Mpole, mnyenyekevu kwa watu na kwenye huduma! Kaka niseme tu kweli kuwa wewe umekuwa ni sababu ya mimi kurudi kanisani kupitia nyimbo zako zote hasa ktk wimbo wa nguvu ya imani,nilipotoka na mbele yangu! Aisee sijui niseme nini kwa ile kitu Mungu ameweka ndani yako! Barikiwa mnoooo
Nakukubari sana kaka kutwa nzima napiga nyimbo zako.hadi watu wanasema wewe umepewa nini na huyo kaka nawajibu nikisikiliza nyimbo zako nafarijika sana moyoni mwangu najiona kama sina magumu kumbe ninamagumu sana
Nice & cool interview, Glory be to God. Hongera Sana Kwa kupeperusha bendera ya YESU vema. Mungu aendelee kuitunza karama yake ndani yako na kukuinua zaidiiiiiiiiiiiiiiii
Hapa ndipo tunakoasea kidogo, tafazali kwa kuwakosoa. Zamani nyimbo zilikuwa zinatusogeza mbele za Mungu nakutufanya kuwa watu mwenye kububujika machozi ikisikiza nyimbo za tenzi za Rohoni leo sisi ni wanabiashara kupitia nyimbo utunzi wetu unatokana na hali tunayo pitia ili kutufariji lakini hauna haja ya kutuokoa injili kupitia nyimbo uokoa ndio maana inaitwa gospel songs nyimbo za injili

Amina kaka nabalikiwa sana na kazi zako
Uko vizuri Kaka Ambwene Mungu akuinue zaidi, Nimependa hiyo ya kubaki kwenye msingi wa Imani
Nakukubari sana kaka kutwa nzima napiga nyimbo zako.hadi watu wanasema wewe umepewa nini na huyo kaka nawajibu nikisikiliza nyimbo zako nafarijika sana moyoni mwangu najiona kama sina magumu kumbe ninamagumu sana
I just loved this man, siku niliyojua anaoa roho iliniuma haswa coz i always wished to get this kind of man who is so God fearing and very humble
Pole binti
Napenda san nyimbo za ambwene mungu akutunze🙏🙏
The way you tackle question I love it this is God wisdom that is inside you keep on nourishing Ambwene
Duniani twapita wenyeji Wetu mbinguni... Safari yetu imepamba moto alieianzsha ni YESU mwenyez ✅ wimbo bora sana huu
Nikihisi kuchoka au kukata tamaa huwa nakuja youtube kusikiliza nyimbo zako... barikiwa
Nakupenda mtumishi. Unatufanya tuujue ukuu wa Mungu na Nguvu zake
Nakupenda sana Ambwene, nakubali utumishi wako
Nice & cool interview, Glory be to God. Hongera Sana Kwa kupeperusha bendera ya YESU vema. Mungu aendelee kuitunza karama yake ndani yako na kukuinua zaidiiiiiiiiiiiiiiii
Ubarikiwe mtumishi mungu azidi kukuinua unahubir vizur kwa njia ya iimbaji
Sure, the guy is very focused
Napenda nyimbo zako mtumishi napenda wimbo wa Giza mawe misumari kamwe haitonasa miguu yangu unanifanya nijipe moyo
Mm pia natiwa nguvu na huduma yako mungu azid kukubarik
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu, hakika wewe ni mnyenyekevu ata nilivyokuona live Mungu akuinue daima🙏
Mungu akupe umrii mrefu kaka ambwene una nibariki sanaa
Kaka kazi yako ni njema Mungu aendelee kukuinua
Kuna siku nilikuwa nakata tamaa biashara ngumu ukanijia wimbo wa Ambwene nilianza Upya na niliuza mzigo ukaisha kwa faida kubwa
Love you my brother good blessed you
Nyimbo zako,zaniinua. Barikiwa
Baba wewe ni mchungaji,ukasome uende Marekani,ukasomee uchungaji
Kusema kweli napenda saaaana unachofanya kinanibariki sana
Asante kusini kwa kututolea waimbaji ambwene mwasongwe, Martha mwaipaja, Joel Lwaga na wengine wengi
Hongera sana Ambwene wimbo wako wa acha tuteseke naikumbuka sana
Mungu azidi kukuinua Mtumishi
Yesu anaweza yooote
Nyimbo ya mama mjane inaniinua sana barikiwa sana.
