Maashaallah ukhty wangu nmekupenda kwa ajili ya Allah taala kwa hakika umetoa somo zuri sana Allah akuhifadhi ukhty wetu na akusamehe ulipokosea amiiin allahumma amiiin
*📌Maoni ya kwanza,...naonelea nguo ya kumuoshea maiti, isiwe cotton, bali iwe ya mpira / nylon. Itakua rahisi kwa waoshaji na yeye maiti. Hata ikichafuka, nylon ni rahisi kuiosha na ku recycle. Lakini cotton ikiingia maji kama tulivyooneshwa **22:35**, itawapa waoshaji na maiti tabu kisha kubadilisha tena mara ya pili, na pia itamuonyesha uchi wake maana inashika mwili. Ikiwa washonaji wataweza kushona kama raincoat isiyokuwa na mikono kama nguo za hospital itakua bora. Maoni ya pili,... Pia kitanda cha kumbebea maiti kinafaa kitengenezwe cha chuma. Chuma ni durable. maana mna maiti wanene na mbao huweza kuvunjika. Niliona video ambayo mbao ilivunjika na kidogo kimtupe maiti. Maoni ya tatu,...Waoshaji wanapovaa gloves, wavae pia mask, gumboots, na manila apron. Nataraji tutayazingatia maoni haya. Shukran* ❤
Allah atupe husnulkhatima na qaulu thabbit,shukran sister asya Allah atupe fahamu mzuri tunapofikwa na msiba tusiwe ni wenye kuchanganyikiwa upande wa kustiri wenzetu,jazakumullahu khayran.
Jamani mi naona si vibaya kama alivyosema mwenzetu tutajitahidi kujirekebisha tunapokosea ingawaje hatukumaanisha vibaya bt tutatumia ukhty ama dada turudi kwa utamaduni wetu na dini yetu,shukran
Alhamdulillah MashaAllah Tabaraka'Allah shukran sanaa kwa somo zuri la dino,Allah akulipe khery Duniyani na kesho akheera, Allah atujaalie mwisho mwema ya rabby tuwe miongoni mwa watu wema tukutane peponi na kipenzi chetu mtume mohamad s.w.a.
Jazzakkah Allah kheir dadangu.umefanya jambo lisilo fanywa na wengi.somo hili ni muhimu sana waama kwa wale walio silimu na wapo maeneo ya bara.nipo sehemu za bara maeneo ya Lugari,mbali na kuwa misikiti ni michache elimu hii niadhimu.
Subhaan Allah 😭😭😭 yaraaaab tunakuomba tujarie mwisho mwema Amiiin thum Amiiin kwasote yaraaaab shukran san dada Naweza kuipata iyo krep samaan naomba kuipata nataka nitumie kwa familia yangu samaan sana
Shukran for sharing this clip. alhamdulillah i have learnt quite a number of things and the reasons behind them. subhanallah.... mwisho mzito sana huu. Alllah asituchukue ile ameridhika na sisi, na awarahamu wenzetu walotangulia mbele za haki... Allahumma ameen.🤲
Assalamualaikum Allah akulipe kheri dada kwa nia yako ila tumia jina ukhty Asia au dada badala ya sister Asia hili jina la sister wanatumia sana wagalatia
Waaleikum msalam warahmatullahi wabarakatu mamangu katika iman shukran sana wallahi jazaa yako.kwa Allah utaipata,,yani nmefurahi kujua kukufini maiti kwan najua kumswalia ila sikua najua anavyaoandaliwa hadi kufikia kwa swala,,shukran sana jazakallahu kheyr
Masha Allah dada Asia somo zuri sana 🎉na nilamaisha yetu sote tunapitia haya.allah akubarik ❤na atujalie mwisho mwema 🤲
😢😢😢 mashaallah mama umetupa ukumbusho nzuri mungu atujalie kila la heri
Shukran Jazzakkah Allah kheir, vzr sana mama kutukumbusha na nimejifunza kitu kimoja likua sijui nimejulia kwako
