Mh Zitto Kabwe ausishwa na ulaji wa Escrow | BUNGE TBC1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mh. Livingstone Lusinde ametuhumu Zitto Kabwe kwa kupokea pesa kutoka kwa watu waliohusika na sakata la Escrow na kumtaka atoe maelezo

ความคิดเห็น • 27

  • @mtotowaspurs
    @mtotowaspurs 8 ปีที่แล้ว +2

    LL, bungeni rahaaa tu!

  • @nyanyimarwa2637
    @nyanyimarwa2637 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaaa Lusinde bana wewe hatari sana

  • @abuuaboubakary7460
    @abuuaboubakary7460 9 ปีที่แล้ว +1

    kila litendekalo ni kwa mapenzi na idhini ya Allah.

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kibajaji 😂😂😂 hatar sana, toba Nola huyu bunge alinogi

  • @jdawa6569
    @jdawa6569 9 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahahahaha Safi saana

  • @isaackmabuga6583
    @isaackmabuga6583 9 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh it's amazing kwakwel

    • @damianisrael3373
      @damianisrael3373 3 ปีที่แล้ว

      i know I'm quite randomly asking but does anybody know of a good place to watch newly released series online ?

    • @dennisterrell5036
      @dennisterrell5036 3 ปีที่แล้ว

      @Damian Israel i watch on flixzone. You can find it by googling :)

    • @kyngadrian4692
      @kyngadrian4692 3 ปีที่แล้ว

      @Damian Israel i use Flixzone. You can find it on google :)

    • @isaiasjoe5795
      @isaiasjoe5795 3 ปีที่แล้ว

      @Damian Israel Try flixzone. Just google for it :)

  • @piusmnanka2755
    @piusmnanka2755 5 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kuona mbunge hovyo kama huyu Lusinde...!

  • @fransicsamson106
    @fransicsamson106 6 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kujua kuwa wabunge WA CCM wanaongea nipale swala lawizi linapo ibuka kutoka upinzani kuwa kuna ufisadi wapesa za WA tz utaona mapovu yawabunge WA CCM wanavo poteza mada hiyo ndio maana CCM na serikali take hawapendi mpinzani ashnde nikwakuwa mwiz hapendi kuonwa naasie mwizi lusinde walikupaje ubunge wana nch hao ?hivi ulikuwaga na akina senga masanja nk hufai hata ubalozi we we bungeni nitim yamatus wenzio Tim yamakof na ndioo mpuuzi

  • @hamdanisalumu7344
    @hamdanisalumu7344 5 ปีที่แล้ว

    Sikulaum wew waliokupa kula

  • @isayalyaka8178
    @isayalyaka8178 9 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU MKUBWA

  • @dct4lif
    @dct4lif 9 ปีที่แล้ว +2

    Issue sio Zitto issue ni pesa zilizoibiwa haya majitu majinga sijui yanafikaje bungeni

  • @josonwakitaa2092
    @josonwakitaa2092 9 ปีที่แล้ว

    sasa mbona ukuyaweka wazi mpaka zitto alipomwaga nyeti?

  • @emmanuelmhongole9192
    @emmanuelmhongole9192 9 ปีที่แล้ว +3

    Lusinde unaonekana ulikuwa comedian enzi za utoto wako na ndo unatuletea bungeni leo hii.....
    Tunahitaji pesa zetu zirudi...kumbe we ndo haramu ya bunge maana hoja zako za kitoto wakati muhimbili watu wanakosa madawa na pengine wanakufa kabsaaaaa.........

    • @avetealimasi2262
      @avetealimasi2262 7 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Mhongole na ndo maana akina zitto na lissu wanalitikisa sana taifa la tz kwa kuhipinga serikali ya awamu ya tano.na hapo sasa ndo watauwa kwa nini mungu kamtuma yesu duniani?

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 7 ปีที่แล้ว +1

      ndo mnavyopeana mioyo hivyooo

  • @babarebecca304
    @babarebecca304 7 ปีที่แล้ว +2

    so what ! haahha !

  • @pespesa100
    @pespesa100 9 ปีที่แล้ว

    Jamani inauzunisha sana, huyu ni Mbunge? Sasa swala la Zito limetoka wapi, anasema "tusije kuzungumzia wakati walaji tupo wengi"sasa anamaana lifumbiwe macho? Pumbavu sana yaani paka nataka kulia sijuwi ni wawapi huyu

  • @popigagia7183
    @popigagia7183 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂

  • @edsonbrown7669
    @edsonbrown7669 9 ปีที่แล้ว

    Pumbavu xana ccm