweli ni mtetezi wangu ,😭😭🙏🙏🙏 Amenipigania sana kwa madui zangu ,,JINA LENYE nguvu YESU 🔥🔥🔥🔥🇧🇭
Hakuna kitu kikubwa zaidi kuzidi kumtukuza Mungu aliyeziumba Mbingu na Nchi 🎉🎉❤❤
Always always l like this song is my favorite one oh blessings follow you
Nakupenda sana .Unahubiri kwa uimbaji.hutafuti pesa.Nyimbo zako zinagusa sana moyo wangu.ubarikiwe
Nilipoteza tumain ee Mungu tumain umenipatia!....... nasema sante kwa kuniepusha na kaburi la mapema Ee Mungu jina lako ni kuu kushinda majina yote
😢😢😢Hakuna huu wimbo nimutamu Sana mungu akubariki sana na akupee kipaji zaidi shukurani 🙏🙏🙏🙏
Ashukuriwe Mungu .napia mxhukuru sana Paul Makonda kwakukupigania safari yako na mchango alijitolea Mungu watunze wote
Tunakupenda na tunapenda nyimbo zako mungu hakupe miaka Mia 💯
This song carries the spirit of anointing that has lifted me to another level.
Ndugu Cassian mungu akubariki sana. Nabarikiwa sana hapa Kisumu kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏 kupitia songs zako.
Barikiwa sana Mwinjilist pascal unaubariki moyo wangu daima nakunitia nguvu Mungu azidi kukubariki
When I see the strength of worship in him I just remember llagosa
111
Ipo siku watakuelewa tuu nn unaimba, More blessing🔥🔥🔥
Uko vizuri sanaa ninazikubali sanaaa nyimbo sako mkuu
Paschal nakukubali sana nyimbo zenye hisia sana safi
@@siliviamushi4119 a
Ubarikiwe Sana ndugu from kenya
Let's give this song 1million views,it is anointed and mesmerizing to listen to.thanks cassian.
Nyimbo zako zinanibariki mpaka najikuta machoz yananitoka kwa furaha na faraja ninazozipata kupitia nyimbo zako😭😭
Numekosa Cha kukulipa mungu wangu baba yangu liinuliwe jina mtumishi wa mungu hii song inacheza moyoni mwangu hata akilini mda wote mungu akubariki zaidi nakupenda huu wimbo huko ndo ulitoka mungu akutendee makuu zaidi tuko nyuma yako baba
Baba yangu ninashukuru,umeniokoa na mengi,huwa ninaona kusudi lako la mimi kuishi,asante na Sina Cha kukulipa zaidi ya Asante,Cassian endeleza mipango ya Mungu mtumishi
Hakika Mungu ni mwemaa, kupitia wewe niliona uponyaji wa Mungu. Nikikuona pia namkumbuka Paul Makonda hakika Jehova amkumbuke kwa wema alioufanya
Mungu azidi kukuongeza na kukujaza hekima Ili uzidi kuipigania injili kakaangu much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️♥️
Your songs always a blessing,prayer and eye opener🙏🙏🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ubalikiwe sana nikisikia nyimbo zako zinanibariki
Be blessed 🙌🙏 nyimbo zako zabariki wengi...kweli ukiamka kushida ukiwa mzima kwa neema tu ♥
Great song Brother pascal..
Love your work from Kenya
Come n minister in kenya paschal The spirits of darkness wouldn't want to hear this but they must hear most especially the song "ona wanavyokuabudu" preach it man of God praying for you
Almost a year now and such a good song hasn't reached over 200k views? let me leave my comment here and am sure soon i will come back to read it when the song reaches over 5 million views. What a great praise song!
Even if they don't comment bt still it's a great message
Amina mtumishi wa Mungu Na Mungu akutie Nguvu Na Mungu akulinde Na Mungu akuongoze katika mambo yote ahsante sn amen.
Amakweli MUNGU anaweza kukuheshimisha kwa wale wanao kutharau🙌 siwezi hesabu nimarangapi nimesikia uwimbo🥺 Wacha MUNGU ainuliwe
Nyimbo zako nzuri sana zinafundisha kwel
Tanzania ni nchi imebarikiwa na watumishi wa Mungu ibarikiwe malango yenu
Wimbo mzur sana mtumish mungu akukumbuke cku zote
Amen man of God be blessed, nimependa hii wimbo sana mbona sioni kwa tiktok ❤
Acheni Mungu aitwe Mungu Mana kupitia huu wimbo Leo nimetubu na kumrudia Mungu wangu... ubarikiwe Sana
Ubarkiwe sana brother Mungu akikutendea muujiza kma huo unapaswa tumushkuru Mungu akutunze hautakufa bar utaish kwaa neema ya Mungu Aminaaa Kubwaaaa
Ubarikiwe sana nabarikiwa nikiwa saudia Arabia but natoka kenya,ubarikiwe sana kuna wakati nili wacha album yako ona wanavyo mwabudu hadi machozi ikanitoka maana manabii wa uwongo ni wingi sana....
Bonge la ngoma😮😅
Mungu Akujaze nguvu za kuimba nyimbo zenye mafunzo KWa ulimwengu hivi....