Maashaallah ukhty wangu nmekupenda kwa ajili ya Allah taala kwa hakika umetoa somo zuri sana Allah akuhifadhi ukhty wetu na akusamehe ulipokosea amiiin allahumma amiiin
Amin Yarab
Alhamdullilah nimejifunza ipo siku notapitia haya yarrab nipe mwisho mwema mimi mja wako dhaifu😭😭
M/Mungu atupe mwisho mwema
Amin ya rrwabby 😢😢
*📌Maoni ya kwanza,...naonelea nguo ya kumuoshea maiti, isiwe cotton, bali iwe ya mpira / nylon. Itakua rahisi kwa waoshaji na yeye maiti. Hata ikichafuka, nylon ni rahisi kuiosha na ku recycle. Lakini cotton ikiingia maji kama tulivyooneshwa **22:35**, itawapa waoshaji na maiti tabu kisha kubadilisha tena mara ya pili, na pia itamuonyesha uchi wake maana inashika mwili. Ikiwa washonaji wataweza kushona kama raincoat isiyokuwa na mikono kama nguo za hospital itakua bora. Maoni ya pili,... Pia kitanda cha kumbebea maiti kinafaa kitengenezwe cha chuma. Chuma ni durable. maana mna maiti wanene na mbao huweza kuvunjika. Niliona video ambayo mbao ilivunjika na kidogo kimtupe maiti. Maoni ya tatu,...Waoshaji wanapovaa gloves, wavae pia mask, gumboots, na manila apron. Nataraji tutayazingatia maoni haya. Shukran* ❤
Umri wangu wote naona watu wakitumia cotton na haonekan coz watu wanakuja joshon Kwa makin
Mashallah mashallah mwenzi mungu hakulipe mamii ❤
Allah atupe mwisho mwema sisi sote pamoja na wewe ukhty Asiay.... insha'Allah
Mashalah uhty umenifundiaha Jambo jema na muhimu kwakila mwiialam
Subhannaallah Subhannaallah 😭😭😭Allah atujalie mwisho mwema 😢😥
Allah atupe husnulkhatima na qaulu thabbit,shukran sister asya Allah atupe fahamu mzuri tunapofikwa na msiba tusiwe ni wenye kuchanganyikiwa upande wa kustiri wenzetu,jazakumullahu khayran.
Tabarakallah sister Asya wa jazakallah kheir. Allah akuhifadhi na hii sadaqa iwe sababu ya wewe kupata Rehma zake Allah. Shukran
Hongera kwakazi nzuri balikiwa waislam mnapamba vizur
Ma Shaa llah tabbaraka llah,, Mwalimu mzuri sanaa nimejifunza vzr naelewa sasa
Shukran sister Asya Allah akulipe ujira mwema na uendelee kutufunza❤❤❤❤❤❤❤nakupenda sana
Jamani mi naona si vibaya kama alivyosema mwenzetu tutajitahidi kujirekebisha tunapokosea ingawaje hatukumaanisha vibaya bt tutatumia ukhty ama dada turudi kwa utamaduni wetu na dini yetu,shukran
Allah atustiri hpa Duniani na Kesho Akherra😢....
Atupe na mwisho mwema Yaa Raabb Alaamiiin
Amiiiiiiiiin
Amin ya Rabbil alamin
Amin amin amin ya rabby
Shukran ALLAH atujalie mwisho mwema yarab😢
Maasha Allah dada etu Asya shukran sana Allah akulipe kheri duniani na Akhera nimejifunza mengi Alhamdulilah
Jadhakallah kwa Elimu mzuri ya kuosha maiti ustadhati Asya mungu Akulipe mbadala kwa hakika umetuelimisha vya kutosha
Shukran shukran shukran San dada yetu endlea kutufundisha kheri zaid inshallah naiman Allah atakulipa Ameen 🤲 thumma Ameen 🤲
Shukran dada Kwa elimu uliyo tupatia
Mwenyezi mungu akulipe kheri pamoja na kizazi chako
Mashallah ukhty asya allah akulipe kheir kwa kutufundisha. Allah sw atakulipa inshaallah
JAZAKI ALLAH KHAYRA KIPENZI UKHTY ASYA, WAJINA WANGU MIMI.
