ALIYESHIRIKI MAPATANO MKATABA WA BANDARI AKIFAFANUA VIPENGELE TATA VYA MKATABA KWA VIONGOZI WA DINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
    INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
    FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
    Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
    Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

ความคิดเห็น • 444

  • @gracesage989
    @gracesage989 ปีที่แล้ว +7

    Jamani mwogopeni Mungu. Waombaji tuzidi kuiombea nchi yetu.

  • @mwitamarwa329
    @mwitamarwa329 ปีที่แล้ว +7

    Such kind of elaboration with wisdom is what our parliamentarians lack a fact that makes them incredible to the general public. If fair and democratic general elections would have been conducted in 2019/2020, we couldn't be witnessing the bizarre situation we are experiencing in the current law making organ today. It is pathetic! God save Tanzania.

  • @isaacmollel345
    @isaacmollel345 ปีที่แล้ว +5

    Mh hamkuangalia Utanzania mmeaangalia Masilahii yenu ilaninachoamini Ukombele za Mungu lazima Ukweli ujulikane Mungu atafumua Mkataba Autengeneze upya Roho waMungu iko Juu YaTanzania

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว

      Mungu gn uliyenaye wewe au yule wa shakahola kenya..😅😅😅

  • @gastonmodestkaziri2566
    @gastonmodestkaziri2566 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations Hamza you are really a God-fearing person and I can assure you you are on the right track go on young man.

  • @mgazakigolo1301
    @mgazakigolo1301 ปีที่แล้ว +2

    Well UNDERSTOOD,hongera Kwa kazi kubwa ya kupigania maslahi ya Taifa.The cloud of negativity is too big on this one but don't let it distract you.FOCUS on the golden ball.

    • @jarnskorelly464
      @jarnskorelly464 ปีที่แล้ว

      Yes its because we dont trust them 😢

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +7

    Kwa sauti kubwa. HATUTAKIIIIII

    • @mave3990
      @mave3990 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio hautaki

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 ปีที่แล้ว

      Christians

    • @zuzadomikano3765
      @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว

      KWANINI BUNGENI MNAPITISHWA KWA SAUTI KILAKITU ?
      MGEWEKA MEZANI MVELE YA VYAMA VYOTE MCHUWANE HUMO ,ILA KWAWIZI VILEVILE NYERERE ALIVYO MFANYA KARUME ..........

  • @yassindoctor2334
    @yassindoctor2334 ปีที่แล้ว +2

    safi sana, watanzania tumeelewa

  • @JemsiMelkiadi
    @JemsiMelkiadi ปีที่แล้ว

    tatizo mnashindwa kujenga misikit yenu kwaajiri ya kila mmoja kutokumheshimu mwenzake

  • @johnadolf1181
    @johnadolf1181 ปีที่แล้ว

    Hata usemayo sehemu kubwa. Unawadanganya watumishi wa Mungu. , ukweli upo kidogo tu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 ปีที่แล้ว +1

    PADRI KITIMA KANENA👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @luqmankasanga-bk7nn
    @luqmankasanga-bk7nn ปีที่แล้ว

    Mmetuuza sana kwenye mikataba mbalimbali kuwaamini kazi ngumu Mungu atawaangamiza mkienda tofauti na hayo myasemayo

  • @aloycemabula8649
    @aloycemabula8649 ปีที่แล้ว +1

    Hii taarifa ipo tofauti kabisa na ya kwenye mitandao ...Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanywa na Wana siasa kwenye mitandao ili kukwamisha mipango ya maendeleo .. 😢

  • @sitamgeta7565
    @sitamgeta7565 ปีที่แล้ว +4

    Ameshindwa kabisa kusoma kifungu cha 23 (4) kama kilivyo imebidi aweke karatasi pembeni aongee bla bla. Amepata kigugumizi sana kwenye hicho kifungu. Ameshindwa kukisoma kifungu hicho kwa sababu kina maneno makali sana ya kifisadi. Kwamba hakuna kuvunja mkataba hata kama kuna ukiukwaji wowote ule. Angewezaje kukisoma hicho kifungu.

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว

      Soma wewe uliefeli...

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว

      Acha upotoshaji! Hebu tufafanulie wewe lkn usitulishe maneno!

  • @mohamedamini4268
    @mohamedamini4268 ปีที่แล้ว +2

    Kwa uwezo wa Mungu lisifanikiwe , labda kwa gati tu .

  • @isaacemily1889
    @isaacemily1889 ปีที่แล้ว +6

    Watanzania tumekataa sii basi,Unakanusha vitu mliandaa wenyewe
    Je mkataba wa Richmond ,Loliondo,Tanesco, Bank ,mikataba ya hovyo
    Kwa ccm mtaminikaje?

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว

      Kataa wewe! Na wewe sio MTANZANIA.

  • @kenedymdemu6943
    @kenedymdemu6943 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana Boss wangu Mr Hamza Johari kwa ufafanuzi huu, pamoja tunalijenga Taifa letu.imeeleweka vema

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +1

      Du! Ndio nakusikia wewe uliyemuelewa wakati walifanya kwa uficho halafu wanapeleka Bungeni kujadili siku 2 tu. Fuatilia walichokisema Viongozi wa Dini kwa kurejea maumivu tuliyoyapata mikataba ya Mangungo kama hii.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 ปีที่แล้ว

      @@gibsonjosephat6352 😂😂😂😂😂ya mangungo

    • @gilbertkalanda9354
      @gilbertkalanda9354 ปีที่แล้ว

      Daaaah

  • @evaristomsigwa3911
    @evaristomsigwa3911 ปีที่แล้ว +2

    Tumekuelewa vizuri sana kiongoz kwa ufafanuzi huu kazi iendelee

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 ปีที่แล้ว

    Kwa mara yangu ya kwanza kuona Taifa limekua na mshikamano juu ya kutumiwa vibaya kwa urithi wetu nazani serikali yetu inatakiwa kujitathimini kwa kusababisha watu tofautitofauti kuwa na wasiwasi na mkataba wa hovyo

  • @MAFUNDISHO1
    @MAFUNDISHO1 ปีที่แล้ว

    Nia ni njema na uwekezaji unakaribishwa! Ila mkataba hauko sawa! Hasa kipengele cha kusema hata kama muwekezaji akikiuka mashariti ya mkataba hauvunjiki. Yaani hata akisema siwapi kodi watanzania! Hatuwezi kuvunja mkataba. Hapo hakuna weledi kwa masilahi ya watoto wetu wajao.

  • @ikungetamwakamele
    @ikungetamwakamele ปีที่แล้ว

    Sawa Bana kwa weledi tunashukuru.MUNGU BABA YETU aonaye sirini awabariki.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว

    Wewe huna usomi wowote,kwani bandari imekushinda kuendesha,mnataka kutuuza watanzania bara kwa waarabu, RIP JPM

  • @festomartin6170
    @festomartin6170 ปีที่แล้ว

    HADITHI NYINGI SANA, NA UONGO NI MWINGI SANA. TATIZO LIPO, UHARAKA WA MJADALA, KUKOSEKANA KWA MUDA WA KUKIJADILI KWA WABUNGE, WANASHERIA, JAMII NA WADAU WOOOTE WA MAENDELEO KUNALETA UKAKASI MWINGI MNO.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +8

    Pesa zina wapa kiburi rushwa, PUMBAVU nyie

  • @ysonbclassictv7118
    @ysonbclassictv7118 ปีที่แล้ว +2

    Nafiki tu hilo jaman hamna kitu hapo 😮😢😢

  • @georgesolos344
    @georgesolos344 ปีที่แล้ว +6

    Watu kama hawa ndo wanapewa nafasi serikalini, kumbe bogus sana, JPM qliwaondia akina Prof mbalawa, Nape, Makamba, Mwigulu kumbe aliwajua sana. Mama karudisha mizoga ndo matokeo yake mama kaondoa wale wenye akili kaweka vilaza

    • @omaryramadhani6664
      @omaryramadhani6664 ปีที่แล้ว

      Huyu ni zao la Magufuli na alikuwa kipenzi chake sana na ndiye aliyemteuwa kuwa mkurugenzi wa TCAA hadi leo na Samia amemkuta na akamkubali ba bado yuko nae.Nilikuwa nakupa taarifa tu.

    • @athanasekiyoja8369
      @athanasekiyoja8369 ปีที่แล้ว

      Mali hotuba yako uondoke,mwansheria gani kazubaa vile,mkataba na Mwarabu wapi na wapi

    • @beatricerweyemamu5540
      @beatricerweyemamu5540 ปีที่แล้ว

      Lakini serikali siliwataka wenye vyeti vya form4
      Na bungeni kutaka anayejuwa kusoma na kuandika...ndiyo sifa
      Ndipo tuko hapo...
      Tumefika sasa...

