Assalamu alaikum inshallah kila la kher dada yangu kama umeamua kusilim simama kwenye Iman thabit mm ninajua taabu ya kusilim mi nmelala juu ya miti na sehem nyinginezo cha msing shikamana na haya mche Allah (s.w) na umuogope popote ulipo na umsalie mtume Muhammad (s.a.w),usiseme uongo,usisengenye,usifitinishe,usizin,uwe mkweli,uwe mkarimu,usidharau viumbe ambao n walemavu, shikamana na swala tano siku zote na usome din uijue ili uish katka mising ya dini nmefurahi sana dada kuingia kwako katka din ya haki.Takbiiiiiiiir
Masha Allah , Kwa Wote Mliofata din ya hakh din ya Allah , Bas Nawaombea Allah awajaze iman hawajalie ilm ili mzid kuelewa din islam ndiyo din ya kakh , Ostadhati Wetu Nialikuwa mkiristo wa haswaa muimba kwaya , ila alivyo silim Allah alimjalia Neema ya din na leo hi ndiyo kiongozi Wetu anatufundisha Uislam iman kwa uchungu mkubwa Sana , Kuwa Watu Wana Neema ya Uislam lakin Wanauchezea , Alhamdulillah mimi Juzzuu Amma nimeijua kwakupitia yeye , Nimeijua Surat Yasiin yote kwakupia yeye aliyetoka ukiristo nakukuta sisi tulozaliwa uislam hatujui maana yake , Allah amuhifadh na amjalie Mwisho mwema
@@savinosalamba9174 Wewe hata kama unaumia lakini ujue kwamba Dini zipo nyingi ISIPOKUWA kuna dini ya HAKI , ambayo hata wewe unapaswa kuifuata kwa faida yako. Dini ya haki ni UISLAMU, Yesu ni MUISLAMU sasa wewe kama huelewi unapaswa kusoma ili ujielewe. Ubishi haitakusaidia . AMKA.
ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, wallillaih amdhu , MUNGU amuongoze na mfungulie akili awezi kushika ya dini atakayo kuyasoma amiin , na ALLAH amuepushe na mitihani itakayo muandama baada ya kusilimu Amiin
Bismillah Rahman rahhim Assalamualaiykum warahmatullah wabarakatu Mm Abdullah Nakuja kwa shekh said mwaipo Una dani shekh said mwaipopo Kabla ya kuwa na dini sahihi kulikuwa ktk utwaghuti wa kikiristo na ulikuja kwetu Zanzibar kulingania ukiristo na uliwateka mtu mmoja kwa mujibu wa mihadhara yako ,Sasa njoo umrejeshe yule ndugu yetu mzenji umrejeshe ktk dini yake ya hakki Assalamualaiykum warahmatullah wabarakatu
Yesu NI Mungu Na Ni Mwana Wa Mungu.Hapo Dada ujue Umeingia kwenye Giza.Pole sana Maana Hata ulikokuwa ulikuwa Bado Gizani.Naongea kiimani na walio Rohoni ndio wanaoweza kuelewa
Pole sana dadaangu yaani umeamua kumkana yesu hadharani nafukili wewe hukua mkristo wa kweli nahukumjua kristo ulikua mkristo wa jina tu Yesu alisema atakaenikana mbele za watu nami nitamkana mbele za Mungu na mbele za maraika watakatifu siku ile ya hukumu
Huyo amemfuata yesu wala hajamkana wewe unatakiwa ujifunze ni kwa nini huyo dada kaamua kuslim hilo ndo jambo la msingi, we ulitaka abakie kanisani kwa mungu wa tongolani au zumalidi
Kila mtu ananafasi ya kujichagulia njia anayotaka kufuata, Biblia Kumbukumbu la torati11:26 na 30:19. Lakini njia ya kweli ni Moja TU. Kwa mfano Kila pakiti ya sigara imechapishwa maneno ya onyo (uvutaji wa sigara unadhuru afya Yako) (unasababisha uhanithi), (unasababisha kansa) na maonyo mengineyo lakini hata Leo, watu wanavuta sigara na maonyo hayo yakiwa hapo, kwa hiyo sishangazwi na wamuzi alioamua huyo dada lakini kitu kimoja ninachojua ni kwamba Yesu ndiye njia kweli na uzima na mtu hafiki kwa Baba asipopitia kwake. Pengine utaniuliza huyo Baba ni yupi? Jibu! Yohana mtakatifu 10:30.na 16:14-15. Kwa hivyo ni wazi kwamba ukiikataa na kuiacha njia iliyonyooka utakutana na nyoka. Barikiweni.
