MSABATO ACHEMKA NA KUKUBALI KUWA BIBLIA INAFUNDISHA UISLAMU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 168

  • @mugishaalida5580
    @mugishaalida5580 ปีที่แล้ว +14

    Nakufata sana from Saudia sheikh Ramadhan
    Allah akuzidishiye kheri na barakah

  • @mosesnjeru6956
    @mosesnjeru6956 ปีที่แล้ว +26

    I have for long liked and loved Muslims for their firmness in faith.

    • @abdulahihassankadir9770
      @abdulahihassankadir9770 ปีที่แล้ว +6

      Welcome Brother 👊,to Islam

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 ปีที่แล้ว +5

      The one faith that Adam practiced. Monotheism ☝️

    • @yahyaali3951
      @yahyaali3951 ปีที่แล้ว +2

      Welcome

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du ปีที่แล้ว +4

      Islam comes from God, that is why it never changes. We as muslims have an obligation to safeguard the word of God.

    • @a.rahman7679
      @a.rahman7679 ปีที่แล้ว

      Welcome to Islam musa. It's the right path.

  • @isackisack2208
    @isackisack2208 ปีที่แล้ว +11

    Mashaallah kazi nzuri Niko mwanza shekh nafatilia shekh wangu ukovzuri

  • @imanipirfa225
    @imanipirfa225 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi mungu awasamehe wakristo kwa sababu awajuwe wanalo litenda

  • @aminamachudemachude2992
    @aminamachudemachude2992 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Deus que abençoe essa religião mim orgulho de ser muçulmana. ❤❤🙏🙏🙏🙏

  • @bashirali2385
    @bashirali2385 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah kazi mzuri kujeni Ruai pia inshaAllah

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 ปีที่แล้ว +7

    Napenda san..

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 11 หลายเดือนก่อน

    Sheikhe Ramadan Allah akuzidishie subra kwa kazi hii akujalie baraka na afya njema uzid kuelimisha uislam InshaAllah 🤲

  • @abdikeirjimale8620
    @abdikeirjimale8620 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah Mwenyezi Mungu ambaraki juhudi zenu zote ❤

  • @MasomeAbell-cr1um
    @MasomeAbell-cr1um 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana sheikh kuwalingania watu katika dini ya haki Mwenyezi Mungu akutangulia akulipe heri

  • @zuwenaothman
    @zuwenaothman ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah tabaraka Allah nakuombea kila wakati mungu akupe afya njema uzidi kuwalingania in shaa Allah wataelewa

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Allah akuhifadhi na akuzidishie elmu nakufatilia always from u.a.e

  • @selemanichanzi3200
    @selemanichanzi3200 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe ostadhi Ramadhani
    Ukuongezee subra .Aamin

  • @aboubahebura8144
    @aboubahebura8144 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh Ramadhan allah akulipe kwayote unayoyafanya

  • @abdullahibaris7182
    @abdullahibaris7182 ปีที่แล้ว +2

    MANSHALLAH SHEIKH ❤❤❤ALLAH AKUPE UMRI MREFU NA AFIA NJEMA INSHALLAH ❤

  • @jumaraha
    @jumaraha ปีที่แล้ว +4

    Mash Allah Tabarak Allah...Wataelewa pole pole

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 ปีที่แล้ว +4

    Allah awaongoze kwa rehma zake

  • @yassinali3123
    @yassinali3123 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah kazi nzuri Allah azidi kupa afya tuzidi kufaidika sisi sote ❤️

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 ปีที่แล้ว +4

    M.A may Allah bless you ustadh

  • @saumusaid7825
    @saumusaid7825 ปีที่แล้ว +1

    Allh akupe umri mrefu shekhe ramdhan

  • @AshuraBwatamu
    @AshuraBwatamu 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah. Shekhe akuongezee uwezo wa kutupa dawaa

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 ปีที่แล้ว +21

    Hakika uislam ndiyo dini ya khaki

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 ปีที่แล้ว +2

    ustad uko na subra sana. huyu msabato ningemchapa Kofi vile anapishi andiko.

  • @shabanisefu1229
    @shabanisefu1229 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah kazi zuri sana

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 ปีที่แล้ว +13

    Muhammad pbuh is prophecied clearly and explicitly more than Jesus in the bible.

    • @isackisack2208
      @isackisack2208 ปีที่แล้ว +5

      Mashaallah kazi nzuri Niko tz mwanza nafatiliaga kazi yako shekh

    • @Asiyah2000
      @Asiyah2000 ปีที่แล้ว +2

      Exactly 💯 subhana-Allah and they still reject him

    • @nicholaskinyua5911
      @nicholaskinyua5911 10 หลายเดือนก่อน

      Dreaming

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Ustaz

  • @mohammedali7803
    @mohammedali7803 ปีที่แล้ว

    Waleykum Waleykum warhmatulwahi wa barakatuh shukraan Amiyn Jezaka'allahu kheir

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 ปีที่แล้ว +4

    Mashalla Allah ❤❤❤

  • @Adm9464
    @Adm9464 ปีที่แล้ว +11

    Msabato just like some Christian brothers can’t trust his own bible. Very sad. Confusion continues it’s always I think or I don’t remember

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 ปีที่แล้ว +4

    Wakristo waache ushabiki wajue dini ya mungu

  • @musanike3079
    @musanike3079 ปีที่แล้ว +3

    Mabruk Rama❤

  • @halimamohamed4842
    @halimamohamed4842 ปีที่แล้ว +2

    Maa Shaa Allah

  • @MercyMbodze-n1i
    @MercyMbodze-n1i หลายเดือนก่อน

    Masha ALLAH Barak Allah fik

  • @mohamedabu3268
    @mohamedabu3268 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa ALLAH

  • @juliusjamanda7313
    @juliusjamanda7313 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu msabato ameuliza swali zuri sana lenye nlijiuliza kutokea kitambo sana

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah 🥰

  • @samwellekuraa32
    @samwellekuraa32 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed Kwa kazi unayo Fanya, I hopefully people will absolutely tried to understand scripture more and they will able to see difference between the truth and which is not true indeed,even a fools know God properly, you can't lying about it God will always helps his people's

  • @IssaAbubakar-u3l
    @IssaAbubakar-u3l ปีที่แล้ว

    Allah akupe subra haliyajuu

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah akuifadhi

  • @davidwalker2144
    @davidwalker2144 ปีที่แล้ว +3

    Na muabudu Mola wako mpaka yakufikie mauti"
    He 54:23 said
    "And worship your Lord until there comes to you death "(Al-Hijr 15: Verse 99)

  • @jestymoresimon7576
    @jestymoresimon7576 ปีที่แล้ว

    Hakuna popote...
    Uislamu ulianzishwa na mtume wenu....
    Hakuna popote..Mungu hafanyi kazi na wapumbavu...
    Fanya kampeni yako ya uongo....ujue kuna mwisho wake kuzimu

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 ปีที่แล้ว +1

      Uisilamu ilianza na Adam not muhamd..research vizuri na uwache matusi

    • @jestymoresimon7576
      @jestymoresimon7576 ปีที่แล้ว

      @@Hi_20206 wapi imeandikwa Ivo ..?
      Mmjaa ujinga sana

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 ปีที่แล้ว +1

      @@jestymoresimon7576 siwezi kukutusi soma bibilia utaiona

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@jestymoresimon7576 Sasa Mutusi Yanini.

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @Khadija-he4pl
    @Khadija-he4pl 8 หลายเดือนก่อน

    Aslm alykum mimi nipo zanzibar ila nafatilia sana daaawa zenu ila mungu akupe moyo wa subra kwa hao wabishi

  • @IssaAbubakar-u3l
    @IssaAbubakar-u3l ปีที่แล้ว

    Ameen yarab

  • @Yusuf-r7n1q
    @Yusuf-r7n1q 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana sheikh

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 ปีที่แล้ว +4

    Asalamarekhum shekh Ramadhani? Nakuomba ukipata muda au nafasi uje na tz kututangazia neno la Allah coz unamawaidha mazuli ambayo uwafanya wakristo wamie ktk uislam.

