Onyesha kiu,pata utulivu halafu soma sana neno la Mungu hasa kwa habari ya kusikia sauti ya Mungu soma maandiko yanayohusu watu walisikiaje kutoka kwa Mungu,japokua kusikia ni kwa neno,ndoto maono na pia watu. Mungu akufanikishe
Yote hayo juu ni kweli ni majibu sahihi lkn cha msingi kabisa Mungu huongea na mtu kwa ndoto na maono ya wazi kupitia roho mtakatifu hvyo jitahidi kuchochea ujazo wa roho mtakatifu ndani yako ajae na kufurika ndipo utaanza kuona na kuskia Mungu akiongea nawewe
Rudia kwa sauti na kwa Imani maneno yafuatayo; BWANA YESU, NINAAMINI YA KUWA WEWE NI MWANA WA MUNGU, NA YA KWAMBA ULIKUFA MSALABANI KWA AJILI YA DHAMBI ZANGU, UKAZIKWA, NA SIKU YA TATU MUNGU AKAKUFUFUA KUTOKA KATIKA WAFU, NA SASA U HAI MILELE. NA SASA NINAKUKIRI WEWE YESU KRISTO YA KUWA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Kwa sala hiyo fupi, kama umetamka kwa Imani, basi umeokoka kwa Jina la Yesu. Misingi wa sala hiyo ni WARUMI 10:9. Sasa unaweza kujiunga na Kanisa lolote la watu waliookoka lililopo jirani nawe ili upate kujifunza kuabudu hapo na kuukulia Wokovu. Mungu akubariki sana
BWANA YESU KRISTO akuhifadhi na kukutunza baba!
Ubarikiwe sana
Mungu nasema kweli nilihudumiwa nikiwa duniani❤❤❤
Ameen Baba yetu uishi milele na amani ya kristo ikutawale Hata hauzeeki baba kweli kwa Yesu raha
I feel blessed.... Mungu akubariki mtumishi wa Mungu🙏
Asanteni baba!! Ila ningelipenda nijuwe habari hizo za yusufu kupitiya mashairi , kama iwezekanavyo
Amen 🙏🙏🙏 Niko tiyari kufundishwa na wewe Mungu maana Mimi sio wa kawaida
Amina baba,kunajambo kubwa sana nmepokea
Ameen napokea hili neno kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth, Ubarikiwe Mwl Mwakasege kwa ujumbe huu
Amen mwalimu
Amina
Mungu azidi kukutunza baba kwa kweli moyo wang wamtukuza Mungu kwaajili yenu
Mungu azidi kukutunza na timu yote ya mana
Amina baba Mungu akutunze na mama na familia pia
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ameen
Amen
Asante Baba...tunakupenda🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe baba etu
Hakika ni maomb yetu na machoz yetu Mungu azidi kuwatumia kama alivy kusudia nami kila ninapo waona nasikia machoz ya furaha kwaajili yenu🙏
Amen powerful man of God
Ee Mungu nisaidie nitofautishe na wengine kwa uwezo
Hakika Mungu aendelee kukutunza na kukubariki Mwalimu wa neno la Mungu
Ameen baba
Najiungamanisha kwa jina la yesu.
Haleluyaa! Mimi si wa kawaida.
Amen man of God
Mungu tunaomba rehema
Holy spirit take control of my everything
Amina Amina🙏
Ee Mungu nakuomba nifanane na wewe ,nisafanane na Mtu yeyote
Mungu akutalie mbele kama musa
Amen baba 🙏
Amina mwalim 💯🙏
Be blessed baba
Glory to God 🙏🏾
Amen baba
Hapo kwenye kusikia sauti na maelekezo ya Mungu ndio napata shida. Nasikiaje?
Muonyeshe MUNGU kuwa una kiu naye zaid na zaid hawez nyamaza
Mungu anaongea na wewe kwa 1. Neno lake 2. Mawazo yako 3. Ushauri wa watu wanaokuzunguka 4. Ndoto
Onyesha kiu,pata utulivu halafu soma sana neno la Mungu hasa kwa habari ya kusikia sauti ya Mungu soma maandiko yanayohusu watu walisikiaje kutoka kwa Mungu,japokua kusikia ni kwa neno,ndoto maono na pia watu.
Mungu akufanikishe
Fuatilia hbr za Petro alipokosa Samaki, aliambiwa ....tweka kilindini
Yote hayo juu ni kweli ni majibu sahihi lkn cha msingi kabisa Mungu huongea na mtu kwa ndoto na maono ya wazi kupitia roho mtakatifu hvyo jitahidi kuchochea ujazo wa roho mtakatifu ndani yako ajae na kufurika ndipo utaanza kuona na kuskia Mungu akiongea nawewe
Hakika Mungu ni mwema
Amen baba😂😂❤❤❤
Ameen!
Ameeen
Haleluya🙏
Amen Amen Amen 🙏 🙏 🙏
Ee,Mungu naomba unisaidie nisifuate mkumbo wa wengine
Ameen ameen,
Amen❤
YESU asifiwe, semina inayofuata baada ya kahama ni wapi?
Amen 🙏
ubarikiwe mwalimu 0:42
Amen Amen
Amen amen amen amen ameeeeeeeennnnnn
❤❤❤❤❤❤❤
Amen baba😂❤
Oh mm niwatofauti
🤲
1
Mimi niwatofauti... 4:18
Chuo kiteule
Duu hii imekaa mhalipake
Mm natamn sana kuokoka😂jmani
Amua Sasa maana sa ya wokovu ni Sasa.
Rudia kwa sauti na kwa Imani maneno yafuatayo;
BWANA YESU, NINAAMINI YA KUWA WEWE NI MWANA WA MUNGU, NA YA KWAMBA ULIKUFA MSALABANI KWA AJILI YA DHAMBI ZANGU, UKAZIKWA, NA SIKU YA TATU MUNGU AKAKUFUFUA KUTOKA KATIKA WAFU, NA SASA U HAI MILELE. NA SASA NINAKUKIRI WEWE YESU KRISTO YA KUWA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU.
Kwa sala hiyo fupi, kama umetamka kwa Imani, basi umeokoka kwa Jina la Yesu. Misingi wa sala hiyo ni WARUMI 10:9. Sasa unaweza kujiunga na Kanisa lolote la watu waliookoka lililopo jirani nawe ili upate kujifunza kuabudu hapo na kuukulia Wokovu.
Mungu akubariki sana
Amen
Amina
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen