Nilipita Kwenye Dhiki Nyingi, Maisha Ya Martha Mwaipaja Huyu Waleo Sio Wa Jana.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 284

  • @marystephen1183
    @marystephen1183 5 ปีที่แล้ว +40

    Ujumbe wa msingi apa ulionigusa ni neno wakati, kwamba napita sababu ya wakati na nitatoka sababu ya wakati...oooh JESUS I LOVE U SO MUCH ni wakati tu.....ubarikiwe Martha

    • @mwanaidikashoda5835
      @mwanaidikashoda5835 5 ปีที่แล้ว

      Nakupenda Sana dada mungu azidi kuku bariki

    • @sikiviabraitoni6741
      @sikiviabraitoni6741 5 ปีที่แล้ว

      Dada mungu akubaliki sana unanibalik sana

    • @sikiviabraitoni6741
      @sikiviabraitoni6741 5 ปีที่แล้ว

      kupitia uwimbajiwako Dada najifunza mengi kutokakwako mungu akubaliki sana

    • @Mzeiyaa
      @Mzeiyaa 5 ปีที่แล้ว

      @@sikiviabraitoni6741 yq TGQWV@-MTRWV bku. The

    • @vailethlinus8623
      @vailethlinus8623 5 ปีที่แล้ว

      MARY STEPHEN hh

  • @nyotampenda2967
    @nyotampenda2967 5 ปีที่แล้ว +10

    Tunakupenda ku Sena ukweli, kwangu mimi wewe ndo wa kwanza katika Gospel Martha, nyimbo zako zinagusa saana moyo wangu, almost all the songs. ❤️❤️🥰❤️🥰❤️🥰

  • @justinenabangal1367
    @justinenabangal1367 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤😢 ata Mimi huwa nyimbo zako hunito huzuni wakati nimezongwa na matatizo hongora Mather ubarikikwe maishani mwako

  • @user-dt1ex2el6t
    @user-dt1ex2el6t 4 หลายเดือนก่อน

    Martha mwaipaja nyimbo zako huwa inaguza sana Acha mungu asidi kukupenda sana....I like your songs mum.

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 5 ปีที่แล้ว +3

    Martha u r blzd sz , I love ur songs it's really inspiring me ,The song was released 2013 June I was facing difficulties of getting job nd final got it ,I felt gd nd this song use to encourage me .from i+971

  • @lovedoctorernestgoodboymov5432
    @lovedoctorernestgoodboymov5432 2 ปีที่แล้ว

    Ombilangu kwabwana. I really like this voice. Am here in BRAZIL. But wen II'I be back in the country I will have to meet you Martha . I will try"
    I really like your carange songs be blessed

  • @philisnjoki1247
    @philisnjoki1247 2 ปีที่แล้ว

    God bless you my sister Martha, watching from Kenya, love your songs so much.wish one day to meet you.hata Mimi napitia

  • @paulynekhalayi4030
    @paulynekhalayi4030 2 ปีที่แล้ว +1

    Martha you always touch my heart with your songs ,,may God keep and lift you up to the next level dear💞

  • @annemariba2454
    @annemariba2454 5 ปีที่แล้ว +7

    I love your songs you are blessing to many souls

  • @deogratiashaule5224
    @deogratiashaule5224 5 ปีที่แล้ว +3

    Martha you always bless my heart. May God keep you to the next level.

  • @mbunge0375
    @mbunge0375 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama kuna mme yeyote chini ya jua ambaye anayeweza kumkwaza Martha huyu, katu hawezi kuishi na mke yeyote duniani. Martha uko vizuri kupindukia. Neema ya Mungu iwe nawe daima.

  • @rachelalinda7007
    @rachelalinda7007 5 ปีที่แล้ว +4

    Yani Huduma yako dada huwa unanibariki sana Mungu azidi kukuinua nyimbo zako zote zina ujumbe unaogusa wengi.

