Radd na Nasaha kwa Aliyekuwa Rafiki yetu Sheikh Hilal Kipozeo kwa Kuzua Visa vya UONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Radd na Nasaha kwa aliyekuwa Rafiki yetu Sheikh Hilal Kipozeo Allah Amuongoze kwa kuzua visa vya UONGO ili kuwachekesha wanaomsikiliza
    Mzungumzaji:
    Sheikh Salim Barahiyan

ความคิดเห็น • 312

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 5 หลายเดือนก่อน +2

    Naam, Sheikh Salim barayihan kamjibu vizuri sana Wala si kwa ubaya, allah awaongoze masheikh wetu.amiiyn

  • @saidkale6465
    @saidkale6465 ปีที่แล้ว +5

    Nimemfuatilia Mudiri toka miaka ya 98 Mungu amuhifadhi Barahiyan ni mmoja ktk watu alieleta haki ndani ya mji wa Tanga..Umemjibu kwa hekma raad zimeanza tokea miaka mingi iliyopita lazima alikuwa ajibiwe

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +6

    Sheikh Msamehe Kipoozeo, Kwa hakika ameteleza, umefanya mengi Tanzania ktk sekta mbalimbali kuanzia Elimu ya Dunia na Dini, na Allah atakulipa, nasaha yangu kwako Msamehe Sheikh Kipoozeo ,na Kipoozeo anatakikana akutafute Akuombe msamaha

    • @hamzayusuf1894
      @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว

      Wew barhiyan mezeya ka na uwahabi wako mawahabi hawana mungu afadhali wakiristo

    • @inamxmdsheekh1978
      @inamxmdsheekh1978 ปีที่แล้ว +1

      @@hamzayusuf1894 wahabi ni nini ?

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว

      @@hamzayusuf1894 lengo ni kusameheana na kuvumiliana, nawe Msamehe Sheikh Barayan kama amekosea

    • @sherallysherally1203
      @sherallysherally1203 ปีที่แล้ว

      صح

  • @omarabdallah372
    @omarabdallah372 ปีที่แล้ว +1

    Ma Shaa Allah Allah umeongea kwa hikma na upole wala hukumuongea Kwa ubaya Allah akupe hikma zaidi sheikh Salim....

  • @user-nr5vn8ou8d
    @user-nr5vn8ou8d 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashekhe wacheni kudhalilishana mtandaoni hii sio mafundusho ya bwana mtume Muhammad!

  • @salumsaid1433
    @salumsaid1433 ปีที่แล้ว +7

    بسم الله الرحمن الر حيم( واعتصمو بحبل الله جميعا ولا تفرقو ) وكونو عباد الله اخوانا

    • @joauchitlango3547
      @joauchitlango3547 ปีที่แล้ว

      Hilo ndilo la muhimu na barahiyani haja farikiana nae kaeleza muongozo na ukweli

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh ปีที่แล้ว +19

    Umma unaangamia. Tufundisheni Muongozo wa Kitabu na Sunna. Kipozeo yupo, ungemfuata faragha mkaelimishana ingekuwa bora zaidi kuliko kudhalilishana kwenye mitandao.

    • @sherallysherally1203
      @sherallysherally1203 ปีที่แล้ว

      Sheikh Salim AMFUATE SHEIKH WA "MIZIGO"?????? Sheikh wa Mizigo kisha Tangaza ALITAKA KUMPIGA NGUMI YA CHEMBE,( AMUUE) . Akahofia. Sasavunamtaka Sheikh Salim amfuate Kipozeo. Mbona Sh. "Mizigo " Hakumfuata kumnasihi wakati akiwa kwake Tanga.???? Badala yake, kafika Maulidini KUMFEDHEHESHA???? Sawa hiyo??? Ulitakiwa kumpa nasaha Sh. "Mizigo" Kabla hujampa nasaha Sh. Salim.
      من الدين كشف سترا عن كل كاذب وعن كل بدعي اتى بالعجاءب.

