Manengo ft.Jaivah,Moni Centrozone, PMawenge, Nacha ,Stamina, Frida Aman - Oyah Mzee (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @ombenijady8409
    @ombenijady8409 9 หลายเดือนก่อน +18

    NYANSUBIIII NDANI YA MBANYUUUU🎉🎉🎉

    • @allysonjohn8578
      @allysonjohn8578 8 หลายเดือนก่อน

      Kawakimbiza sana humuu 🔥💯

  • @nicolaus619
    @nicolaus619 9 หลายเดือนก่อน +8

    Nacha🔥🔥🔥

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 9 หลายเดือนก่อน +33

    Mamanina NACHA kijana toka nyasubi kahama umeua sana

  • @JamesJoseph-bm8ix
    @JamesJoseph-bm8ix 9 หลายเดือนก่อน +39

    Oyaaa wenge nacha nengo naomben like zao hawa wadau🔥🔥🔥

  • @fredrickkimaro1969
    @fredrickkimaro1969 9 หลายเดือนก่อน +4

    Manengo rasta man

  • @fredrickkimaro1969
    @fredrickkimaro1969 9 หลายเดือนก่อน +5

    Malume

  • @dankirunda3368
    @dankirunda3368 9 หลายเดือนก่อน +4

    NACHAAAA 🔥🔥

  • @rahimuhamisi8129
    @rahimuhamisi8129 8 หลายเดือนก่อน +18

    Nacha ,eyoo! Buda like yule rapa wa kesho 😅😅
    P mawenge🎉

  • @ModoTz
    @ModoTz 9 หลายเดือนก่อน +30

    Aliyesikia akitajwa Perci Tau na Pacome like hapa

  • @dunstunnchimbi7994
    @dunstunnchimbi7994 8 หลายเดือนก่อน +22

    P Mawenge ameifanya rap kuwa kakitu ambako hakampi shida. Flow, vina, bars,social consciousness 💯

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 9 หลายเดือนก่อน +104

    Nime jaribu kuacheck Mara 4 kujuwa Nani kauwa nimeshindwa aisee Yaani wote wapo, Ila P the MC mawenge mistari yake ime bezi sana na Kina ho lengo title ya wimbo so kauwa zaidi

    • @goldenartstz
      @goldenartstz 9 หลายเดือนก่อน +3

      mawenge 🙌

    • @forziriyto
      @forziriyto 9 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/EyBLxDK490I/w-d-xo.html uganda remix luga version

    • @edenkipokola2926
      @edenkipokola2926 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ni noma sana🔥
      Kila mmoja kala, katafuna, na kameza mistar yake

    • @istambulkumedo7641
      @istambulkumedo7641 8 หลายเดือนก่อน

      Una sikio nzuri

    • @allencastor7918
      @allencastor7918 8 หลายเดือนก่อน

      P mawenge, nacha, mon🔥🔥 gone deep bruuh, wamechambuwa vizuri mada

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 9 หลายเดือนก่อน +3

    NACHAAA🔥🔥

  • @OfficialSonnyb
    @OfficialSonnyb 9 หลายเดือนก่อน +28

    P mawenge vs Nacha nataka mje na battle yenu 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @allysonjohn8578
      @allysonjohn8578 8 หลายเดือนก่อน +1

      Nacha anapitaa 🔥🔥💯💯

    • @christophermlimila7111
      @christophermlimila7111 8 หลายเดือนก่อน +1

      Itakuwa hatarii san ✊✊✊✊

    • @raphaelchuche6281
      @raphaelchuche6281 8 หลายเดือนก่อน

      humjui p vzr eeeeh ​@@allysonjohn8578

  • @Swagabiz988
    @Swagabiz988 9 หลายเดือนก่อน +13

    Kweli P The Mc Ni Rapper Wa Taifa Ila Nacha Na Stamina Jamaha Wamekomesha

  • @laxmajor
    @laxmajor 9 หลายเดือนก่อน +5

    Goma kali manengo💯💯💯

  • @princelucky5609
    @princelucky5609 9 หลายเดือนก่อน +10

    Nacha umenyosha sana humu nacha umepigaje hapo

  • @HamisiThabiti
    @HamisiThabiti 9 หลายเดือนก่อน +10

    Wazee mmeuwa Sana ila mawenge itabid tukupe mtaa au tukuchongee Sanam kiwalani, Kama vip shushen dude lingine🤸