  • @edwinlemayian3804
    @edwinlemayian3804 4 ปีที่แล้ว +2

    Martha may the good Lord bless u u really tach my heart evrytime I hear ur songs

    • @agustinonyigu1194
      @agustinonyigu1194 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akujalie katika kuhubili ujumbe wa mungu

  • @lovedoctorernestgoodboymov5432
    @lovedoctorernestgoodboymov5432 2 ปีที่แล้ว +1

    Oohh my GOD this voice this voice blessed

  • @estermalembwamalembwa1936
    @estermalembwamalembwa1936 4 หลายเดือนก่อน

    Martha mwaipaja ubarikiwe kwa nyimbo nzuri natamani kuimba nawewe asahsante

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว

    Ameeen God is great nakupenda sana dada huwa unanifariji na message zako zitaishi nami milele Moyoni mwangu alleluyah

  • @josephkuta7244
    @josephkuta7244 4 ปีที่แล้ว

    I love your message Martha mwaipaja npnda gospel yesu awe nawe nko Kenya yesu tukumbke snaa

  • @julianacharles5720
    @julianacharles5720 5 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana nyimbo zako zinanibariki Sana

  • @chesangimmaculate2869
    @chesangimmaculate2869 5 ปีที่แล้ว +2

    Martha indeed God is great an might is a good doing only good things to those that love him, love u Martha

  • @julytito3891
    @julytito3891 5 ปีที่แล้ว +7

    Dada umeniliza eti ,naguswaga sana na nyimbo zako pia

  • @junefother7890
    @junefother7890 3 ปีที่แล้ว

    Oooooh kweli ilanakupenda nyimbozako nazipenda sana i'm from Burundi hatanawarundi wanapendanyimbozako

  • @YussufSelemani-nl3jz
    @YussufSelemani-nl3jz 7 หลายเดือนก่อน

    Popote nilipo nafulahikia nakusikia nyimbo zako kila muda.Mama shukulani Mungu akuwe pamoja na wewe milele na milele.Amina🙏🙏

  • @childofgod1131
    @childofgod1131 4 ปีที่แล้ว +2

    Martha mwaipaja napenda kazi yko saana... May God bless you

  • @rosemwambopo5533
    @rosemwambopo5533 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana my sister nyimbo zako zinanibariki sana

  • @gladysmakamu573
    @gladysmakamu573 4 ปีที่แล้ว

    Mammy you always encourage me,your songs motivates me too

  • @lovedoctorernestgoodboymov5432
    @lovedoctorernestgoodboymov5432 2 ปีที่แล้ว

    Martha mrembo . I really like that song

  • @johnesther5388
    @johnesther5388 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nikiwa huku Kenya Martha unanipa motisha sana Mungu akubariki akuzidishie nguvu uzidi kumwimbia milelee daima

  • @janetrixaddy5320
    @janetrixaddy5320 2 ปีที่แล้ว

    Martha!You are a beautiful jewel in the kingdom of GOD. GOD truly keep you dear!!!!

  • @JosephinePeter-e7z
    @JosephinePeter-e7z หลายเดือนก่อน

    Dad matha ninakupenda san mana nyimbo zako nzur san Zina kweli ya mung hongera dad

  • @mwajumahamisi6738
    @mwajumahamisi6738 5 ปีที่แล้ว +6

    Kwa mara ya kwanza kununua album ya huyu dada ni alipotoa album ya ombi langu kwa Mungu. Ilinitoa mahali.