    • @abdulwahababdulkadir9965
      @abdulwahababdulkadir9965 ปีที่แล้ว

      Kwani kipozeo aliongelea wapi achenj mambo yenu maghurafy

    • @gharibmuhsin2450
      @gharibmuhsin2450 ปีที่แล้ว

      @@abdulwahababdulkadir9965 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naona utovu wa akili unaendelea kusokota

    • @nasirabdullah6227
      @nasirabdullah6227 ปีที่แล้ว

      Kipozeo yeye kamsema faragha alisema hadharani ndio mana anamjibu hadharan

    • @issamasanjala7413
      @issamasanjala7413 ปีที่แล้ว

      Ukiharibu hadharani bado utarekebishwa hadharani

  • @saidmussa9587
    @saidmussa9587 ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu iblahim Asante huyu shekhe anatafuta kiki mwanachuoni mwenyehikima hufuata mwenzie live live mumuni kwa muumin humdilik muumin kwa wanaonana hojakwa hoja

    • @saidmussa9587
      @saidmussa9587 ปีที่แล้ว

      Ukirusha madogo HIV tunakuona muimba taalabu TU hata kama una elm Kisha mnafk unajionnyesha wewe ni mwema sana mnatuhalibia din kwni wewe ukitoa mawaidha unadhan unatolea malobot watu wasicheke wanune TU wewe kama huna mawaidha Kaa na mkeo mliwaze utapata sawabu kuliko uje ulopoke TU

  • @abuibra
    @abuibra ปีที่แล้ว

    Tulizeni nyoyo zenu, mtafuteni njia yenye suluhu bora,msimpoteze kipozeo nafikiri kachoka anabobojokwa sana,mkutane mzungumze msirushiane maneno kwenye mitandao,italeta aibu msiwape fursa watu wa bid'a.tunawapenda mashekhe wetu chukueni hekma kuyasawazisha INSHA'ALLAH Mtakua pamoja.

  • @mohamedothman5792
    @mohamedothman5792 ปีที่แล้ว +3

    Allah akujaalie wewe na waislamu wote tuwe ni wenye kufuata njia iliyonyooka

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว +1

    Kapinga khitma tu sababu katika usomaji wake ameona ndivyo sawa …ni sehemu ya hitlafu….namkubali shegh hilali mpaka aingie kaburini hayo mengine khitlafu tu..hata maswahaba walightilafiana…..shegh hilali anabusara nyingi sana na anafalsafa Nzuri sana yakuongea .allah atubarik

    • @ZuleikhaAbdallah
      @ZuleikhaAbdallah ปีที่แล้ว

      Huyu Salim anashindwa kuelewa
      Sheikh hilali shaweji amefanya hvo kwasabb waislamu wasilemae wakaacha ibada kwa kutarajia wataombewa

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 ปีที่แล้ว +3

    Allah amuongoze.Baarakallahu fiik

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 ปีที่แล้ว +8

    barahiyani usijiite shekh mkubwa Mimi nime kufahamu kwa sababu ya ujinga wako. ujinga ndo ulio kupatia umaarufu. na una takiwa kuwa na shukran kwa Muhammad bakari na huseni hashimu wamekufundisha sana kw mijadala pamoja na kichwa chako kuwa kigumu angalau uka punguza matusi tu

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 ปีที่แล้ว +6

      Taratibu usimuite muislam mwenzio mjinga ni sheikh huyu

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 ปีที่แล้ว +2

      Siku nilikuwa najiona mjinga kuliko watu wote lkn nilipokuja kumsikiliza huyu bana akifasir aya ya Qur an ndo nikagundua kumbe huyu mjinga kuliko mimi

    • @salehaliy7198
      @salehaliy7198 ปีที่แล้ว +4

      @@maryamalli9090 mjinga siyo tusi bali ni sifa ya mtu,mjinga ni mtu ambae hana elimu fulani au hana ujuzi wa jambo fulani,angeitwa mpumbavu hapo ndiyo ingekuwa tusi

    • @ibrahim_427
      @ibrahim_427 ปีที่แล้ว

      @@salehaliy7198 Assalamu aleykum
      Kwaiyo wamaanisha mpumbavu ndio tusi swali je Qur'an ndani yake Kuna matusi ?ebu nisaidie hapo kwanza swali ikiwa mpumbavu Ni tusi je ndani ya Qur'an Kuna matusi✍️

    • @ibrahimmwilo1586
      @ibrahimmwilo1586 ปีที่แล้ว +1

      Kajiita shekhe au tunamuita shekhe au wewe pia mtu wa hitma

  • @jaffersuleiman5417
    @jaffersuleiman5417 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli kabisa kipozeo amekuw comedian mara mizigo ya madem kweli anachekesha

    • @wankyosmarwa3574
      @wankyosmarwa3574 4 หลายเดือนก่อน

      Kama huwajui masheikh basi acha kuongea vitu usivyojijua yaani ww unamuita Sheikh Hilall comedian kweli unamfikia Sheikh Hillal kwa elimu,swali je Mtume MUHAMMAD alikuwa hatanii watu enzi zake na watu walikuwa wancheka,kama hujui uliza sio kuongea vitu usivyozijua ,hawa ni masheikh wanajuana na wanatofauti zao usiingilie mambo usiyoyajua

