Tunamuhitaji Mbowe Kwa Sababu Tuna Hoja, 'Asiogope Watu Wanaoishi Nje ya Nchi'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Pamoja na mapenzi yote.
    Ila mwacheni Mwenyekiti wetu apate kupumzika.
    Mnamtaka sana je wakati chama kinaitisha maandamano hamjitokezi anajikuta pekee na mwanae.
    Acheni kumpaka mafuta.
    Mbowe umetumikia kwa uadilifu kubali kubadili madaraka na uendelee kuwa mshauri Mkuu.
    Upande wa pili wanakusakama mno kisa CDM.
    Tulizana fanya mabiashara zako support chama.

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sijui huyu mzee wa Iringa ni Bumunda ama!?
      Mwacheni Mbowe apumzike astaafu kwa heshima amwachie Tundulissu aongoze chama!
      Wengi wenu hapo mnafikiri kwa kutumia matumbo!
      Eti tumekuja kukushawishi na kukutia moyo kwamba uendelee na uenyekiti!
      Acheni tamaa onyesheni demokrasia ya kweli ndani ya chama Mbowe ajiuzuru kwa heshima amwachie Tundulissu. Mbowe jiuzuru ulinde heshima yako acha kukigawa chama kwa tamaa ya madaraka, Asante, Tundulissu anatosha kwa sasa.

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Busara zaidi

  • @AndersonMokiwa-is5ch
    @AndersonMokiwa-is5ch 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Aliyewatuma nani mimi ni mwanachama kutoka dodoma mbona hatujawatuma muende kwa mboe acheni ujinga na uchawa wanadodoma tunakwenda na lisu

    • @giztony2009
      @giztony2009 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuma la mama lako ww cyo chadema

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huna jipya. Wangapi wamekufa ndani ya Chadema. Acha uhuni. Wengi wamepotezwa angalau Mbowe bado mzima. Waliokufaje? Acha uchawa, Chadema imejengwa na watu wengi na wanaojitoa mhanga kwa nguvu na mali zai zote kwa manufaa ya Watanzania , nchi na mali zake

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi ipo Chadema Chama kilichotegemewa na wengi kuwa kitawavusha kumbe nako kuna majanga

  • @israelmpiluka-gu6vh
    @israelmpiluka-gu6vh 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Msimpakazie mbowe kwamba akichukua nchi atang'ang'a Nia madaraka kama Fideri Castor maana Castor alikuwa dicteta wa Quba

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 58 นาทีที่ผ่านมา

      Fidel Castor hajawahi kuwa Dicteta

  • @israelmpiluka-gu6vh
    @israelmpiluka-gu6vh 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sisi tunadai katiba mpya ya nchi ilikuweka ukomo wa madaraka ya viongozi na kuweka uringo sawa wa kisiasa, Kwa vyama vyote, Sasa nyinyi mnaturudisha nyuma Kwa sababu ya kung'ang'ania vyeo ndani ya chama na kushindwa kuiacha democrasia ikatamaraki ndani ya chama, ilikuamsha wananchi kudai haki Kwa serikali kandamizi.

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukwerii ni kua chama hiki Kwa Sasa tumuachie Tundu, lisu hajachoka umri Mbowe ila inatakiwa mawazo mapya elewa ! Kam tukisema mbowe aendelee basi Chama na baadhi ya viongozi ni uchu wa madaraka na kung'ania madaraka 😭chama kitagawika nakufa kabisa au kuto kua chama kikuu Cha upinzani Tena.😭

  • @emmanuelmathiasmpesa9396
    @emmanuelmathiasmpesa9396 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madhara mnayajua? Inategemeana na mshindani wake wa karibu ni lisu anaweza kupita mbowe Kwa ninavoona lkn chochote kitakachotokea ni chadema kuvunjika muache uchawa fanyeni Siasa mbowe sio mpaka afe ndiyo mbadili viongozi je wakitaka ushauri hawawezi kumpata. Ni vema kuwe na mwingine Ili apate mafunzo na ushauri Kwa mstaafu. Tuache mihemko jamani.

