Utapenda Tazama Nondo Za Ukhty Rusma Zilivyomchanganya Sh Walid Katika Kongamano La Maadili Bakwata

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 200

  • @yasirsaid8464
    @yasirsaid8464 2 หลายเดือนก่อน +4

    MAA SHAA ALLAH huyu rusmah ndossi ALLAH Ambariki.. mimi binafsi nampendq sana kwa ajili ya ALLAH.. ALLAH azidi kumbariki katika kila neema aliyomruzuqu.. ما شاءالله she is very bright

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyezi Mungu ameweka baraka nyingi sana katika biashara kwa sababu ni kazi ambayo alifanya Mtume Muhammad s.a.w.

  • @saidnhosule7198
    @saidnhosule7198 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mtume (saw) alikuwa kiongozi na aliletwa na mfumo wakuongoza ulimwengu ambao ni Uislamu katika nyanja zote za maisha sasa leo hatuongozwi na Uislamu kwa hiyo majanga yote yanayokea ulimwenguni leo sababu ni kuongozwa na mifumo ya kikafiri.

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 หลายเดือนก่อน

      Naam

  • @ZaliaGaula
    @ZaliaGaula 2 หลายเดือนก่อน

    Maashallah. Ukhti Rusma tuko pamoja na wewe. Kwahiyo Waislam mnatuambia kuwa wanawake hatupaswi kusomea Ualimu. Maana Mwalimu hachagui Mwanafunzi Wala Umri. Uislam ni mfumo wa maisha na hautenganishwi na Siasa. Kimbieni Siasa afu baadae mje kulalamika Viongozi asilimia 90 Wagala.

  • @imani2870
    @imani2870 2 หลายเดือนก่อน +3

    SubhanaAllah ivyo vidole vya mikono kama anaimba rapu. Mwanamke kukausha macho ivo mbele ya wanaume na kujifanya kiswahili kuchanga na kingereza 😢 tuliza mkono chini

  • @Contentislamic123
    @Contentislamic123 2 หลายเดือนก่อน +4

    Masha allah huyu dada ni mzuri sana🥰🥰🥰

  • @hawamrisho-uo4ih
    @hawamrisho-uo4ih 2 หลายเดือนก่อน

    MAASHAAALLAH NIMEKUPENDA MDOGO WANGU, NMETAMANI NIKUONE KARIBU TABORA INSHAALLAH

  • @abdallahabdul1038
    @abdallahabdul1038 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mashaallah wew ni mrembo ila hustahiki kutoa mawaidha kwa wanaume

    • @ahmedmayosa5375
      @ahmedmayosa5375 2 หลายเดือนก่อน

      Acheni upotofu

    • @ahmedmayosa5375
      @ahmedmayosa5375 2 หลายเดือนก่อน

      Haswalishi hapo

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanza hajaambiwa kwenye hadithi wlaa Quran yy atoe mawaidha mbele ya wanaume na vidole viliotiwa hinna

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 2 หลายเดือนก่อน

      Km haifai tupe dalili mwalimu tujifunze

    • @saifalhussaini9702
      @saifalhussaini9702 2 หลายเดือนก่อน

      Haifai mwanamke kupaza sauti mbele ya wanaume
      Ninakuusia dada Rusma kama ninavyoiusia nafsi yangu

  • @HudhaifaMakungu
    @HudhaifaMakungu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah uko vizur ukhty Rusma nakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah mashaallah mashaallah amazing amazing amazing high high high beuatiful beuatiful beuatiful queen queen queen angel angel angel cute cute cute gorgeous gorgeous gorgeous pretty pretty pretty khuub suurat khuub suurat bohot bohot khuub suurat

  • @Ashoora2
    @Ashoora2 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa'Allah ahsante
    Jazzakum'llah kheri ❤

  • @AizahAhmed-c9u
    @AizahAhmed-c9u 2 หลายเดือนก่อน +2

    Marshal karibu sana nyumbani Moshi nondo zako muhinu kwetu na Mimi nime pata kitu kwako mola akulipe kheri inshallah...

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ww ni mrembo Sana Mashallah 🎉🎉🎉❤ukhty mrembo

  • @RupiaSaid
    @RupiaSaid 2 หลายเดือนก่อน

    . maashallah, Alhamdilillah nashukuru kwa hotuba yako

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mtihani huu Allahu atunusuru urembo wote mbele ya wanaume

    • @AliAme-m3i
      @AliAme-m3i หลายเดือนก่อน

      Ni fitna hizi Kaka

  • @zamdaabdul6783
    @zamdaabdul6783 หลายเดือนก่อน

    Taqbeeer 🙏🙏🙏

  • @allysunday8614
    @allysunday8614 2 หลายเดือนก่อน +5

    Shida dini ukishaichanganya na mambo ya vyama vya siasa.. unaharibu mukhtadha

  • @MussaJuma-nf3vg
    @MussaJuma-nf3vg 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah dada Allah akuhifadhi nimependa madini ulionayo .
    Naomba contact zako nataka nikupe mwaliko uje ZANZIBAR tuna kundi kubwa la vijana wanahitaji hayo madini.
    Please seriously.
    Mimi ni Doctor.