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 3 หลายเดือนก่อน

    Nikweli wallahi sheikh kipozeo kabadilika alkua anamawaidha mazuri sana lkn kwasasa mmmhh sijui kapatwa na nn Allah atuongoze sote yaarab

  • @salehmdumbwa6181
    @salehmdumbwa6181 ปีที่แล้ว

    Mnaongea maneno mbaya sana kuhusu waislam wenzenu

  • @omarmkumba3547
    @omarmkumba3547 ปีที่แล้ว +2

    Dr mwakaaaa,big up

  • @abuqusay8912
    @abuqusay8912 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh wa Uislamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani

  • @albajuntv8946
    @albajuntv8946 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuparik sheikh

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    Pole pia kwa kukwazika

  • @ramadhanijohoiddi2899
    @ramadhanijohoiddi2899 ปีที่แล้ว +3

    MASHEIKH MITIHANI WA NASIHI DAJAL UNAWATAFUNA KIDOGO KIDOGO BILA KUJUA WENYEWE

  • @abuumkota5505
    @abuumkota5505 ปีที่แล้ว

    Subhaana llàah,, innaa lillaah wainna ilayhir raajiun kwann mashekh mnatuchanganya haya mambo sio yakubishana mitandaoni kaeni faragha muekane sawa,, inaamaana shekh kipozeo alitunga ? Na kwa nn atunge hivi amuogopi mungu?

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 ปีที่แล้ว +3

    Kipozeo hanaga mba mba mba... Huwa anakupa ukweli mchana kweupeee. Alafu anasema "hiyo ndio hakki, stahamili tu japo inauma". Hakuteti pembeni. Ila yote kwa yote tuachane na ushabiki kwnye dini ya Allah. Hivi mmesahau ile aya Allah anasema " Shikamaneni nyote ktk kamba moja na wala msifarikiane"??? Kuhusu kuchekesha, kuna namna nyingi za kufikisha fasihi kwa hadhira. Kama unaona watakuelewa na kuzingatia kwa njia ya kuchekesha, basi unafanya coz ujumbe wa Allah ufike. Wengine ukiwa serious sn kwenye daawa yako hawakuelewi. Tumche Allah bana. Mnatuchanganya sisi maamuma huku, msitugawe nyinyi masheikh. 🙁🙁🙁

    • @issamasanjala7413
      @issamasanjala7413 ปีที่แล้ว +1

      Iyo aya isitumike vibaya ikawa sababu kuchanganya haki na batili makusudio ya aya ni watu kushikamana na haki hata kama utakua peke yako ikiwa upo kwenye haki basi wewe utakua umeifanyia kazi iyo aya na kipozeo kazi yake kuchekesha kweli na ndio maana utamkuta na wasanii kama akina mondi na hana anacho waaambia zaidi ya kuwachekesha

  • @eliasnavytanga
    @eliasnavytanga ปีที่แล้ว

    Shukran Sheikh Salim, nakupongeza kwa kutumia lugha ya upole na busara. Allah azidi kukulinda. Amiin

  • @mussamtupa
    @mussamtupa ปีที่แล้ว +2

    KIPOZEO hana kundi hili jambo mm lili kua linanchanganya sana utamuona ktk shughuli za Maulidi anaenda na ujumbe anafikisha.

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110 ปีที่แล้ว +1

    Ma Sheikh wetu musichukiyane.

    • @ophaid
      @ophaid ปีที่แล้ว

      Hajaonyesha chuki, bali ametoa nasaha nzuri na kumuita nduguye.

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 ปีที่แล้ว +4

    Hakikia huu ni msiba mkubwa katika Dini takatifu MASHEKH KUJIBIZANA KATIKA MITANDAO ACHENI. TUMIENI VYOMBO VYA KIDINI KUWEKANA SAWA NA KUFIKISHA DAAWA
    DINI SI BIASHARA KUTAFUTA WATEJA. NIMEUMIA SANA ACHENI.

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 ปีที่แล้ว

      Yaani wewe acha tu mitandao imekuwa chombo Cha majibizano msiba huu

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 ปีที่แล้ว

      Mitandao ni njia mojawapo ya kuwasilisha ujumbe. Ukweli usemwe ili mbivu na mbichi zijulikane. Lengo sio wao ni sisi wafuasi tunaojifunza kutoka kwao wanazuoni.

