Dada Layla maashaallah Allah akuongoze hii ndo dini ya haki dini pekee inayoamini vitabu vinne zaburi,taurat,injili na Qur'an bas mwenye macho ataona na mwenye akili niyule anayeutafuta ukweli katika uvitabu hivi .stara mzuri funika mwaya kichwa na mwili wako hata mamaake yesu kavaastara kichwa chake hakipo wazi Ni wazi kua waislam tunamuenzi na kumuiga vyema bas mwenye kuchanganua achanganue karibuni katika haki amina
SubhanaAllah,Katika mfumo WA kiimani ni Kua Kama wewe ni mkristo alafu uwe na Shaka na Imani yako ujue Huko mbali kuijua haki,na Muislamu Ukishakua na Shaka na Dini yako ujue Umekufuru basi Unahitajika kutamka Shahada, Allah Amuongoze na Aongoze na Wengine waweze kuijua haki.
Shekhe wangu we huwa unafanya kazi kubwa sana juu ya uislam na mie kama muislam hilo nalikubali kutoka moyo but ulitaka kujivunjia heshima sana kwenye ile ishu ya Dr Mwaka ahsante sana mungu azidi kukuongoza akulinde akupe uhai mrefu
Hongera sana kipenzi Kwa kuchagua dini yakweli na dini ya haki ALLAH akuongoze, katika kher, na wengine waingie makundi makundi kuifata haki ya ALLAH, hongera sana kipenzi,
Ndg yangu Leyla asalaam aleykum warrahmatullah wabarakatuh nakuombea kwa mwenyezimungu akujaalie ushike njia sahihi ambayo ni dini ya uislam na uepuke na Vista wishing vya kidunia na vya kishetwani na ujaaliwe kupata mume mwema na ujaaliwe pepo ya firdous
Aww dada congratulation Allah akulinde naakupe kila kheir hapa duniani na akhera akuruzuku mume mzuri mca mungu na awape watoto wema pia mwisho mwema djazak'Allahu kheir
Asalam aleikum. Mwanangu. Mimi nasema pongezi pongezi pongezi Sana Kwa kuona Nuru Na Dini ya haki. ALLAH akujaalie uzidi kutafuta haki Na uendelee kusoma kwani masomo Haya mwisho haswa haswa Kwa masomo ya Dini. TAKBIR TAKBIR TAKBIR ALLAH AKBAR. INSHALLAH SHUKRAN SANA PONGEZI TENA
Nakuombea Kilalakheriy Allah Akujaaye Uwe Mwenye Kuamini Nakufata Uslam Umepata Fursa Nzuriy Sana Kwahiyo Uko Mweupe Huna Dhambia Kuaanzia Sasa Ulipo Slim Kwahiyo Allah Akujaaliye
Dada Layla maashaallah Allah akuongoze hii ndo dini ya haki dini pekee inayoamini vitabu vinne zaburi,taurat,injili na Qur'an bas mwenye macho ataona na mwenye akili niyule anayeutafuta ukweli katika uvitabu hivi .stara mzuri funika mwaya kichwa na mwili wako hata mamaake yesu kavaastara kichwa chake hakipo wazi Ni wazi kua waislam tunamuenzi na kumuiga vyema bas mwenye kuchanganua achanganue karibuni katika haki amina
SubhanaAllah,Katika mfumo WA kiimani ni Kua Kama wewe ni mkristo alafu uwe na Shaka na Imani yako ujue Huko mbali kuijua haki,na Muislamu Ukishakua na Shaka na Dini yako ujue Umekufuru basi Unahitajika kutamka Shahada, Allah Amuongoze na Aongoze na Wengine waweze kuijua haki.
Karibu Dada Katika Uislamu Allah Akuongoze Katika Njia Ya Swiratu Limstakhimu.
Mashaallah barakallah Jazakallah kheri Mola akujalie sheikh wetu na muongoze dada wetu pamoja nasisi waumini wakiislam katika siratulmustakin
Welcome to Islam sister me too. I asked Christian Danny👀👂🏽🇨🇩 years ago.
Mashallah. Dad yangu Allah atufanyie wepesi ktk hrakti zako za julingania dini ya kiislam
Mashaallah mungu akuzidishie akubarik karibu katika wislam
Mashaalwaa M mungu akutangulie mbele kwa kila jambo
Shekhe wangu we huwa unafanya kazi kubwa sana juu ya uislam na mie kama muislam hilo nalikubali kutoka moyo but ulitaka kujivunjia heshima sana kwenye ile ishu ya Dr Mwaka ahsante sana mungu azidi kukuongoza akulinde akupe uhai mrefu
Ucshutuke na jina hlo juu apo mm ni muislamu naitwa muhammed
Mashaallah Kheri
Allah akupe stara ya Dunia na akhera. Ameen.