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 ปีที่แล้ว

    Allah awafanyie wepesi

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 ปีที่แล้ว +1

    Safi kabisa

  • @remnant7480
    @remnant7480 ปีที่แล้ว +2

    Wakati mtapatana na Ruco mwangi nitafurahia sana...

  • @saumusaid7825
    @saumusaid7825 ปีที่แล้ว

    Mashaaallh

  • @MasaiNdiwa
    @MasaiNdiwa ปีที่แล้ว

    Ok kwangu Mimi mafunzo haya si mazuri Kwa kuwa mawaziliano yenu hawa watu wengine hawajapata ufahamu katika Bibilia ndivyo

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali 9 หลายเดือนก่อน +1

    Msipende ukweli Uliyomo ktk. Vitabu vya Dini, kuuita TAKA. Unaposambazwa kungine, hiyo ni kuelimishana.

  • @IshimweFaysari
    @IshimweFaysari 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 ปีที่แล้ว +4

    16 na Mwarvadi, na Msemari, na Mhamathi.
    17 Wana wa Shemu; Elamu, na Ashuru, na Arfaksadi, na Ludi, na Aramu, na Usi, na Huli, na Getheri, na Mashi.
    18 Na Arfaksadi akamzaa Sala, na Sala akamzaa Eberi.

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 ปีที่แล้ว +2

      Duh, sala ni jina la mtu au vp

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 ปีที่แล้ว +1

      Haya majina yanaonyesha wazi wazi kwamba ni ya kutengenezwa maana Dah🤔

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 ปีที่แล้ว +2

    Uyu msabado nibishi sn Nakunakitu Anajua Yy nikulalamiki Na siokua ajui hila .Amechukia mamboya wislam Etinikampunitu Allahy amuongoze

  • @abdulahihassankadir9770
    @abdulahihassankadir9770 ปีที่แล้ว +4

    Msabato ana mapepe tu Hana jipya....

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Kijana wa kikrist uko vizuri

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 ปีที่แล้ว

      Hakuna anaeweza kutoka nuruni kwenda gizani

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน

      ​@@pungopungo411ukristo Nuru Jina laKupanga naNduguzenuWapagani

  • @Adm9464
    @Adm9464 ปีที่แล้ว +6

    Msabato ameshangaa Sinagoogi ni Msikiti ya Kiyahudi

    • @yasinbenzimba
      @yasinbenzimba ปีที่แล้ว +1

      Shekh Ramadhan usiwe mkali mweleweshe mtu vizuri

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 ปีที่แล้ว +1

    Aaaah huyu mtu nimshindani sana

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 7 หลายเดือนก่อน

    Verily, it is not the eyes that grow blind, but it is the hearts which are in the breasts that grow blind
    22:46 Quran

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 ปีที่แล้ว +2

    Jamani sio dhambi kuingia uislam mpka bibie yenu hamuiyamini..😢

  • @Adm9464
    @Adm9464 ปีที่แล้ว +4

    Unlearned and disoriented msabato

  • @samxx411
    @samxx411 ปีที่แล้ว +3

    Hawaaminiki hawa mara watasema haipo kiroho

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh ramadhan wajulishe wakristo kua bibilia mpya imetoka na imetolewa maneno zaidi ya laki sita na yamepachikwa mengine ya kusapoti mambo ya LGBT na mengine yote yakishetani

  • @davidwalker2144
    @davidwalker2144 ปีที่แล้ว +2

    35:12 Surely the Lord Jehovah will do nothing, except he reveal his secret unto his servants the prophets. 😂

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 ปีที่แล้ว +1

    Mmhh uyo Edward atakua hamnazo coz hajierewi anaropoka tu kamavile majinuni, sasa watu Kama hao wapuuzeni coz sio muelewa dilini na watu wanaelewa.

