Nay Wa Mitego Ft Darassa - Hustler [Official Music Video]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 864

  • @Iamblueprintmusic
    @Iamblueprintmusic 2 หลายเดือนก่อน +82

    Mungu bariki yeyote atakae like hii coment❤

  • @stanslausjohn8791
    @stanslausjohn8791 3 หลายเดือนก่อน +152

    Huyu Ney wa Mitego anafaa kuwa Rais wa Nchi au Generali mkuu wa nchi❤❤😅🔥🙌

    • @Solomonmalase
      @Solomonmalase 3 หลายเดือนก่อน +3

      kabisa

    • @AnnoyedCatfish-bs3sy
      @AnnoyedCatfish-bs3sy 2 หลายเดือนก่อน +3

      Hakuna wa kumpinga Jamaa ni mzalendo mno💟 💯🎉🎉🎉🙌🙌🙌🙌

    • @amrimohamed9303
      @amrimohamed9303 2 หลายเดือนก่อน +4

      Unajua kuwa rahisi ni kuimba ujinga huu

    • @raindoro5201
      @raindoro5201 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nay hajatukana wala kumdiss mtu kwenye hili goma....This dude is versatile en he knows what he is doing..phenomenal

    • @shigelafrancy8046
      @shigelafrancy8046 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wee nae unazeeka vibaya😂😂😂

  • @yusuphisack285
    @yusuphisack285 3 หลายเดือนก่อน +81

    nyimbo imenikuta nikiwa katikati ya mji kupambana. GONGA like kama wewe ni HUSTLER

  • @JamrackSotely
    @JamrackSotely 3 หลายเดือนก่อน +182

    Mashabiki wa ney gonga like hapa

  • @salimumwenjuma6150
    @salimumwenjuma6150 3 หลายเดือนก่อน +43

    Like za kutosha kwa ma hustler wote hapa, mungu atabariki one day.

  • @NicanoryKevogo85
    @NicanoryKevogo85 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu naomba usinichukue kabla mwanangu hawajajua kufish 😢😢😢😢❤❤❤❤❤

  • @saidchaula1947
    @saidchaula1947 3 หลายเดือนก่อน +11

    Mr ney WAMITEGO wewe ni jeshi unastahili kuitwa jeshi umetusemea sana na unatufia kwa. Kila HATUA uko teyali kupoteza uhai wako kwajili yetu mimi Nakuelewa wewe tu bongo wasanii wengi ni njaa tu Ney Roma heshima KWENU 💪💪💪🙏🙏🙏🌹🌹🌹

  • @aminalatifa691
    @aminalatifa691 2 หลายเดือนก่อน +3

    DARASSA KAZI AMEISOMEA NA KESHAIFUNGA.... #utaelewa tu

  • @SAIDMBARUK
    @SAIDMBARUK 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mm kama hustler nimeukubali. Wapi likes za ma hustlers wenzangu

  • @YusuphMutambo
    @YusuphMutambo 3 หลายเดือนก่อน +48

    Kama umemuelewa Darasa gonga like yake kama sapoti hapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @StørmMc-kßG
    @StørmMc-kßG 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mr comment 🇹🇿 hip hop ndo music unotetea haki za binadamu duniani.... na ni music usio pendwa na viongozi... heshima wapewe wote wanao jitolea kubeba lawama kwaaji ya kupambania wengine1✌️✌️✌️✌️✌️

  • @MandisiMechackLM
    @MandisiMechackLM 3 หลายเดือนก่อน +24

    Wa Kongomanii tuko apaa kweli 🇨🇩🇨🇩 Sikiliza ngoma vizuri🤔🤔🔥🔥

  • @peter_the_dj
    @peter_the_dj 2 หลายเดือนก่อน

    Haya maisha naniii you need patience.....oyaa mi ni hustler🔥🔥

  • @eshasuleiman7754
    @eshasuleiman7754 หลายเดือนก่อน

    Darasa give a classical legendary verse ever....and now am praying making a wish mungu asinichukue kabla wanangu hawajajua kufish.....