  • @augustinosaqware9703
    @augustinosaqware9703 ปีที่แล้ว

    Johari Hamza

  • @daudyusuph1100
    @daudyusuph1100 ปีที่แล้ว +6

    uzeni na airport mbwa nyie maneno kibao cha maan hakuna ushapewa hela wewe achana na sisi sema Tanzania ni watu poa sana mnauza vitu na hawasem kitu bado mnamsingizia Mungu nawaandika majina mkinikuta mbinguni nitawakomesha kenge nyie wezi wakubwa kwann taarifa asisome mama wew unatoa tamuko vp

  • @swaleheswaleheamri5911
    @swaleheswaleheamri5911 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @habibunguvumali3331
    @habibunguvumali3331 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa Sana

  • @josephmwabange9633
    @josephmwabange9633 ปีที่แล้ว

    Tatizo mnaenda huko mnasaini kimya kimya ,Sasa mkisaini ndo mnakuja huku,ninyi mnaweza kwenda kuishi Ulaya ,sisi tupo hapa hapa , Ila mimi namwamini sana Mama Samia , mama akikuambia baba yako ni huyu basi ndiye mwenyewe !
    Sasa sisi ni huru,tuwe maskini tuwe matajiri ,ni sisi ,kikubwa elimu na uajibikaji !

  • @JuliusMhina
    @JuliusMhina ปีที่แล้ว

    Mungu anawaona lakini

  • @malalengunda6582
    @malalengunda6582 ปีที่แล้ว

    HAMZA KWENYE HILI LIMKATABA LA MILELE UMETUFELISHA SANA.

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +1

    WATANZANIA TUUKATAE HUU MKATABA KWA NGUVU. HATUNA IMANI NA HAWA VIONGOZI

    • @husseinbenedicto604
      @husseinbenedicto604 ปีที่แล้ว

      Kwani kungekuwa na ubaya gani huku kwenye mkataba mama ,,munge state maximum and minimum period ya hiyo mikataba mingine ,,kwamba labda pamoja na haya muda wa mikataba mbali mbali haitapungua muda wa miaka miwili na haitazidi miaka 30 kutokana na umuhimu wa mkataba husika ,,
      Kweli hata hili hamkufikiria Ili mtutoe shaka juu ya mda

  • @user-ks4gp5nt2o
    @user-ks4gp5nt2o ปีที่แล้ว

    Hovyo

  • @swaleheswaleheamri5911
    @swaleheswaleheamri5911 ปีที่แล้ว

    Nikweli

  • @hosianaminja7034
    @hosianaminja7034 ปีที่แล้ว +1

    Kuwaombe Mkataba ukae mezani na wanasheria wanaojua hiyo lugha vzr kifungu kwa kifungu ndio tutawaombea maana litakuwa na manufaaa vinginevyo maombi yetu yatawageukaaaa😢😢😢😢

  • @OscarMbedule-mw8bz
    @OscarMbedule-mw8bz ปีที่แล้ว +4

    Enyi watanzania mtamkumbuka magufuli Hawa wanauza inchiiii tupeni elimu kwanza pls

    • @mave3990
      @mave3990 ปีที่แล้ว

      Haya ukieleweshwa huwezi elewa. Mpaka afufuke marehemu

  • @sadikykiyago3030
    @sadikykiyago3030 ปีที่แล้ว

    Kwani nyumbani kwako unaweza kumutuhusu ukaongozwa sauti ikawa ya mutumwingine kwani mikataba ya madini haiko hivyo na vingine na vingine acheni hiyo dhamira yenu na siyo ya wanaichi

  • @VeronicajTemba
    @VeronicajTemba ปีที่แล้ว +3

    Toa uhun hapo kwenye jukwaaa huna unachotueleza tukuelewe hao waarabu kawapen ile ya Zanzibar

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 ปีที่แล้ว

    Yaani kwa vile mkataba umeshafafanuliwa na watu wengi makosa ya mkataba ni mengi sana wanayoongelea watu wa serikali hayapo kwenye mkataba mkataba haujasema senti yoyote itaingia kutokana na mkataba

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 ปีที่แล้ว +4

    Kuna watu wanapotosha lisiwe inshallah litakuwa fanyeni kazini upige ni mwingi sawasawa nawapenda sanaaa msijali maneno ya watu .