  • @kingmbiliofficial
    @kingmbiliofficial 9 หลายเดือนก่อน +3

    My favorite rappers 🔥🔥🚨🚨...... bongo noma

  • @Heisfeisalmwema
    @Heisfeisalmwema 9 หลายเดือนก่อน +4

    Stamina, nacha ,weng, frida amani 🔥🔥🙌

  • @oioglorpetermagwi1060
    @oioglorpetermagwi1060 9 หลายเดือนก่อน +9

    Nacha umepigaje hapo…. 🔥🔥

  • @chazzylukumay2059
    @chazzylukumay2059 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mawenge mbaya sana nyongeza nacha ☝️

  • @angelamjumba8792
    @angelamjumba8792 9 หลายเดือนก่อน +3

    Malkia Frida anaendelea ku inspire generation

  • @rubenabel2726
    @rubenabel2726 9 หลายเดือนก่อน +8

    Uwenda hii inaweza kuwa hip hop Bora Kwa sasa mana wamekutana wanahip hop Bora wa kisasa @manengo

  • @TenguAngetile
    @TenguAngetile 2 หลายเดือนก่อน +1

    Toto tundu dg fupi shorwebwenzi🎉🎉

  • @JuniorGaston1203
    @JuniorGaston1203 9 หลายเดือนก่อน +10

    Malume ametisha sanaa👑

  • @GabrielAmede-h8d
    @GabrielAmede-h8d 8 หลายเดือนก่อน +4

    Goma limetembea kote wameua ila stamina moto wa kuotea mbali ndo stering wa rapper walioshiriki kuimba nacha wenge central wote wameua na jaivah kwenye corus ...maua yao tafadhali...🎉🎉

  • @mkinganusu7070
    @mkinganusu7070 9 หลายเดือนก่อน +4

    P mawenge ni level nyingine kabisa kaua sana mistar hadi flow jumlisha ujumbe husika....

  • @issadunia-h3r
    @issadunia-h3r 9 หลายเดือนก่อน +5

    Reo nimekua wa mwisho Ila sio mbaya kama una ikubali hii ngoma gonga like hapa

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 9 หลายเดือนก่อน +9

    Sikutegemeya kama #Nacha anauezo kama huu.bro tukitowa stamina, ww umeua
    #NACHA umepigaje apo💪🇧🇮wakukome😂😂😂😂

  • @FredrickKimambo
    @FredrickKimambo 8 หลายเดือนก่อน +4

    Bonge Moja la ngoma beat Kali kolasi yamoto San, nmependa idea yakumuwek mtot wakike Frida amani mm namfananish na Dej loaf umu kaumiza San....nimerudia ngoma mar mbil nmepat wakat mgum San kujua Nan wakwanz mpak wa mwisho maan wote wamepita vizr nafikir kwasab ya beat Kali inaleta Radha na vionjo vikali San....binafsi nmependa flow za nacha na p mawenge bila kuwakosea heshim wngn maan wot wamepita vzr ila hao wamenivutia Zaid....all in all kazi nzr ❤ congratulations nying kwa Mr T tachi 🔥 🔥

    • @OCHUMASIHI
      @OCHUMASIHI 8 หลายเดือนก่อน

      Aisee hy mtu uliomtaja dej loaf mby sn hy kiumbe aisee

  • @jafarymdegela2730
    @jafarymdegela2730 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nacha ameua sana 🥊🥊🥊🥊🥊