  • @adamgodwinntalindanya6520
    @adamgodwinntalindanya6520 2 หลายเดือนก่อน +7

    🔥🔥🔥🔥🔥
    Naiona Remix Ney + Darasa + Mr Blue + Bill nass Nenga Hatari sana mpk Dec,2024 najua itakuwa tayar

  • @EmmanuelThadee
    @EmmanuelThadee 3 หลายเดือนก่อน +72

    Naomba like mini mu Congo ❤

  • @johnwolf2449
    @johnwolf2449 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa anaimba maisha nachomkubali kasomeshwa na wazazi ili awasaidie wazazi na saiz ye ni mzazi na maisha yamempiga

  • @Amon-m9q
    @Amon-m9q 2 หลายเดือนก่อน

    N nini iyo sound ya mwisho inakaa ya kiba wee,,napenda ii Ngoma toka kenya🎉🎉🎉,,,,nadhani ya kiba na konde boy italipua ulimwengu kaa ii ni ya wanao🎉🎉🎉🎉😅

  • @abubakarishakabahati4287
    @abubakarishakabahati4287 3 หลายเดือนก่อน +11

    from hipap music in Tanzania 🇹🇿 to start with number one today tomorrow and forever hipap ya kuishi all years mziki wakikubwa. Shabiki yako namba moja kuto Burundi 🇧🇮

  • @raspowizzy
    @raspowizzy 3 หลายเดือนก่อน +13

    Darasa never get old he is new everyday much respect

  • @mikegifted6036
    @mikegifted6036 3 หลายเดือนก่อน +5

    Noma Sana big kings

  • @Dis_fx
    @Dis_fx 2 หลายเดือนก่อน +4

    sisi tuki na wewe mpaka tone la mwishoMr.Nay trye boy

  • @ElJannatyKhanDior
    @ElJannatyKhanDior 3 หลายเดือนก่อน +9

    Bado dakika 14 tu Ngoma lifunguke 🎉🎉🎉🎉 nyie me nampenda nay ❤

  • @antonymngambwa6485
    @antonymngambwa6485 2 หลายเดือนก่อน

    Ile moja kali ya kufunga mwaka.....collabo imetiki hii🔥🔥

  • @touristmorgan4090
    @touristmorgan4090 2 หลายเดือนก่อน

    Msijifanye hamjaona apo kwa uzee nandi kapendeza sana❤❤

  • @TurkanaDigitalMedia
    @TurkanaDigitalMedia 3 หลายเดือนก่อน +2

    SONG OF THE YEAR, FROM KENYA TURKANA Tumekubali

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 2 หลายเดือนก่อน

    Duh nasikia sauti ila ibraah sijamuona😂😂ila kazi nzuri sana kila msanii kafanya nyimbo hiwe nzuri

  • @frankvicent3059
    @frankvicent3059 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wimbo mzuri san

  • @stephanokaluse
    @stephanokaluse 3 หลายเดือนก่อน +15

    Mbna unachelewa jaman hii Ngoma ney mtigo na darasa Niko Zambia wa kwanza like yako

  • @victorndosi5164
    @victorndosi5164 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hili goma nibalaaaaaa🔥🔥🔥🔥💪💯💯

  • @bayumata0816
    @bayumata0816 2 หลายเดือนก่อน

    Mm n mkenya lkn Mr nay uko Sawa tunakukubali hku Kenya Na song zko za kubonga ki true boy😂😂😂😂❤❤fire Mr nay

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 หลายเดือนก่อน +3

    sema uyu jamaa nick crass
    big dirctor yan duh hebu
    paaoneni kipande cha darasa
    halivyo pachezea

  • @JohnnySkani
    @JohnnySkani 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ghetto presidents 💯🇰🇪 approved

  • @franklinannangerald2796
    @franklinannangerald2796 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya 🇰🇪 twatamani Nay ungekua wetu

  • @maghetto8975
    @maghetto8975 2 หลายเดือนก่อน

    Chini ya maji Kenyan musicians, I like this two forever ❤🎉

  • @RaphaelToroka
    @RaphaelToroka 2 หลายเดือนก่อน

    May God continue to bless you with good health, because of your talent, I spoke for our country

  • @mfalmewaghetto
    @mfalmewaghetto 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoma kali sana family

  • @cotton.boe8
    @cotton.boe8 3 หลายเดือนก่อน +20

    hustler kweli mlango wakutoboa mgumu🙏🙏🫡

  • @LeilaNaliaka
    @LeilaNaliaka 2 หลายเดือนก่อน +1

    hii nayo ni mwotoooooooo
    nimeeka repeat mode hady 2025❤💥🌹🔥

  • @Kacharich
    @Kacharich 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndio raisi wetu wa kitaa ❤❤

  • @pascaljoseph1075
    @pascaljoseph1075 2 หลายเดือนก่อน

    Ngoma kali sana ntamaan kusikia ngoma darasa na billnas itufungie mwaka

  • @olivazaituni2440
    @olivazaituni2440 3 หลายเดือนก่อน

    OZUMBA MBADIWE🔥🔥🔥🔥

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nice one 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪

    • @NayWaMiteg
      @NayWaMiteg  2 หลายเดือนก่อน

      Appreciated

  • @Prosamty5778
    @Prosamty5778 2 หลายเดือนก่อน +1

    Music Genius.
    Nay We Mitego kweli❤.