YAA RABBI TUNAKUOMBA KHATMA NJEMA AAAMIN
Allahumma Amiin yaraab
Shukran jazzila ukhty Asya
Wallah mwenyez MUNGU atujaaliye mwisho mwema😢🙏
Masha Allah mungu akuzidishie heri
Masha'Allah Mafundisho mazuri. Mungu awajazi kheri 🤲🏽
Mashaallah allah akulipe heri somo zuri mno wengi wetu hatujui .
Shukran sana sana kwa kutufunza kukosha maiti Allah atakulipa kila la kheri na atakuzidishia elmu ameen
Shukran jazakAllahu kheir kwa mafundisho ya kukafini maiti alhamdulilah.wengi watapata kujua shukran.
Allah atupe mwisho mwema yarabbi ameen
Mashallah 🙏 🙏 🙏
Vazi lisilo na garama uwe masikini uwe tajiri 😭😭😭😭
Mashaallah allah atupe mwisho mwema vazi la binadam wote dunian😢😢😢😢
Mwenyezi Mungu akuhifadhi na kila shari akulipe kulingana na ambalo unayofanya
Alhamdulillah MashaAllah Tabaraka'Allah shukran sanaa kwa somo zuri la dino,Allah akulipe khery Duniyani na kesho akheera, Allah atujaalie mwisho mwema ya rabby tuwe miongoni mwa watu wema tukutane peponi na kipenzi chetu mtume mohamad s.w.a.
Jazzakkah Allah kheir dadangu.umefanya jambo lisilo fanywa na wengi.somo hili ni muhimu sana waama kwa wale walio silimu na wapo maeneo ya bara.nipo sehemu za bara maeneo ya Lugari,mbali na kuwa misikiti ni michache elimu hii niadhimu.
Asante sana ukty wetu mungu akukalie Afyah fill duniya wal akhera Insha Allah,mungu atujalie mwisho mwema
Subhaan Allah 😭😭😭 yaraaaab tunakuomba tujarie mwisho mwema Amiiin thum Amiiin kwasote yaraaaab shukran san dada
Naweza kuipata iyo krep samaan naomba kuipata nataka nitumie kwa familia yangu samaan sana
Mashallah ❤️ ❤️ mara yangu ya kwanza kujuwa kuosha maiti ni leo from Kenya 🇰🇪 mombasa 🇰🇪
Jazakallahu kheir dada umenitoa kizani somo lako zuri sana endelea kutufunza inshaallah Allah atakulipa wema wako
Shukran for sharing this clip. alhamdulillah i have learnt quite a number of things and the reasons behind them. subhanallah.... mwisho mzito sana huu. Alllah asituchukue ile ameridhika na sisi, na awarahamu wenzetu walotangulia mbele za haki... Allahumma ameen.🤲
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh. Shukran sana mama yetu kutupa kisomo kizuri chakheri. Allah akuzidishiye inshaAllah na akupe umri mrefu
Jazzakiy llahu kheir😢😢Allah atujalie mwisho mwema
Assalamualaikum Allah akulipe kheri dada kwa nia yako ila tumia jina ukhty Asia au dada badala ya sister Asia hili jina la sister wanatumia sana wagalatia
Nikweri kabisa hata mim nilitaka kusema hivyo
Tafauti ya majina Ukhty Dada au sister maanake nini
Sister ni kiingereza but ni sawa majina yote yamaanisha dada, ukhty pia the same
Majina yoote ni sawasawa
Sister ni dada ukht
@shamzone388 kwa Nini usitumie lugha ya mtume mnamtumia lugha yamagharibi
Mungu akulipe kwa somo lako mungu akubarik
Allah atujaalie mwisho mwema Amiin
Mashaallah mungu akulipe Kila la kheri
Mashallah.. Asante ukhut kwa darasa nzuri Allah akulipe kheri nyingi
Waaleikum msalam warahmatullahi wabarakatu mamangu katika iman shukran sana wallahi jazaa yako.kwa Allah utaipata,,yani nmefurahi kujua kukufini maiti kwan najua kumswalia ila sikua najua anavyaoandaliwa hadi kufikia kwa swala,,shukran sana jazakallahu kheyr
Ma shaa Allah
Shukran sana habibty kwa somo zuri
Allah akulipe
Waaleikum salam warahmatullah.Allah akutunze mama yetu mzuri❤
Nimejipuzaa kitu alhamdulilah 🙏 Mungu akupee mri mrefu inshallah 🤲
Asalamu Aleikum mashallah shukran sana Mungu akuli jaza yako na akupe umri uzidi kutuelimisha
Shukraan funzo nzuri Allah akupe kila la kheiri uzidi kutufunza❤
Allah atujaalie mwisho mwema asante bi Asiya kwa kutukimbusha
Allah atujalie mwisho mwema allahumma amiin 🤲
Mungu Akulipe kila la kheri.