MashaAllah Mwenyezi Mungu akubariki sana na aendelee kukuongoza katika maisha na utii wa Allah na dini ya kiislam kwa ujumla.
Mashaaallah karibu ktk uislam
Masha allah mungu akuongoze dada
Karibu sana dada katika njia ya haki mwenyezi mungu akulipe InshaAllah nakupenda sana
Masha Allah Allah akujalie kila la kher karibu sana kwenye dini y kweli
Maashaallaah maashaallaah karib dada hakika hujapotea umechagua njia ilionyooka allaah akutangulie inshaallaah
Inshaallah munguakuongoze
Maa Shaa Allah Tabarakallah ❤❤❤❤❤❤❤
Masha'Allah TabarakaAllah
Takbir Allah akbar karibu kwenye dini yahaki dada,Mungu akuongoze na akujalie kila lakheri insha'Allah.
AllahuAkbar
@@vklhkhjji8070 dini ya majini hiyo, Quran suratul al jinn
Kasome Luka 18:9 na 18:4
@MlagalajumaMaziku ok sawa ngoja nisome
Hongera sana kipenzi Kwa kuchagua dini yakweli na dini ya haki ALLAH akuongoze, katika kher, na wengine waingie makundi makundi kuifata haki ya ALLAH, hongera sana kipenzi,
@@mwanaharusmohd3732 hakuna dini ya kweli hapo ndugu,soma Qur'an suratul al jinn, uone dini ya majini
Ndg yangu Leyla asalaam aleykum warrahmatullah wabarakatuh nakuombea kwa mwenyezimungu akujaalie ushike njia sahihi ambayo ni dini ya uislam na uepuke na Vista wishing vya kidunia na vya kishetwani na ujaaliwe kupata mume mwema na ujaaliwe pepo ya firdous
mashaAllah...dada Allah akupe Killa l kher...hata mm nilikuwa.mkatolic roman...nilisilimu 18yrs
Hongera san San san
Ma shaa Allah
Karibu katika dini ya haki huu ndo ukweli harisi ata mimi nimefurahi mwenyezi Mungu akuongoze kwenye swiratumustakimu
Maa shaa Allah
Mashall tabaraka rahman
Maa shaa Allah Maa shaa Allah... Hongera Dada. Allah Azidi kukuongoza..
Ma Sha Allah umependeza sana Dada Mwenyezi Mungu akuongoze katika uislam
Mashaa Allah Takbiiirrr
Mungu akuhifafhi dada wew❤❤❤
Masha'allah ❤❤❤
MashaAllah MashaAllah Mabrook Mungu akujalie kheri Islam ni dini ya haki watu wakitumia akili zao vizuri wataujua ukweli
Alhamdulilaa mashaallaa baraka Allah
Manshallah mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema
ManshaAllah Karibu ktk Dini ya haki dada Leila, Allah akuongoze InshaAllah
Masha allah mwenyezi mungu amuongoze dada yetu katika haki
Mashaaa Alaaah.
Mashaallah mashaallah lea kwa Leila mungu akupe wepesi inshallah Allah uwe mchangu zaidi yakesho
Allah akuongoze dada angu akusimamie katika changamoto unazopitia in shaa Allah
Mashallah Allah akuzidishie Imani na utulivu wa nafsi
Maashaallah Mungu akupe mwisho mwema huislam haungopi Mungu atakusaidia
Maashallah Allah akujaaliye ilmu ya kiislam.
Mashallah sister❤
Sub-hana llah Allah akujaalie kheli ktk maisha yako hapa dunian mpaka akhela
Hongera sana mdogowangu karibu sana kwenye dini yahaki natamani nipate nambayako ili tuunge udugu wa dini maa shaa Allah
Mashaa'llah M'mungu amuongoze katika njia ya kheri
Masha Allah, Allah Ambarik ❤
Dada yangu hongera sana Allah akufanyie wepesi katika maisha yako Amina
Mashalla dada karibu mungu akupe mume mwema mwislam ❤
Mansha Allah 🙏❤
Takbiriiiiiiiii
Allah Akbar......
@@sinarahaissa7927 takbiriiii dini ya majini, Quran suratul al jinn
Hongera sana dada hapo ulipo ikitokea mungu kakuchukua unaenda peponi moja kwa moja
Hongel Allah hakufanyie wepes
Dada Allah akuongoze mpaka mwisho wa maisha yako.
MashaAllah ❤
ALLAH ubariki 🙏🙏
Karibu katika uislamu. Allah akuongoze, akupe uchamungu.