Nabarikiwa saanaa
Mimi nakukubali Sana Mungu azidi kukuinua
Jina la Bwana libarikiwe mno; utumishi wako unanigusa kila iitwapo leo. Sifa na utukufu kwa JEHOVAH
Nabarikiwa mnoo na nyimbo zako
Hapa ndipo tunakoasea kidogo, tafazali kwa kuwakosoa. Zamani nyimbo zilikuwa zinatusogeza mbele za Mungu nakutufanya kuwa watu mwenye kububujika machozi ikisikiza nyimbo za tenzi za Rohoni leo sisi ni wanabiashara kupitia nyimbo utunzi wetu unatokana na hali tunayo pitia ili kutufariji lakini hauna haja ya kutuokoa injili kupitia nyimbo uokoa ndio maana inaitwa gospel songs nyimbo za injili
Neno.. msingi!(consistency )
Naona Ndio siri ya Ambwene.
Kabisa spiritual things require consistency
Napenda kujifunza kwa tai
Kakangu nakupenda sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sasa ulivyoandika kichwa Cha habari Sasa, mmh
Ulitaka kiandikwe vipi ?
Mungu azid kukuinua mtumishi
Hyu kaka kiukwel kbs ni mnyenyekevu na yupo vizr barikiwa kaka
Amina mtumishi.
Nikweli Mtumishi Wa MUNGU nakukubali sana hupendagi kukulupuka
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu
Nakupenda Sana brother
Ambwene big up! Mtumishi kwa huduma ya kueneza habari njema!....Kunta...Kinte.
Nakupenda saana kaka yangu mwasongwe barikiwa sana
Napenda nyimbo zako mno
Ni kweli tupuu, Yuko Mungu
Mungu ni mwema sana hongera kwa kuamini katika kumtumikia MUNGU
Usajigwege kalumbu utwa endeleege ukutima bhwila bhwila amina
Na pia tunarudisha sifa na utukufu kwa Mungu,,,
Maji yakimwagika Kwa YESU yanasoleka!!!!!
MUNGU 🙏 AKUBARIKI UENDELEE KUTUBADILISHA
Mungu azidi kukubariki
Barikiwa sana
Mungu akubariki mpendwa. Umekuwa kioo.
Kioo kwa maneno ya nyimbo but ungejua matendo usingesema hivo
Big up sana
Ubarikiwe sanaa
Hekima yako Ambwene isaidie vijana tunashida
Hongera Sana mtumishi
Kumbe kisa cha kweli? !!!
Ingia ukafanye colabo Rwanda na akina Israel mbonyi waimbaji wa Gospel
Barikiwa sana sana mtu wa Mungu kwa kaz hii njema
Mungu Akubariki Sana sana
Mmoja kati ya waimbaji wanyenyekevu
Kweli kabisa Yani
MUNGU azidi kukuinua
Ubarikiwe
Safi mtumishi ambwene
Hongera kaka
Mungu nijalie hata robo ya hekima ya huyu ndugu, mzidishie umri mrefu na kumkuza katka huduma yake
Ubakiwe na Mungu
Napenda sana unachokifanya Mungu aendelee kukutumia
Kwann usiansike kichwa cha habari cha kweli tatizo nn?
Kwani vilivyoandikwa havijaongelewa humo ?
Good
Amen👏👏
MUNGU awe nawe daimaaa!!
🔥🔥
Amen Amen
Love
Nampenda sana huyu Mutumishi
Nizae na ww
Amen🙏🙏
Nioe
Ana family
Amben naomb unitafut
Gulf countries tunaotafuta tuko pamoja na wewe
Mh