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 ปีที่แล้ว

      @@mohamedothman5792 lengo sio sisi lengo ni wao wanaojibizana huwezi kupata elimu sahihi kwa wanazuoni Kama hawa tafuta mwalimu darasani tusome

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 ปีที่แล้ว

      @@mohamedothman5792 na sio mitandao. Mitandao hutumika kuongeza taaluma tu na sio kutafutia elimu

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 ปีที่แล้ว +1

      @@maryamalli9090 ukichafuliwa mtandaoni inabidi ujisafishe hukohuko mitandaoni ili wanaokuheshimu wajue udhaifu uko wapi. Akikaa kimya mana yake kilichosemwa kuhusu yy ni kweli.

  • @matendondambwe9527
    @matendondambwe9527 ปีที่แล้ว

    Mbona kamsifu vibaya zaidi uyo shekh ayubu kweli alisema yeye yupo sidiratul muntaa anapata kila taarifa Ina maaana alikua anajifananisha na allah ,duh subhana llah

    • @matataoneproduction5355
      @matataoneproduction5355 ปีที่แล้ว

      Wewe usikurupuke sikiliza vizuri maneno acha ujinga amesema shekhe alimwambia ni kama sidratul muntaha neno kama haimaanishi ni hakika yake

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma ปีที่แล้ว +1

    Shekhe msamehe watu kama hao ni wanaafiki na wanaangalia zaidi maslahi ya dunia ndio mana hawana msimamo nadhani kipindi hicho alikuwa akipata faida kutoka kwenu ndio mana alikuwa akikataa hitma sasa faida hizo hazipo anatafuta sifa kwa wanaomfaidisha insha allah tumuombee dua

    • @gharibmuhsin2450
      @gharibmuhsin2450 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 ปีที่แล้ว

      Kaajua ukweli ndio kafuata hapo zamani alipotea kama wasio nyua mkino wakati wa dua
      Bihisnil hatima yaa ALLLAH

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 ปีที่แล้ว

    ,za kiislam ikiongozwa Ansari NI,za zulma kitapeli wanufaika wao haiwasaidi waislam zaidi kuwazulumu

  • @jumaswalehe5085
    @jumaswalehe5085 ปีที่แล้ว

    Kiukwel huy shekh kipozeo tunamshangaa sana yani mawaidha yake yako nje kabisa na uislam sijui elimu yake alisomea wapi na alisomeshwa na nani kwasababu anafanya mambo ya ajabu sna lakin kwa bahati nzuri cc waislam wa Zama iz tunajitambua tunajua nani ni shekh na nani ni mbabaifu.wasia wangu kipozeo anahijika kupewa nasaha juu ya vichekesho vyake tkt dini ya allah

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 ปีที่แล้ว

    Omeongea point SANA

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd2550 ปีที่แล้ว +2

    Masheikh cku hiz hua mnaboa som tymz, kazi yenu kusengenyana tuuu hamjui kua mnapata dhambi au .......

    • @hamzayusuf1894
      @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว

      Kama amekuwa mtu wa suna sasa amekuwa mtu wa faradhai ni

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 ปีที่แล้ว +1

      😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄wanasengenyana

    • @mohdmohd2550
      @mohdmohd2550 ปีที่แล้ว

      @@maryamalli9090 Ndio sas wew unaonaje kila mtu anamsema mwenzie

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 ปีที่แล้ว

      Tena masengenyo yanayokera Ni dhambi Tena Ni dhambi maana Jambo la busara ilikua apigie simu au hata kumtafuta uso kwa macho angefanya Jambo la maana Sana Tena angelikua ametumia busara

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 ปีที่แล้ว

    ,haki anaijua e 18:42

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    Kumchekesha mwenzio ni sadaka wacha fitina kwani nani kamwambia ili uwe shekh unune tu muda wote utishiye watu tunaambiwa tuishi kama tutakaa milele na tuishi kama tutaondoka sasa hivi maana Kati na kati

  • @matendondambwe9527
    @matendondambwe9527 ปีที่แล้ว +2

    Tutambue ipo siku itafika tutajuta wachangiaji na watoa mada allah atuongoze

  • @yussufsalim
    @yussufsalim ปีที่แล้ว

    Kwa kweli uislamu haupedezi au haukufundisha kusengenyana au kuabishana hadharini .muislamu mwenzio ukihisi amekwenda kimakosa ni vizuri kuitana pembeni kwanza mkawekana sawa na kuelimishana hasa kwenu nyie mashekh kuliko kutoleana aibu zenu ni sawa na kuvunjiana heshima zenu kama nyie ni maaalim wakubwa ni sawa na kuwafundisha maovu waumini wenu kwa kuadhirishana nyie wenyewe mnaojiita mashekh

  • @InspectorAmarSaxena
    @InspectorAmarSaxena ปีที่แล้ว +2

    Sio vizuri na haipendezi kumtukana muislam mwenzio, au kumuita kurafi au kafir.