  • @jameskitheka5791
    @jameskitheka5791 ปีที่แล้ว +1

    Mi sinaga Dini,ila hii Dini ya kiislamu imenyooka

  • @asharamdan363
    @asharamdan363 ปีที่แล้ว

    ramadhan wegine niwabishi bure tu wanapoteza mda tuu hapana la maana

  • @emmaemma6114
    @emmaemma6114 ปีที่แล้ว +2

    Edward alitegemea kuchekwa endapo atakubari maneno ya vitabu akaona bola ajitowe ufahamu akatae point.ndio akaleta mfumo uitwao changachanga staili ili achanganye mada na mwalimu achukie aseme basi yaishe.kumbe teacher yeye ata hachoki 🤣🤣🤣

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p ปีที่แล้ว

      Ustadh Ramadhan Allah guide you in Sha Allah

  • @NGINDA99
    @NGINDA99 ปีที่แล้ว

    HUYU KIONGOZI RAMADHANI ANAPOTOSHA WATU KUWAMBIA WASEME NYUMA YAKE HAJUI KUDEAL NA WATU ANAWARUKIA KUWAUZIA UWOGA KAMA WATOTO PUBLIC SPEAKING IS IMPORTANT.

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Asiwababaishe huyo Yesu kristo ana DNA ya mungu acheni wivu

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 ปีที่แล้ว +1

    Huyo msabato hajui kitu anapotezea wakati wengine wasipate uliza maswali wachana nae ramadhan aende jahanamu kama hatakua muisilamu

  • @AllyMasigo
    @AllyMasigo 10 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉ll🎉🎉llll

  • @davidwalker2144
    @davidwalker2144 ปีที่แล้ว +2

    22:06 Do not marry polytheistic women until they believe; for a believing slave-woman is better than a free polytheist, even though she may look pleasant to you. And do not marry your women to polytheistic men until they believe, for a believing slave-man is better than a free polytheist, even though he may look pleasant to you. They invite ˹you˺ to the Fire while Allah invites ˹you˺ to Paradise and forgiveness by His grace. He makes His revelations clear to the people so perhaps they will be mindful.

  • @salimmashjary8028
    @salimmashjary8028 ปีที่แล้ว +1

    Ramaadhan wachana naye huyooo chuki inamsumbuwa na itamuuwa.ako na chuki ya usilamu ALLAH atamshinda..mzungu amerongeshwa kwa uwongo.

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 ปีที่แล้ว

    Shekh usibishane na kafri aliyekubuu atakusumbua bure

  • @nooor1120
    @nooor1120 ปีที่แล้ว +1

    Huyo jamaa mbishi sijui huko nyumbani kwake anakaaje na watu wake.

  • @flowinmyamba950
    @flowinmyamba950 ปีที่แล้ว

    Mimi nacheka Hadi mbavu zimeuma Kuna watu wanavituko jamani

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน

    Hawezi kufa Usiku Asghafirullah Allah Atupe mwisho mwema

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 ปีที่แล้ว +1

    Ayi kanzu nguo ya wake, waaah vituko huyu mkisii bonoko, hana elimu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว +1

    Issue ilikuwa haijataja UARABUNI biblia ya kikristo akafuata biblia yake yeye anayoiamini.....kafika nayo inatamka hivyo hivyo...... Sasa sijui huko kanisani huwa wanafundishwa vitu gani.

  • @TruthInChristJesus
    @TruthInChristJesus ปีที่แล้ว

    Msikiti wa wayahudi Bali si ya waisilamu

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 ปีที่แล้ว +1

      Wayahudi ni kabila kama luo kikuyu maasai ...soma bana

  • @ibrahimmohamed3608
    @ibrahimmohamed3608 11 หลายเดือนก่อน

    Btw hawa wa Saturday kawaida yao wanakuaga wabishi

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat ปีที่แล้ว

    Jamaa ni mbishi sijui mke Atakuwaje😂😂😂😂

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 ปีที่แล้ว +1

    Mogaka enda uuze miwa upate hasara, mdomo ndio mingi. Hamini kitabu chake.