Mashaallah mungu akupe nguvu karibu sana ktk dini ya haki
Mwaipopo una jitahidi sana Mungu akuuongoze
Mashallah Allah akuongoze
YOHANA 3:3 "Yesu akajibu, akamwambia,Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kukuona ufalme wa Mungu!".
Et Yesu si Mungu, wala si mwana wa Mungu. Amemkana Bwana wa uzima.
Unaminisha nn kuzaliwa mara ya pili kwamba Leyla kakosea kuslimu ama
Endelea kubaki nayohana wako
Siyo kukuona kuwona ufalme
Haujui Ukristo,na hajasoma Theology yoyote,labda biblia
Mashaallah dada mungu akupe maisha marefu na mwisho mwema
Welcome sister !!!
Allah akupe kila la kheri na akuzidishie elimu!!!
Mashallah ❤
Mwenyezi mungu akufanyie wepesi katika dini ya haki
Sheikh, Alhamdulillah🤲, Mawaidha yako muruaa 👍Allah akujalie kila la heri. Na amjalie huyo dada yetu, aliyejitambua, kufuata Dini ya haki ya Allah👍
maashaallah samahani sana naitaji nimuowe uyo dada ili astilike zai ishaallah
Allahmdulillah allah akujalie mwisho mwema
Mungu amujalie dada wetu amupatie umur mulefu sana
Masha Allah dadaangu karibu ktk uislam na hakika waislam sote ni ndugu
Allah akuongoze na Kusamehe dhambi zako
Takbir Allah Akbar karibu dadangu kwa dini ya haki Allah akupngeze na karibu kwa hii dini ambayo Allah Amehiridhia nakupenda dadangu
Mashalaah! Mungu akuongoze dada yangu
Mwenyezi Mungu awape kila la kheri ya rabb
Mashaallah
Allah tuongeze ktk haki!!
Mashallah Allah Akbar ❤
Mashaallah Allah akufanyie wepsi
Aww dada congratulation Allah akulinde naakupe kila kheir hapa duniani na akhera akuruzuku mume mzuri mca mungu na awape watoto wema pia mwisho mwema djazak'Allahu kheir
Allah akujaalie kila heri kwenye safari yako ya kuw muislamu dada leila akubariki
Allah akujalie akupe maisha marefu na upate halali yako
Allah akuzidishie kheri na baraka, Katika maisha hapa Dinian na akhera
Mashaallah mashaallah Allah akujaalie ufike salama inshallah ktk njia njema ktk dini ya haki
Alla amjaalie alete na nduguzake isha allah
Asalam aleikum.
Mwanangu. Mimi nasema pongezi pongezi pongezi Sana Kwa kuona Nuru Na Dini ya haki. ALLAH akujaalie uzidi kutafuta haki Na uendelee kusoma kwani masomo Haya mwisho haswa haswa Kwa masomo ya Dini.
TAKBIR TAKBIR TAKBIR ALLAH AKBAR. INSHALLAH SHUKRAN SANA PONGEZI TENA
Karibu sana dada leila john
Mansha Allah Tabarka Rahman Leila ahalani wasahalan Allah akuripe kila lakheri
Mashallah mashallah Allah akujalie njanna pamoja na sisi umekuja kwenye dini sahihi kabisa ni dini ya ukweli
Mashallah Allah akuongeze katika njia iliyonyooka
Mashaalah
Jazaakallaahulkhairi daleyla
Mashaallah Allah amruzuku afya njema na umri mrefu wenye manufaa Allah akusimamie na akuongoze kwenye dini ya haki dini ya Allah hongera sana ❤
Mashallah tabarak allah karibu kwenye dini ya haki dada ❤
Nakuombea Kilalakheriy Allah Akujaaye Uwe Mwenye Kuamini Nakufata Uslam Umepata Fursa Nzuriy Sana Kwahiyo Uko Mweupe Huna Dhambia Kuaanzia Sasa Ulipo Slim Kwahiyo Allah Akujaaliye
Vazi limekupendeza sana dada.mungu akuongoze sana sana.ishaalah amin
Vazi la nje alimpeleki mtu mbinguni Bali utu wa ndani
Na utu pia haukupeleki mbinguni isipokuwa amali yako tu
Hongera sana dada karibu ktk din yetu
Mashalha hallah akujalie dada yangu Layla upate mume msomi anaejuwa vizuri dini ya uislam.
Masha Allah mungu akuongoze dd
MashaAllah mwenyezi mungu atuongozee bidada
Mwenyezi mungu akufungulie milango ya iman inshallah
Mashallau karibu peponi
Allah akuzidishie, na akufanyie wepesi katika kila jambo. Umefanya maamuzi sahihi..
Allah akuzidishie. Fika Alharamain Sc. Sch. Pale kila jimapili kuna darsa la Kiislam.
Mashallah Allah awazidishie kheri in Shaa Allah