Cc hatmkani yesu yesu hata aya zake ziko ktk quruan imemtaja tunakaa taa as iyoo ya fanya ya fanya yesu yesu Nisa bin mariamu ni muislam alisujudu na kumuabudu mmungu mmoja alie mlete duniani kama alivomuona Wa leta kina ibrahim
@@shabamuhidin634Imeandikwa, Mathayo: 32-33 Basi, kila Mtu atakayenikiri mbele ya watu, Nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye Mbinguni. Bali mtu ye yote atakayenikans mbele ya watu , Nami nitamkana mbele za Baba yangu wa aliye Mbinguni
Eti wasio waislam wanaumia sana kuona watu wanasilimu, Mimi kukua kwangu kote hadi utu uzima sijawahi ona wakristu wakipoteza muda kuhangaika na mtu aliyesilimu. Kukua kwangu kote na kusali kote kanisani sijawahi ona wakristu wakihangaika kujadili uislam. Wakristo muda mwingi wako bize na masuala ya Mungu wao,elimu,afya na maendeleo tofauti.
Unamaanisha wakristo hawasamehewi dhambi? Wakati Yesu anao uwezo wa kusamehe dhambi? Marko 2:10 , na aliye na uwezo wa kusamehe dhambi ni Mungu sasa kwa uelewa unaona Yesu ni nani?
Takibirrrrrr ila niju kapenda tu angeaca jinalake la elizabeth maana nijina la kiisilamu muke wa Nabi ZAKARIA alikua nimuisilamu angeaca tu iyo ila nisawa kama kapenda kubadilisha masha Allah
Izi din zinachekesha sana assaaa masheee muislam akiamia uklisto wanasema amopotea au kafuata ela mklisto akiamia uislam kaja Kenya dini ya MUNGU Sasa ss ambao dini zetu mizimu ya Babu zetu atuwaelewi
Hapa baba hupati kiki unalazimisha watu kubadili imani za watu ili iweje eti muimba kwaya kasilimu chefu waacheni watu kila mtu na imani yake jaman kwanza dini gani iyo nmalazimisha watu na pia mtu akibadilika dini wenye akili huwa hatutangazi kishamba ni kimya kimya kama umetoa sadaka ata mkono wako wa kushoto hautakiwi kujua kama umetoa
@@aminaalmazrui9785 ni kweli kabisa ukiwa kwenye haqqi mitihani nilazima au kawaida nilazima ujaribiwe ili ujulikane jee imani ipo kweli au nimaneno tuu
JAZA UJAZWE, MUNGU NI MMOJA NA ANAIJUA MBINGU ZOTE NA PEPONI NDIPO MAHALI PAKE NA DUNIANI AMEWEKA MIGUU YAKE. ALPHA NA OMEGA NI MUNGU NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU. DINI HAIMPELEKI MTU PEPONI, MATENDO MEMA NDIYO YAKUPELEKAYO NA NI KWA NEEMA TU TUNAJALIWA MEMA NA MEMA YA NCHI AYUPAYO. NA SAADAKA NJEMA NI HARUFU NJEMA YEYE ALIYE JUU. ASIKUDANYE MTU!!
Ujue shetani ni mwislam kwahy umemwacha yesu aliyehai umeenda upande wa shetan na majin sasa hivi utapewa jini ndo mshahara wako wa kuwa mwislam pole sana dadaanga cjui walikuahid nn umeenda kwa marehem muhamed akusaidie nini sasa umefel ww
Assalamu alaikum inshallah kila la kher dada yangu kama umeamua kusilim simama kwenye Iman thabit mm ninajua taabu ya kusilim mi nmelala juu ya miti na sehem nyinginezo cha msing shikamana na haya mche Allah (s.w) na umuogope popote ulipo na umsalie mtume Muhammad (s.a.w),usiseme uongo,usisengenye,usifitinishe,usizin,uwe mkweli,uwe mkarimu,usidharau viumbe ambao n walemavu, shikamana na swala tano siku zote na usome din uijue ili uish katka mising ya dini nmefurahi sana dada kuingia kwako katka din ya haki.Takbiiiiiiiir
MUNGU AMSIMAMIE ILI AWE MUUMINI WA KWELI MWENYE KUFUATA MAAMRISHO YAKE NA KUACHA MAKATAZO YAKE ❤
Asante sana kipenzi, kwakujua ukweli kama islamu ni dini ya kweli kabisa,❤
Mashallah tushampokea.anti shadia mungu ampe hatima njema na awe mcha mungu na ampe mume mwenye her naye
Ukimjuwa Yesu Vizuri Huwezi Kusumbuka. Huyo YESU Ndiyo ISSA Mtoto Wa Mariam.
