TUME HAITAACHA MTU MWENYE SIFA MICHEWENI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI
    JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO?
    WASILIANA NASI KUPITIA
    SIMU NAMBA
    +255-772 625 918
    EMAIL
    director@zec.go.tz

ความคิดเห็น • 7

  • @w4058
    @w4058 4 วันที่ผ่านมา

    Hasbunallah Waniimal Wakiil

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 5 วันที่ผ่านมา +2

    Wenyesifa ya uzanzibari hamukuwapa vitambulusho watanganyika mmewapa huu ni ujinga gani

  • @ismailmakame3972
    @ismailmakame3972 5 วันที่ผ่านมา

    Sifa yakua mtu mzanzibar inatosha msijidanganye. Wapeni hakizao watu. Muongopeni mungu.

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 6 วันที่ผ่านมา

    Na mukiwaacha watu musipowaandika ugomvi ndo utaanza mapema paka nyinyi kama mnatumiwa mujue mapema

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 5 วันที่ผ่านมา

    Mukifanya mazuri hatutaacha kuwasifu,ndo sifa ya muungwana kuonyesha uungwana wake, naombeni tusirudi huko tulikotoka.

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 5 วันที่ผ่านมา

    Mnauhakika hamjadhulumu watu?na baadhi ya watu kuwanyima haki zao?ila tu msisahau,dhulma haidumu..na haki ya mtu hailiki,na mlipaji hafi..anaona kila kitu,jitafakarini na kujitathmini

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 5 วันที่ผ่านมา

    Madhalimu nyinyi munandukisha watwana wenzenu waso sifa kuuwacha wazawa wano sifa.Mumefanya chaguzi ndogo 5 zoote zilijaaa uzalimu na dhukma.