Amen Mchungaji,nyimbo zako zinafundisha, Mungu akubariki 🙏
Nakubali sana mtumishi huu wimbo nimeutafta sana ubarikiwe sana kaka🙏🙏🙏🙏🙏🙏
My brother I thank God for you,,,utaishi kutangaza wema wa Mungu
Hubarikiwe Sana mtumishi wa mungu. Daniel omari kitenge
Kwakwel naungana na wewe kumshukru Mungu makonda Mungu akukumbuke 🙏
porenisan kwamajeruh urionay jin labwan llitukuzwe kwer😅😅❤❤
Mungu akubariki sana mtumish na akuinue huduma yako ikue sana
Such a wonderful song iliyobeba nguvu za roho mtakatifu.... Ubarikiwe sana kwa wimbo huu mzuri mtumishi wa Mungu. Mungu akuinue palipo juu zaidi
Ubarikiwe sana.sema kweli ili ulimwengu uokolewe
Casian casian balikiwa Sana wewe nimteule wa mngu uliyekuja kutuonyesha Dunia ilipofikia hakika mngu nimwema waambie hao manabii waache kudanganya watu
Can't stop listening to this song, it's a blessing to me.God bless you Pascal
Sifa na utukufu kWA Mungu aliye juu 🙏🙏🙏
Safi. Sana ndugu yangu nyimbo hii inauwepo mkubwa sana🙏
Hakika, uwepo wako ni neema za mwenyezi MUNGU... Tuzidi kuliita jina lake , linaponya na kutuheshimishaa
Eeeh baba nakushuru mungu,,, powerful song wow much love,, watching from bahrain
Ubalikiwe sana wimbo wako umenigusa sana
Liiiinuliwee jina lakooo,litukuzweee jina lakooo
Kweri jina la mungu riinuriwe milele yote💯💯💯🙏🙏
nakushuru mungu wangu umeniinue bwana, asante sana yesu
Hakika liinuliwe jina Lake mungu wetu🙏🙏❤️❤️
Amen mtumishi wa MUNGU,MUNGU akutunze na kukupigania
Mungu aendelee kuinuliwa popote Duniani
Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi.
Asante Yesu kwa yote umetenda sifa na utukufu sikurudie wewe ulie mkuu
Asante Sana kwa wimbo wako mtamu,huwa wanifariji Kila siku
Wow wimbo unabariki moyo wangu wakati nkiomba God continue using u and blessing
some people fear to know the truth that is why they dont watch these kind of empowering songs
Sichoki kuusiza wimbo huu ,, ninajihisi nikama nimeokokaleo🔥🔥🔥🔥skiza tune nitaipata ajee mchungaji??
God bless you more man of God 🇨🇩🇨🇩🇿🇲🇿🇲
Hongera sanaaaa mtumishii wamunguuuu barikiwaaa sanaaa nazielewa sanaaaa nyimboo zakoo
Nakumbuka Mungu aliko nitoa .jina lako niimidiwe we mwenyezi Mungu
eeeeeh baaaaaaba baba yangu nakushukuru umetoka mbali mkono wa bwana mungu umekula nawe tangu mbali na ndio maana nasema ww n kazi ya mungu kazi yake unajifanya viema naomba akulinde na mahasidi waliokuzingira akupe nguvu zaidi na akupe nguvu ya ziada bado kazi yake inaendelea ww ndie aliekuchagua niliona tu ukisema kuusu ajali yako but Sasa nimeona Hadi song barikiwa
This song imenifungua mahali my God 🙏🙏 blessed you so much l like you,r song
Mungu akubariki nyimbo zako zinanigusa sana ubarikiwe
Ubarikiwe sana man of God
brother Cassian, naipenda sana kazi. Mungu azidi kukutenda wema.
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu nimebaliwa sanaa muñgu akutunze
A thankful song in deed asante sana Mwinjilist Pascal kwa kweli unabariki sana na nyimbo zako zzinaangazia injili ya ukweli na jinsi dunia ilivo....ubarikiwe sana
Amen,kwa kweli Mungu Ainuliwe,Mwimbo mzuri Sana Mungu azidi kukuinua Paschal.
Amen
Mungu mwema aeendelee kukulinda na kukuteteea
Mwenyezi Mungu aendelee kukuinua katika huduma yako mtumishi wa Mungu na ubarikiwe saaana
Unaweza mungu akubaliki
Halleluja Halleluja 🙌🙌🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Asante papa
Mungu alikupitisha ili usimwache hakuna aliye itwa asipitie magumu ubarikiwe
Amina ni neema tu imetufunika katk maisha haya
2yrs ago..I got kidney failure..God came through a successful kidney transplant..am now doing well like any other health person..
Such a moving song..
Ubalikiwe sana mtumishi
God blessed you nice song 🙏🙏🙏
Ukweli ni injiri ya kweli wengi watumishi meshaitupilia mbali hila nashukuru mungu maana amekupa hicho kimbali kunena ukweli wa neno la ukombozi kwa ndunia nzima.
This song is such a blessing to me n my whole family nimejarbu kudownload but ilikataa
Glory to lord kwa kuponya mutumishi wako
My my favorite song forever and ever l love you Pascale
Huu wimbo umenitoa machozi
Song of encouraging I love you brother indeed God loves you so much never turnback brother
much blessings...such a blessing in my life...from KENYA 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nikweli mungu anastahili sifa
Barikiwa mtumishi
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Be blessed broo big up!
May God keep you for many many years to inspire us.Alot of love from Kenya
Mungu apewe sifa sana kwakurudishia uzima
Mungu akubaliki sana akulinde kila jalibu lipitalo mbele yako amina
Can't stop listening to this aki
Uko vzr sana kaka hongera sana kipaji.
Amina,ubarikiwe sana mtumishi
Very powerful message , brother ,nime sikiza hi wimbo ,umenitia nguvu ya kutafuta USO WA MUNGU wangu ,,kweli ni mtetezi wangu ,😭😭🙏🙏🙏 Amenipigania sana kwa madui zangu ,,JINA LENYE nguvu YESU 🔥🔥🔥🔥🇧🇭
🤪🥰🤩🥳
Ama kweli Mungu ndiyo muweza wa yote
Upendo kutoka kenya
Alelluyah YESU, God 's presence is Here thank you so much.