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 ปีที่แล้ว

      Bandari itajengwa inshaAllah,chuki zao watakula wenyewe

    • @lilianlaizer857
      @lilianlaizer857 ปีที่แล้ว

      Wajinga ndio Wali waooo

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 ปีที่แล้ว

    Wewe huna haki ya kugawa Mali za watanganyika. Huu mukataba ni mbovu, watanzania hatuukubali. Tumeisikia HOTUBA ya HAYATI MAGUFULI mikataba hii alikataa. There is no free lunch. Musitumie jina la mwenyezi Mungu kuwadanganya watanzania.

  • @mwakondoyakub2444
    @mwakondoyakub2444 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie dunian mpaka Kwa mungu akupe umri mrefu

  • @milkamusa5837
    @milkamusa5837 ปีที่แล้ว

    Tatizo sio muwekezaji tatizo ni content ya mkataba. Lishughulikiwe tusichezee maisha ya watu tutadaiwa na mwenyezi Mungu. Tanzania ni ya watanzania wahusishwe kwenye content zinazoleta utata.

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 ปีที่แล้ว

    ACHENI KUDANGANYA...MLISHAFANYA MOU...MEMORANDOM OF UNDERSTAND..MKATABA HATUJUI UTACHUKUA MUDA GANI..UNATUPOTEZEA ARDHI YETU.,HATUJUI MWEKEZAJI ATAWEKEZA SH.NGAP..ATAPATA SH.NGAPI,AJIRA ZITAKUAJE,.LANGO LA TAIFA BAHARI...MAZIWA..BUSINESS CORRIDOR FOR LAND LOCKED COUNTRIES...MIKATABA UNAKANYAGA KATIBA..WAO WAJIKUTE KM KWAO..LEO UKIINGIA SERENGETI ..UNAAMBIWA SASA UNAINGIA EMIRATES DUBAI...HAKUNA CHA USIRI LAZIMA TUTUMIE AKILI KUANGALIA KWA WENZETU...BADO HATUKO SALAMA...USIDANGANYE KUTUAMINISHA KILA UNACHOAMINI...HAIWEZEKANI ..IT'S BETTER TO DO PUBLIC PRIVATE PARTNERSHIP..SIO KUWAPA WAARABU OUR BIGGEST SOURCE OF ALL BUSINESSES...MSHAKOSEA KWENYE MADINI..MBUGA ZA WANYAMA..NI JUZI TUUU DEGE LIMEONDOKA NA NDEGE LAKINI CHA AJABU NI HABARI YA BOB JUNIOR SIMBA...HUO MKATABA UNAWAABISHA..HAIWEZEKANI RAIS MAGUFULI AUKATAE NA ASEME "KICHAA TUU AU MWENDAWAZIMU NDIO WATAOKUBALI..

  • @lilianlaizer857
    @lilianlaizer857 ปีที่แล้ว

    Acha kutumia vibaya dini na kumtumia jina la Mungu vibaya wewe huna Mungu.

  • @peterbangari4273
    @peterbangari4273 ปีที่แล้ว

    Nchi hii munaiua kwa kupewa hongo na mnaanza kuutumia tuvifungu twa ovyo Ili kutuuza tunafahamu Hilo make mkielewa hivo. Kweli watu weupe hawajui wao kama wao kutuuza isipokuwa watatutumia sisi wenyewe kuuana wenyewe nimeamini asilimia mia.

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 ปีที่แล้ว

    Wasomi wetu ktk nchi hii ni wauwaji. Mbunge msukuma kila cku anasema haya. Yupo sahihi sana msukuma. Kwa hili viongozi wetu msikulupuke, mtulie sana.

    • @ernestsalla9293
      @ernestsalla9293 ปีที่แล้ว

      Hivi na wewe ukubaliana na watu wanaoamini Tz haihitaji wasomi ila wenye fedha tu kwa maendeleo yake? Ninaheshimu mawazo watu lakini mtazamo wa huyo bwana mwenye Phd tata ina ukakasi!!!

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว

    Our religion is our voice becouse they are voice it can be p we peaceful hart of tanzania population trust religion leader than our palament becouse we don't see any difference changes from.late William mkapa for over 20 years ago under 300 mp in palament house no solution

    • @ernestsalla9293
      @ernestsalla9293 ปีที่แล้ว

      Mbona hueleweki? Katiba yetu haina dini wewe. Acha mawazo mgando na udini. Watanzania sote ni ndugu ndiyo hatutaki dhambi ya ubaguzi...wa kidini, kikabila, kijinsia au rangi. Wote ni waja wa Mwenyenzi Mungu. Tupendane..Tofauti za kimtazamo ndiyo chachu ya maendeleo....