  • @KassimKassim-wv8db
    @KassimKassim-wv8db 4 หลายเดือนก่อน

    Napata huzuni sana nikiona masheikh tunaowaamini kutumia media kujibu vitu ambavyo si kuendesha dini yetu mbele.

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 ปีที่แล้ว +2

    Kipozeo sio mjinga tu bali ni mpumbavu kwenye dini

  • @fabssaleh7273
    @fabssaleh7273 ปีที่แล้ว +1

    ASSALAM ALAIKUM WA RAHMATULLAHI WA WABARAKAATUHU. Tupeni nasaha umma unaangamia. Tufunzeni masheikh, Hii haileti picha nzuri upande wa pili.

  • @shabanmohamed7071
    @shabanmohamed7071 ปีที่แล้ว +5

    Kipozeo yupo sahihi ,wewe hakuna kitu ,imekuchoma ndio maana umejibu ,kichaa wewe

    • @inamxmdsheekh1978
      @inamxmdsheekh1978 ปีที่แล้ว

      Tafuta elmu uepukane na maradhi ya jahli

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว

      SubhanaLLAAH. Shabano ALLAAH akuongoze wewe na sisi. Kuwa na adabu na shekhe. Ameen

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 ปีที่แล้ว

      Waislamu wapenda bidaa, Kipozeo sio shekhe ni comedian. Mtu anachochea zinaa eti anapenda 'Mizigo'

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

      Kipozeo siku hizi anaboronga sana,.
      Kipozeo ndio huyo huyo aliyemwambia Mzee Yusuf kuimba inafaa

    • @ZuleikhaAbdallah
      @ZuleikhaAbdallah ปีที่แล้ว

      Upo sahihi kabisa sheikh hilali shaweji ni level kubwa kabisa

  • @wenge4x423
    @wenge4x423 ปีที่แล้ว +1

    Kipozeo ni Sheikh mkubwa sana na mwenye upeo mkubwa wa elimu ya dini,
    Yote aliyoyasema ni kweli na sisi tunamuamini na tunafata mafundisho yake.

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze ปีที่แล้ว +1

    Kipozeo shee wa
    Mizigo miss bantu😁 aache kula mirungi

    • @sogoramwinshekhe1464
      @sogoramwinshekhe1464 ปีที่แล้ว

      Hata wewe watu wanazijuwa aibu zako lakini wa naona aibu kuzisema

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze ปีที่แล้ว

      @@sogoramwinshekhe1464 unapaswa kutenda unachohubiri, SI kama wale wasemao fata maneno yng usifate vitendo vyangu,"

  • @peteswalehe236
    @peteswalehe236 ปีที่แล้ว

    I think instead of putting these words into social media... Kindly talk to your offender and forgive each other. A better way than showing us this

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 ปีที่แล้ว +2

    Mashekhe mnatusikitisha sana baada ya kukhubiri dini mnatumia media kwa kushambuliana mnaenda wapi? nasi je tumsikilize nani sasa

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 ปีที่แล้ว

    Unayemkosoa Kipozeo mtandaoni unafanya kosa kama yeye,
    Nawashauri mtafute jukwaa la mazungumzo kusahihishana maana njia hii mnayotumia inaudhi na sio njia sahihi ya kuondoa munkari

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498 2 หลายเดือนก่อน

    Kipozei nimemuelewasana yeyealikuwa anaongea hukuanaweka utani kwahiyo sheikh salim barayihan wala usichukie kwani Kipozeo nimtu wautanisana

  • @thegreatmind9178
    @thegreatmind9178 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh kipozeo ni comedian

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 ปีที่แล้ว +1

    Wengine piteni musichangie pls

  • @sudisalehe192
    @sudisalehe192 ปีที่แล้ว +5

    Comedian za kipozeo achana nae endelea kupambania sunna

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 ปีที่แล้ว

    Asalm alykum warahmatulah wabarakatuh ndungu waislm mtu anapo potea hukerebishwa ....kwa hio mkamilifu wetu Ni Allah ☝️Kama sheik kipozeo Yuko Sana ila yeye n mwanadamu akipotea tunampa nasaha nzuri na c yy tu soteñi....watu wapeane misamaa... Aslm alykum 🤝

  • @Auf-uh3jq
    @Auf-uh3jq ปีที่แล้ว

    Hawa Mashekhe Wanafiq kazi kukosowana wamekua wasanii hawana kazi kukosowana

  • @shaibhasan9233
    @shaibhasan9233 ปีที่แล้ว +3

    Wallah me sielew hahaha najionea taabu tu 🤣🤣

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 ปีที่แล้ว +5

    Sijawahi kumpenda Kipozeo. huwa simsikilizi kabisa tangu nione kuwa all he does ni kutaja viungo vya wanawake na watu wanacheka tu.