  • @Adika254
    @Adika254 2 หลายเดือนก่อน

    Combination moja kali aisee!!! Respect from 254.

  • @KombeNzaiNicholas
    @KombeNzaiNicholas 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna vita ndogo kwenye hii Dunia💥💥💥

  • @OlivierNduwayo-bm3qg
    @OlivierNduwayo-bm3qg 2 หลายเดือนก่อน

    The hustlers mikono juu🙋

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 3 หลายเดือนก่อน +29

    Nyimbo Kali mno ❤️🦁🇹🇿🔥

  • @Thugzulu
    @Thugzulu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pole kwa wahanga wa kariakoo

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 หลายเดือนก่อน

    The two kings of hip-hop in East Africa, 🔥🔥

  • @DanielKawaya-pe5ox
    @DanielKawaya-pe5ox 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nishabiki kipenzi wa ney kutoka Muji muku kwa kishasha Congo ndihayasi wimbo nimuyaka sana hâta mujoweya ney ivi

  • @TonnleeLwisgon-c6m
    @TonnleeLwisgon-c6m 3 หลายเดือนก่อน +38

    Nakubali kwa niaba ya ma hustle wote dunian kasoro Ruto.

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 3 หลายเดือนก่อน

      Usimtenge, tunasonga nae familia

    • @donlee9992
      @donlee9992 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @DeogratiasRutta
    @DeogratiasRutta 2 หลายเดือนก่อน

    Damn!!! Nay and Darassa just saved Bongo flavour, this is a masterpiece 🔥

  • @dgomabrah2918
    @dgomabrah2918 3 หลายเดือนก่อน +15

    Number one from Kenya

  • @Don_Will.i.am07
    @Don_Will.i.am07 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bro me huwa sielewqgi Ngoma zako ila mabachela na hii duuu we ni kwere... Respect sana kaka .

  • @BONIYI
    @BONIYI 2 หลายเดือนก่อน

    Hi nzuri sana💯

  • @virgosixthemoon9652
    @virgosixthemoon9652 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri sana brother'$ nakubali sana

  • @MycoPeter
    @MycoPeter 3 หลายเดือนก่อน +11

    Tunafunga zetu mwaka kivyo yani🔥🔥🔥🔥🔥🎧

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wa kwanza kutoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿 tujuwane kwa like zenu APA kama una wapenda ney na darassa

  • @kassebo
    @kassebo 3 หลายเดือนก่อน +10

    Bwana Yesu asifiweeee.

  • @AnthonyMjege
    @AnthonyMjege 3 หลายเดือนก่อน

    Noma sana unatugusa sana Mr president

  • @skybay2750
    @skybay2750 2 หลายเดือนก่อน

    Nay..... Kenya....love the fact

  • @EdinaLugano
    @EdinaLugano 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa jama hawajawahi kosea wanatowaga hit songs since day one kama unawakubali weka like zakutosha❤

  • @Blggaming90
    @Blggaming90 2 หลายเดือนก่อน +5

    Team darassa weka like hapa

  • @ndahanisimon6817
    @ndahanisimon6817 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuweke sana Mr Nay uendelee kutuburudisha

  • @erickkinyere9185
    @erickkinyere9185 2 หลายเดือนก่อน

    Bonge la ngoma yanii daah🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @Frenkdaviddavid
    @Frenkdaviddavid 2 หลายเดือนก่อน

    Darasa umu umepigwa vibayaaaaa sanaaa

  • @njambikimotho4825
    @njambikimotho4825 2 หลายเดือนก่อน

    Bonge la Collabo!! Love from Kenya 🇰🇪

  • @FrenqueMauríciometudoMauríciom
    @FrenqueMauríciometudoMauríciom 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa tuonyeshe upendo tumpe mahuwa yake.ni kutoka musumbiji hapa mkowa wa Nampula

  • @Deorashid
    @Deorashid 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilipokuwa katika teenage nilikuwa nakutana na wewe pale Eches Cafe mtaa wa 99 Congo. Ulikuwa bado na JKT Ruvu, uliweza kucheza music instruments zote.