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +3

    HANA ALICHO JIBU, NENDA MWANA KWENDA

    • @konshazikonsha6180
      @konshazikonsha6180 ปีที่แล้ว

      Ulitaka ajibu nini tenaa,ufafanuzi ndio huoo,uwamuzi ni wako kuamini ya mitandao au waliopo kwenye ndani ya jambo hilii

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 ปีที่แล้ว +7

    What a fail state !!
    Too embarrassing !!
    Our founding fathers didn’t breed this kind of leaders.
    A whole corrupt government in full display.
    Eti privatization ndiyo solution ya maendeleo
    A bunch of fools running our country to a terrible direction.

  • @israelherman4984
    @israelherman4984 ปีที่แล้ว +5

    Wasomi nyie ni hatari kwa nchi

    • @jdanny497
      @jdanny497 ปีที่แล้ว

      Mlipewa hela dubai hakuna asiyejua...nyie na kina msukuma...anabaki kujitamba yeye ni tajiri ....Tajiri gani anazulumu

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 ปีที่แล้ว +3

    99% mikataba inayo husu umma. Uwa inapigwa 10% na wabunge wanahongwa.

    • @mot.tvmsamvu6770
      @mot.tvmsamvu6770 ปีที่แล้ว

      alafu hawajui nini waongee wanaongea kichama kwakua wanalindwa na nguvu ya uma

  • @ezekielmaenda7001
    @ezekielmaenda7001 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo lingine huyu bwana anachagua vifungu vya kusomea hao washuriki.Unatakiwa wote usomwe wote.Huo ni ujinga hata sisi tusio wanasheria.

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 ปีที่แล้ว +1

    MOU imesainiwa February,huo mkataba mmeusaini October inamaana mda wote hamkuona hayo mapungufu? Kwa mujibu wa haki yangu ya Kikatiba nnamashaka na nnaona kuna harufu ya 10% watu wamepita nazo
    Biblia inasema rushwa hupofusha macho.tuhurumieni wakuu,msaidieni dr.SSH ameamua kuendeleza aliyoyaacha jpm msimkwamishe mama.

  • @user-nb7od3eu8x
    @user-nb7od3eu8x ปีที่แล้ว

    Hiyo ibala 24 nichañgamoto ebu iweke vizur watu waielewe vizuri

  • @keloseko8415
    @keloseko8415 ปีที่แล้ว +5

    Magu alikuwa anajenga bandari kavu na kupanua bandari Ili tuiozi SS wenyewe na SGR kile kilikuwa kichwa kwelkweli, asingetegemea wawekezaji

  • @lukasthadeo4748
    @lukasthadeo4748 ปีที่แล้ว +5

    Hatuna amani ni ninyi, malizeni mudawenu, mtuachie nchi yetu salama na rasilmali zetu salama.

  • @JosephatJoseph-eo8xj
    @JosephatJoseph-eo8xj ปีที่แล้ว +2

    Kwa ujumla serikari niwabaya sana kwa hili

  • @AbubakarMinya
    @AbubakarMinya ปีที่แล้ว

    Hapo Kuna uweledi wa ujinga bro

  • @OscarMbedule-mw8bz
    @OscarMbedule-mw8bz ปีที่แล้ว

    Ee mungu tusaidie ss watanzania

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 ปีที่แล้ว +1

    Hivi jamani tunaaa njaaaa kiasi hiki kiasi kwa tuingiee ubia huuu😭😭😭

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 ปีที่แล้ว

    Nyinyi acheni porojo waiteni wanasheria mjadiliane tujue wapi pana vuja, sio kutupiga sound

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Inaonyesha kabisa kua hii kampuni BP ina trick nchi za wenzake .tunamshukuru Mungu alietufungua mapema huko wanakoendesha kesi na nchi hawakupata bahati yakucheck mkataba . sasa tunaomba tuacheni na umaskini wetu msianze kesi za kukodishia mawakili mahoteri huko Africa ya kusini

  • @emuthree
    @emuthree ปีที่แล้ว

    Labda ni tatizo la elimu, au kuna ushabiki fulani....labda ingelikuwa ni wale ingelikuwa ni bora zaidi..labda..labda, lakini vyema kila mtoa hoja, ukilalamika, hebu tohoa hoja zako kisheria na uzaifu wake na kwanini isiwe hivyo, iwe vile....tusiwe washabiki wakati hata mpira hatujawahi kuucheza au hata sheria za mpira hatuzijui....UZALENDO MWEMA NI MUHIMU, NA MAENDELEO YANAHITAJIKA PIA. Tumuombe mola atuongoze kwenye haki, na batili tuiepuke.