Mashallah Shadya, hongera sana, hujakosea kuifata uislamu, ALLAH akuongoze kwenye Khairan.
Masha Allah , Kwa Wote Mliofata din ya hakh din ya Allah , Bas Nawaombea Allah awajaze iman hawajalie ilm ili mzid kuelewa din islam ndiyo din ya kakh , Ostadhati Wetu Nialikuwa mkiristo wa haswaa muimba kwaya , ila alivyo silim Allah alimjalia Neema ya din na leo hi ndiyo kiongozi Wetu anatufundisha Uislam iman kwa uchungu mkubwa Sana , Kuwa Watu Wana Neema ya Uislam lakin Wanauchezea , Alhamdulillah mimi Juzzuu Amma nimeijua kwakupitia yeye , Nimeijua Surat Yasiin yote kwakupia yeye aliyetoka ukiristo nakukuta sisi tulozaliwa uislam hatujui maana yake , Allah amuhifadh na amjalie Mwisho mwema
Maashaallah mwenyezimungu akupe mwisho mwema dada etu namungu atufishe waicilamu wote tukiwa waicilamu inshaallah 🤲🤲🤲
Mashallah mashallah mashallah
Allahu Akbar,Bismillah maishaallah, Mwenyezi Mungu amjaalie mwisho mwema Allahumma Amiin
Mashaallah jazakumllah kheir mola akufanyie weps amiin
Masha Allah❤❤❤❤❤
Maashaallah maashaallah maashaallah barakallah fiikiy shekhe wetu inshaallah nakuombea ALLAH akupe swiha njema amani popote pale unapokuwa inshaallah 🤲☝️
Takbiiiiiiiiiiiiiiiir takbiiiiiiiiiiiiiiir allah akujaalie kher ewe dadaangu karibu sana ktk dini ya haki
Allahu Akbar
Allahuma akbar
Allah akbr
Takbiru mungu akusmamie namjalie Mola weetu awaongoe na wenginee
Maa Shaa Allah
Mungu amemuonyesha njia.... AMESHAELEWA UKWELI NI UPI.
Mungu amlinde nal amsimamie.
Hakuna ukweli dini ya majini
@@savinosalamba9174
Wewe hata kama unaumia lakini ujue kwamba Dini zipo nyingi ISIPOKUWA kuna dini ya HAKI , ambayo hata wewe unapaswa kuifuata kwa faida yako. Dini ya haki ni UISLAMU, Yesu ni MUISLAMU sasa wewe kama huelewi unapaswa kusoma ili ujielewe. Ubishi haitakusaidia . AMKA.
Mashaallah allah akupe mwisho mwema amin
Mungu akupe subira ujue uislamu vizur
Allahu Akbar, Ma sha Allah tabaraka rahman karibu katika Uislam dini pekee ya haki Alhamdulilah
ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, wallillaih amdhu , MUNGU amuongoze na mfungulie akili awezi kushika ya dini atakayo kuyasoma amiin , na ALLAH amuepushe na mitihani itakayo muandama baada ya kusilimu Amiin
Mashallah ukhty shadia karibu katika uislamu,,Allah akuzidishie Kila la kheriiii
Masha Allah
Masha Allah Allah awalipie na awazidishe unguvu mashiekh Sina lakulipia Sina uwezo nawaombea dua 💖❤♥💕
Bismillah Rahman rahhim
Assalamualaiykum warahmatullah wabarakatu
Mm Abdullah
Nakuja kwa shekh said mwaipo
Una dani shekh said mwaipopo
Kabla ya kuwa na dini sahihi kulikuwa ktk utwaghuti wa kikiristo na ulikuja kwetu Zanzibar kulingania ukiristo na uliwateka mtu mmoja kwa mujibu wa mihadhara yako ,Sasa njoo umrejeshe yule ndugu yetu mzenji umrejeshe ktk dini yake ya hakki
Assalamualaiykum warahmatullah wabarakatu
Ma sha allah. Sh. Mwaipopo uyo dada ana mtoto au watoto?