Masha'Allah TabarakaAllah ❤ Allah atujaalie mwisho mwema yarabi 🙏
MashaAllah tabarka Allah mamangu kipenzi leo umenifunza nisiyo yajua, Allah akulipe mema na akujalie umri tawili inshaAllah 🤲❤
Nakuombea maisha marefu Allah akupe umri akuzidishie matatizo uzidi kutufundisha mengi zaidi
Shkran sana kwa kutuelimisha Allah atujalie mwisho mwema
Ukumbusho mzuri allaakuzindishie imani mashallaa
Mashaaallah tabarkaallh mungu athakabali Dua Kwa Kaz yko hhbty
Maashallah 🎉 Allah akulipe kheri duniani na akhera aamin yarabbi
Mashallah habbth ww n mwalimu mzur inshllh Allah ajaalie elmu yako❤
Shukran sana kwa mafundisho mazuri Allah akupe baraka Ameen
MashaAllah nakupenda sana mama yetu aunty Asya
Shukran dada Allah akulipe kheri kwa somo nzuri
Subhanallah 🥺 allah atupe mwisho mwema 😢😢😢😢
Assalaam Aleykum Dada Asya. Asante sana kwa darsa
Shukran sana Leo nimejifunza vitu vingii Allah atuhifadhi sote
Shukran...jazakhallah kheir..... mashaallah kwa mafunzo mema ....
Asante sana mama etu kwa funzo bola allah atakulipa inshallah
Asalakyum Asante dada yangu Mungu Antankuripa
Alhamdulillah ,mafunzo mazuri sana,Allah tujalie mwisho mwema
Mashaallah Allah akujalie umri mrefu Inshaallah
Yaaa Allah tujaalie mwisho mwema
Assalamu alaykum warhamatullah wabaratu shkran dd Asia atkulipa kwa mafnzo yko
Assalam aleikum warahmathulla wabarakathu shukran Allah akujaze sister Asya.
Mashallah Tabarakallah a. Jazakullah Kher. Allah akulipe ujira bora zaidi kwa sadaqatu Jaria yako
Ma shaa Allah TabarakaAllah Sister Asya,Allah akulipe kheyr ajaalie iwe ktk mema ya hassanati yko....
Umetufunza kwa ufasaha na umakini kabisaa😊 👍
Mashaallah ukht allah akulipe kher ,kwa somo lako zuri
Anima mungu atupe mwisho mwema❤❤❤
Samahani nimekose kusema amin
Mashallah..mungu akulipe inshallah 🤲
Allah Atujalie mwisho mwema.
ALLAH atujalie mwisho mwema shukran barakallah ALLAH ❤❤❤
Barakallahu fiyk yaa Ukhty Asia ❤❤❤
Mashallah mama Allah hatupe mwisho mwema in sha Allah sote
Alhamdullillah Allah akupe mwisho mwema.
Assalam aalaykum warahmatullahi wabarakatuh Alhamdulillahi dada yangu Allah akulipe mema duniani na kesho akhera
Asante kwa somo zuri na ukumbusho kwa mwanaadam
Masha Allah Allah akulipe kila la kwer
Mwenyez Mungu atupe Mwisho mwema
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Alhamdulillah shukran sana ukhty kwa mafunzo ulotupatia Allah akupe kheyr nyingi na atupe mwisho mwema
Shukran habibbty barakallah fiki,,,Allah atujalia mwisho mema
Allah akujaze majazo mema ummy alhamdulillah
Jaman sijaona kuoshwa ungeanza kwenye kuosha jmn😢
Mwenyezi mungu akujalie pepo njema
Allah tusamehe madhambi yetu