    • @wankyosmarwa3574
      @wankyosmarwa3574 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama humsikilizi we umejuaje kama anatajaje viungo vya wanawake,Acheni kuwasema vibaya masheikh wakubwa,HILALI SHAWEJI MAKARANI/KIPOZEO huyo ni sheikh mkubwa sana,Allah amuhifadhi na amzidishie sheikh Kipozeo

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 ปีที่แล้ว +3

    Kipozeo kama ameanza kwenda kwenye maulid basi kapotea

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 ปีที่แล้ว +1

      Umepotea ww bila ya maulid uwalii utausikia t

    • @kadizosea6250
      @kadizosea6250 ปีที่แล้ว

      Angeenda disko ungesemaje?au unafata mkumbo choko ww

    • @abuuayman804
      @abuuayman804 ปีที่แล้ว

      Kama mnaipenda dini acheni maneno machafu Allah atatupa uongofu,,lkn kwenye matusi ndo mtaangamia kuweni na subra na tumuombe Allah atuonyeshe haqi iko wap

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 ปีที่แล้ว +3

    ina onekana kisa alicho toa kipoozeo. ni swahihi kabisa haja unda kwa mujibu wa maelezo ulio yatao. una sema misikiti ya kighurafi, uta achaje kumtusi shekh. hakuna ulicho fanya ila ni kutilia nguvu tu maneno ya kipoozeo. nibora unge nyamaza tu

    • @rizikilukali1558
      @rizikilukali1558 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli amejithibitisha na amethibitisha maneno ya shekh kipozeo

    • @rayasalum3044
      @rayasalum3044 ปีที่แล้ว

      Shekhe kipozee more life NAmpenda kwa ajili ya allah

  • @mylastwords4you
    @mylastwords4you ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum chunguni coments kabla ya kuandika hakika malaika wanarekodi matendo yetu tuwaache viongozi wetu watufundishe tutafute umoja kwa wote. Namuomba Allah atuongoze ummah muhammad.

    • @ramadhanijohoiddi2899
      @ramadhanijohoiddi2899 ปีที่แล้ว

      Apo kinachotakiwa wamenasa na mitihani ya masihi DAJAL MITIHANI yake ni kuwagombanisha kati yao na allah

    • @alibilali9944
      @alibilali9944 ปีที่แล้ว

      Hapo hakuna mafundisho, bali kuna mzozo baina ya hawa wawili, ndio cheikh anatuletea na kukiuka mafundisho, mtu harekebishwi kupitia mitandao

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 ปีที่แล้ว

      Mtu kuchekesha nitatizo kwenye Dini mbona watu wengine anasikiliza kupitia kuchekasha tatizo liko wapi

    • @mtumwasamaki6911
      @mtumwasamaki6911 ปีที่แล้ว

      Upumbavu mtu hapana busara na hekma ya elimu ya dini

  • @nasirabdullah6227
    @nasirabdullah6227 ปีที่แล้ว

    Shekhe anaegombana na mwenzie huyo anamatatizo ajitathmini vizuri

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว +1

    Mm huyu kipozeo nilkua namkubali sana lakini tokea nimuone kwenda kufungua kipindi kwa daimond sikuwahi kumuelewa tena.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    Ayo Mambo yapo malindi Kenya

  • @salummsei4725
    @salummsei4725 ปีที่แล้ว

    Kwa kipozeo ataangamiya tu kwakuwa analeta masihala katika dini ya allah

  • @trayoversion
    @trayoversion ปีที่แล้ว +1

    Hizi dini za kikoloni tulizoletewa zitaendelea kutugawa mpk tutakapo amua kurudi kwenye ukweli wa Asili yetu

    • @SheikhSalimBarahiyan
      @SheikhSalimBarahiyan  ปีที่แล้ว +2

      Asili yenu ni Ipi ?