Allahu akbar wallahi lhamd.
Allahu akbar
Allah awahifadhi masheikh wetu na kila balaa.
Wakristo Allah awaoneshe haki wazidi kuslimu.
Mashallah mwenyezi amuongoze🤲🤲🤲
Takbirrrrrrrrrrrr
Allahu akbar
Mashaa Allah . Allah akbar , Allah akbar.
Mashaalah mdogo wangu allah akupe hamu ya kuusoma uislam
MashaAllah,Allahamdulillah,Mwenyezi Mungu awalipe na azidi wapa nguvu ya kuutangaza uislam (Amin)na azidi kuupa nguvu uislam(Amin)
Takbir Allahu akbar
Maashaallah tabarskallah Allhamdulillah ya Allah kwahuyu binti kuuona ukweri
Allahu Akbar
Takbir Takbir Jazakallah kher love Frm Kenya
Mashaallah
Maashaallah nimekupenda dada Kwa ajiri ya Allah karibu sana .Allah akukinge Na mabaya yote
Yesu NI Mungu Na Ni Mwana Wa Mungu.Hapo Dada ujue Umeingia kwenye Giza.Pole sana Maana Hata ulikokuwa ulikuwa Bado Gizani.Naongea kiimani na walio Rohoni ndio wanaoweza kuelewa
Ungekua umesoma usingeongea uo upuuzi kubwa jinga
Yohana "Yesu si Mungu wala mwana Mungu, ni mtu John 8 vrs 40
Kumbe ili uwe Muislam ni lazima uukane uungu wa Yesu kristo na kumwamini mtume. MUNGU UTUSAIDIE TUSIKUKANE .
Unaongea upuuzi tu yesu ni Mungu nani kakudanganya,ukiwa na makasiriko usiangalie hii channel cause kila siku wanasilim.
Pole sana dadaangu yaani umeamua kumkana yesu hadharani nafukili wewe hukua mkristo wa kweli nahukumjua kristo ulikua mkristo wa jina tu Yesu alisema atakaenikana mbele za watu nami nitamkana mbele za Mungu na mbele za maraika watakatifu siku ile ya hukumu
Huyo amemfuata yesu wala hajamkana wewe unatakiwa ujifunze ni kwa nini huyo dada kaamua kuslim hilo ndo jambo la msingi, we ulitaka abakie kanisani kwa mungu wa tongolani au zumalidi
Pole wewe mungu akuongoe inshallwah ipo siku nawe mungu atakujuulisha
Kuwa muelewa wewe,uyo dada hajamkana yesu bali ndo amemfuata,ameachana na ushirikina wa kumuita Yesu kwamba ni Mungu.
Assalam alaykum warahmatulah wabarakatuh
Allahu akbar mashaAllah
MashaaAllah
MashaAllah tabarakaAllahu.mungu akuongoze kwenye njia iliyo nyoka
Allaahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar walillaahil hamdu
MashaAllah MashaAllah MashaAllah...karib kwenye dini ya khaki
Allah Akbar
MashAllah mungu atufanyie wepesi nyoyo zetu turudie kwake
Takbiiiiiiiir
Allah akbar ALLAH AKBAR
Maashallah SHADIA 🤲karib dada 🥰❤
Takbir
MashaAllah karibu dada katika uislamu
Allah Akbar ,Allah Akbar,Allah Akbar
Allahu akbar
Hongera dada hakika umerudia kwenye haki
Masha Allah mungu akuondolee kila la Shari ndugu yangu nitafute kwenye namba yangu
Assalamu alykm warahmatulah wabarakatu,mko wapi wanaume nipeni ila awe mwalimu afundishe dini mwenyezimungu nakuomba mpe huyu bundi mume mwema kwa haraka na wepesi, inshaallah
Kila mtu ananafasi ya kujichagulia njia anayotaka kufuata, Biblia Kumbukumbu la torati11:26 na 30:19. Lakini njia ya kweli ni Moja TU. Kwa mfano Kila pakiti ya sigara imechapishwa maneno ya onyo (uvutaji wa sigara unadhuru afya Yako) (unasababisha uhanithi), (unasababisha kansa) na maonyo mengineyo lakini hata Leo, watu wanavuta sigara na maonyo hayo yakiwa hapo, kwa hiyo sishangazwi na wamuzi alioamua huyo dada lakini kitu kimoja ninachojua ni kwamba Yesu ndiye njia kweli na uzima na mtu hafiki kwa Baba asipopitia kwake. Pengine utaniuliza huyo Baba ni yupi? Jibu! Yohana mtakatifu 10:30.na 16:14-15. Kwa hivyo ni wazi kwamba ukiikataa na kuiacha njia iliyonyooka utakutana na nyoka. Barikiweni.
