ความคิดเห็น •

  • @RAMADHANKHAMIS
    @RAMADHANKHAMIS 2 วันที่ผ่านมา

    Kisa hiki ni sehemu ya mpango mkubwa ilopangwa Januari 1964, chini ya East African Rifles, baada ya Kenya, Uganda na Tanzania kupata uhuru. Sababu kubwa ilikuwa ni wanajeshi wa Kiafrika walihisi kubaguliwa, na bado wakuu wa majeshi walikuwa bado ni Waingereza. Nchini Kenya ilifanyika Kahara Garrison, kaskazini kidogo mwa Nairobi.

  • @antarsangali4456
    @antarsangali4456 3 วันที่ผ่านมา +1

    Fitna kitu kibaya sana duniani.Oscar Kambona angekuwa na nia mbaya ya kumpindua Julius Nyerere,siku ile ile akiwa Ikulu akizumgumza na askari mbele ya vipaza sauti vya Radio Dar es Salaam angetangaza kuwa serikali imepinduliwa na iko chini yake.
    Kwa ujasiri na ushupavu wake ametangaza na kumtaka Nyerere mahali alipo arudi na nchi iko katika mikono salama

  • @RashidNuru-l1g
    @RashidNuru-l1g วันที่ผ่านมา

    Kinachotakiwa ni abdul sykes kwenye Google pliz put the exact history tusome pliz

    • @samitungo
      @samitungo วันที่ผ่านมา

      Kuna kitabu cha maisha yake kimechapwa London 1998 kwa Kiingereza na Nairobi 2002 kwa Kiswahili.