  • @ramla692
    @ramla692 2 หลายเดือนก่อน

    Ma Shaa Allah TabarakAllah

  • @Muba581
    @Muba581 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks ALLAH atujalie wepes ktk utekelezaji

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baraka LLAH fika ustadhati

  • @SalumKeya
    @SalumKeya 2 หลายเดือนก่อน

    Hii c sawa kabisaaa

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa kuelimisha jamiii uzuri mashallah nimekufahamu

  • @sabihasalim942
    @sabihasalim942 2 หลายเดือนก่อน +2

    Life begins at 40 ni msemo wa wazungu sio wachaga....🇬🇧

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 หลายเดือนก่อน

      Nadhani umemwelewa.

  • @JumaBinAbdallah
    @JumaBinAbdallah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Binti amejaribu sana kupeana faida nzuri

  • @AllyKame-rx2zd
    @AllyKame-rx2zd 2 หลายเดือนก่อน +1

    ولا تخضعن بالقول
    Hili ndilo katazo, ila kwa namna anavo zunguza ni kwa sauti ya sawa

  • @zawiaissa8912
    @zawiaissa8912 2 หลายเดือนก่อน +1

    masufi ni shida sana wanaume wanapewa mawaiza na mwAnamke 😂😂😂

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake tena kufundisha .... quraan kama inakataa 😢😢😢😢

  • @MohammedZahor-wp6lj
    @MohammedZahor-wp6lj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni husda ndo mungu alivyomuumba ndo sauti yake.

  • @suleimanhabib2157
    @suleimanhabib2157 2 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah

  • @tumainkais5885
    @tumainkais5885 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah udugu wangu

  • @saidnhosule7198
    @saidnhosule7198 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uislamu na ccm wapi na wapi?

  • @FahmiAbdallah-x9w
    @FahmiAbdallah-x9w 2 หลายเดือนก่อน

    INNA LILLAH WAINA ILYHI RAJIUN(SORRY Eeeee UMMAT MUHAMMAD SAW(NI KWELI MNASTAHIKI KUTUONGOZA ?AKINA SISI TUSIOKUA NA ILMU?INSHAA ALLA KHEIR

  • @RajabAdam-p4s
    @RajabAdam-p4s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah kusoma nayo n rizki ufaham nao n rizk

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 2 หลายเดือนก่อน +1

  • @hajjikhamis1820
    @hajjikhamis1820 2 หลายเดือนก่อน +1

    Assalaam Alaykum,Je Ukhty Rusma Mtume SAW unamuona kwenye CCM na kwenye Mwenge?

  • @IDDYNZIGUYE
    @IDDYNZIGUYE 2 หลายเดือนก่อน +2

    KAMA SI MNAFIQ, TAASISI ZA BAKWATA NA CCM YAKE, NDIZO KAONA ZINAMAHUSIANO NA MTUME. MAANA KAJISHAUA MUDA MWINGI AKIWA ANASISITIZA HIZO TAASISI ZAKE PEKEE. NA AMKUMBUKE MUNGU ZAIDI YA CCM YAKE.

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 2 หลายเดือนก่อน +5

    Yaani kweli wanaume wazima mmekaa hapo mnamsikiliza mtt wa kike mbele yenu hivi mko sawa nyie watu.

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 2 หลายเดือนก่อน

      Vile mnavyowaifadhisha Qur'an Tena bid'aa mkafanya mashindano pale hawapaz sauti?na zawadi mkawapa

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aliemsahau huyu dada ni yule alieshinda kwenye mashindano ya qur ani,alieshinda kwenda umra

    • @musamusa6374
      @musamusa6374 2 หลายเดือนก่อน

      Ndiye yeye

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @ashaali7506
    @ashaali7506 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe Shekhe wetu vp?