  • @bakariadamu6068
    @bakariadamu6068 ปีที่แล้ว +1

    Ati huyu kijana ni mbishi sana hapa watu wanaelimishana yeye amekazania ubishi tu

  • @rossarutasha9391
    @rossarutasha9391 ปีที่แล้ว

    Wasomee Yohan 3;16 msabato wasomee happ

    • @flowinmyamba950
      @flowinmyamba950 ปีที่แล้ว

      Nimepaona hata Mimi hapo yohana yaani tunapotezana kweli Kila mtu anavuta kamba

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว +2

    Hata sisi tunayo. Sabato siku ya jumamosi tuna pumzika tuna kula miraa nisiku ya saga dey

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว +1

    Heeehe huyo jamaa ni mbishi na atakuja kusilimu tu .. na akisilimu atauchukia ukristo

  • @davidwalker2144
    @davidwalker2144 ปีที่แล้ว +1

    38:58 bible says there will be a prophet coming from Arabia 😂

  • @djhassim_254
    @djhassim_254 8 หลายเดือนก่อน

    huyu kisii ni sumbua, ako na ujeuri mingi mwalimu Ramadhani. huyo amekuwa programmed na usabato

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน

    Hataki BibiliaYake🤣🤣🤣🤣

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 ปีที่แล้ว +1

    huyu msabato ni upishi tu....hata arabuni alisoma arap na alijaribu kusema ni jina ya mtu...labda anafikiria jina ya kalenjin. amekimbia nyumabani na mwandiko ni ile ile.

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Yesu alitabiliwa kabla .kwanini Muhamadi hajatabiliwa

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Wewe acha kubabaisha wasiojua kapambane na Ndasha

  • @chizylove9290
    @chizylove9290 7 วันที่ผ่านมา

    Huyo ni sikio la kufa

  • @essyshiroh4425
    @essyshiroh4425 ปีที่แล้ว

    Hii kisii kuelewa ni shida yawa😂😂😂😂

  • @jumamsembe1213
    @jumamsembe1213 ปีที่แล้ว

    Anajifanya janja sana mkisii ..😅

  • @juliusjamanda7313
    @juliusjamanda7313 ปีที่แล้ว

    Kwa hyo unamansha uislamu ulitoka Warabuni😅😅😅😅😅Biblia yasema arabuni sio Warabuni.....Ufunuo ulikuwa waenda Kwa watu waishio Arabuni sio watu wanaoishi Warabuni...na huo Ufunuo ulikuwa wasema nn kuhusu 😮😮😮na Ufunuo waeza toka ata wa Kenya je huo Ufunuo utakuwa wa Kenya ama Wanabii

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 ปีที่แล้ว

      Soma kwanza

  • @samuellubunga
    @samuellubunga ปีที่แล้ว +1

    1Mambo ya nyakati 1:16 hapo ni uzao wa adamu adamu akamzaa hadi hapo muhamethi
    Muhamethi alikuwapo kabla hata yeye ajaja sembuse Muhammad hacha kumpachika
    Isaya 21:13 ufunuo huo ni wa uarabuni
    Hao wanajulikana ndani ya biblia ni wana wa Ismael akuna andiko linalosema kua atakuja Nabii uarabuni hacha kupachika mambo ukinipa Hilo andiko na silimu

    • @hasheemcarrick3141
      @hasheemcarrick3141 ปีที่แล้ว +1

      Hata usipo silimu Uislamu hauna shida na ww. Ivi unajua ukoo wa nabii Muhammad!? Km ndo nakuelimisha ujue, mtume Muhammad ukoo wake umefika hadi kw nabii Ibrahim kupitia nabii Ismael.

    • @samuellubunga
      @samuellubunga ปีที่แล้ว

      Nipe andiko la ukoo wa Muhammed

    • @enigma7727
      @enigma7727 ปีที่แล้ว

      Wana wa Ismael ni wanani?