  • @joahmkaka1295
    @joahmkaka1295 9 หลายเดือนก่อน +2

    Maluuuuuuume 🔥 🔥 🔥 nomaaaaaa

  • @davidochieng4479
    @davidochieng4479 8 หลายเดือนก่อน +2

    Khaligraph kawafufua banaaa vitu kama hiziii ndio tulikua tunatakaa tulimiss vaibu kama hiziii freshh kabisaa big up eanyamweziiii chidi yu wapiiiìiii😂😂

  • @jumazahoro3537
    @jumazahoro3537 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ila nacha na p mawenge shenzi nyie watoto🔥🔥🔥

  • @Man_Freja
    @Man_Freja หลายเดือนก่อน

    Humu ndani hakuna mzembe duuh mmelipua sana huu mlipuko

  • @paulbonchallo8742
    @paulbonchallo8742 8 หลายเดือนก่อน +3

    Pmawenge,Nacha,Frida,shorobwenz,na mwenye chorus Yake AWEEEEEEEEEE 🔥🔥🔥

  • @Mwanaumewazamani80s
    @Mwanaumewazamani80s 9 หลายเดือนก่อน +4

    Majengo sokoni🔥🙌🏻

  • @agnessnkandi5229
    @agnessnkandi5229 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kama umeskiliza vizuri Kila mtu. Kaongelea kuliwa tako japokua kwa namna tofauti

    • @eliudntagalinda8079
      @eliudntagalinda8079 8 หลายเดือนก่อน

      Kasoro shorobwenzi na madam president

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mawenge na nacha ni noma

  • @AdamOmary-e9m
    @AdamOmary-e9m 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mumekuwa mgemuweka tena dizasta vina ndio munge kubali🎉

  • @allyngadali4255
    @allyngadali4255 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nachaaa umeua

  • @JoSmart-uy4vd
    @JoSmart-uy4vd 8 หลายเดือนก่อน +3

    p mawenge umeua sana🎉

  • @AwardBillb000ard
    @AwardBillb000ard 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mawenge Hana Muda wa kujisifia wakati anataka kuwapa ushauri 😂 dah Wazee wamesikia Mr Mawenge

  • @dishangib
    @dishangib 8 หลายเดือนก่อน +4

    Banger Hit Noma 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

  • @rachelmikey5493
    @rachelmikey5493 หลายเดือนก่อน

    Nauliza manengo ndo bando mc au ni ndugu au mi naona vibaya

  • @ErickiFericki
    @ErickiFericki 4 หลายเดือนก่อน

    P mawengeee ndo kauwaaaaaa Sanaaaa, dah hii ni bonge la gomaa

  • @wakijivu8562
    @wakijivu8562 9 หลายเดือนก่อน +2

    Oyaa weeeh mie shabiki wa p mawenge ila nacha Manina zako 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Kelikenya
    @Kelikenya 2 หลายเดือนก่อน

    Mfanye tena kama hiiiiiii tumemissss viiiibe

  • @jamespilimo8986
    @jamespilimo8986 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee mmeuwaaa,mpk sijui Nani kafunika bonge la ngoma

  • @godfreylalida3521
    @godfreylalida3521 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenge kaua sana hajaenda nje ya Topic ....100% ...wengine wameingia na kutoka ..Mwenge the Killer

    • @OCHUMASIHI
      @OCHUMASIHI 9 หลายเดือนก่อน

      Tuko pa1 umeona km mm waliopiga verse ya mwisho kimtindo wameikimbia topic

    • @michaelmlingi479
      @michaelmlingi479 9 หลายเดือนก่อน

      ila stamina kzngua kinoma
      katoka nje ya mada

    • @OCHUMASIHI
      @OCHUMASIHI 8 หลายเดือนก่อน

      @@michaelmlingi479 wee unajuwa mzk utackia kima zngne zinakuja kuandika kelele hapa