  • @andrewkitaly6003
    @andrewkitaly6003 5 ปีที่แล้ว +3

    uncle jimmy bwana yesu asifiwe naomba nikukumbushe kuwa next time utupe fursa ya kumjua mwimbaji kiundani yaan maisha yake ya awali na ya sasa namaanisha historia yake kwa kina ni hamasa kwa watu wanao pitia changamoto ambazo zina shabihiana na zake.
    ahsante na ubarikiwe

  • @sahaabalsahaab1373
    @sahaabalsahaab1373 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa dada kunawakati wa mungu kabisa. Ubarikiw sana dada martha

  • @juliakayesi8589
    @juliakayesi8589 4 ปีที่แล้ว

    Dada nyimbo zako mbili za nifundishe kunyamaza najaribu la mtu sio kwamba ametanda dhambi ulitia moyo nikiwa katika dhiki katika ndoa yangu.mimi nimuimbaji was injili na ninatarijia Mungu kuniinua from Kenya..I believe one day I will meet you and mum Christina shusho.i wish nifanye wimbo Moja nawe

  • @ESPERANCEMAVE-qp8ps
    @ESPERANCEMAVE-qp8ps หลายเดือนก่อน

    Merci ma sœur unanisaidia sana tena sana.

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 ปีที่แล้ว

    she's real beutifuly love u sana 😍😍
    apo kweli mitandao sio poa

  • @babatheochriss4647
    @babatheochriss4647 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mtumishi wa Mungu..

  • @bernaldfedrick7275
    @bernaldfedrick7275 4 ปีที่แล้ว

    Huyo mtumishi wa mungu yuko vizuri saana, anapointi nzuri saana,MTU amabye sijamuelewa katika maelezo yake ni Lazaro Baraka

  • @YussufSelemani-nl3jz
    @YussufSelemani-nl3jz 7 หลายเดือนก่อน

    Oooh Mamy thank you very very much 🙏🙏👍👍

  • @user-ju5ed4wc2n
    @user-ju5ed4wc2n 7 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Matha na nyimbo Zako zote unanitia Moyo kwa wakati ninaoupitia niMungu ktk maisha yangu

  • @nkuluolda8757
    @nkuluolda8757 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki na azidi kukutumia dada

  • @rachelmwaki7454
    @rachelmwaki7454 5 ปีที่แล้ว

    Time zone, barikiwa Dada Mungu aendelee kukutia Nguvu

  • @patiencenganaki7831
    @patiencenganaki7831 11 หลายเดือนก่อน

    Te bénisse richement

  • @nkwabimasanja3474
    @nkwabimasanja3474 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubarki dada angu Martha

  • @obbymark8556
    @obbymark8556 5 ปีที่แล้ว +31

    Uncle Jimmy mm nashauri kwenye interview za waimbaji wa Gospel muwe mnahoji maswali mengi ambayo watu wengi wanahitaji kujua kuhusu huyo muimbaji mfano ,amezaliwa wapi, elimu yake ,maisha yake binafsi na vitu anavofanya nje ya mziki wa injili maana Kuna mambo mengi ya kujifunza kutokana na historia zao na maisha yao binafsi msihoji maswali ambayo yapo wazi na tunajua

  • @marietajohn2913
    @marietajohn2913 5 ปีที่แล้ว +2

    nakupenda sana martha mungu azidi kukubariki dada

  • @flattshao5004
    @flattshao5004 2 ปีที่แล้ว

    May GOD bless you

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen dadake Mungu akuinue zaidi

  • @philininomhenzi396
    @philininomhenzi396 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awe nawe daima Dada Martha nyimbo zako czichoki kila mara

  • @sarahodenyi6940
    @sarahodenyi6940 5 ปีที่แล้ว

    Mimi sanasana napenda nyimbo zako Dada.....

  • @cuthbertzillale6136
    @cuthbertzillale6136 2 ปีที่แล้ว

    Wewe dada mie nàkupendaga sana sana na hakuna nyimbo Yako hata Moja ambayo haipo kwenye simu yangu...yaani nilianza kukuelewa kwenye nikitafakari jinsi Mungu yaani Sasa hivi tena hizi nyimbo ni Kwa neema ndo nyimbo niliyoweka kwenye muito wasimu yangu...Mungu akubariki sana

  • @sophianolle4007
    @sophianolle4007 5 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe Dada angu nakupenda bure mie

  • @joycemushi1720
    @joycemushi1720 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana dada matha kwa kupitia wewe na mm napata matumaini ,Kama Mungu alikukuka naaamin na mm sikumoja atanikumbuka.