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 หลายเดือนก่อน

      Anatikisa miguu tu

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 2 หลายเดือนก่อน

    Barakallahu

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani watu wa maulidi mko kama shule ya vipofu hali mnaona uharamu wa kuwaiziwa na hint jamani mnatia aibu

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mnaoata wapi ujasiri wakumpa .maiki mwanamke apaze sauti hata kama anaongea maneno ya allah nyie ndo mnaleta majanga ktk dunia

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 2 หลายเดือนก่อน

      Ukiskia fitna ndio hzo

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 2 หลายเดือนก่อน

      Tunatoa ktk tareikh ya uislam kumpa nafc aongee na apaze sauti,unatka ufundishwe?sema cjui ili tukujuze,Ila nakugusia tu msome sayyidna Omar ktk vaadh ya matukio yke ktk ukhalifa wake utapta hyo na mengine ukitk tutkpa

    • @mirajimvungi7586
      @mirajimvungi7586 2 หลายเดือนก่อน

      Punguzeni kujua sana

    • @MohamedJuma-tp2hn
      @MohamedJuma-tp2hn 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni dada yetu

  • @subhanallah868
    @subhanallah868 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke wa kiislamu hafai kabisa kuwa wazi na mapambo yake namna hii😢😢😢😢 mbele ya wanaumee!!!!!!!!?????? Sauti yake tu ni mtihani mkubwa sana hakuna hijab😢😢😢😢😢😢🙄🙄🙄vaa hijab ukhty yang

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ndio nini siasa hovyoo

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 2 หลายเดือนก่อน

    Hv unaijua fitna ya biaisha ilompata mpka akasngziwa uchf na wanafq ilikuwa yupo na wanawake wenzake?

  • @hasbiya-allahu124
    @hasbiya-allahu124 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani Bi Aisha(r.a), alikuwa hawafundishi wanaume (Maswahaba(r.a), So, inakuaje kwa ujuha wako, umshangae huyu ukhty😮

    • @HamadFakh
      @HamadFakh 2 หลายเดือนก่อน

      Mnataka mikwaju nyote mliopo hapo na huyu dada kama ni mke wa mtu huyo mume wake ni dayyuth, ikiwa mwenye kumuangalia tu jins alivyoumbwa na Allah anavutia,nyinyi mliopo hapo mnavutiwa naye na kumtamani kiac gani,halafu eti mnapewa mawaidha, kwani ww Walid huwez kutoa mawaidha na masheikh wenzako mpaka mumsimamishe huyo mwanamke? Nahic nyinyi ni Wanachuoni waovu aliowasema Mtume alayhissalam.

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs 2 หลายเดือนก่อน +4

    Saut yamwanamke haitakiwi kusikilikana mbele yawanaume

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน

      Masufi hao

    • @MbegaTurubaitz
      @MbegaTurubaitz 2 หลายเดือนก่อน

      Kwann haitakiwi

    • @MymunaUlaya
      @MymunaUlaya 2 หลายเดือนก่อน

      Je ni kweli we unaishi hvy au unaongea hali ya kuwa hauna dalili ya kile unachokiongea sikiliza je anaongea nini

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน

      @@MymunaUlaya basi waruhusiwe waendeshe darsa masjidi au kuna uharamu gani wakaingia masjid kutoa darsa wanaume wakawa wanaskiliza??hahahaha! Tena huyo anaemruhusu mkewe azungumze mbele ya wanaume kama hivyo ni dayuthi

    • @MymunaUlaya
      @MymunaUlaya 2 หลายเดือนก่อน

      @@Hamis-ks1sy unajibu kulingana na elimu akili yako au elimu tuliojifunza kwa mashekhe wetu katka vitabu

  • @JumaBinAbdallah
    @JumaBinAbdallah 2 หลายเดือนก่อน

    Mabaya tu ndio unaona ,uoni mazuri hata kidogo.

  • @faykasalum9725
    @faykasalum9725 2 หลายเดือนก่อน

    Unazungumzia dini au inapita campaign ya champ cha mapinduzi?

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 2 หลายเดือนก่อน

    Nyiee kumbe mpo ccm 😂😂😂

  • @AbuuzuhairMuhammad
    @AbuuzuhairMuhammad 2 หลายเดือนก่อน

    Dada punguza mapambo vaa na nikab mara nyengine

  • @AshaSaid-gy2tg
    @AshaSaid-gy2tg 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanamkeewezangu Ako sahihi kuongea. Mbele wanaime

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 2 หลายเดือนก่อน

    Shida sio ya watoto bali ni ss wazee wao
    Tukiwa ovyo na watoto nao watakuwa vivyo

  • @SaidiFundi-u1g
    @SaidiFundi-u1g 2 หลายเดือนก่อน

    Mbele ya wanaume!! Tabia hii umeipata wapi kwa huyo unayomzunguza atakuwa radhi na ameigwa vzr au kama kasuku

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb 2 หลายเดือนก่อน

    Nan kasema maan watu wamesoma kwa bi Aisha hiv walisomaje

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 2 หลายเดือนก่อน

    Wanawame mmenyamaza mwasikiliza binti akibwabwaja ujinga ni mzigo munao watu wa maulidi

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona aibu mimi ila ukhut huyu mbn kaja huku tena 😂😂

  • @MohamedNassoro-md8yv
    @MohamedNassoro-md8yv 2 หลายเดือนก่อน +16

    Hii si sawa, Hata kama anachozungumza ni sahihi. Vipi anapaza sauti mbele ya wanaume???