  • @user-co4dd5np6r
    @user-co4dd5np6r ปีที่แล้ว +1

    Toka hapo kwanza umezeeka waachienu vijana washika nafasi zenu mmeg'ang'anatu na uzee wenu waachieni vijana kazi iendelee

  • @nmatuja2191
    @nmatuja2191 ปีที่แล้ว

    Kwa maoni yangu,makubaliano yenu na hao waarabu ni mabovu.Inatakiwa yasitishwe ili watanzania wote tuyajadili kwanza.

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว +2

    Tukimaliza mkataba unaoitwa wa waarabu tuje kwenye mikataba ya wazungu kwenye makampuni yanayochimba madini hapa Tanzania tuangalie kama nao wanatishia usalama wa nchi yetu.

  • @navokisembo
    @navokisembo ปีที่แล้ว

    Aksante kwa ufafanuzi tunataka maendeleo nina imani mambo yatakuwa mazuri mnoo

  • @geofreysimpepo9945
    @geofreysimpepo9945 ปีที่แล้ว +15

    SASA kwa nini selikali wasinge kupeleka bungeni ukatoa ufafanuzi huu Ili kuondoa taharuki KWA wananchi mapema?. Mmeyaacha wabunge wa hovyo wanaongea hovyo hawajui kufafanua yamekalia uchama tu yana dharau wananchi na maoni yao badala ya kutoa ufafanuzi mzuri namna hii . next time mkitaka kufanya jambo kubwa muwe wepesi wa kwenda bungeni na kutoa ufafanuzi kabla ya kuzua taharuki na kuwaacha wabunge wasiokua na uelewa badala ya kuelimisha wananchi wamejaa kejeri na kutetea maslahi binafsi ya chama na matumbo yao tu,mwenye akili akisimama kuhoji mnasema anapotosha wakati huo hamjafafanua watu tukaelewa. Tuna viongozi hawajui kutoa elimu bali wanajua ubishi KWA hoja za msingi tu .,ukimshinda KWA hoja anaanza vitisho na kujiona yeye ndio KILA kitu pasi na kujua kua kuna watu uraiani Wana akili kuliko hao wanaojiona ndio KILA kitu KWA madaraka tulio waazima sisi wananchi, viongozi wetu wanatakiwa wajue kua zama za kale zimepita na SASA tuko zama ambazo watu hawataki kupelekwa pelekwa tu kama muzi kisutu kuchinjwa.naipenda TANZANIA KWA moyo wote.

    • @mot.tvmsamvu6770
      @mot.tvmsamvu6770 ปีที่แล้ว

      kaka ulikua kichwan mwangu hakuna kitu kinachoniumiza kama huu uninga viongozo wapo kichama tu yaani kila.kitu ccm kila kitu nampongeza rais badala ya kuongelea maswala ya jinzi gani kupambana na kuleta maendeleo wao kazi yao ni chama chama chama kumpongexa raisi juzi nimewaza sana mama mwenyewe anasema anahusunika mtu mtu kusaini mkataba wenye madhara nchi mtu wa hovyo mama anasiitika wao wanamsifia mvumo wa vya vingi katiba mpya uhuru wa wananchi ni muhimu ktk taifa hili

    • @killiankingDr
      @killiankingDr ปีที่แล้ว +2

      😅mimi siwaamini hawa ni waongo kwani waziristan hakuwepo bungeni? Huyo mwingine anayejitangaza kuwa anamjua Mungu atambue yuko Roho Mtakatifu hapo ambaye ni shuhuda wa kkla jambo mbele za Bwana. Mbona hajaeleza ni kwa nini bandari za Zanzibar hazijawekwa? Ina maana wazanzibari siyo watanzania kamili?

    • @geofreysimpepo9945
      @geofreysimpepo9945 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli ufafanuzi ilitakiwa pia kwenye bandari za zanzibar hazimo wakati ni issue ya muungano?