  • @simonlimagur9132
    @simonlimagur9132 2 หลายเดือนก่อน

    Noma Saana. One Love from +254 Headquarters of East Africa

  • @SafayaPlatnum-zz1dz
    @SafayaPlatnum-zz1dz 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsanteni kwa video yenu nzuri
    Kipande cha asubuhi nilikuwa sijakielewa kinahusu nini

  • @Wida-q2k
    @Wida-q2k 2 หลายเดือนก่อน +3

    Xawa bana 😊

  • @KwizeraDiomede
    @KwizeraDiomede 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechelewa kutoka BURUNDI kama umeyipenda nukayiangalia malambili nigonge like

  • @YusufuYusufu-g9l
    @YusufuYusufu-g9l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nay washa kaka n mm yusufu kwa Sasa nipo Mozambique da piga kaz ✊✊✊

  • @DoreenMwakibinga
    @DoreenMwakibinga หลายเดือนก่อน

    Noma sana ngoma kali

  • @tenmangoes49
    @tenmangoes49 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ngoma ni kali sana watu wangu 🔥

  • @alisinoir3348
    @alisinoir3348 2 หลายเดือนก่อน +1

    eeh, jifunze kwa walikosea sije ukawa mfano😊😊

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis 2 หลายเดือนก่อน

    Bonge la goma... Nay🎉

  • @leonardmeshack2661
    @leonardmeshack2661 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huu ni Umeme!! Kama unaamini hawa ma hustler wanajua gonga like👍!

  • @Aimelias-xp7ny
    @Aimelias-xp7ny 3 หลายเดือนก่อน +15

    Kama unamkubali Nay gonga likes apa🎉🎉

  • @blacktopazoba
    @blacktopazoba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huu Mziki ni wa ukweli...ME NI HUSTLER

  • @paulmoshi
    @paulmoshi 2 หลายเดือนก่อน

    Heshima kwenye icons wa real hip pop bongo nimewapenda mmefanya kiutu uzima baada ya bifu la muda mrefu mmeyamaliza kikubwa respect❤🎉

  • @florahmutakyawa9110
    @florahmutakyawa9110 3 หลายเดือนก่อน

    My favorite artist ....hustler 💯

  • @NicholasROMA-h8h
    @NicholasROMA-h8h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nay Kenya 🇰🇪 we love you❤

  • @ruwafuraha
    @ruwafuraha 3 หลายเดือนก่อน

    C mchezo baba...hino ngoma moto..from Kenya 🇰🇪 washen moto tunakesha leo.

  • @FrankMgaya-s3i
    @FrankMgaya-s3i 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama unasema hiingoma nikalii gonga like hapaaaaaa

  • @WadronMusic.LuhyaPresident
    @WadronMusic.LuhyaPresident 2 หลายเดือนก่อน +2

    My big bro .menda wangu

  • @MagufulificationOfAfrica
    @MagufulificationOfAfrica 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kura yangu kwa Magufuli. Gonga like kama umeiona hiyo

  • @esbnabiboyjaguar4763
    @esbnabiboyjaguar4763 3 หลายเดือนก่อน +7

    Oya wazee naomba msikilize mziki wangu pia mina album jamani naomba support

  • @alphoncetz_1
    @alphoncetz_1 2 หลายเดือนก่อน +1

    Moree appreciation wakuu🙌

  • @moshatheprince4714
    @moshatheprince4714 หลายเดือนก่อน +1

    Amna ubunifu wasafi awagusiki nilijua kiba atapita like mbosso kumbe karudia alichoimba skyx

    • @AziziRashid-c4t
      @AziziRashid-c4t หลายเดือนก่อน

      Duu nyagi cyo poa😅😅😅😅

  • @isodonaman254
    @isodonaman254 3 หลายเดือนก่อน

    Ndiooooo🔥🔥🔥🔥💀💀💀💀Oyah mi n hustler haswaa...Sio poa🔥🔥🔥🔥

  • @ShadrackStanley-o2s
    @ShadrackStanley-o2s 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kama nay🎉🎉🎉🎉

  • @bonifacefredrick
    @bonifacefredrick 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu abariki kazi za mikono yetu

  • @Wyseuncle
    @Wyseuncle 2 หลายเดือนก่อน

    This colabo Nomaree sana ,Big up to our brothers in Tanzania for keepin alive Rap n Hip Hop n R&B .Real Hustlers !! Repeat Button is on .The Beat producer on point 100

  • @HarunaHamis-e5v
    @HarunaHamis-e5v 3 หลายเดือนก่อน +3

    Oyaaa Alo Kuja Hapa Akijua Hii Ngoma Kubwa Gonga 5 Tuondoke

  • @ramaboy2390
    @ramaboy2390 2 หลายเดือนก่อน

    Mko na hasira sana mumeamua mwaka tunaruka sio nawaaminia wakuu

  • @saidkhadija7557
    @saidkhadija7557 3 หลายเดือนก่อน

    nakukubali saanaa mwambaa gad bless

  • @saidchaula1947
    @saidchaula1947 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mr ney WAMITEGO wewe ni jeshi unastahili kuitwa jeshi umetusemea sana na unatufia kwa. Kila HATUA uko teyali kupoteza uhai wako kwajili yetu mimi Nakuelewa wewe tu bongo wasanii wengi ni njaa tu Ney Roma heshima KWENU 💪💪💪🙏🙏🙏🌹🌹🌹