    • @jumakhamis226
      @jumakhamis226 2 หลายเดือนก่อน

      We naye Acha habari zako hizo

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo akipaza sauti masokoni ni halali ila kwenye dini mwanamke hatakiwi kuongea mbele ya wanaume hayo maandiko umepata wapi

    • @MBWANABABUCHANGALE
      @MBWANABABUCHANGALE 2 หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu mkubwa wewe

    • @MohamedNassoro-md8yv
      @MohamedNassoro-md8yv 2 หลายเดือนก่อน +7

      @@YaziduIddy-u7p Wanawake wafanye makongamano yao wasichanganyike na wanaume.

    • @MohamedNassoro-md8yv
      @MohamedNassoro-md8yv 2 หลายเดือนก่อน +6

      @@MBWANABABUCHANGALE Huu ndo ukweli lazma uelezwe. Nikumbushe tu hii sio habar ya Usalafi wala usufi.

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alaa nilikuwa sijamjuwa kama huyu mwanamke ni c c m ndio mana

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo kwenye maulidi tu, nje ya maulidi mtume (saw) hayupo ndio kwemye point. Fikiria watu tunamaliza mamilioni ya shilingi usiku mmoja, huku watoto wetu wanalelewa kikafiri mashuleni, elimu ambayo ni takrima ya kwanza aliyopewa mwanadamu, tumeitupa, elimu ni ya kimagharibi....thawabu za kumswalia mtume tunapata usiku mmoja wa kusoma maulidi...je baada ya hapo tunaendelea kumswalia hata kibinafsi? Mienendo yetu ya maisha( akhlaq) ni ile ya mtume???

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 2 หลายเดือนก่อน +1

      Peleka husda zako huko kwa mawahabi wenzie

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@YaziduIddy-u7p wasoma comments bila kujua kisemwacho.pole, nmekusamehe! Kwa taarifa yako Mimi ninasoma maulidi, nayahudhuria Na kuyafuata yalipo, nilichomaanisha Ni Maisha yetu waislamu Na Maisha ya mtume( zile akhlaq), baada ya maulidi Na kuelezea Sera zake, tunafuata au yanaishia pale!! Tunamuadhimisha, Je tunamfuata? Haitoshi kumuadhimisha ilhali hatumfuati! Kabla hujamuelewa mtu, usimjibu!!! Umemsikia huyo ukhty? Anasema anamuona mtume kwenye kila Jambo analofanya! Wangapo wapo hivyo?

    • @ommarallyhamad7435
      @ommarallyhamad7435 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe kama wewe binafsi unajing'atuwaje na hili

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 2 หลายเดือนก่อน

      @@ommarallyhamad7435 Allah sw Ni Karim!!! Kila fundisho likiwekwa kwenye vitendo Ni Bora, hatimaye Yote yanaingia kwenye mfumo wa Maisha

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 2 หลายเดือนก่อน

      binadam wengine hawesh lawama wameumbwa kupinga kila jambo lazima atie dosari

  • @yusuphmakhahala6570
    @yusuphmakhahala6570 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna ustazat hapa maneno.kama unamsikiliza vizuri hakuna mada anaianza akaimaliza . naona English English tu kama kama yuko kwenye mkutano

    • @zureashomari2408
      @zureashomari2408 2 หลายเดือนก่อน

      Yaan siasa teleee na mibaba imekaa tu kama inataka kutaga

    • @HassanNdauka-x1z
      @HassanNdauka-x1z 2 หลายเดือนก่อน

      Chuki mbaya

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 2 หลายเดือนก่อน

    Ila ukweli usemwe maghurafi hawana mipaka kabisa hii huwezi ona mwanamke wa kisalafi akahubiria wanaume

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h 2 หลายเดือนก่อน

    Kakate makucha kwanza na uongee ukiwa ktk switira

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 2 หลายเดือนก่อน

    Achauji ngawewe wakiwahabi kwa bi Hadija bibi Aaisha wakati wageni wakiume wamtumewakija nani alikua anawapa habari kua mtume maswali au amepumzika na mbona mtume alivyotokavitani wanawake walipaza sauti wakiimba qaswaida mbanahakuwakemeakua mspazesauti kasome vizuri ndugu yangu unaweza ukawa huna elimuyadini kulikohuyumwanamke