    • @trayoversion
      @trayoversion ปีที่แล้ว

      Asili yako wewe ni Babu yako mzaa Babu wa Ma babu zako ambae mwenye umri kama mtume Muhammed ila haumjui na hautaki kumjua na umeamua kumtakia kheri mtu mwingine kabisa na kumsahau huku ukikaririshwa mababu wa kikoloni ndio watakatifu kuliko Babu zako wewe
      Hakuna Mwarabu atakuja hata siku moja kuwatakia kheri Mababu zako ila wewe ndio umekua mstari wa mbele kuwatakia kheri Babu zao kwa kigezo cha pepo
      Leo hii kugawanywa huku imekua kama kituko kwenu mambo kama haya mnayofanya kwenye mitandao ni kama mnajitukana wenyewe mambo ya kukaa wawili kuyamaliza mnayaleta mitandaoni kila mtu akijiona ndio yupo karibu na Mungu kuliko mwenzie

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 ปีที่แล้ว

    mashekhe muache unafik na nyiny mnauhaibisha uislam kuchambana katka mitandao ni ujinga mmekosa sifa za kuwa warith wa mitume

  • @mbonimanakisenya4178
    @mbonimanakisenya4178 ปีที่แล้ว

    Jalibuni kusoma hata shule za kawaida jamani maana mnayobishana hamfai kuwa maarufu kiasi hicho mm nazani nyinyi ni waigizaji huko kwenye dini mnavamia tu muogopeni mungu

  • @user-mi1wc1vo7k
    @user-mi1wc1vo7k 8 หลายเดือนก่อน

    Shekhe kuwa na HEKMA !!!Kwann haukumfuata na kukaa chin nae,siyo. Uislamu huo.

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 ปีที่แล้ว

    Huyo nimchekeshaji anafahamika

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 ปีที่แล้ว +3

    Muache kipoozeo sio daraja yako, huyo mtu mwengine umuingii kwakila kitu

  • @ruu6592
    @ruu6592 ปีที่แล้ว

    Aibu

  • @fatmashariff2518
    @fatmashariff2518 ปีที่แล้ว

    Ingekua Bora kwako kabla hujajitokeza kwe mitandao umtafute muonane uzungumze nae .Sheikhe umeharibu kidogo. Lazima ukubali

  • @ibraa1157
    @ibraa1157 ปีที่แล้ว

    Saa ikiwa twapigana wenyewe kwa wenyewe itakuaje hebu mlaanini shaitwan mutuache watu wathwarika na nyinyi nanyi muMsifusifu Mtume kwa njia yenu

  • @ridhwaniyassir3579
    @ridhwaniyassir3579 ปีที่แล้ว

    Ni comedian msamehe

  • @matolasalimo6630
    @matolasalimo6630 ปีที่แล้ว

    Shee kipozeo sio comedian hata kidogo, ila nyinyi watu wa sunna muna wivu2 baada ya kumpongeza kipozeo mawaiza yake.

  • @twix1404
    @twix1404 ปีที่แล้ว

    Sasa hapo umepanic nini wakati ungeweza kumwita pembeni ukamwambia, ndio uukwana kama kweli wewe ni sheikh au umechukua kwasasabu ametoka kwenye Answar maana uungwana kama kakosea hakuna mkamilifu na wewe umeonekana mjinga tu.

  • @lugomemtamayaye9508
    @lugomemtamayaye9508 ปีที่แล้ว +2

    Kipozeo ni mnafiki,

  • @romkasmabdall351
    @romkasmabdall351 10 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kushindana na kipozeo ni mwamba na pia namkubali mnoo

  • @abuqusay8912
    @abuqusay8912 ปีที่แล้ว +1

    Uzayuni wa Uwahabi

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 ปีที่แล้ว +2

    Msimamo wa Hilali Shaweji juu ya khitma upo wazi mpaka leo Kipozeo Hakubali khitma usimzulie

    • @salummsei4725
      @salummsei4725 ปีที่แล้ว +1

      Wewe utakiwa na tatizo la akili hujitambui mchangiaji

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 ปีที่แล้ว

    Kwakweli huu ni ujinga na upotovu kwetu sisi maamuma maana hatujui nani wakumuamini, watu mnao jiita masheikh mnasutana kwenye mitandao!!sasa kama mna tofauti zenu kwanini msiende BAKWATA?? mbona mnatuonesha usanii kwenye mitandao au ndio mnatafuta kick??