  • @amashamahenge3308
    @amashamahenge3308 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kabla sijamaliza wimbo nacha is unstopable

  • @negredorapha7591
    @negredorapha7591 9 หลายเดือนก่อน

    Ebhnaaaa🌹🌹🌹🔥🔥🔥🎤🎶🌎🌎FRIDAA AMANII.. 🌹🌹ALL IN ALL H. O. P🌎🌎💸💸💸💸💸💸MZEEE ATULIZEEE TYU.. MAWENGEEE.. P. THE MC.... 💸💸💸💸🔥

  • @KingDada-cn9rg
    @KingDada-cn9rg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Oya Mzee Ni Ngoma nkali kabisa ✌️✌️✌️✌️

  • @Chelar_haule
    @Chelar_haule 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kubababakeee NACHA umoooooo

  • @-magicstory
    @-magicstory 9 หลายเดือนก่อน +1

    Long live nyasubi ndani ya mbanyu .....kanda ya ziwa manegani kwako mzeee🤝👽

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 9 หลายเดือนก่อน

    Mawengeee

  • @PaschalMumwi
    @PaschalMumwi 3 หลายเดือนก่อน

    nacha na stamina ft Farida wametisha sana

  • @mohamedslh5478
    @mohamedslh5478 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ka kipapa ka kiafande unashindana na berger wakati ni makande 🔥 🫡🙌

  • @amanimushi4052
    @amanimushi4052 9 หลายเดือนก่อน +1

    P mawenge na nacha wameuwa sana humu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @amosramjaane314
    @amosramjaane314 8 หลายเดือนก่อน

    Mawenge 🙌

  • @farijjmohammed7723
    @farijjmohammed7723 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii chorus ndio kali salute sana mwamba Jaivah

  • @yussufamour9979
    @yussufamour9979 9 หลายเดือนก่อน

    Wazimu asa❤

  • @kadito-music
    @kadito-music 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wanangu wa amani mumeua sanaaaa🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺

  • @verdianmwakibete7933
    @verdianmwakibete7933 8 หลายเดือนก่อน

    Aisee this trap music 🎶 good 👍 iko na content kali .....wazee hakun kukaa ghetto bila pesa qfuu malengo ...shouts sana kwenu

  • @GivenFarasi
    @GivenFarasi 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nacha+wengeee noma sanaaaaa

  • @ExpeditoMnozyahalinga
    @ExpeditoMnozyahalinga 9 หลายเดือนก่อน

    Mbn malume zaiiiid🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 9 หลายเดือนก่อน +2

    P mawenge amefanya niuelewe huu wimbo!

  • @meshack2559
    @meshack2559 8 หลายเดือนก่อน +1

    Saut ni kubwa mnoh!!! Kijiji kimesikia na kimeitika!!! Hip hop

  • @nathanmurithi01
    @nathanmurithi01 9 หลายเดือนก่อน

    Frida Amenipa Amani Sana❤️❤️.. Kanata Maua Yako Mummiiee🎉🌹

  • @edespeterson349
    @edespeterson349 9 หลายเดือนก่อน +2

    Me legend so msiniweke kwenye list ,😁🙌🏳️ STAMINA

  • @BoniphaceCosta-kd2yw
    @BoniphaceCosta-kd2yw 9 หลายเดือนก่อน +2

    Gomaa lakwenda

  • @AnnaMtakwa-y4q
    @AnnaMtakwa-y4q 21 วันที่ผ่านมา

    Malumeee sikupingi baba

  • @verdianmwakibete7933
    @verdianmwakibete7933 8 หลายเดือนก่อน +2

    Frida amani dada umekiwasha ..ndio first nakusikia ila uko na talent aiseee

  • @lusekeloeliud4105
    @lusekeloeliud4105 9 หลายเดือนก่อน

    Hatar sanaa🔥🔥

  • @dmk126
    @dmk126 9 หลายเดือนก่อน +9

    Nacha kaua sana na p the MC pamoja na moni alfu Kuna anajiita God😂😂 mtu mfupiii

    • @mohamedsalum591
      @mohamedsalum591 8 หลายเดือนก่อน

      Ni got usialibu maana

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nyasubiii Stand Uuuuuuuuuup 🙌