Mashallah.wakati.wetu.ss.dini.yetu.ya.kisilam.kuwa.juu.alihamdulilah
Hajui atendalo. Ukimkana Yesu mbele za watu na yeye atakukana mbele za Mungu
are you sure? mbona Yesu alisali mlimani akiweka uso wake chini nyie mnakataa kufanya ivo,uko sio kumkana?
amemkubali yesu cyo kamkataa sababu yesu alikuwa muislaam
Cc hatmkani yesu yesu hata aya zake ziko ktk quruan imemtaja tunakaa taa as iyoo ya fanya ya fanya yesu yesu Nisa bin mariamu ni muislam alisujudu na kumuabudu mmungu mmoja alie mlete duniani kama alivomuona Wa leta kina ibrahim
@@shabamuhidin634Imeandikwa, Mathayo: 32-33 Basi, kila Mtu atakayenikiri mbele ya watu, Nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye Mbinguni. Bali mtu ye yote atakayenikans mbele ya watu , Nami nitamkana mbele za Baba yangu wa aliye Mbinguni
Mimi pia nipo tayari kuwafundisha hawa wanaosilimu hata kwa njia ya online inshaalah na mimi pia niwe natoa mchango wangu inshaalah
Ni jukumu letu sote kuwafundisha hawa wanaosilimu inshaallah
Ila sheikh umekosea kumpa mkono mwanamke
Uwwwwwwwiiiiiiiiii
Manshallah
YESU ni Mungu mkuu Sana wakuogopwa na kuheshimiwa Sana yeye ndio kweli hakunaa mwigine
YESU NI YESU ALIISHI NA WANADAMU WEZETU AKALA AKIOMBA KULALA KUFANYA KAZI ,BIBLE ILIANDINKWA kuwa alionewa akalalamika, toka kwenye zambi
Eti wasio waislam wanaumia sana kuona watu wanasilimu, Mimi kukua kwangu kote hadi utu uzima sijawahi ona wakristu wakipoteza muda kuhangaika na mtu aliyesilimu. Kukua kwangu kote na kusali kote kanisani sijawahi ona wakristu wakihangaika kujadili uislam. Wakristo muda mwingi wako bize na masuala ya Mungu wao,elimu,afya na maendeleo tofauti.
Kwel kabisa waklisto Awana ujinga uwo Tena dini ambayo sio wachokoz
masharrah masharrah karbu Santa ktk uislamu
Maa shaa Allah
Ndacha ataumia sana
Kabisa
Walpumia kwa dada mrembo kuslimu poleeeeeni
Unamaanisha wakristo hawasamehewi dhambi? Wakati Yesu anao uwezo wa kusamehe dhambi? Marko 2:10 , na aliye na uwezo wa kusamehe dhambi ni Mungu sasa kwa uelewa unaona Yesu ni nani?
Taqbirrrrrr taqbirrr dada Allah yuko pamoja nawe
Karibu sn dada kwenye uislamu wetu no dini ya haki
Takibirrrrrr ila niju kapenda tu angeaca jinalake la elizabeth maana nijina la kiisilamu muke wa Nabi ZAKARIA alikua nimuisilamu angeaca tu iyo ila nisawa kama kapenda kubadilisha masha Allah
Jamani niozesheni mie uyo shadya
Izi din zinachekesha sana assaaa masheee muislam akiamia uklisto wanasema amopotea au kafuata ela mklisto akiamia uislam kaja Kenya dini ya MUNGU Sasa ss ambao dini zetu mizimu ya Babu zetu atuwaelewi
mashallah
Km atakua tayari naomba nambar zake
Natamani asitirike uyo shekhe
Me nashangaa sana unaslimu Kwa lipi Muhammad mwenyewe aliamulishwa na ewe wa kwanza kuslimu na had amekufa hajaslimu hi I inaingia akilin pole dada
Shetani ananguvu sana
mwenyezmungu akujalie dada yetu tuko pamoja dada nibipu kweny no yangu tuelekezane mambo muhm ya din yetu
ni bipu kwenye whasp yangu insharrah
@@mozasaidi1035 hujaweka no yako vipi atakubip?
wenye hekima hawawezi kuumia kwa tendo hilo bali tu ameingia upotevuni
Sasa sheikh usimpe mkono mwanamke hivyo
Uislam hautak uzinifu,lakini yeye anaufanya mbele ya camera/hadharani, Dini kaifanya Biashara
@@4thking743 mazuri yote hamjayaona mmeliona hilo tu?!