  • @mponelasijaona1078
    @mponelasijaona1078 4 ปีที่แล้ว

    Asante dada matha kwa ujumbe mzuri,tatizo wakati

  • @monicambise3146
    @monicambise3146 5 ปีที่แล้ว +4

    Mimi sipendi kelele napenda utulivu. Ubarikiwe dada napenda nyimbo zako haziumizi masikio

    • @trophainamagogwa1163
      @trophainamagogwa1163 5 ปีที่แล้ว

      Monica Mbise ndiyo nyimbo zinazoinua kiroho siyo z Ndomboro ya Solo

    • @ndebilecharles9461
      @ndebilecharles9461 4 ปีที่แล้ว

      dada naitwa happy kutoka bariadi simiyu nawapenda sana nataman na mm niwe mwimbaj kama wew na mdogo wako
      love u so much

  • @deborathomas1996
    @deborathomas1996 5 ปีที่แล้ว +1

    Dadaangu nabarikiwasana nyimbo zako natamani kufata nyayo zakoo

  • @user-wm6vc2hp5b
    @user-wm6vc2hp5b 7 หลายเดือนก่อน

    Martha mungu akubarki sana nyimbo zako nizur sana

  • @giseleekosila2749
    @giseleekosila2749 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe dada kwani unanipa kumpenda sana Mungu.

  • @somiaal8019
    @somiaal8019 5 ปีที่แล้ว +9

    More love kutoka 254

  • @philipmngolia3359
    @philipmngolia3359 4 ปีที่แล้ว

    so powerful

  • @jonathanfoya4940
    @jonathanfoya4940 5 ปีที่แล้ว

    Hongera dada

  • @mchuumchu9801
    @mchuumchu9801 5 ปีที่แล้ว +4

    Ila kwa maringo!!

  • @scoviaouma1277
    @scoviaouma1277 2 ปีที่แล้ว

    Martha be Blessed so much,.

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 ปีที่แล้ว

    Amen dada Mungu akubariki

  • @munalook4477
    @munalook4477 5 ปีที่แล้ว

    Amen apewe shifa mungu Martha

  • @gracegracegrace1827
    @gracegracegrace1827 5 ปีที่แล้ว +8

    Huyu dada nampendea roho ya utulivu....una majibu ya hekima sana !! Nakupenda sana!!

  • @asiamakundana5014
    @asiamakundana5014 5 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana

  • @erastokomba8295
    @erastokomba8295 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe na kupokelewa na wakuu popote uendapo duniani, kwa wimbo , jaribu kwa mtu sio kwamba in mtenda dhambi ni kikombe tu lazima mtu apitie. Leo nayaona maisha kwa sura nyingine.Amina.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 ปีที่แล้ว +1

    She is the best,

  • @asiimweanthony9057
    @asiimweanthony9057 5 ปีที่แล้ว

    Amen dada nami Bado namhitaji Mungu

  • @meckytushabe2525
    @meckytushabe2525 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana MTU wa Mungu

  • @robertchris8819
    @robertchris8819 3 ปีที่แล้ว +2

    Ule wimbo wa Martha, inaitwa 'ombi langu kwa Mungu' kwa kweli uliniguza sana. Mpaka natamani nikutane naye ana kwa Ana nimpe zawadi yake. Kwa kweli mkimuona naomba mnikutanishe na yeye, Mimi niko kenya.