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 2 หลายเดือนก่อน

      Kuandika hujui hyo mengine jifunze nan kakwambia bikhadija kaimba mbele ya wanaume

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 2 หลายเดือนก่อน

    Ila watu wa bidaa ni hasara ktk dini wapo kwa ajili ya matumbo wapi mwAnamke anaongee mbele za wanaume wakati wa mtume mohamad swala
    Allahu au kipindi cha maswahaba hii ni dalili za kiama

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 หลายเดือนก่อน

    Ushamva dada ongea lugha ya taifa na jielewe unachoongea hao vijana sio wote wanahua kingereza pia uoo mbele ya wanaume

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k 2 หลายเดือนก่อน

    Hkn ccm mwenye akili

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 2 หลายเดือนก่อน

    40 inayo siri kubwa

  • @AbdallahShaweji-c7r
    @AbdallahShaweji-c7r 2 หลายเดือนก่อน

    Unaongea mbele ya wanaume hunahata chembe ya aibu na mashehe mnamsimamisha mbele

  • @AbdulSaid-l9k
    @AbdulSaid-l9k 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana bidaa haifai hapo wao wanaona sawa tu hii ndio shida yakuacha sunna nakufuata bidaa

  • @arjunimayagila9500
    @arjunimayagila9500 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio wakupewa uongozi Hawa akili nyingi fikra tele mawazo ujazo
    Ivi amesha olewa kama bado Mufti nizawadie zawadi hii Kwa wadhifa wako

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanganyika hakuna uislamu allah awaongoze eti shehe wa mkowa anackiliza mwanamke anatowa mawaidha waislamu feki wanahubiri siasa allah uwaangamize hawa mbwa

    • @ishaqtipitipi9182
      @ishaqtipitipi9182 2 หลายเดือนก่อน

      ALLAH awez kuangamiza wa2 kwa ujinga na ufinyu wa maarifa ya MBWA wa haramu km wewe😅

    • @RajabAdam-p4s
      @RajabAdam-p4s 2 หลายเดือนก่อน

      @@GhaniaSaid-u5k mbwa n wew tena jibwa kwa kuwa mbwa wametajwa vzr kweny qur an ww n jbwa

    • @abdallahissa5736
      @abdallahissa5736 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@RajabAdam-p4s Haifai waisla kutukanana hata kama mumekhitlafiana (Ittakillah)

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 หลายเดือนก่อน

    HAKUNA WANAUME WAKUTOA MAWAIDHA?
    AENDE AKAELIMISHE WANAWAKE WENZAKE

    • @komboidrissa3858
      @komboidrissa3858 2 หลายเดือนก่อน

      Bi Aisha Mke wa Mtume Hakuwafundisha Wanaume?? Au hakuwatolea Mawaidha WANAUME? Acha UBOYA wewe!

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 2 หลายเดือนก่อน

      @@komboidrissa3858 Tatizo lako ni Jahil murakkab.
      1. Bibi Aisha alikua ana nusu ya Elim ya Mtume.
      2. hawakuwa wanaonana na hao wanaume. Kasome vizuri Qur aan
      Huyu dada kajipamba
      Ana lipstic ana vutwa na video

    • @MohamedNassoro-md8yv
      @MohamedNassoro-md8yv 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@komboidrissa3858 Hawakuwa wake wa Mtume s.a.w ni mama wa waumini? Unawezamtamani mama yako?

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 2 หลายเดือนก่อน

    Mumesoma wapi nyie wapuuzi hutegemea anacho kiongea,hata kipindi cha mitume na maswahaba wanawake waliongea mbele za mitume kutoa ushaur

  • @khadijaali9927
    @khadijaali9927 2 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo wanakosea wanaposhiriki ktk mashindano ya Qur an? Maana pia pale upo mchangajiko. Namajaj ni wanaume na vipngoz wote wanakuwepo

  • @SalamaRamadhan-c1v
    @SalamaRamadhan-c1v 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nahisi huyu walimchsgua wao wenyewe kupata tiket ya umra naona siasa nyinyi tena kashona hadi guo la ccm mbona washindi wengine hawajaitwa kaitwa yy tuu wanajuana hao akiulizwa swali moja ck aloshinda anajibu kumi na moja mwanamke mwenzangu lkn kazidi

  • @hamidakigundula8736
    @hamidakigundula8736 2 หลายเดือนก่อน

    MaashaAllah