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 ปีที่แล้ว +1

      Sina imani na hawa watu
      Wizi wizi tu kila mahali
      Kwa nini tender haikutangazwa
      Hii tu inatosha kuonyesha serikali inamapungufu makubwa
      Sasa unategemea aeleze nini ? Hawako kwa maslahi ya umma au Watanzania
      Hiyo kampuni ya Dubai imefukuwa nchini marekani so tujiulize

    • @beatricerweyemamu5540
      @beatricerweyemamu5540 ปีที่แล้ว

      Tatizo watalaam hawawezi kuongea bungeni...
      Kanuni za bunge hazuruhusu...
      Labda wafanye workshop/seminar elekezi pembeni huko huko kwenye kumbi za bungeni na audience ya bunge...bunge likiwa on hatuna fursa hiyo...kule ni kwa wale tu....wale wa nani wale...eehmn

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 ปีที่แล้ว +2

    Acheni uongo Magufuri hakuwa mjinga mpaka auze nchi yetu yule alikuwa anaipenda asingeiuza nchi yake

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 ปีที่แล้ว

      Tena ndio alitufungua macho na kutushauri tutupie macho mali za nchi yetu.

  • @user-hi3px4gd6x
    @user-hi3px4gd6x ปีที่แล้ว

    Hata sisi raia wachini tukisema uzeni, bado watatufata Kwa Tanesco,mara kwenye simu Bora msitishe mikataba tupambane!

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 ปีที่แล้ว

    Hii nchi Siasa ni nyingi sana kuliko ukweli... Baada ya TPA kwa niaba ya Serikali kukaa na TICTS na kupitia mkataba wa mwanzo, TPA walikuja na masharti mapya kwa TICTS ikiwemo hiyo ya kumpandishia Kodi mara ya mbili ya awali, waka muongezea idadi ya kontena anazotakiwa kufanya kwa mwezi (TUES).. na hakuna sharti lolote ambalo TICTS alishindwa kulitekeleza..

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 ปีที่แล้ว

    The Teacher.

  • @ernestsalla9293
    @ernestsalla9293 ปีที่แล้ว +1

    Huu ushikirishwaji ni mzuri, nimeupenda ila ingekuwa vizuri zaidi ungefanyika kabla ya kupeleka IGA bungeni.

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว +1

    Huna haya kumtaja Mungu

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 ปีที่แล้ว

    Tatizo la taifa letu tumekosa kabisa watu wazalendo kama mwalimu nyerere, sokoine Magufuli na wapigania uhuru wa zamani ambao walipamba sana kulinda hadhi ya taifa letu. hawa wanatuuza tu.

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 ปีที่แล้ว

    Udini.!!!umekuwa chama cha siasa Tz

  • @ammsarissa-we4fo
    @ammsarissa-we4fo ปีที่แล้ว

    Wallahi serekali muogopeni Allah, huu mkataba una lu gha ngumu mnae itumia ili mchanganye wananchi
    Wasiojua kusoma, kuna mashaka katika hili, jeshi mkowapi kuteteahili

  • @nickyvanich6214
    @nickyvanich6214 ปีที่แล้ว +2

    Kopeni hela Bank ya Africa tuijenge mdogomdogo, mikataba ya nini miaka hii tena!.

  • @ernestsalla9293
    @ernestsalla9293 ปีที่แล้ว

    Jambo moja lipo dhahiri. Wananchi ni waelewa na wana uchungu na raslimali za nchi yao. Viongozi wetu wajifunze kipitia suala hili. Wananchi wapatiwe elimu na taarifa stahiki mapema ili kuondoa taharuki. Tunaipenda nchi yetu.

  • @simonmwambene4441
    @simonmwambene4441 ปีที่แล้ว

    Tunafikiti kuwa mdahalo kati ya wanasheria wa serikali na tls na mawakili waliobobea wa Tanzania maana inaonekana Kila mmoja anaongea vyake mnatuchanganya

  • @mwalimudavidkizazihuru
    @mwalimudavidkizazihuru ปีที่แล้ว

    Eti raisi anaendeleza aliyoyaacha mtangulizi wake. Siku zote mnamponda marehemu Ila ktk matatizo yenu hapa mnataka mtumie jina lake aonekane alihusika😢.

  • @alfackisadimartine5133
    @alfackisadimartine5133 ปีที่แล้ว

    Kazi ya Magufuri hiy maana asingelifanya ivo maana bada tungelikuwa bado Dora billion 7

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 ปีที่แล้ว

    NDUGAI alisema ipo siku nchi itapigwa mnada,now maneno yake yanaenda kutimia.