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 2 ปีที่แล้ว

    Huyu dada Mungu amuweke Kwa kweli Mwanamke wa TOFAUT sana yule Mume amepoteza dhahabu aliyoishika akairusha kuulia ndege na asijuwe kuwa lile jiwe Lina THAMANI zaidi kuliko ndege yule

  • @piushappyness226
    @piushappyness226 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda mno 😍 nashindwa niseme nini

  • @IrakazaAdonai
    @IrakazaAdonai หลายเดือนก่อน

    tusikate tama🙏🙏🙏 pia mimi hio nyimbo inanigusa mpaka sasa hivi

  • @sarahmunyiva5769
    @sarahmunyiva5769 5 ปีที่แล้ว +1

    I love u dada

  • @jacquelinembanda
    @jacquelinembanda 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema kwa kila jambo🙏🏽🙏🏽

  • @leahjohnson5813
    @leahjohnson5813 5 ปีที่แล้ว

    Mmebarikiwa nasi mnatubariki. Nakupenda!!

  • @nyemowami1381
    @nyemowami1381 3 ปีที่แล้ว

    I love u moree mamy May God give you a long life

  • @neemashabani8431
    @neemashabani8431 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Martha unanifariji Sana kupitia nyimbo zako

  • @marypeter9001
    @marypeter9001 5 ปีที่แล้ว

    Kweli Mungu anakutumia Martha Yani Mimi mbali na kuimba hata ukiongea mi unanibariki Sana Mungu akuinue mtumishi

  • @briannyiti208
    @briannyiti208 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwaipaja ♥️♥️

  • @anithasayoni6462
    @anithasayoni6462 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mpendwa

  • @patiencenganaki7831
    @patiencenganaki7831 11 หลายเดือนก่อน

    Vraiment que Dieu

  • @nowelaraymond5986
    @nowelaraymond5986 2 ปีที่แล้ว

    Big up mtumishi🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @gracepaul761
    @gracepaul761 5 ปีที่แล้ว +1

    love you dada Martha

  • @morrismkariko3373
    @morrismkariko3373 3 ปีที่แล้ว +1

    Na Martha anacheka poa😂😂,, anyway blessings to her

  • @ibrahimmallya2268
    @ibrahimmallya2268 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukutumia kwa viwango vikubwa Dada

  • @gracemwanjabala8073
    @gracemwanjabala8073 5 ปีที่แล้ว

    matha mpendwaa wanguu umeshavuaaa petee polee mamanguuu mungu yupo nawe

  • @DorineWakhisi
    @DorineWakhisi 3 หลายเดือนก่อน

    Kamamu nyimbo zako sana zinaguza mioyo za wengi kabisa

  • @lidiammbone6126
    @lidiammbone6126 3 ปีที่แล้ว

    Kweli watu hutoka mbali Sana jipe Raha mwenyewe ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @maryjustapeter5430
    @maryjustapeter5430 5 ปีที่แล้ว +8

    Matha Mungu azidi kkutumia kama apendavyo, tunabrkiwa sana.ushauli nalusihii usijichubue ngozi naona kama unabadrika ngozi kaa kama Mungu alivyokuumba. wwe nimzuri sana usialibu ngozi

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @Paschalinaandrew48
    @Paschalinaandrew48 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙇

  • @issaguyashi8321
    @issaguyashi8321 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Martha nipo na wewe kila wakati na unafanya vizuri sioni mwingine was kunihubiri you my number one

  • @nkinihelensalewa8506
    @nkinihelensalewa8506 3 ปีที่แล้ว

    Upo vizur dada hongera sana

  • @neybeneth6370
    @neybeneth6370 5 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana Martha

  • @magretngowi83
    @magretngowi83 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda sna

  • @balagamijewilsonbalagamije4720
    @balagamijewilsonbalagamije4720 5 ปีที่แล้ว

    Hongera matha na tabasam lako

  • @josephatondieki1071
    @josephatondieki1071 4 ปีที่แล้ว

    Hata wkt wa majaribu Mungu hupo na Mungu huyu anataka kkuonyesha kitu Fulani kwa maisha yako, mtegemehe Mungu mwenye hapadiriki .

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 4 ปีที่แล้ว +1

    Tafuta Roho mwenyewe akupe wimbo sbb Mungu ndio anajua anataka kusema nini na watu wake..