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว +2

    Kipozeo njaa inamponza

  • @shabanimungazija7272
    @shabanimungazija7272 ปีที่แล้ว

    Sheh nyinyi ni watu wakubwa kama sheh kateleza inapaswa.uonane nae maana hakuna alie kamili ila hata yeye kipozeo nayeye ajaribu kuchunga maneno hayo

  • @mdoekibai3991
    @mdoekibai3991 ปีที่แล้ว +1

    Alikuwa bado hajasuma lkn badayakusoma ameelewa ndomana kakubali ila ww kweli ni waharam

  • @ahmedrageahmedrage9134
    @ahmedrageahmedrage9134 ปีที่แล้ว +2

    Yaniii nyinyi wazushiii

  • @SWABRASWALEH-nc2lf
    @SWABRASWALEH-nc2lf 5 หลายเดือนก่อน

    Hio maana ya khurafi ni nini? Mpaka waislamu waitane majina kama hayo

  • @tysonpambakali9260
    @tysonpambakali9260 ปีที่แล้ว

    Shehe kuja kusema haya umu sio sehemu yake lejea maneno ya mungu na mtume unakosoa sio shelia

  • @dijjahbeybe5096
    @dijjahbeybe5096 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni bidaa'h

  • @kadizosea6250
    @kadizosea6250 ปีที่แล้ว

    Kama mwanaume mvae live mbona unajifichaficha mm namkubali sana sheikh kipozeo

  • @abdulazizmapendano4692
    @abdulazizmapendano4692 ปีที่แล้ว +2

    Acheni na ma sherhe nyinyii tafuteni elimu!!

  • @mohamedmohamedy8311
    @mohamedmohamedy8311 ปีที่แล้ว

    acha maelezo mengi....ww ungekuwa mwema ungemfata mwnyw ungemwambia*** sio kutoa km matangazo

  • @kitengeayoub2649
    @kitengeayoub2649 ปีที่แล้ว

    Badala ya kuanika mambo azalani ungemfuata Shekh wote ni wamoja masheikh mnazngua

  • @allykisuda4568
    @allykisuda4568 ปีที่แล้ว +1

    Mirathi ya mtume ilikua ni elimu tu, na wala sio mnachokifanya,

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว

    Shegh hilali kapinga maulidi ila hajapinga watu,,,,sababu hata wakristo tunakaa nao ila alichokipinga ni kipengele katika uislamu na alishasema yeye kazi yake nikufikisha ujumbe tu kuongoa ni kazi ya muumba

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 ปีที่แล้ว +1

    TU.uogopeni Allah.

  • @mayangeramadhani8497
    @mayangeramadhani8497 ปีที่แล้ว +6

    Ukweli huwa unachomachomaaa ....

  • @sadasuleiman2404
    @sadasuleiman2404 ปีที่แล้ว +1

    Kipoozeo muongo sana

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +2

    sasa apo kasema uongo.vipi? ni bora ungenyamaza tu barahiya

    • @abuuayman804
      @abuuayman804 ปีที่แล้ว +1

      Kuweni na hikma hii nibdini msidharau watu ni vibaya zangu ni nasaha tu

  • @complex7582
    @complex7582 ปีที่แล้ว +2

    Faten daawa Sarafi

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh ปีที่แล้ว

    Halafu wakati wa MTUME S.A.W haya makundi yalikuwepo? Wakati wa Ukhalifa haya makundi yalikuwepo? Wakati wa Maimamu wakubwa wanne haya makundi yalikuwepo? Tufumbuke macho waislamu. HIZI NI DALILI ZA KIAMA.

  • @ramadhanimasalanga6310
    @ramadhanimasalanga6310 ปีที่แล้ว

    Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatu'hu
    Mnachofanya ninyi wenye ilmu ya Dini sio sahihi na Allah hapendi
    Ni kwamba kila mmoja wenu ameshindwa kum'face mwingine na kusema sheikh hapa umekosea? Si ndivyo Uislamu unataka hivyo?
    Sasa wa mwanzo anamsema mwinzie kwenye social media, na mwingine anamjibu mwingine kwa social
    Sasa huku si kuchambana huku ninyi masheikh? Mnatufundisha nn sasa?

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 ปีที่แล้ว

    Asalaam Aleykum Sheikh si kwa ubaya lkn ningependa hii COMMENT ninayo andika hpa uisome plz juu sisi ndio tunangoja nyinyi mtufundishe dini n kuishi n watu na nyinyi ndio mnaongoza kuanikana kw mitandao n mjue mitandao haifutiki jaribuni mrekebishe tafadhali; Ungefanya jambo la busara sana ungemtafuta ukamwelezea tu bila ya kumueka hapa TH-cam pia yeye ni binadamu km mimi tu n pia angekuelwa zaidi kuliko vyenye umepost hapa jamani mnatuonyesha nini jaribu kustiriana hapa hii video haifutiki kuambiana kupo na yeye ungemfuata ukamwelezea angekuskiliza hujafanya makosa kumwelezea ila umekosea kumwelezea kwa TH-cam

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 ปีที่แล้ว

      Yaani ww ndugu yangu mawazo yako km yangu vile, Kuna haja gani ya kuekana mitandaoni jamani mnapoteza thamani ya DINI