  • @Jordan-ov4yc
    @Jordan-ov4yc 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nengoooo mkuyun in the house

  • @Heartbrown1
    @Heartbrown1 9 หลายเดือนก่อน +2

    Oya mzeeee

  • @erickbwai4123
    @erickbwai4123 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nacha, Mawenge na stamina, mmeua

  • @Master_Mind47-q8o
    @Master_Mind47-q8o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nacha na Mawenge wameua sana🔥🔥🔥

  • @Koffian.254
    @Koffian.254 9 หลายเดือนก่อน

    Mmeua sana humu wanangu😇

  • @BongoZaKitambo55
    @BongoZaKitambo55 9 หลายเดือนก่อน +1

    Noma sana Vijana wangu

  • @JeronimoSimon65
    @JeronimoSimon65 8 หลายเดือนก่อน +1

    I like the fact that kila mtu ame show up kwenye video. Bonge moja la joint 👊👊👊 Oya wazee

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 9 หลายเดือนก่อน +6

    P mawange hajawai kosea i seh😁

    • @JamaliJuma-w8d
      @JamaliJuma-w8d 7 หลายเดือนก่อน

      Farida mdada Amna Alomshika kaua sna

  • @fredrickkimaro1969
    @fredrickkimaro1969 9 หลายเดือนก่อน +3

    N A C H A

  • @geofreymahally7115
    @geofreymahally7115 9 หลายเดือนก่อน +1

    oya mzee hii ni bonge moja la anthem....respect broh

  • @FranceMwasamila
    @FranceMwasamila 3 หลายเดือนก่อน

    Nacha na Frida ni fireeeeeee

  • @erickrabison
    @erickrabison 8 หลายเดือนก่อน +1

    sina budi ni appreciate wote walioshiriki kwenye huu mkwaju👏

  • @Edgar254thekritik
    @Edgar254thekritik 9 หลายเดือนก่อน

    Kenya we respect you guys keep up

  • @MajayNamwene-v5s
    @MajayNamwene-v5s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah nacha na p mawenge mmeuwa sanaa

  • @AbdalahAbbas
    @AbdalahAbbas 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jaival iyo sauti tuanze kuilipia sasa maan tayari umebobea oyaa mzeeeeeeyaaa

  • @biggerboy6466
    @biggerboy6466 8 หลายเดือนก่อน +4

    marumeeeee 👏👏

  • @frankvicent3059
    @frankvicent3059 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wote wanangu sana nawakubali👍

  • @YusufuTomas
    @YusufuTomas 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wote wa nangu lakini mawenge utabaki juu kwa hapa kibongo bongo unajuwa mzee baba

  • @lilwizzy-xi1ms
    @lilwizzy-xi1ms 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nacha mzee wa mifuniko🔥🔥🙌

  • @qushymalo552
    @qushymalo552 9 หลายเดือนก่อน +1

    P mawenge kawatuliza mawenge humu ndani😂🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KINGKEYBEATBEREGEONLINET-jk6sf
    @KINGKEYBEATBEREGEONLINET-jk6sf 4 หลายเดือนก่อน

    Watoto wa chitemo watoto wa berege🔥🔥

  • @AllyMpakani
    @AllyMpakani 9 หลายเดือนก่อน

    Oyaaaaaa mzeeeeeeee🔥🔥🔥

  • @fabiantanzania5795
    @fabiantanzania5795 9 หลายเดือนก่อน

    Aweeeee jaiva

  • @hoardnhills646
    @hoardnhills646 9 หลายเดือนก่อน +1

    Every bar is lit🎉🎉