  • @Mussa-t1q
    @Mussa-t1q 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Demokrasia ni mhimu kuweka ukomo kwenye nafasi za uongozi. Weka ukomo kwenye katiba yenu

  • @bongo39
    @bongo39 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Leo yashawakuta ndio eti wanao ishin nje ya inchi mwanzo walikuwa halali wanaishi hapa sasahivi ndio mumegindua kama wanaishi nje ya inchi sio raia wa tanzania msituchezee hapa

  • @aloycejames4862
    @aloycejames4862 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kutoka iringa
    mngai huna hoja za msingi
    nyumbani kwako iringa umeshindwa kuudumisha umoja
    to be honestry Mbowe kwa heshima yake anastahili kustafuu kwa hiari

  • @NicodemBarantanda-ud7qy
    @NicodemBarantanda-ud7qy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We unayesema Mbowe amwachie Lisu we ni Dictator si uache kkura ziamue kumbukeni inàvyowaziwa kufa chadema Mbowe bado anàyo potential amefikisha chama Tz nzima

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Serikal ya mtaa mbona mipango.haikutokea

  • @wilfredmlaki822
    @wilfredmlaki822 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe pumzika miaka 20 inakutosha! Yaani huu uchawa huu dah! Inatisha! Yaani ni ulafi wa madaraka tu.ccm kila baada ya miaka 10 wanabadilisha tena kwa amani kabisa! Wewe 20! Dah inatosha waachie na wengine

  • @israelmpiluka-gu6vh
    @israelmpiluka-gu6vh 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huu ni uchawa na ndio hata Nyerere alivyo kuwa anataka kung'atuka chawa walikuwa wanasema nchi yetu bado ni changa haiwezi kwenda bila Yeye Nyerere akagundua wanatetea nafasi alizowateua.

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haifuti ukweli kuwa uongozi huu hauna jipya sana

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Usikumbushe machungu ya akulina

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu sio.wakumpa nchi

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe akiendelea kuwa mwenyekiti sawa na Lissu akiwa mwenyekiti sawa.wote wana haki sawa.Kukaa kwa Mbowe kwa muda mrefu hakumzuii au kumnyima haki yake ya msingi ya kugombea.Mbowe agombee na Lissu agombee na wajumbe wanaopiga kura ndio watakaoamua kwenye sanduku la kura nani aibuke mshindi.Wale wote wanaosema Mbowe apumzike ni wajinga na hawamtendei haki Mbowe.

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tumekuja kama chawa viroboto na kunguni...

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hatuhitaji machawa, Mungu I wala viroboto. Tunahitaji uhodari, uhuru, msimamo huru wa kujitegemea na sio kujiotesha kwenye mti mwingine.Trump ni mzigo kwa Marekani na kwa dunia kama hujitambui. Huna zito, huna jipya, huna la muhimu . Ni uchawa tu.

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna Sababu ya CCM kutoka madarakani.
    Tumeshindwa kufuata Katiba

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lisu hata urais hawez kupata

  • @johnmaumba9110
    @johnmaumba9110 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama SAMIA OYEEEEE

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanafik.wakubwa lisu mnamweka wapi hapa.hakuna jipya hapa lisu mnamwogopa kumbe

  • @MICHAELTARMO
    @MICHAELTARMO 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Machawa kumbendio wengi ht chadema

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe katiba ya kidikteta...

  • @bahatielias6443
    @bahatielias6443 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa ni chawa tu pumbafu kabisa

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanafik.wakubwa lisu nijeme

  • @Mwl.Jonathankwizera
    @Mwl.Jonathankwizera 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii ndio sababu wanakuchukia th-cam.com/video/9ZNYSTjZBT4/w-d-xo.htmlsi=4s6hk0Bd-tsq8YEr