@@4thking743 kazini nn
Kapitiwa Au labda hajui tuonane huruma Allaha karim
@@abduomar8438 y
Bado hajaolewa?
Kafata mme huko hawezi kuacha mwanga afate giza haiigii akirin
Umepata haki Yako maana wasabato hawasuki hayo makichaka aliyonayo
Ameolewa huyo shekhe
Hanamume nenda baba neema ya allah
Kishapata mchumba au?
Awa wanatudanganya na lugha za watu emb tumia kiswahili tukuelewe kwasab Mungu huwa anasikia lugha zote acha kuwapotosha watu mbwa
🤣🤣🤣👇
Nenda kasome sawa usiwe mbu mbu
Hapa baba hupati kiki unalazimisha watu kubadili imani za watu ili iweje eti muimba kwaya kasilimu chefu waacheni watu kila mtu na imani yake jaman kwanza dini gani iyo nmalazimisha watu na pia mtu akibadilika dini wenye akili huwa hatutangazi kishamba ni kimya kimya kama umetoa sadaka ata mkono wako wa kushoto hautakiwi kujua kama umetoa
na msimuwachilie ndugu zanguni mnakumbuka mzee Yusuf aliritadi kwa sababu ya njaa
Assalam alaykum,sio njaa ni imani tu kaka, tumuombee Allah atujaalie mwisho mwema
waaleikum salam dadangu kiukweli mzee yusuf alipata mitihani yaki fedha angefaa kusaidiwa na waislamu wenye uwezo akijengwa Imani
@@mohamedibrahim7732 sina uhakika lakn naona engalikua na subra na Allah asingalimuacha
@@aminaalmazrui9785 ni kweli kabisa ukiwa kwenye haqqi mitihani nilazima au kawaida nilazima ujaribiwe ili ujulikane jee imani ipo kweli au nimaneno tuu
🤣🤣🤣🤣
Inaonekana Mwaipopo anaifahamu sana Biblia au?
Dah nimefurah nimejikuta natoka machoz ya furaha
Mwaipopo Lin utaacha uwongo
naww slimu umjue molawako .usidanganywe tuu. Makanisani.
Wewe nini unamfanya mungu binaadamu alie tahiriwa kama wewe hio akili au matope
Katupiwa Majin huyo hajielewi tayari tumpepole.
JAZA UJAZWE, MUNGU NI MMOJA NA ANAIJUA MBINGU ZOTE NA PEPONI NDIPO MAHALI PAKE NA DUNIANI AMEWEKA MIGUU YAKE. ALPHA NA OMEGA NI MUNGU NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU. DINI HAIMPELEKI MTU PEPONI, MATENDO MEMA NDIYO YAKUPELEKAYO NA NI KWA NEEMA TU TUNAJALIWA MEMA NA MEMA YA NCHI AYUPAYO. NA SAADAKA NJEMA NI HARUFU NJEMA YEYE ALIYE JUU. ASIKUDANYE MTU!!
Ujue shetani ni mwislam kwahy umemwacha yesu aliyehai umeenda upande wa shetan na majin sasa hivi utapewa jini ndo mshahara wako wa kuwa mwislam pole sana dadaanga cjui walikuahid nn umeenda kwa marehem muhamed akusaidie nini sasa umefel ww
Msomesheni maranyingi mnawasilimisha hamuwasomeshi na mkimpa mume mpeni mume mwenyeuwezo wa kusimamia
Anamutoto jinalamutoto mumepe lakisilam
Jina halinatatizo hatakamalingelibakia hilo hilo Elizabet lilikua haina tatizo mkabidhini wanawake wamsomeshe ili ajuwe umuhimu wa dini ya kiislam
Hapo ulipotoa mkono ndio umenivunja moyo🧏♂️
Mkono upi
Pole dada ,umeanguka anguko kubwa, kumkana yesu ni balaa kwa siku zako zijazo, fanya urudi haraka upo mikononi mwa simba walao nyama yako sasa.
Jibu mapigo
th-cam.com/video/NgxYdrO2xz8/w-d-xo.html