  • @danielvengei6065
    @danielvengei6065 ปีที่แล้ว

    Si bora mngempa Kagame kama ninyi mmeshindwa aibu kwa Tanzania na Afrika .

  • @elizabethsjoberg5734
    @elizabethsjoberg5734 ปีที่แล้ว

    👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว +2

    Hauna akiri

  • @pascalnicolaus6986
    @pascalnicolaus6986 ปีที่แล้ว

    Hamuamimiki hata kidogo linapokuja suala la mikataba uzalendo, net group solution,Trl ,hakuna nchi inaitwa Dubai.

  • @franklyandala
    @franklyandala ปีที่แล้ว +5

    Mwamba anatumia nguvu nyingi sana kufafanua huyu siyo bure inaonaneka ana Jambo lake huyu tuwe makini!!!

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 ปีที่แล้ว

      We kuma sana mwamba tushamuelewa we ni Chikenya Tanzania 🇹🇿 kwanza 😂😂😂😂

    • @kunyaobelela4062
      @kunyaobelela4062 ปีที่แล้ว

      Unawaza km mm, mtu kaandaliwa huyo kwenda kutuliza hasira, m siamini tushaibiwa

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 ปีที่แล้ว

      @@shinipapaya846
      Mmeuzwa sheria imebadilishwa ndio maana ukapitia bungeni
      Huelewi

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 ปีที่แล้ว

      Wengi wanaopinga hawajawahi kupitisha mzigo bandarini wala hawajui ulaji na mabaya ya bandarini hawajasikia watu walivyikua wakiiba hata makontena hawajasikia kwamba kuna vibosile walikua na magari sabini na nyumba kadhaa yaani hawajui chochote hats dunia inabyoenda kisasa na bandari yetu inafanyaje kazi wanapinga tu na kundi lingine wanaopinga ni wale walaji wenyewe manake wanajua ulaji utapungua na bata zitapungua. Ikiwa nchi hata uingereza na nchi zilizoendelea wanaitumia hiyo kampuni sisi tuna ubora gani?

    • @shabanadam4476
      @shabanadam4476 ปีที่แล้ว

      Tanzanian are not useful as you thought we've experienced of many falls contact as you've done it period

  • @simonmwambene4441
    @simonmwambene4441 ปีที่แล้ว

    Jamani mwanasheria mkuu wa serikali Yuko wapi kijibu hoja hizi mbona hajitokezi

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 ปีที่แล้ว

    WATANZANIA HATUDANGANYIKI NG’OOOOOOOO! HATUUTAKI HUO UWEKEZAJI!!!!!!

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว

    Unafiki wa Binge kibogoyo kwa uroho wa pesa kazi yenu Ni kujikomba kwa Rais badala ya kumshauri enye manafiki na Mafarisayo Ole wenu

  • @EnockSalapion
    @EnockSalapion ปีที่แล้ว +3

    Eti kwa uweredi mkubwa!!! big suprise kweli kweli

  • @danielkusongwa3981
    @danielkusongwa3981 ปีที่แล้ว

    tatizo mnayoyazumgumza hayapo kwenye mkataba, na wala hakuna uzarendo hapo,

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🙏👍👊.

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 ปีที่แล้ว +2

    Mumeongeya vizuli selekali kama munadanya lisu huwa tunamwani atafatiliya anjuwa maana ya mikataba

  • @elfacechongera6648
    @elfacechongera6648 ปีที่แล้ว

    Siasa hizi Kwani Mlimani city waliahidi nini? Kwani wametimiza?

  • @francosemmy
    @francosemmy ปีที่แล้ว +2

    Et kazi kubwa na mliifanya kww weredi,weredi upi muone uso wake uliojaa aibu

  • @navokisembo
    @navokisembo ปีที่แล้ว +1

    Hakuna maendeleo yasiyokuja na uwekezaje, unless nchi yenyewe ina utajiri. Sasa Tanzania yetu full rushwa, pesa hamna sasa vipesa vya walipa kodi ndo viwekwe kwa bandari ambayo itawashibisha wachache wao na familia zao? Wacha hao matajiri watumie pesa zao wawekeze, watanzania tulieni muangalie actions. Acheni uwoga huku hakuna maendeleo yeyote nchi inadidimia. Wacha waarabu Hamna cha rushwa wala nini hapo itakuwa unakula kwa jasho lako.
    Let’s go mama Samia